Amina Summa amina Shekhe Mziwanda. Hakika sio maneno yako pekee bali ni maneno aliyo ya pandikiza allah kwa kinywa chako, allah azidi kukuongoza uzidi kutupa maneno yaliyojaa mafunzo makubwa makubwa inshaallah.
Kweli kabisa Sheikh, kuna watu wanachukua nafasi katika uongozi wa Waislam kwa Maslahi yao binafsi na familia zao, si kwa maslahi ya Umma. WANAFUATA DEAL SIYO DINI. Allah azidi kukuongoza
Sheikh wngu hua twakufata ila kwann mas ala ikhtilafi kama talaka hua watoa mtazamo wako peke na uwambiii watu kua maulama wametofautiana huoni ww ndo wapoteza watu Maana shafii mwnyewe asema n moja wala sio tatu kwahio wa kwwnza kupoteza na imam shaafiii
Chumaaaaa Masha Allah m/mungu akuhifadhi tuzidi kuvuna meng kwako
Allahumma Amiin
Allah akufanyie wepesi na akupe nguvu tuzidi kukusikiliza zaidi
Mashalah mungu akuongoze shekhe na akupe umri mrefu 🙏🙏🕋
Masha Allah Allah amuhifadhi sheikh Muharamu na wote kwa ujumla naomba sheikh Muharamu na waalid waje Zanzibar
Allah akulipe khayr Shaikh Mziwanda..nakupenda saana kwa ajili ya Allah.Kutoka Bukoba
Wa Alaykum Salaam Warahmatullah Wabarakatuh. Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Jazzaka Allahu Kheir
Nae afaa sana huyu bwana mkubwa sheikh mziwanda. Masha Allah kheir yupo vizuri sana
Hatutaki mashekhe wa vijembe kama akina marehem Omar kopa
Mashaa allah nimekuelewa
MaashaAllah Allah akuifadhi shekhe mziwanda
Napenda sna kumsikiliza huyu sheikh kwanza haogopi mtu Wala Hana uchu wa cheo Yuko vizur sana
Assalam alykum
الله يعطيك العافية يا شيخنا
Allah awahifidhi mashekhe zetu
MashaAllah,Ukisema ni ukweli mtupu kwa sasa wapo wengi wenye kuuza dini kwa ajili ya Dunia
Maaasha Allah mwalim Allah akulinde
Amiin Ya Rabb
Mungu akuhifadhi hakika maneno kutu mwenye akili atajua kweli we mtu na ahidi nitakuja kukutembelea darsan kwako
Sema Inshallah
Amina Summa amina Shekhe Mziwanda. Hakika sio maneno yako pekee bali ni maneno aliyo ya pandikiza allah kwa kinywa chako, allah azidi kukuongoza uzidi kutupa maneno yaliyojaa mafunzo makubwa makubwa inshaallah.
mashaalah, kichwa cha maudhui hii nikubwa sana, nakubali sana sheikh
Upo vizuri sana sheh wangu.
مشالله تبارك الله
Muharam hayumbagi na elimu ipo na haendekezi njaa
Mungu atujaalie tuwe wenye kukumbushika
MashaAllah
Kiboko cha mashia Allah akuhifadh
Namkubali Sana hyu shekhe.na napenda kumsikiza.
mie nimkristo,lakini sheikh mziwanda najifunza meng,allah akupiganie ili uwe kiongoz mkubwa kiimani
Nasi tunakuombea kwa Allah uusome uislam na kuuelewa na uusome ukiristo na kuuelewa Kisha Allah akuongoze njia iliyo ya haqi uifuate Kwa rehma zake
Mkristo gani unamuamini Allah?
Mashaa allah mtu muungwana wewe mungu akubariki na kukuongoza katika mema
Umejifunza nn
@@ebenezerchurchsupremetv9490 Acha chuki wewr
Mh!"
Hizi sio tu cheche!
Hayo ni Mawe ila tu siomawe ila ni Mawe ya kheri na yametugusa sote kwa hakika
ALLAHU AKBAR
Mashaalah
MASHA ALLAH.
Kweli kabisa Sheikh, kuna watu wanachukua nafasi katika uongozi wa Waislam kwa Maslahi yao binafsi na familia zao, si kwa maslahi ya Umma. WANAFUATA DEAL SIYO DINI. Allah azidi kukuongoza
Mashaallah sheikh langu maneno mafupi mazito shukran
Nakupenda Sana she mzuwanda kwa ajili allah
Masha Allah
Ma sha allah
Maa shaa llah
Mashaallah
Kiujumla muharramu ni mtu mwenye msimamo sana.tujifunze jambo kwake.
Insha'Allah
Hasadi mbaya sana wallah
Mashallah
Mwamba ni huyu hapa # Alhabib sheikh Mziwanda
Al habib ????!!.. hakuna al habib mweusi
Huyu ni professor!!
nakumbuka khotba ya mzee jongo aliposema MNASEMA NIMEVUTA BHANGI?NDIYO NIMEVUTA BHANGI
Siku huyu mwamba akiwa muft mambo yatakuwa mazuuur
Hahaha vyeo ni zamana na humdirisha mtu dakika chache tu😀😀
Mwamba asie ogopa mtu huyu mashaallah
Kuna walio soma Cuba humu ujumbe huo Kuna kiongozi una mfikia simtaji
Mizwanda maneno yako 100 juu ya 100 ningeijua namba yako ningekutafuta unawapiga bila yawenyewe kujua
😄🤣😂😆😄
IYO WEWE UNATULETEA USHUZI LAKINI MWEZIO WALA HATA AKUFIKILIA KUMSEMA
Huyu mziwanda hafai kabisa Toka alivyozungumzia kuhusu alipokwenda lran ndio nikamuona hafai kuwa kiongozi Hana elim
Sheikh wngu hua twakufata ila kwann mas ala ikhtilafi kama talaka hua watoa mtazamo wako peke na uwambiii watu kua maulama wametofautiana huoni ww ndo wapoteza watu
Maana shafii mwnyewe asema n moja wala sio tatu kwahio wa kwwnza kupoteza na imam shaafiii
Kasoma wapi huyu
Mtihani
KWANI ULITAKA AWE YEYE NDIO WAMKOA?
Tungekua na mashekhe kama wewe watatu tu tz matatizo ya dini yangemalizika ila daah walio Baki wote wanajali matumbo yao wako tayali kuuza dini yao
WEWE BWANA MDOGO HUO NI UHUNI KWENYE MSIMAMO WENYE FAIDA
HUYU MTOTO AKIKUSIKIA UTALETA SHIDA
Mashallah mwenyezi mung mtukufu akupe umri na afya njema kwa namna tunavyo pata darsa
lkn unakitaka cheo cha shekh wa mkoa lkn vigezo
Alikwambia au dhana zako za kishetani tu?
Ww huyo kavuka level ya kuwa sheikh wa mkoa
@@habibakitutu8799 acha uwongo moto upo na unangojea watu kamanyie
@@mohdkhatib223 shetani utakua ww usiejielewa
@@mdoekibai5063 hajawahi kutaka umemchumia dhambi
Mashalah mungu akuongoze shekhe na akupe umri mrefu 🙏🙏🕋
Allahumma Amiin