TBC1 TV YAMUHOJI "LIVE" NABII MKUU TANZANIA - (STUDIO VERSION) - GEORDAVIE TV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • Nabii Mkuu Tanzania Mhe. Dr. GeorDavie (Ph.D)
    ("UMAARUFU WA NCHI HAUTOKANI NA WANASIASA PEKE YAKE, BALI HUTOKANA NA RAIA WENYE TAALUMA, FANI NA VIPAWA MBALI MBALI VIKITAMBILIWA NA KUPEWA NAFASI STAHILI NA SERIKALI HUSIKA - By Hon. GeorDavie")
    Hon. GeorDavie is the Most Respected Man Of God (The FOUNDER & PIONEER) in the Land today (The Father and Mentor of thousands Servants of God from around the World including Believers) The Author of Keeping Up With God’s Kingdom Government Standards and with over 35 years in the Ministry, Serving the Largest "NGURUMO YA UPAKO (N.Y.U) DIPLOMATS GIGANTIC CONGREGATION" IN TANZANIA!!! and the Owner of
    N.Y.U. FM RADIO 99.2MHz - ARUSHA Tanzania
    www.nyufmradioonline.radio12345.com

ความคิดเห็น • 354

  • @MESHACKMASIELO
    @MESHACKMASIELO 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee nabii mguu nakupeda baba niko kenya nakupeda baba tamka neno nakinabii ju ya maisha yangu

  • @suavisndayizeye5732
    @suavisndayizeye5732 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah Hallelujah. Farashi Baba yangu Nabii Mkuu GeorDavie

  • @steramgala9907
    @steramgala9907 ปีที่แล้ว +1

    Baba naelewa sana na sana mahubili yako nabi mkuu

  • @cypmkutubi3109
    @cypmkutubi3109 5 ปีที่แล้ว +19

    Umejieleza vizuri sana, japo umeyajibu maswali ya mtangazaji kisiasa Zaidi na kujifanisha zaidi na Yesu, nguvu alizonazo Yesu hakika hujazikaribia.Kingine ambacho sijafurahia kwako ni pale ulipoombwa na Mtangazaji kuliombea Taifa, ukawa unaomba ukiwa umekunja nne!! Mbinguni siyo Kisongo.

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndivyo walivyo "manabii" wa sasa,wakati mwingine wanaomba mikono mifukoni

    • @kazuamkangara7619
      @kazuamkangara7619 4 ปีที่แล้ว

      Mtihani na mm nishamuona anavoombea kaa yy ndo anafanya na mengine kaa wale washirikina wanaofanya kazi na washirikina wa kijini wanavopiga ramli bana duuu inatakiwa tusizarau lkn tuwe Makini pia

  • @yesayamziwanda9603
    @yesayamziwanda9603 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana namkubali sana huyu nabii kiukweli natamani kufika kanisani kwake

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri wewe songs mbele usitetereke

  • @ndayizigabienvenue137
    @ndayizigabienvenue137 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongezeye nguvu zaidi

  • @رزقكينيدا
    @رزقكينيدا 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukutumia Mtumishi mm nami napokea kwa jina la Yesu

  • @GeorDavieTV
    @GeorDavieTV  5 ปีที่แล้ว +29

    WhatsApp/Piga namba: +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu. Kwa iPhone au Android Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com

  • @davidmembedalamethepsalmis2885
    @davidmembedalamethepsalmis2885 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu AKUTUNZE mtumishi wa MUNGU

  • @avithbaijuka
    @avithbaijuka 8 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen naiona kazi yako

  • @TheCvm229
    @TheCvm229 4 ปีที่แล้ว +3

    Kujimwambafai zaidi ya kumuinua Yesu..

  • @jonassaid4001
    @jonassaid4001 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji Gabriel Zakaria upo vizuri kwa maswali pia Mungu akutunze. milele Nabii Godevi

  • @rechoalbin4707
    @rechoalbin4707 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina Napokea kwajina la Yesu

  • @CatherineSummary
    @CatherineSummary 6 หลายเดือนก่อน

    Baba ❤❤❤ kwanza unajiamini kwa kazi yako

  • @solomonmpuluma5485
    @solomonmpuluma5485 5 ปีที่แล้ว +3

    Hongera home boy!! Mungu akuimarishe ktk huduma yako.

