MTUME ANDREW OKUSI WA UGANDA ARUDI KWA NABII MKUU KUSHUKURU NA USHUHUDA KWA MAFANIKIO - GeorDavie TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

ความคิดเห็น • 124

  • @amissemwenetombwe9752
    @amissemwenetombwe9752 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu, Hata sisi tunakufuata Mitandaoni tunaomba Maombi yako . kwa sababu tupo mbali na inchi ya Tanzania. Mungu akubariki, naomba sana hata sisi ututamkie Neno !!

  • @edwinmbwilo6128
    @edwinmbwilo6128 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe unayatukuza mafuta na nabii mkuu, bali mimi nalitukuza jina la Yesu na Neno lake (Yoh 16:23-24)

    • @solIobrown
      @solIobrown 2 ปีที่แล้ว

      YESU humjui na hujawahi kumuona hata zamani waliomuona walimkataa na waliomkataa ni watu wa makanisani Huyo YESU Yupo ndani ya NABII MKUU anatenda mambo makuu na kwasababu YESU mwwnyewe alisema tutafanya mambo makubwa kama aliyoyafanya na ZAIDI!

    • @winniemwangi9441
      @winniemwangi9441 2 ปีที่แล้ว

      Unamtukuza yesu usiemjua unampinga NABII ambaye MUNGU yupo ndani yKe na matendo yake makuu yanadhihirika

    • @nancynahum7567
      @nancynahum7567 2 ปีที่แล้ว

      Na neno linasema niaminini Mimi mpate kudhibitika ila waaminini Manabii mpate kufanikiwa 👌👌👌🤣🤣🤣are we together??

  • @wakadasawa4314
    @wakadasawa4314 ปีที่แล้ว

    Nami nahitaji baraka toka kwa nabii mukuu Mungu anilinde nakunifaa kuwa mama ya watoto wengi nakubaliki huduma yangu ya uimbaji

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 ปีที่แล้ว

    MUNGU wa Nabii Mkuu GeorDavie ndie Mungu wangu mpaka mwisho wa Dunia. Kabisa

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa Nabii Mkuu ni Mungu wa Viwango sana

  • @prophetshukurumongela3085
    @prophetshukurumongela3085 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeeen Mungu wa Nabiii Mkuu wa Tanzania anikumbuke Mimi na Kanisa ninaloliongoza,Kiukweli nilikua simwamini ila nimefuatilia zaidii mpaka nimemwelewaaa

    • @meikoking
      @meikoking 2 ปีที่แล้ว +1

      Karibu sana Shukuru Nakukumbuka sana

    • @nancynahum7567
      @nancynahum7567 2 ปีที่แล้ว

      Karibu sana mtumishi Nabii ni wawote karibu sana

    • @prophetshukurumongela3085
      @prophetshukurumongela3085 ปีที่แล้ว

      @@meikoking asantee nakukubaliiii Mtu wa Mungu na hapo ulipo uko sehemu sahii

  • @wakadasawa4314
    @wakadasawa4314 ปีที่แล้ว

    Hata katika biblia Yesu aliwaponya wakoma kumi ila moja ndiyo aliye rudi nyuma kwakutoa shukrani kwa yesu

  • @gurdianangels1327
    @gurdianangels1327 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana ushuhuda wake mm pia ntakuja

  • @user-wu7we9gt1v
    @user-wu7we9gt1v ปีที่แล้ว

    Baba shikamoo baba nabii mkuu naomba uniombee jina langu jonas kiroya baba mimi nateseka sana nina madeni afu siwezi kulipa nikipata kazi inapotea nikipata pesa inapota bila kufanya kazi yoyote ile

  • @suavisndayizeye5732
    @suavisndayizeye5732 ปีที่แล้ว

    Mungu ni Mwema Sana KABISA

  • @revenantyfoya911
    @revenantyfoya911 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ubarikiwe ww nimtumishi wa mungu na mungu akubariki sana

  • @mashiassenga8849
    @mashiassenga8849 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏 mtumishi naomba hiwe na kwangu pia napokea kwa jina la yesu

