S. A.W REHMA NA AMAN ZIMFIKIYE JUU YAKE NA MASWAHABA ZAKE NA AAL ZAKE 🤲 YAA ALLAH NAOMBA UTUJALIYE TUKAWE KTK WALE WATAKAO KUWA KTK UOMBEZI WA MTUME MOHAMMAD S.A.W ❤❤❤
Allah Akbar..😭..nakuomba mola wangu mlezi mimi na umma wa kiislam utuzidishie mapenzi na hofu juu yako ya darja ya juu kabisa..ameen yarabii ameen..ameen Allahhumma ameen
Mashaa Allah masheikh zangu wote ila sheikh wardi umetumia busara kubwa ya maneno, alafu sheikh wangu mkubwa ninae mpenda sana kisiliza sheikhe othumani malim mungu akuweke na akupe mwosho mwema.
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mashekhe wetu, kinachonisikitisha kwamba miaka 10 ijayo kunavijana ambao wanafanya juhudi kuwa kama Hawa kweli, siju sisi vijana tukae chinitujiulize tunafanya jitihada Gani ? Kuwa kama ivi au zaidi ya Hawa?
ndio maana anatukanwa na mawahabi huyu shekh dah, kiboko kwa siasa hekima adabu umaridadi wakusoma yaani we acha tu. ALLAH atuhifadhie kipenzchetu amiin.
Mawahabi/Masalafi hawafunzwi Adabu,Nidham wala kuheshimu wasiokua WAO....hivyo Huwafanya ELIMU yao iwe Bure. Adabu ndio MSINGI wa Kila KITU. Sheikh Othman hata Akitukanwa Harudishi MATUSI Bali huzidi Kutabasam. Mola Kila Leo humpa Nuru ya Uso na Moyo. Maneno ya Miaka ya Zaman utadhani AMESEMA Leo. Maneno yako huzidi THAMAN Kila Zama.
Ndugu zangu ktk imani tupunguzeni ubahili umati ulokwepo hapo na movement ilonyanyuka kupeleka sadaka nitofauti.. Allah atuongoze tuwe na mapenzi na dini yetu na wepesi wakutoa sadaka wallah huu ni muswiba wenzetu upande wapili wanatusema sana tubadilikeni wallah tuwe wepesi ktk kutoa sadaka
Mlazimisha kuiangalia bidaa si mutuachie bidaa zetu au tumewaita mtuzike,tukifa sisi watu wa bidaa msije.Hata kuna wenzenu huwa hatuwausishi mama yetu(wananzengo) mnatusumbua
Allah akbar,sheikh walid umemkaribisha kwa kutumia kauli nzito sana na heshima kubwa masha Allah,,Allah awahifadhi nyote kw jumla tuzidi kunufaika .
Mashallh mashekhe wethu allh awazidishie kilalakher naafyanjema pamoja nafamiliazenu
Sheik athumani mungu akulipe akulinde na sote inshalla
Ma shaa allah huu ulikua usiku mzuri sana namuomba mwenyezi mungu atukutanishe peponi in shaa allah
Allah awalind shekh zetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dah nawaona masheikh kadhaa hapo wametangulia mbele ya haki, Allahuma Fiilahu Warhamhu Waaskunu Filjanna🙏🏽
S. A.W REHMA NA AMAN ZIMFIKIYE JUU YAKE NA MASWAHABA ZAKE NA AAL ZAKE 🤲 YAA ALLAH NAOMBA UTUJALIYE TUKAWE KTK WALE WATAKAO KUWA KTK UOMBEZI WA MTUME MOHAMMAD S.A.W ❤❤❤
😢😢😢 namuomba Allah atuhefadhi soteeee namashekhe zetu
Mashallah shekh athman allah akuhifadhi
Dah kitambo maalim sasa hivi kashazeeka Allah amuhifadhi sana sheikh wangu Othman maalim
Aamin yaarab tunamuombea dua sana sheikh wetu huyu 😊
Wala hajazeeka
Aliyezeeka babuyo tuachie maalim wetu. Ameen, allah atuhifadhie wazee wetu na mawazuoni wetu..
Mashhalllah hapa ni kile kipindi Nuru za wengi zilikuwa zimefichikana
Allah azid kuwaweka masheikh zetu maashaallh
Mashaallaah nampenda Sana walid na maalim
Ma shaa Allah sheikh walid na sheikh othman maalim Allah awahifadhi
Maasha Allah shekhe warid uso wako ndani ya Nuru mpaka umeonekana kijana m/mungu akupe umri mrefu wenye kheri amina
Maashaallh Allah awahifadh masheikh wetu
Allah Akbar..😭..nakuomba mola wangu mlezi mimi na umma wa kiislam utuzidishie mapenzi na hofu juu yako ya darja ya juu kabisa..ameen yarabii ameen..ameen Allahhumma ameen
Allah atakusimamia
Alhamndulilah,Allahwape umri mrefu viongoz wetuna sis ili kukuabudu vema wew Muumba wa mbingu na ardh na kumtakua kheri nyng mtume wetu (s.a.w)
Mashaa Allah masheikh zangu wote ila sheikh wardi umetumia busara kubwa ya maneno, alafu sheikh wangu mkubwa ninae mpenda sana kisiliza sheikhe othumani malim mungu akuweke na akupe mwosho mwema.