  • @philomenamueni30
    @philomenamueni30 ปีที่แล้ว

    Aki baba nizahidie nikufikie.kila siku nashidaga kukuona kwa youtube.nkp nairobi mimi ni mukamba

  • @goodlucksandytv3951
    @goodlucksandytv3951 4 ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu asifiwe sana nabii amejibu maswali kwa hekima ya juu sana azidi kuwainuliwa

  • @clnitonnganganjagi2500
    @clnitonnganganjagi2500 2 ปีที่แล้ว

    Majina Mkuu ,DKt , Mhe si ni majina ya kujitukuza ili hali katika ufalme wa mungu kujitukuza ni chanzo cha kiburi na kuanguka kwa wahubiri wengi duniani .Yaani humility iko wapi kwa jina lake ? Ni swali tu

  • @edinajames5517
    @edinajames5517 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuinua ktk huduma yako amen🙏🙏

  • @jonathanlymo5523
    @jonathanlymo5523 2 ปีที่แล้ว +1

    Good speech, nimeipenda hiii God bless you

  • @johnmacha2194
    @johnmacha2194 8 ปีที่แล้ว +13

    LIFE IS AN INTERESTING JOURNEY ZAKARIA YOU ARE VERY TECHNICAL IN ASKING SAFI SANA! NABII VERY INTELLIGENT IN ANSWERING .................................................

    • @jeniphazirandaly36
      @jeniphazirandaly36 4 ปีที่แล้ว

      Ni ngumu saana

    • @nasrahsalim7870
      @nasrahsalim7870 3 ปีที่แล้ว

      Mko wapi nije jamani mm nawaangalia tu kwa u tube kwa kweli mungu amekujalia dady natamani ata kukuona live

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 2 ปีที่แล้ว

    Napokea ktk jina la Yesu. Ameeen.

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kukutunza

  • @boniface5416
    @boniface5416 5 ปีที่แล้ว +5

    Honorouble GeoDavie I do Respect and honour you so much!!!Keep on establishing the kingdom of God in Earth

  • @mwesigwaabdurahim8590
    @mwesigwaabdurahim8590 5 ปีที่แล้ว +15

    Mtangazaji uko vizur unaweza Sana una ULIZA maswali YA kiufundi, kaz njema

    • @erastoselemani5443
      @erastoselemani5443 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa... Anamuanzia mbali sana

    • @sophiaalfan3420
      @sophiaalfan3420 5 ปีที่แล้ว

      Tunaomba namba ya mchungaji ili tuweze kufika alipo

    • @ansiaswai8947
      @ansiaswai8947 4 ปีที่แล้ว

      Karibu mwanza baba

  • @samuelmollel3878
    @samuelmollel3878 5 ปีที่แล้ว +10

    ufalme wa mungu haufanani na ufalme wa duniani mbinguni inawexekana kua ufalme bila pesa maana mungu ni saidi ya pesa

  • @sirpaindakiseya697
    @sirpaindakiseya697 4 ปีที่แล้ว

    Zachariah we mwarusha mwenzanguuu... Nakukubali sanaaa uko vizuri sana

  • @chilamboxhila2716
    @chilamboxhila2716 4 ปีที่แล้ว +2

    Unajibu vizuri sana Prophet,

  • @hesbonmose9801
    @hesbonmose9801 4 ปีที่แล้ว +1

    Bwana "nabii" nashangaa sana kwa kijifananisha YESU kila jibu lako umeitumia bibila kujitambua....lakini umesahau hata Yohana mpatishaji aliye mpatisha YESU hakuwai jisifu....kwangu nana uelewa mkubwa kwamba wewe ni mtumishi wa shetani naomba uniambie katika bibilia wapi manabii wa Mungu waliwai angusha watu kwa ajiri ya kutoa pepo n uponyaji??....najua hilo jibu utakoza...naaam rudia Mungu uache kijifanya "mkuu" uende mbinguni. Ni hayo tu kwa sasa!!!!!

  • @rukiasalim2512
    @rukiasalim2512 4 ปีที่แล้ว

    Daddy babayangu siyo kwa sababu ya miujiza ila kwa mafundisho haya niliyo fuatilia leo namna unachambua nimefunguliwa na ninatamani nikuone pindi tu nifikapo Africa Mungu akutuze nime barikiwa sana

  • @noreenjustine5099
    @noreenjustine5099 10 ปีที่แล้ว +12

    THIS IS FANTASTIC INTERVIEW OOOH ! AM FULL BLESSING. AND I REAL LOVE YOU DAD,U'RE A REAL MAN OF GOD BE BLESS MORE AND MORE.

