HAYA NDIO MAKUBALIANO 4 | YAMWANAADAMU NA ALLAH | KABLA HUJALETWA DUNIANI |SHEIKH SHAFI SHOMAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ค. 2021
  • HAYA NDIO MAKUBALIANO 4 | YAMWANAADAMU NA ALLAH | KABLA HUJALETWA DUNIANI |SHEIKH SHAFI SHOMAR
    #Masjid_Mtoro_Online_Tv

ความคิดเห็น • 37

  • @omoromor4237
    @omoromor4237 ปีที่แล้ว

    Good

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah sheikh wetu shavu dodo

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 ปีที่แล้ว +1

    MA SHA ALLAH

  • @maliamhotimaliamhoti5302
    @maliamhotimaliamhoti5302 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuongoze wajawake,

  • @pekeetv
    @pekeetv 3 ปีที่แล้ว +2

    Amin

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 2 ปีที่แล้ว

    Ila mwinyi anasema uongo mungu anamuona watu wangapi zanzibar wanazulumiwa na yeye yupo anajuwa na kanyamaza ki.mya ila watakwenda kujibu mbele ya mungu

  • @omarnzeyi4776
    @omarnzeyi4776 3 ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh Sheikh samahani sijasikia vizuri hayo mambo 4 please

  • @allymatipa403
    @allymatipa403 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @bashiryusuf9670
    @bashiryusuf9670 3 ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu ndugu Ismail Hassan mbona sijakuelewa tafadhali fafanua vizuri tukuelewe

  • @shafiishomari2328
    @shafiishomari2328 3 ปีที่แล้ว

    Mh

  • @maimunashaban9538
    @maimunashaban9538 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu uwa ni muongo sana

    • @khuiii9032
      @khuiii9032 3 ปีที่แล้ว +2

      Uongo wake ni upii tupe faida na ss tumjuwee

    • @AbdulAbdul-pr9qe
      @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว +1

      Hebu wewe mkweli tupe darasa basi

    • @abdillaahirichardkasisi8691
      @abdillaahirichardkasisi8691 3 ปีที่แล้ว

      Kama mwongo Sawa

    • @Humble.....
      @Humble..... 3 ปีที่แล้ว +2

      Hakika ww ndo muongo mana ww umetajwa ktk Quran kuwa ni wale wanaozuia watu kwenda ktk njia ya Allah... Allah akusame na akuongoze... Amiin.... Muhimu badilika... Allah hajakusahau... pia usiache kutuombea na sisi....

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 3 ปีที่แล้ว

      Kuongea ili nawe uonekane umeongea km ni mwongo uliwahi kumfata??? Mbn unamsengenya huku huoni we ndo una hatare kubwa

  • @ismailhassan5662
    @ismailhassan5662 3 ปีที่แล้ว +1

    Ivi kwann hawa mashee wa bidaa hawasemi Allah wanasema mungu nawote wanafanana kwa mawaidha kuongea sana bila kusoma hadisi wala aya za quran wala sira za maswahaba wala hawaleti ushaid wa hadisi mh hawa sio wakuwasikiliza.

    • @AbdulAbdul-pr9qe
      @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว +4

      Toa na wewe mawaidha tukusikilize basi, sio unakosoa ukiwa chumbani kwako

    • @ismailhassan5662
      @ismailhassan5662 3 ปีที่แล้ว

      @@AbdulAbdul-pr9qe yaan kisheria ikoiv ukiona hatibu anatoa hutuba hasomi hadis za m.s.w, wala aya katika quran unatakiwa uswali dhuhur uondoke apo akuna ijumaa kafundisha m.s.w kwaiyo din sio siasa wala mikutano ya vijiji.

    • @omarysaidy5524
      @omarysaidy5524 3 ปีที่แล้ว +4

      Ismail Hassan@ we huoni kama hapo katoa Aya kwa kiswali au unataka atamke kwa kiarab kwa kwa kiswahili hazisomek au huelewi

    • @ismailhassan5662
      @ismailhassan5662 3 ปีที่แล้ว

      @@omarysaidy5524 we umejua ni aya kutoka suragan acheni kutetea bidaa.

    • @al-makhrouky4471
      @al-makhrouky4471 3 ปีที่แล้ว +4

      Acha chuki zako binafsi nimeisikiliza khutba kwa makini sheikh kataja aya zaid ya sita ,weye unaonesha ata aya za Quran huzijui ,kama hujui bora nyamaza

  • @maliamhotimaliamhoti5302
    @maliamhotimaliamhoti5302 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuongoze wajawake,