Hakika
Hakika
Maashallah mashekh zetu ALLAH awahifadhi tuendelee kupata faaida
Manshaallah Allah awahifadhi Mashekh zetu hawa na wengine natamani kuwaona pamoja tena na sasa hivi wakitoa dawaa
Allah akbar Allah awape maisha marefu mashekhe zetu inshallah
Masha ALLAH mwenyezi mungu awahifadhi masheikh wetu
MaashaAllah tuna soma kwenu sifa yaku ji dogosha.
Allah aku hifazini
Masha Allah mola awahifadhi ma sheikh wetu
ALLAH atuifadhi na masheik Othman na walid Ameen
Mashallah Allah atuhifadhi Duniani na Akhera
Tunaaapenda sana Allah atuweke pamoja na peponi pia inshaa Allah
❤❤❤ mashaallah shehe wLd tunawapeda
Ma shaallah Allah akulipe khery
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mashekhe wetu, kinachonisikitisha kwamba miaka 10 ijayo kunavijana ambao wanafanya juhudi kuwa kama Hawa kweli, siju sisi vijana tukae chinitujiulize tunafanya jitihada Gani ? Kuwa kama ivi au zaidi ya Hawa?
M/mungu awazidishie maarifa na kujitambua amina
Mashaallah hakika hawa ni miamba katika zamma zetu,Allah atuhifadhie.
Mashallah ❤❤❤
Hahaha Shekhe Walid hapa ulikuwa young 😅😅. Allah akuhifadhi Allahuma Amiin.
😂
Maa Shaa Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MashaAllahu 🎉🎉🎉🎉
Masha allah nawapenda wote kwa ajili ya allah
Mashallha ❤❤ may Allah protect you all amin amin
Jazakallah khayran
Mash Allah! Mash Allah! Allah (S.W) awahifadhi nyote
Ma sha Allah
Allah Allah
Allahuakbar
ndio maana anatukanwa na mawahabi huyu shekh dah, kiboko kwa siasa hekima adabu umaridadi wakusoma yaani we acha tu. ALLAH atuhifadhie kipenzchetu amiin.
Allahuma amiin
Mawahabi/Masalafi hawafunzwi Adabu,Nidham wala kuheshimu wasiokua WAO....hivyo Huwafanya ELIMU yao iwe Bure.
Adabu ndio MSINGI wa Kila KITU.
Sheikh Othman hata Akitukanwa Harudishi MATUSI Bali huzidi Kutabasam.
Mola Kila Leo humpa Nuru ya Uso na Moyo.
Maneno ya Miaka ya Zaman utadhani AMESEMA Leo.
Maneno yako huzidi THAMAN Kila Zama.
shekhe mungu akuhifadhi
mashaAllah
Maa shaa Allah❤
Masha'Allah, Allahu Akbar mwaka gani huu.....?
Allaah awalipe Kila Lilo la kher
Sheikh walid ALLAH akuhifadhi na macho ya walimwengu mashallah fasaha tupu
Maasha Allah.
Asalam mualykum warhamatullah wabarakat naombeni kujua maana ya jina la kilha ndugu zangu katika iman
maashAllah
Allahuma sali ala Muhamad wa ali Muhamad
❤
Nampenda sana shkh huyu wallah wa billah
Allah awaongezeee elimu mashekhe zatu
Allah awape tawfiq mtoke ktk bidaa
mungu awahifadhi mashehe zetu
Ameeeeen yaarabi
Mashallah
Mashaallah
Ndugu zangu ktk imani tupunguzeni ubahili umati ulokwepo hapo na movement ilonyanyuka kupeleka sadaka nitofauti.. Allah atuongoze tuwe na mapenzi na dini yetu na wepesi wakutoa sadaka wallah huu ni muswiba wenzetu upande wapili wanatusema sana tubadilikeni wallah tuwe wepesi ktk kutoa sadaka
mashallah
Mungu mkubwa
Namuomba Allah anijalie nikutane nae huyu shehe duniani na ahera
❤❤❤
Jmnn 😂😂Nimecheka apo kwenye ukulele jmn nikajua kapandisha mashetwani
Mlazimisha kuiangalia bidaa si mutuachie bidaa zetu au tumewaita mtuzike,tukifa sisi watu wa bidaa msije.Hata kuna wenzenu huwa hatuwausishi mama yetu(wananzengo) mnatusumbua
Shekhe letu
Maulidi ni UZUSHI
Jamani mi naona Jana au juzi
Sio shekhe waridi jina lake ni Walid
Ulikuwa mwaka Gani??
sh othman nataman niwe kama yeye
Usifuate jeneza la watu wa bidaa asema mtume
Zamani apo tokea shekh walid sharo
Mupo kwenye uzushi asio utambua mtume wala sio mbele ya hadhara yake
Saw honger we unaijua ghaib
ww.mwenye.umzushi.mana.hukumuona.mtume.tuacheni.na.bidaa.zetu.ww.nao.sumani.maalimu.nani.anajua.yy.msomi.ww.waijua.bidaa.ww.sokila.jambo.bidaa.kaa.usom.vinzuri.shida.mawa.habi.hawataki.kusoma.wanatak.kukosoa.tu
Ma shaa Allah sheikh walid na sheikh othman maalim Allah awahifadhi
Mashaallah tabaaraka laah
❤
Masha'Allah🙏