    • @faridafridaus6222
      @faridafridaus6222 5 ปีที่แล้ว +1

      Baba naomba kuonana na wewe

    • @venturymwakilebwa6611
      @venturymwakilebwa6611 5 ปีที่แล้ว +1

      Nice dady so how can help me

    • @venturymwakilebwa6611
      @venturymwakilebwa6611 5 ปีที่แล้ว +1

      Ninashida sana babaa wapi nitaweza kuonana na wewe japo nkweze kupona

    • @abangoshamajalla1235
      @abangoshamajalla1235 4 ปีที่แล้ว +1

      @@venturymwakilebwa6611 nakufwatilia sanaa kwa yu tube ninahitaji la kukutana na wewe babaa ingelikuwaa kuna number naeza kupata nayo japo ya kanisaa natoka kenyaa

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 ปีที่แล้ว

    Uyaan wanadam mnaamin wachawi wanaingia kwenyeunngo elfi Moja kuliko matendo ya Mungu ndani ya mwanadam

  • @petermollel1471
    @petermollel1471 4 ปีที่แล้ว

    You nailed it daddy. Wasiokuelewa hawatakaa wakuelewe ama wana lao jambo. Majibu mazuri sana kwa maswali mazuri sana pia

  • @hagaimarco1518
    @hagaimarco1518 5 ปีที่แล้ว +1

    Kupitia yutubu nimepona kwa nabii mkuu asante sana karibu kigoma baba uje utuokoe tunakufa baba.

    • @chamwenyewecjembe7359
      @chamwenyewecjembe7359 4 ปีที่แล้ว

      Anayeokoa ni yesu
      Wafuate waliookoka huko kigoma watakuongoza uokoke.
      Barikiwa.

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 ปีที่แล้ว

    Wonderful dady🙏

  • @Nelson-tr1st
    @Nelson-tr1st 3 ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu asifiwe baba

  • @ndayizigabienvenue137
    @ndayizigabienvenue137 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @erickebiath-pq6pd
    @erickebiath-pq6pd ปีที่แล้ว

    mh.mungu atutetee sana

  • @stevelayda8555
    @stevelayda8555 5 ปีที่แล้ว +1

    Interview nzuri sana maswali na majibu majibu mazuri sana.

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว +1

    Haleluya Nabiii

  • @alexmwalingo5120
    @alexmwalingo5120 5 ปีที่แล้ว +1

    Nabii mkuu nimekuelewa sana hapo kwenye chumvi na mafuta wanatusumbua sana na chumvi zao

    • @millicentayango3879
      @millicentayango3879 4 ปีที่แล้ว

      Anyone sold salts with others things they're not from God

  • @suavisndayizeye5732
    @suavisndayizeye5732 ปีที่แล้ว

    NABII MKUU GEARDAVIE ni Nabii KABISA. Nabii atakua anaitajika na eshima kabisa

  • @abibumbota5160
    @abibumbota5160 ปีที่แล้ว

    Ila umasikini ni zaidi ya Zambi hata ufalme wa Mungu ni zaidi ya umasikini masikin Hana sifa

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 3 ปีที่แล้ว

    Hapa ata ikitoke Vita nabii unanyoo mikono tu

  • @ismailyussuf1805
    @ismailyussuf1805 3 ปีที่แล้ว

    Huyu anaejiita nabii.Yeye ninani.MWAMBIENI AANDAE MJADALA NA KINA MAZIMGE,SHK SHAFI NA WENGINEO.

  • @dianajoseph8187
    @dianajoseph8187 5 ปีที่แล้ว +7

    Kama umeiona cm ya nabii gonga like

    • @aksantedeborah7913
      @aksantedeborah7913 5 ปีที่แล้ว

      Sio cm ni tablet

    • @jilliankarisa544
      @jilliankarisa544 5 ปีที่แล้ว

      @@aksantedeborah7913 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว

    Huelewa mdogo sana

  • @esterleonard7365
    @esterleonard7365 2 ปีที่แล้ว

    Namba za cm za nabii

  • @rahaneincade
    @rahaneincade 3 ปีที่แล้ว

    Boa noite eu falo em Moçambique cabo delgado Pemba gostaria de ser rico

  • @mchungajimichael5055
    @mchungajimichael5055 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atanipa na mimi

  • @hbnelly8359
    @hbnelly8359 5 ปีที่แล้ว +3

    Napokea katikajina LA YESU KRISTU

  • @angeldamasen6139
    @angeldamasen6139 ปีที่แล้ว

    Nakupenda baba

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 3 ปีที่แล้ว

    Jamani huyu Baba hakuna number yake sijui nampataje jamani msahada please

  • @elizabethmambai2072
    @elizabethmambai2072 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless u Kenya

  • @veronicawambura4992
    @veronicawambura4992 4 ปีที่แล้ว +1

    Usihukim kwa kile usichokifaham, ww endelea kuamini kile unachokiamini, hata yesu hawakumwamini wote.

