MZIWANDA: MASHIA SIO WENZETU ~ USHAHIDI HUU APA KASHFA NA MATUSI YAO KWA MASWAHABA IKIKUUMA VUMILIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 107

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah Mashaallah huyu ndio sheikh mkweli Allah Akuhifadhi sheikh mziwanda

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 ปีที่แล้ว +5

    Mtume mohammad amemuamrisha sayyidna ABU BAKR asalisha alipokuwa yuko nje ya madina

  • @abasadidal7
    @abasadidal7 ปีที่แล้ว +5

    ALLAH akulipe heri nyingi Sheikh Mziwanda kwa juhudi yako kubwa katika dini

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 ปีที่แล้ว +3

    Mh sheikh Jalali Mungu akuongoze ni tumbo tu hili

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 5 หลายเดือนก่อน

      Hili jalali ni kafirii

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 5 หลายเดือนก่อน

      Mashia ni makafiri

    • @AhmadWande
      @AhmadWande 4 หลายเดือนก่อน

      Kakosea wapi sheikh jalala

    • @allycomm1553
      @allycomm1553 2 หลายเดือนก่อน

      Jalala Laanatul llah

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      ​@@awadhally1052makafiri ndiyo wanao wasaidia wapalestina wakati nyie mmejificha

  • @abdallahomary9614
    @abdallahomary9614 9 วันที่ผ่านมา

    Tujitahidi kuwaombea Dua ndugu zetu huko Palestine ALLAH awajaale ushindi

  • @AsiaJuma-i6p
    @AsiaJuma-i6p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dah 😢😢 kwakweli ni hatari Hawa MASHIA ni Bora makafiri kuliko Hawa viumbe .... Tupe subra na mola wetu

  • @binnassorabdallah37
    @binnassorabdallah37 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe kher sheikh mziwanda kwa kukosoa hilo na mengine haafhiri hao waongo makafiri maadui ya Allah na mtume wake na maswahaba na waislam walio ktk haki tunasema shia co ktk cc.

  • @sameeraidd2109
    @sameeraidd2109 หลายเดือนก่อน

    Sheikh jalala Allah akulinde achana na wanaokubeza na kuita mashia makafiri. Acha wao wenye kutoa hukumu maana mawahabi wanajiona kama wao ndio watoa hukumu na wameshajiona kama wao ndio watu wa peponi. Wanakazi ya kuzusha uongo na kuficha ukweli.

  • @ajumaakange1483
    @ajumaakange1483 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allaah ♥️🙏 allaah akulinde unaakilikubwasana malim baki namsimamo uwo tuko nyumayako isha allaah

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 ปีที่แล้ว

    Ama kweli mashia sio kabisa hawa kweli ni washenzi wa Dunia sheikh mziwanda Allah Akuongoze inshaallah

  • @mwaramidihimbwa1682
    @mwaramidihimbwa1682 3 หลายเดือนก่อน

    Uyu ana laana uyu shiya. Laana iwe juu yako shiya laanatullah

  • @yahyarashid8038
    @yahyarashid8038 ปีที่แล้ว +4

    Sh mziwanda allah akulipe kheri

    • @ahmadnonela3215
      @ahmadnonela3215 ปีที่แล้ว

      Sheikhe mziwanda teteya hoja yako kielim nasiyo kushajaisha watu
      Kwani hayo hayapo ktk vitabu vya kisuni

    • @ahmadnonela3215
      @ahmadnonela3215 ปีที่แล้ว

      Sheikhe waeleze kweli waislam nanialitangaza kifo cha mtume baada ya sayduna OMARI kutangaza kuwa Atakaesema kuwa Amekufa shingo yake Ni halali kwa OMARI

    • @ahmadnonela3215
      @ahmadnonela3215 ปีที่แล้ว

      Hatupotezi Muda kwa maneno yako yasiyokuwa na hoja,
      Sasa hivi tunaulewa sheikhe