  • @mosesmaduhutv7985
    @mosesmaduhutv7985 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Amina nimekubali Sana nabii

  • @jackobosabore3853
    @jackobosabore3853 2 ปีที่แล้ว +1

    Maneno haya yanaingia vema pongezi sana mafuta ya Baba tosha kabisaaaa najikumbuka nami

  • @venancjoseph1498
    @venancjoseph1498 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe Nabii mkuu uniombee Sana nipo Mozambique nakufatilia Sana mkuu

  • @ezekielmbise8636
    @ezekielmbise8636 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen napokea hayo mafuta kwa iman baba kondoo wengine unao wako nje ya zizi lakin tunakuamin na tunapokea kwa iman my dady nitakuja na mke wangu kutoa shuhuda baba ang

  • @lovecaretv6284
    @lovecaretv6284 2 ปีที่แล้ว +1

    Nabii na Mimi napokea,,nahangaika kutafuta kazi hap ni mwaka wa 5 tano,,Naomba unishike mkono nabii

    • @nancynahum7567
      @nancynahum7567 2 ปีที่แล้ว

      Karibu sana hemani kisongo Arusha MUNGU atakuona

  • @obadiakalinga9985
    @obadiakalinga9985 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameniii Ameniii 🙏 Napokeaa Baba

  • @masaweasenga6957
    @masaweasenga6957 ปีที่แล้ว

    Najiungamanisha na madhabahu napokea kwa jina yesu

  • @prophetmusasimon9281
    @prophetmusasimon9281 2 ปีที่แล้ว +1

    Haaaaaaaaaaaaaaa Powerful miracle.

  • @josamusicbk5905
    @josamusicbk5905 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen point mhimu Sana Baba nabii mkuu

  • @ezluckvoice1110
    @ezluckvoice1110 ปีที่แล้ว

    Amen Nabii mkuu Namimi napokea katika jina la Yesu kristo Amen🙏

  • @maryann6241
    @maryann6241 2 ปีที่แล้ว +1

    Praying my God for financial break through to visit nabii mkuu

  • @boniphacemasasimganga2166
    @boniphacemasasimganga2166 ปีที่แล้ว

    Amina baba MUNGU azidi kupandisha zaidi

  • @maggieolomi3650
    @maggieolomi3650 ปีที่แล้ว

    Napokea matendo makubwa ya mungu wa goodev amen

  • @charlesrongo3615
    @charlesrongo3615 2 ปีที่แล้ว +1

    napokea kwa jina la yesu

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 ปีที่แล้ว

    We mungu kuwa nami ktk maisha yangu,watoto wangu na mke wangu

  • @majorv8580
    @majorv8580 ปีที่แล้ว

    Amina, God bless Nabii mkuu wetu

  • @thechurchofgospelinternati4790
    @thechurchofgospelinternati4790 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana Baba Nabii Mkuu kwa kazi yako njema.

  • @maggieolomi3650
    @maggieolomi3650 ปีที่แล้ว

    Napokea kwajina la yesu

  • @ombyombeni
    @ombyombeni ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @peterswai391
    @peterswai391 2 ปีที่แล้ว +1

    Bahasha imeokoka sema ameeen

  • @jafariirankunda9867
    @jafariirankunda9867 2 ปีที่แล้ว +1

    Blessing for u

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 ปีที่แล้ว

    Aminaa

  • @geraldkishenyi5786
    @geraldkishenyi5786 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni ninapokea baraka zote na ninamuomba Mungu anibadilishe maana ninapitia kipindi kigumu sana

  • @josephleiyani7668
    @josephleiyani7668 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว

    Amen NAMI naomba Ayo mafuta katika familia yangu yatuinue

  • @janenkata6290
    @janenkata6290 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @maggieolomi3650
    @maggieolomi3650 ปีที่แล้ว

    Amen naiwe kwangu na familia yangu ❤❤

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimepokea namimi utajiri wa mwilini na utajiri wa rohoni🤚