  • @mchungajimichael5055
    @mchungajimichael5055 3 ปีที่แล้ว

    Dady mungu akuinue

  • @jackobenock3856
    @jackobenock3856 ปีที่แล้ว

    Ok nakuelewa

  • @ezrommkambati1554
    @ezrommkambati1554 ปีที่แล้ว

    Nyie nao ni masapota wa kazi za ibilisi

  • @omarydiwani1488
    @omarydiwani1488 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi!

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 5 ปีที่แล้ว +3

    To God be the Glory Daddy

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 4 ปีที่แล้ว +1

    Maswali mazuri na Majibu mazuri pia

  • @janethhenry2723
    @janethhenry2723 5 ปีที่แล้ว +2

    Naamini ww ni nabii uliyetumwa na mungu .

  • @elizabethmambai2072
    @elizabethmambai2072 3 ปีที่แล้ว

    Thanks Geordeve

  • @leahmuthoni2663
    @leahmuthoni2663 4 ปีที่แล้ว +1

    How can I meet with nabii 😢😢?

  • @sculpturedwinedward2636
    @sculpturedwinedward2636 9 ปีที่แล้ว +4

    may god pour on to you the higher vision to reveal his hidden secrets and you may be able to expose towards us in order to fulfill where there is a need

  • @aminatabakari2741
    @aminatabakari2741 4 ปีที่แล้ว

    Ni mwaka 2020 sasa ndo nimeisikia hii na nimefurahi nashukuru kwa baraka na zawadi hii ya maisha ya Nabii huyu juu ya matamshi yake wa wanao amini, Jina la Mungu litukuzwe🙏

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 3 ปีที่แล้ว

    Aliye msikia mwandishi kikeke kwa mbali apokee

  • @kikakitamuka2320
    @kikakitamuka2320 4 ปีที่แล้ว

    naomba number ya muobaji

  • @mariahuka2460
    @mariahuka2460 5 ปีที่แล้ว +7

    Mimi nimemwelewa huyo na Biii sanasan,apatikana wapi?

  • @kelvinmichae728
    @kelvinmichae728 5 ปีที่แล้ว +2

    kwakweli mimi sijui maana dunia sijui inaelekea wapi

  • @ezrommkambati1554
    @ezrommkambati1554 ปีที่แล้ว

    Watanzania cjui nanj kawaloga

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 4 ปีที่แล้ว

    Honger ubarikiwe

  • @كرستينجويل
    @كرستينجويل 4 ปีที่แล้ว +1

    HALLELUJAH papa prophet

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 5 ปีที่แล้ว +5

    yaani wenye mabuibui wanaingia pia kanisani na vile muislam yuwasema kuingia kanisani ni haram diamond hooo zari yuwaingia na watoto wangu kanisani na hali mimi ni mwislam jamani mungu ni yule mmoja isipokuwa majina tofauti

  • @prisilekinkufi5003
    @prisilekinkufi5003 5 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba jamani plz

  • @joycemahusein1608
    @joycemahusein1608 5 ปีที่แล้ว +9

    sikuzamwisho zimefika kila kona manabii kinachotakiwa ubakikwenye imani yako lipo jina nalo ni Yesu kristo tukilitumainiahilo jina tutapona yeye ndio jia yauzima

  • @mathiaslaurent6557
    @mathiaslaurent6557 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Yesu ni Mwema

  • @UNO-xt7we
    @UNO-xt7we 4 ปีที่แล้ว

    Lini corona itaisha???

  • @njeriwakinyua5003
    @njeriwakinyua5003 5 ปีที่แล้ว +1

    Halleyuah, na akilisha ufalme wambinguni Bwana yesu apewe sifa

  • @paulojoelyjoellukumay104
    @paulojoelyjoellukumay104 4 ปีที่แล้ว

    Da amina nabii

  • @annakamasha5705
    @annakamasha5705 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @ziadaalute6836
    @ziadaalute6836 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni Mnyiramba mtani wangu miminilizani ni muhindi,lakin Iguguno kuna waarabu wengi,hatashangazi yangu kuolewa na Muarabu nakazaa waarabu binamuzetu