    • @abuubakarmuhsin219
      @abuubakarmuhsin219 ปีที่แล้ว

      أيدك الله بتأيده بهذه المعارك.
      Pambana tupo pamoja nawe.
      Na nyinyi mashekhe njaa jieleweni, munauza dini yenu kwa thamani chache ,jihadharini

    • @abdulazizmwipi9295
      @abdulazizmwipi9295 ปีที่แล้ว

      @@abuubakarmuhsin219 kabsq qkhy

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mna ambiwa mashia ni makafiri mnasema wenzenu kuwa mnakuwa ktk maulidi kazi kwenu lakini alhamdulillah kwa cc watu wasunna masheikh zetu muda tu wamelibainisha genge hili mpk vitabu vimetungwa kwaajili ya genge hili la makafiri

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 5 หลายเดือนก่อน

      Mashia ni makafiri

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@awadhally1052Mbona waislam wanasema Iran ni nchi ya kiislamu na leo mnasema siyo waislam inakuwaje maana Iran ni mashia

  • @Shogolamwendo1989
    @Shogolamwendo1989 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama hauja soma Nishida sana kila utakalo liona kwako nisawa mungu akulinde shekh jalala kusema ukweli

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 ปีที่แล้ว +5

    MASHIA NI MAKAFIRI.KAMA WANATAKA UISLAAM WAACHANE NA UKAFIRI WAO NA WATAMKE SHAHADA MBILI

  • @HassanAli-lt4xm
    @HassanAli-lt4xm ปีที่แล้ว +2

    Sheikh mziwanda usirudi nyuma hao wapotofu

  • @MohammadHamisi-i6z
    @MohammadHamisi-i6z หลายเดือนก่อน

    Huyo anayejiita nishekh wao , atueleze kwao kijijini mbona hatakiwi nikwann?

  • @MaalimShabani
    @MaalimShabani หลายเดือนก่อน

    Mziwanda acha hayo mambo bana

  • @noordinabdullah6507
    @noordinabdullah6507 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana

  • @abdulhalimahmed1576
    @abdulhalimahmed1576 ปีที่แล้ว

    Mashallah allah akupe umri mrefu

  • @Bilal70965
    @Bilal70965 ปีที่แล้ว +2

    BID’A. YA, MASHIA.
    Baadh: ya mashia kwa kweli, hawaizingatiy! Hii Qur'an.
    Tuta jiuliza haya; maombolezo ya kujidhuru na visu hadi kujitowa na damu eti kwa sababu ya kifo cha mjukuu wa Mtume (s.a.w) Hussein (r.a) Wame yatowa katika kitabu gani?
    Maana: katika Qur'an tumesha fundishwa namna ya kufanya pindi tunapo patwa na msiba au, kifo na mengineyo.
    Anasema! Allah: (sw) na wapashe habari njema (waislam) wanaosubiri. [kuchukua hatuwa yoyote]
    Ambao: uwapatapo msiba (wowote wawo); husema! Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake yeye tutarejea.
    [Sio kujidhuru na visu na kujitoa damu na kusema maneno yasio mpendeza Mola wetu. acheni hayo nyie, mtakosa barka za Allah: na rehma zake.
    [Uongofu Sahihi ni kusema tu, INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUN.]
    Hao, (ndio) juu yao zitakuwa baraka zitokazo kwa Mola wao na rehma, na (hao) ndio wenye kuongoka.
    [Qur’an-2:155/157]
    [Walio uwawa wema
    ni wengi tu jaman, kuna...]
    1-Habil. (r.a)
    2-Yahya. (a.s)
    3-Zakaria. (S.w)
    4-Ali. (r.a)
    5-Hassan. (r.a)
    Na kadhalika.
    [Bona hao hatuoni mnavyo jidunga visu na kujitowa damu kwa ajili yawo kwani wawo hawa kufia haki?
    Aaah! bana, achenu uzushi nyie.
    Anasema! Allah: (sw)
    Wala! Msiseme kuwa wale walio uwawa katika njia ya Mwenyezi Mungu ni wafu (laa hasha!) bali hao ni wahai lakini nyinyi hamtambui.
    [Qur’an-2:154]
    [Mnajidunga dunga tu visu vya bure na kujitowa damu za kinafiki.]