  • @pastorb.alaurent1006
    @pastorb.alaurent1006 2 ปีที่แล้ว

    I connect nabii mkuu

  • @lubimbijunior7721
    @lubimbijunior7721 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @neemazacharia8288
    @neemazacharia8288 2 ปีที่แล้ว

    Amen, be blessed

  • @frankalfoncekizamile8725
    @frankalfoncekizamile8725 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kumuinua nabiimkuu

  • @apostleandrewokusi6635
    @apostleandrewokusi6635 2 ปีที่แล้ว

    Am humbled

  • @twemeremunguzacharie6395
    @twemeremunguzacharie6395 ปีที่แล้ว

    Nabii Mkuu! Nipe Kazi...

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu juu sana

  • @mwitamataiga4748
    @mwitamataiga4748 ปีที่แล้ว

    Jamani hawa manabii wamichongo ipo siku yani nabii anasema bila aibu pochi lilikuwa limeokoka nilipo lipata nikailisha na huduma siku hiyo ilinipeleke pochi nyumbani [iposika]

  • @beathakileovalerian6663
    @beathakileovalerian6663 2 ปีที่แล้ว +1

    Niombe baba niponye tumbo LNG la uzazi nipate watoto katika jina la Yesu

  • @shupanamugala6266
    @shupanamugala6266 2 ปีที่แล้ว

    AMEN AND AMEN

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 2 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN AMEN 🙏

  • @abdalahmjomba471
    @abdalahmjomba471 2 ปีที่แล้ว

    Baba namm napokea Kazi kutoka ngurumo ya upako.

  • @maryann6241
    @maryann6241 2 ปีที่แล้ว

    Nataka mungu wa nabii aki

  • @elishakaijukha9711
    @elishakaijukha9711 ปีที่แล้ว

    Sasa upo mbalii

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 ปีที่แล้ว

    Nabii mku utusame baba kwasabbu mambo hunayo fanya yanapita uwezo wangu. Lakini sasa nimeelewa

  • @frankalfoncekizamile8725
    @frankalfoncekizamile8725 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏

  • @sunny_tz2613
    @sunny_tz2613 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa iman nitapat pasip kuw na mafut Wal Maj kwa jina la mwanamungu jamn bon weng anawakamat iv

  • @ebenezermachange1073
    @ebenezermachange1073 2 ปีที่แล้ว

    Ow halleluya

  • @rehemajoel7094
    @rehemajoel7094 ปีที่แล้ว

    Wewe nenda kwa shetani ukapewe magari na majumba. Sisi tunapewa na Mungu wa mbinguni kupitia Nabii wake GD. Upo!!!!

  • @petrothegreat2919
    @petrothegreat2919 2 ปีที่แล้ว +4

    Nabii wa pesa na magar hatuogop shetan anatoa hivyo vyote ila Corona inavo kuja mlifyata mkia hamkua na neno unabii nliweka mfukon leo mnajifanya manabii acha kupotea eny wa Tanzania tafta kumpendwza Mungu sio utajir sio magari hata wapagan wana stress na ayo ayo magar watapataje nany mnadata na hayo ayo

    • @prophetshukurumongela3085
      @prophetshukurumongela3085 2 ปีที่แล้ว

      Shida ni ufahamu inawezekana Mungu unae mwamini wewe haambatani na baraka lkn nikukumbushe ukimpata Mungu unapata baraka Kiroho na kimwili mkuu na hicho ndicho anacho dhihilisha Nabii Mkuu kua Mungu anabariki

    • @petrothegreat2919
      @petrothegreat2919 2 ปีที่แล้ว +1

      @@prophetshukurumongela3085 Nami najua Mungu wenu anabarikiw hata wavuta bangi makahab ila hawaponyi wala hakemei wala hana mpango na roho zao mungu wenu ana mapango na kuwapa hela tu shetan alimwambia Yesu ukinisujudia tu nakupa milki zote hiz ila mbingu alikua hawez kumpa hela na mali ndo anatoa ila utakatifu na mbingu hana ndo alivo mungu wenu ila kama wewe una mpenda Mungu wa kweli huanza kutaka roho kisha baraka Kumbu 28_2 Malak 2_1.. kasome ndo unijibu coment

    • @isihakatembelen2214
      @isihakatembelen2214 2 ปีที่แล้ว +1

      Wewe mwenye uzito wa akili sogea hemani upate vilivyo bora mdaa huu unaoandika maneno yasio kuwa na hekima.