  • @obedrichard9805
    @obedrichard9805 5 ปีที่แล้ว

    kwa kweli nabii yupo vzr xana God bless u

    • @martinjoseph7387
      @martinjoseph7387 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna nabii napo ni sarakasi za kifreemason

  • @vincentlion7487
    @vincentlion7487 2 ปีที่แล้ว

    Lexus baba sha sema

  • @Bahrain-me3ht
    @Bahrain-me3ht 5 ปีที่แล้ว

    Nabii pia mm ningependa unisaidie bt niko mbali tafathali mimi caroline masinde niko na shida nyingi sananisaidie tafathali

  • @jamesnyange7844
    @jamesnyange7844 4 ปีที่แล้ว

    Atupe no ya whtssap

  • @rubenmegiro303
    @rubenmegiro303 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awenawe mudayotee

  • @tambweomary3456
    @tambweomary3456 3 ปีที่แล้ว

    Nabii anajibusti kidogo kwa kujich....

  • @ambrosenthiani585
    @ambrosenthiani585 5 ปีที่แล้ว +2

    The interviewer so intelligent and Sharp

  • @MariaMaria-gq4kd
    @MariaMaria-gq4kd 5 ปีที่แล้ว

    Nabii na ombe uniombee kwa jina la yesu

  • @gaspermassawe7397
    @gaspermassawe7397 7 ปีที่แล้ว +6

    Pamoja na unabii wako feki,Mungu atakuacha kwa USALITI HUU MBAYA UNAOUFANYA KWA JINA NA YESU KRISTO MWOKOZI WETU.Kuharibu ndoA za kondoo wako,kuvuja Mali za waumini maskini kwa maisha yako ya ANASSA,N.K

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 5 ปีที่แล้ว +1

      Gasper ni wachache wanaojitabua na kuelewa wao ni akina nani ktk ufalme wa Mungu, wengi hawana muda wa kuomba wakusoma neno na kuchambua kweli iko wapi

    • @kinglance6365
      @kinglance6365 5 ปีที่แล้ว

      Rahima S nimekupenda bure

    • @jullietkambura8249
      @jullietkambura8249 5 ปีที่แล้ว

      Kola nabii ako na kile anatumianga

    • @jullietkambura8249
      @jullietkambura8249 5 ปีที่แล้ว

      Mimi nikigusa solt ukiwa na sida inaisha

    • @atuubalikiwesanamtumishiwa6906
      @atuubalikiwesanamtumishiwa6906 5 ปีที่แล้ว

      Jaman mtalanika mnae mtamkia nabii maneno mabaya ameponya weng sana jiulze wewe umeponya wangap

  • @kondomohamedi5801
    @kondomohamedi5801 4 ปีที่แล้ว

    Duuuh hi ndo dunia mi so Mungu hata kugje nashidwa neno LA Mungu hata shetani analijua

    • @millicentayango3879
      @millicentayango3879 4 ปีที่แล้ว

      Kabisaaaa...neno lamungu ndio shetani analitumia kupotosha wana wa mungu

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 5 ปีที่แล้ว +3

    Kwani Elisha na Elia walitumia nini?Asiseme eti vitambaa n.k ni kosa,yeye aseme tu anatumia nguvu bila hivo vitu...Alafu huyu mkuu sio mnyenyekevu,he is too proud na mtu wa Mungu hawezi kuwa na majivuno.Majivuno ni ya shetani sio Mungu.

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 5 ปีที่แล้ว +10

    Siku moja mtapata nuru, mtalia sana!

    • @millicentayango3879
      @millicentayango3879 4 ปีที่แล้ว +1

      True

    • @edwinemmanuel5483
      @edwinemmanuel5483 4 ปีที่แล้ว

      Nuru! ipo siku zote fumbua macho kama umefumba! Nabii hatambuliki kijijini pake, huyu ni nabii wa Mungu!

    • @emmanuelonesmo4885
      @emmanuelonesmo4885 3 ปีที่แล้ว

      Kilio chakusagameno... They cant see bcoz they are blind

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji nakukupata unamaswari mazuli sana

  • @gloryjane4147
    @gloryjane4147 5 ปีที่แล้ว

    Nmepokea kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareth

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 4 ปีที่แล้ว

    Duuh! Tumepotezwa sana jmn

  • @mariamfaith9914
    @mariamfaith9914 5 ปีที่แล้ว +2

    Naye Yesu kasemaa Nabii hakubaliwi kwao 🤫

  • @joycemahusein1608
    @joycemahusein1608 5 ปีที่แล้ว

    mtangazan asante sana unamaswali mazur