  • @SubaRajabu
    @SubaRajabu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mziwanda naye sikanyamazishwa sasaiv haongei tena kuhusu mashia

  • @AhmadWande
    @AhmadWande 4 หลายเดือนก่อน

    Ahlul bayti ndiyo kiigizi chetu ninyi mnaowapinga ahlul baytiiii kazi kwenu

  • @MirajiWaziri-hl2hc
    @MirajiWaziri-hl2hc หลายเดือนก่อน

    C waislam sijui tunafeliwapi jamani 2ache tafatizetu jamani! Nahiko ndo kinatushinda kuwasaidia wanzetu wagaza acheni hayo bana

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 ปีที่แล้ว +1

    Pesa za IRAN yafanya kazi

    • @AkhyAnwar
      @AkhyAnwar 4 หลายเดือนก่อน

      Pesa za Iran mshamba kweli wewe Tanzania yenyewe wanatusaidia ukiachana na dini

  • @othmanhemed3229
    @othmanhemed3229 หลายเดือนก่อน

    Muulizeni shekh Mziwanda nini maana ya uadilifu? Ikiwa maswahaba wote ni waadilifu ni nani aliye muua mjukuu wa Mtume? Ikiwa maswahaba wote ni waadilifu vita ya Jamal vilipiganwa na watu gani? Shekh atueleze.

  • @RahmaMkufya-n3p
    @RahmaMkufya-n3p 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh. Amin hujandika hoja kbsa kwasababu unasema. Maswahaba walikosea htuna hki ya kusema hayo mambo sasa swali n je zile simulizi kwenye kuran kuhs uma za nyuma unazchkuliaje kwann wao hawakumzka mtume na wamefanya mengi amby hata ww mtt wak akifanya utalaumu sana mf mtt wak hkumzka mama ak mzaz ww utamfanyje jmn tfkilie mbna wtupelek kam magar mabvu

  • @YasamAmani
    @YasamAmani 2 หลายเดือนก่อน

    Shetani mziwanda anakoroga umma nakuficha ukweli

  • @Shogolamwendo1989
    @Shogolamwendo1989 2 หลายเดือนก่อน

    Tukubali kuwa ukweli unauma❤

  • @yohanaantony5774
    @yohanaantony5774 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hay nae mbona haelewek si alsema tofaut zetu cyo shida kwmb mtu wa maulid,mashia,watu wa Sunnah wote ni wamoja ambpo sis tulipinga Hilo kwmb haiwezkan watu wachanganye batri na bidaa hlf tuwe wamoja hiyo haiwezkan Hawa siyo wenzetu na hat wapenda maulid pia cyo wenzetu mziwanda jitafakar usiwe Kam nyoka mwnye vichwa viwil

    • @FeisalDoctor-wr8ws
      @FeisalDoctor-wr8ws หลายเดือนก่อน

      Ww ndug yang uislam hay makundi hautaki kabisaa wew anza kujirekebisha wewe muislam wa kweli qur an imeshamueleza hao wanaojiita mashia ni kelele tu na usanii na wewe pia usitafte kundi ukafuat lolote lile ni fitna katika uislam ukijiit salafi sunni cijui wahabi haikusaidii chochote mbele y allah na pia katwambia tusiigawe din yake katika madheheb vip umesahau

  • @abdullahimukaria1608
    @abdullahimukaria1608 ปีที่แล้ว

    Nakukubali kumbe wafahamu hakuna asiyekosea

  • @AkhyAnwar
    @AkhyAnwar 7 หลายเดือนก่อน

    Khamsatul kisaa mbona manaomba mungu awasamehe kupitia hao au hawapo akina Ali, hassan,.....