    • @solIobrown
      @solIobrown 2 ปีที่แล้ว +1

      Tumeumbwa na Mungu Kutawala vyoteee sio kuishii vizurii ila kuwa navyoo vyote magari na majumba na kuwa na uwezo wa kuwasaidia wengine ndicho anachokiishi Nabii Mkuu Geor Davie na Hata wakati wa Corona Nabii Mkuu alitoa neno na tuliomuamini wote tulivuka salama ….Hivyo toka kwenye ulimbukenii na fikra finyuu!!!

    • @meikoking
      @meikoking 2 ปีที่แล้ว +1

      Wewe ulikuwepo wakati wa corona na hukusikia unabii usiongee ushuzi hapa🤧

  • @saumuabdallah6747
    @saumuabdallah6747 ปีที่แล้ว

    inakaa hakuna usalama juu security officer analinda

  • @merissapati9630
    @merissapati9630 ปีที่แล้ว

    🤣 AMENA 👏 👏 yani una nifulaisha saana mugeni wakampala

  • @mwamudaniel7912
    @mwamudaniel7912 ปีที่แล้ว

    Nathamani kumuona nabii mkuu

  • @gilbertbada8385
    @gilbertbada8385 ปีที่แล้ว

    Is it me or....no jesus name metioned!

  • @kitenkenchacha2309
    @kitenkenchacha2309 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU ni mwema kila wakati na mda wote na anapita kila mahali kuwapigania wenye shida na wanaoitaji uzima wa milele

  • @janenkata6290
    @janenkata6290 2 ปีที่แล้ว

    Na mimi nibsrikiwe

  • @zackrichard3617
    @zackrichard3617 ปีที่แล้ว

    Je hii ndio injili aliyoagiza Yesu.? Habar ya kuwahubilia watu waokoke haipo kabisa mahala apa wapendwa tue makin.

  • @christinakembe3869
    @christinakembe3869 2 ปีที่แล้ว

    Jamani napataje nba ya huyu baba Nabii

  • @mwanyulatz
    @mwanyulatz 2 ปีที่แล้ว

    Huyu apostle Baada ya kupewa bahasha na Rais akahairisha kuhubiri eti nimpelekee mke wangu bahasha alafu anataka kupita kwenye njia nyembamba .

  • @thesonofapostle1009
    @thesonofapostle1009 2 ปีที่แล้ว

    Upako Huu ututendee Kama wengine walivuotendewa

  • @yvesrwarinda8012
    @yvesrwarinda8012 2 ปีที่แล้ว

    Ninahitaji maombi nina ishi burundi

  • @abdifatahduchtholland5473
    @abdifatahduchtholland5473 ปีที่แล้ว

    Hij is Echt evil komt uit tanzania 🇹🇿

  • @andrewkihweloofficial6589
    @andrewkihweloofficial6589 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU wa NABII MKUU anikumbuke na mimi

  • @abdalahmjomba471
    @abdalahmjomba471 2 ปีที่แล้ว

    Nimepokea baba Nabii stokusahau kamwe

  • @sunny_tz2613
    @sunny_tz2613 2 ปีที่แล้ว

    Jmn shetan anawatu atuponi kwa vitu vya dunian bal safar ya mbingn ndio wokov mafanikio ni mbingun

