TUNAWASHAMBULIA HAWA KUMBE TATIZO TUMESHINDWA KUFAHAMU MSINGI WAKE, JIULIZE UNAFAA KUITWA SHEIKH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2023
  • • TUNAWASHAMBULIA HAWA K... #KHIDMATV #SheikhMuharramMziwanda #Nasahakwawanazuoni #nasaha

ความคิดเห็น • 78

  • @fahmiiidrisa5110

    MashaALLAH Muharram Mziwanda ALLAH kampa elimu bhana

  • @dinocastico8495

    Alhamdulillah , killa nikimtazama huyu bwana namkumbuka saana marehem sheikh kilemile ktk uzungumzaji wake.

  • @MuhdharMuhammad-qv3zl

    Shukran Sana Sheikh Wetu Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera ALLAH Akuingize peponi kabla hujafa shukran sana

  • @2003hintay

    Masha Allah

  • @balkisamisi2131

    Asante sana sheikh wetuuuuu

  • @jimjam-xg7rv

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚💚

  • @Mariam99-ld4gw

    Mashall ah

  • @rushu1232

    Mashaallah Tabaraka Allah Mwenyeezi Mngu akufungulie kifua chako zaidi na zaidi uwe mwanachuoni wetu watwarika.

  • @hamisishirikisho2199

    Fatabaarakallah

  • @bagalucha

    Mimi suala langu kwa nini hawa masufi,matariqa,shadhilia na wengine,hujichanganya/hujifunika na kuongoza Imam Shafi radhiallahu anhu,suala ya kuwa kwa nini imaam Shafi hakulifanya hili la qunut ya alfajiri,na anasingiziwa kulifanya hili,hata la maulidi ambalo limekuja baada imam Shafi kufa na hajawahi yeye binafsi kulifanya,Inakuwaje masufi,tarikiya wao kulitilia Mkazo hilo,kwa kulifanyia ibada,lingine hawa masufi,matariqiya mbona hawafahamiki,kimadhehebu,kuna wakati baadhi ya maimamu wao ,jee kwa madhehebu Shafi,maulidi nabawiya yamo katika fiqh ya imam Shafi,je jamhuri ya ijmaa wanayakubali kuwa maulidi ni ibada,fiqh yake ipo wapi katika maimamu hawa wanne?naomba jibu la kielimu,lenye dalili kutoka kwa jamhuri ya ijmaa,

  • @hamisimkulu6571

    Asha umeuliza haswaa Ila kanuni ipo inathibitishwa na mamlaka ya ulipo somea nakunakitu unapewa cheti au tazkia

  • @ibrahimjumaa538

    Siasa tu, hoja bado zimesimama vilevile Hazija jibika mpaka leo..

  • @jujanreeves6925

    Masufi wao wanajua kheir kuliko Malaika Mitume Maswahaba Mataabiy Hata jambo ambalo Aimmah Arbaah(Shafi Malik Hambal Abuu Hanifa) hawalijui wao wanajua

  • @hamzamohamed4774

    Mziwanda mashaallah nilifurahi kukutana na ww dar magomenii... na nikakufahamu kua nimtu wapenda mzaha ajaaab...kwa wasio.kujua watakuona ni mtu mbinafsiii😅😅😅❤

  • @ashachitemo7816

    Kanuni ipi au kiwango gani cha elimu ya dini kinamfanya mtu aitwe sheikh na kiwango hicho cha elimu kinathibitishwa na nani au na mamlaka gani

  • @barzaqtradingcompany8541

    السؤال الخامس:

  • @makamekhamis871

    Maulid yanafaa hayafai?

  • @user-op8cd5tg5p

    Al hamdu lilahi mawahabi wanakhiana kweli ndugu mubadilike acheni wivu wa kijinga na maneno yenu ya kishenzi

  • @mohdkhatib223

    Huyu mpumbavu wa kisufi mziwanda itabidi ajibibiwe awekwe sawa, maana hawa masufi elimu zao ndogo sana

  • @suleymansalim5732

    Msijadil watu wenzenu wanajadili maneno kama sio sahihi hata uyaandike kwa wino wa dhahabu litabaki kua kosa tu Tunataka majibu wanyama waliongea⁉️⁉️⁉️⁉️