  • @IbrahimNtirenganya
    @IbrahimNtirenganya 4 หลายเดือนก่อน

    Nasaha : Fanyeni kikao Chawanachuoni Kisha muwape Elimu nampambane nawao Kisha mtao zogo itakwisha InshaAllah

  • @YasamAmani
    @YasamAmani 2 หลายเดือนก่อน

    Huwezi kuwapenda watu wanyumbani kwamtume nakuwapenda maduwiwao njia nimoja tu

  • @AhmadWande
    @AhmadWande 4 หลายเดือนก่อน

    Mziwanda unajitambua kweli unajua thaman ya ahlul bayti

  • @MohammadHamisi-i6z
    @MohammadHamisi-i6z หลายเดือนก่อน

    Wameekwa na pesa tu , wanafuata pesa tu. Dini ya mashetani hiyo.

  • @issaminja6272
    @issaminja6272 2 หลายเดือนก่อน

    Alichosema sheikh wakishia je ni sahihi mtume hakuzikwa na maswahaba zake wakubwa? Nipe dalili juu yahilo

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 2 หลายเดือนก่อน

    Kama hawa kuwepo kweli walikufuru

  • @othmanhemed3229
    @othmanhemed3229 หลายเดือนก่อน

    Kuhusu ukafiri wa Mashia, Jibu ni kwamba Hakuna Kafiri anaye ruhusiwa kwenda Hijja. Tumieni hoja acheni porojo za kuzungumza bila ushahidi.

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 7 หลายเดือนก่อน

    Hajamtaja sahaba kuwa wanamwabudu mtume kutokana na miujiza na utukufu wa mtume muhammad saw kutokana kuwa na elimu ndogo wapo wanaweza kumtukuza mtume wacha hapo zamani hiv sasa bac wako wale wasiokuwa na upeo mtu atowe tu miujiza bas wanamwabudu ,mfano mwengine nabii issa anaitwaje ? Shia anaelimu

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 2 หลายเดือนก่อน

    Alisema kweli acha ushamba mi sio mshia ila Kama kasema kweli ,jibu hoja walikua wap na walikua wanafanya nn

  • @selemanmstafa9251
    @selemanmstafa9251 6 หลายเดือนก่อน

    Huu ni msiba mtu unaweza jambo la msingi lakini jinsi unavyoelezezea ni kama ngonjera au Kuabudu na kucheza

  • @othmanhemed3229
    @othmanhemed3229 หลายเดือนก่อน

    Sasa haya yanamsaidia nini? Mbona anagombanisha umma huyu shekh Mziwanda. Kwani ni uongo kwani walikuepo? Sasa ikiwa Mtume kafariki na wao walikuwa wapi?

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 2 หลายเดือนก่อน

    Acha ushamba Kama kuna usaliti tusijadili mpuuzi mpiga porojo pasina hoja

  • @SaidiHamisi-d7v
    @SaidiHamisi-d7v 5 หลายเดือนก่อน

    Shekh mziwanda unaenda tofauti, hapo ungekanusha tu kauli ya shekh aliesema, abubakari, omari na othman hawakuosha wala kuuvika Sanda wala kuuzika mwili wa mtume kwa kua hwakuepo, bas ungekanusha useme walikuepo na waliyafanya hayo kwa dalili hizi!! Sasa Wewe unasema wanavunjiwa heshima, yaani kusemwa hvo ni kuvunjiwa heshima?mbona umaacha kichosemwa unaeleza lingine?

  • @Amna-v8z
    @Amna-v8z 2 หลายเดือนก่อน

    Makosa sana kusema hivo watu wahafilika kwajili yamaslahi yaduniy mungu atusamehe Jamil Islamic ameen yaraab

  • @ahmedrageahmedrage9134
    @ahmedrageahmedrage9134 ปีที่แล้ว +3

    Mashia wapumbavu wajinga wote ni makafiri... Sijui Huwa wanatiwaaa

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa Mashia wasipo geuka wakabaki kama walivyo, bila shaka siku hiyo umul haswi, ( siku ya kukusanywa) watasujudu MITONI.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani waislam kwakutoa hukumu hamjambo

    • @ismailsoud3634
      @ismailsoud3634 4 หลายเดือนก่อน

      @@FridayMwassa Sio nasema mimi, ni maandiko,. Mwenyzi Mungu ameweka taratibu zake.