  • @petrothegreat2919
    @petrothegreat2919 2 ปีที่แล้ว

    Manabii wa kweli Mungu hakuwapa hela hakuwapa magari Aliwasaidia kujua makosa yao nyie watu uyo Mungu mbona waviwango vya chin sana uyo Mungu waajabu kukupa magar yanakusaidia nni ktk ufalme wa mungu Mungu anataka uponyaj roho zenu magari Japan wanao tengeneza ni wapagan Magar ya ghar wanao milik wapagan hawana mpango na Mungu namaanisha kuwa na magar sio ishara ya Mungu we ukibarikiwa unapata gar wenzio wanamtukana Mungu na wanamilik AUD ROLLROIS BMW dhamb wanazo na jehanam wanaenda

    • @solIobrown
      @solIobrown 2 ปีที่แล้ว

      Nabiii wa Kweliii ni yuleee ambae akitamka neno linatokea na matokeoo yanaonekana Mungu sio maskini Mungu ni Tajiri na ndio mmiliki wa fedha na dhahabu kama Nabii anafanya vitu vikubwa KIROHO na Pia KIMWILI mmnayaona matunda huyoo ndio Nabii wa Kweli Kama alivyo NABII MKUU GEORDAVIE njoo ujifunzee ili utoke kwenye Kongwa!!!

    • @isihakatembelen2214
      @isihakatembelen2214 2 ปีที่แล้ว

      Jaman mbona we wakizaman sana em toka kwenye iyo kongwa njoo ujionee kwa baba unapata vyote asee uo ushambaa wa kiroho utaisha ukifika hemani

    • @shedracksimbeye8460
      @shedracksimbeye8460 2 ปีที่แล้ว

      Wewe unaongea ujinga petro the dumbest Sasa huyu Nabii Akiwa masikini atahubirije mafanikio wakati yeye Hana mafanikio pesa ni jawabu la mambo yote wacha ujinga kwann unaamkaa kila asubhi kutafuta pesa basi nawewe acha kutafuta pesa na mali kaa ndani kwako utakula unyakuo wa siku za mwisho nyie ndo watu mnataka Mungu awafanye matajiri ila mtumshi wa Mungu akubarikiwa inakuwa anatumia nguvu za giza bogus kabisa wewe tafuta hela acha ujinga

    • @abiudimsemea3172
      @abiudimsemea3172 2 ปีที่แล้ว

      Waacheni hawa ukiona unawambia ukweli wanabisha basi tusubiri siku ya aibu

    • @nancynahum7567
      @nancynahum7567 2 ปีที่แล้ว

      @@abiudimsemea3172 aibu itakukuta wewe na familia yako tafuta Hela Wacha kuwaza ujinga

  • @Hancymtembo
    @Hancymtembo 2 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona baraka ni kubwa Sana aiendani na shukrani aliyotoa, mtume hapo umefeli, kwa level yako kwa kuwa wewe ni mtumishi ukutakiwa kutoa hiyo 5000000, ni ndogo Sana, hata nabii mkuu kasema, Kama ni mwelewe nabii unatakiwa nenda tenda na shukrani inayolingana na baraka uliyopokea, Kama umeenda tu kutangaza baraka

    • @nancynahum7567
      @nancynahum7567 2 ปีที่แล้ว

      Borahata huyu alierudi na kidogo kuliko wallioondoka bila hata kushukuru

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn8788 2 ปีที่แล้ว

    Hii imani imekuwa ushirikina, kiongozi wa dini unahesabu mafanikio ya mali ndio unatoa ushuhuda?

  • @elicanageorge1319
    @elicanageorge1319 2 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁MUNGU NI MTENDAJI MKUU.

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 ปีที่แล้ว

    Nitakuja huko nabii nikumbke!!!

    • @nancynahum7567
      @nancynahum7567 2 ปีที่แล้ว

      Karibu sana hemani kisongo Arusha

  • @chileshekabwe8726
    @chileshekabwe8726 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen

  • @maikommbaga1576
    @maikommbaga1576 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @davidmlukae434
    @davidmlukae434 2 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 ปีที่แล้ว

    Ameeen

  • @levinamuspeka643
    @levinamuspeka643 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @gloriagloria3432
    @gloriagloria3432 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @michaelmwedimage5515
    @michaelmwedimage5515 2 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN AMEN