SHEIKH MZIWANDA AWALIPUA MASHIA ATOA SIRI ZAO ~ DINI HAIITAJI UJANJAUJANJA ~ PESA ZITATUUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2023

ความคิดเห็น • 46

  • @masoudrashidmohammed4124
    @masoudrashidmohammed4124 ปีที่แล้ว +1

    Maa sha Allah shukran habibi Mziwanda wape vitu hao wenye kupenda dunia ukweli ndio Allah kashamaliza kusema zamani piga vitasa kuliko hivyo

  • @mjedamjeda4734
    @mjedamjeda4734 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah nakupenda sana shekh wg mziwanda

  • @ajumaakange1483
    @ajumaakange1483 ปีที่แล้ว

    Shekhe Allaah akulinde Isha allaah 🙏 🙏🙏 tuko nyumayako

  • @islahil3878
    @islahil3878 ปีที่แล้ว

    Shukran shekhe wangu kwaku sema ukweli nakupenda sana shekhe pia Mawahabi utupe ukweli wao nao wako sawa shekhe?

  • @abuunajmah404
    @abuunajmah404 ปีที่แล้ว

    Aisee Allah akulipe kila la kheri baraka allahu fiika
    Ukweli nimefurahi Hawa mashia woote niwaongo

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 ปีที่แล้ว

    Allah. Akuhifadh sheikh Mziwanda

  • @suleimansaidi6913
    @suleimansaidi6913 ปีที่แล้ว

    Allah akupe umri mrefu wenye KHERI tupambane nao hao tupo nyuma yako shekh

  • @abduwahabi7019
    @abduwahabi7019 ปีที่แล้ว

    Shekhe njoo ktk usalafi hayo unayo yasema wanaoyatekeleza nisisi masalafi njoo tutakuhami karibu sana

  • @thuwaibahassan5225
    @thuwaibahassan5225 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Allah akuhifadhi sheikh wetu mziwanda Allah akujalie msimamo wako uendlee hivohivo na Allah atakulinda na wabaya wako....

  • @husenimmussa6479
    @husenimmussa6479 ปีที่แล้ว

    بارك الله فيك

  • @sulekato4330
    @sulekato4330 ปีที่แล้ว

    Naaam
    Maa Shaa Allah

  • @jamalmohamed2559
    @jamalmohamed2559 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde shekhe letu

    • @profwangwande5978
      @profwangwande5978 ปีที่แล้ว

      Naam huyu ni mlithi wabshekh kilemile allah amlehemu

  • @huseinhamidu7367
    @huseinhamidu7367 ปีที่แล้ว

    Shehe wetu upo sahii Sana Yan mashia hawawezagi kukujibu hata siku moja zaidi yakukutusi tu Ila ukweli wangu unaongeaga point sana

  • @omaryteddy535
    @omaryteddy535 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 ปีที่แล้ว

    انشاء الله شكرا.

  • @khamischega2418
    @khamischega2418 ปีที่แล้ว

    Sahihi mwamba

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 2 หลายเดือนก่อน

    hamna shekh hapa unafuata akida ya uongo halafu hakuna kitu kwenye quran kwa unachokifuata

  • @jujanreeves6925
    @jujanreeves6925 8 หลายเดือนก่อน

    Lkn kwenye maulid Khitma na Arobaini mmechukua kutoka kwa Mashia nyinyi Masufi hilo vipi

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 ปีที่แล้ว

    Bakwata hawataki ukweli wanatka kula kwa jina la dini lkn dini kwao haina thamani

  • @abdililahahmed3095
    @abdililahahmed3095 ปีที่แล้ว

    Sheikh Muharam upo sahihi kabisa, niliwahi kusali swala ya Eid kwenye msikiti wao Kigoma, kabisa nilitoka pale nilijiona hamna kitu, wana vitissue paper wanagawiana na mawe yani vurugu mechi.

  • @husseinmohamedjama6316
    @husseinmohamedjama6316 ปีที่แล้ว

    Mimi huwa najiuliza sana hawa jamaa ni dini gani hiyo inayoruhusu kujipiga mapanga kichwani na usoni kwa kukumbuka kifo cha Imam Hussein?

  • @user-wu5dk2jd2r
    @user-wu5dk2jd2r 7 หลายเดือนก่อน

    Huna elimu yoyote ww njoo nikupe dogo langu tu akufundishe din

  • @wakizimbaniwakizimbani6596
    @wakizimbaniwakizimbani6596 ปีที่แล้ว

    Wambie ukweli hao vijisenti vina matatizo.

  • @masoudrashidmohammed4124
    @masoudrashidmohammed4124 ปีที่แล้ว

    Habibi kipenzi chetu Mziwanda tunakuomba ndg zako au wanao hao usiwajibu ww waachie tuu ila ukiona hivyo jiwe limewapiga gizani vitasa kwenda mbele tuu

  • @alwyjahdhamy8094
    @alwyjahdhamy8094 ปีที่แล้ว

    Hio kauli ni dhaifu shekhe mziwanda katika biharul anwar. Umejibiwa kuhusu hio kauli ya Ali ibn Hussein.

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 ปีที่แล้ว

    Ninachojua huyu sheikh huwa mtu kunyoosha tu.nyeupe nyeupe kama nyeusi nyeusi

  • @kingbassai5329
    @kingbassai5329 ปีที่แล้ว

    Sheikh kishki talaka tatu

  • @SHAFIIAbdully
    @SHAFIIAbdully 11 หลายเดือนก่อน

    Shekhe nataka unisomeshe je nakupataje

  • @jafarshossy5830
    @jafarshossy5830 ปีที่แล้ว

    Shehe mziwanda watuaibisha maaswari wenzio waonekana humuezi kijana wa kishia kwa elimu afadhali unyamaze

    • @rashdhamdun
      @rashdhamdun ปีที่แล้ว

      We sio answari ni shia acha uongo

    • @shabanhassan9224
      @shabanhassan9224 ปีที่แล้ว

      Sio kutiabisha anaongea ukweli, Kuna mmoja ktk hao mashia anaitwa sheikh Mohammed mm alikuwa mwalimu wng wa chuon , akapata nafas ya kwenda kusoma mwaka 1996 au 97 ,akatuaga uzur kurudi ndo Kawa shia

  • @abubakarnyere1792
    @abubakarnyere1792 ปีที่แล้ว

    Bahna kila mtu aende upande anao taka, ila ushauli wangu, Muslim tusiishie kuambiwa tu, tusome kwanza kwani ndo maana yakupewa akili na Allah, kama hapo amesema mjukuu wa mtume amesema abubakar na omary ni makafili Sasa wewe unakataa ni yupi wewe, tumia akili apo

    • @mkude
      @mkude ปีที่แล้ว +4

      Wewe itakuwa unaumwa ugonjwa wa akili maana hata ulichokiandika hakieleweki vizuri,nyoosha maelezo, acha unafiki

    • @ahmadnonela3215
      @ahmadnonela3215 ปีที่แล้ว +1

      Sheikhe ww umeisha chukuwa mzigo Acha fitina waislam wenzako wapate mzigo kama ulivyopata ww

    • @ahmadnonela3215
      @ahmadnonela3215 ปีที่แล้ว +1

      Achakuwa kuku

    • @ahmadnonela3215
      @ahmadnonela3215 ปีที่แล้ว +1

      Elim yako imeishia hapo Ndiyo Maana huwezi kuwaeleza hunak

    • @abubakarnyere1792
      @abubakarnyere1792 ปีที่แล้ว

      @@ahmadnonela3215 hutaki au