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 11 หลายเดือนก่อน

    Masunni tunafichaficha sana mambo

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky หลายเดือนก่อน

    Acha kua na tqbia ya kutumia qiyaas

  • @issamakau5841
    @issamakau5841 ปีที่แล้ว

    Siku zote uongo ndio ukweli pekee unaobakia na kutumika endapo ukweli umekataliwa au kuachwa......Lengo la Sheikh ni kufikisha historia ya maswahaba iliyofichwa baina ya umma........Sheikh acha kuongea maneno matupu ya kusambaza chuki bali tupe hekima ya kufuata....

  • @AkhyAnwar
    @AkhyAnwar 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye riwaya inayosema kuwa maswahaba hao wakubwa walishiriki mazishi ya mtume s.a.w.w anitafute nina zawadi yake asiwaokote huyo mziwanda

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 5 หลายเดือนก่อน

      Mashia ni makafiri

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 4 หลายเดือนก่อน

      Katika uislaam mazishi kifaya km wapo wataowakilisha Haina ulazima WA watu wote wawepo non sense ata familia za watoto nane hamuwezi kushiriki nyote kwenye msiba ata WA wazazi wenu km ni watafutaji km wapemba na wachaga,maisha sio mazishi tu Bado Kuna shughuli zinatakiwa kuendelea halkadhalika hivyohivyo labda unaweza kutwambia hawakuwepo kwenye masishi ya mtume unajuwa walikuwa wapi na wanafanya nn shekhe ww mbona jahilia na sio sifa ya muumini?

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 4 หลายเดือนก่อน

      Fardhi kifaya

    • @AkhyAnwar
      @AkhyAnwar 4 หลายเดือนก่อน

      @@MaryamIssa-y7v unauliza walienda wapi kama umesoma historia unajua maana ya Saqifa

  • @AhmadWande
    @AhmadWande 4 หลายเดือนก่อน

    Toa hoja je abubakar alimswalia mtume alipokufa????alimzika mtume alipokufa ????ujibu vizuri kama kukosea wamekosea lazma ukweli usemeke

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +4

    Mashia ni dhidi ya makafiki Allah atustiri kwakwel 😭

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 ปีที่แล้ว

    Hakuna haja ya kujadiliana nao , mashia ndio walimuuwa sayyid ALI na wao ndio walimuuwa sayyidna alhussain

  • @hassandilla-ig9jf
    @hassandilla-ig9jf ปีที่แล้ว

    hawa mashia hawa tutatangaliana siku moja

  • @emmanuelywilibert2198
    @emmanuelywilibert2198 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu shekhe wakishia nimcba mkubwa

  • @binnassorabdallah37
    @binnassorabdallah37 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe jalala km utakufa na haki hiyo ya kuwatusi Maswahaba kazi unayo wewe ni muongo njaa tu inakupa tabu basi hutoshiba ila Jahannam kama hutoacha.

  • @yassinmohamed-pp3pq
    @yassinmohamed-pp3pq 6 หลายเดือนก่อน

    Atake mtukana muislam mwenzie nikafiri hana akili kwaiyo kumtukana swahaba unatoka kwenye uislam

  • @IDRISMKWlNDA
    @IDRISMKWlNDA 7 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo maana ya kuamini Hadith kuacha QUR AAN mutagombana kweli

  • @AkhyAnwar
    @AkhyAnwar 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona siku hizi hamuwataji kama wazee wenu walikuwa wanawataja hassan na hussein na ni vijana wa peponi shekh mziwanda pepo unaitaka kweli?

  • @bilalikaoneka5080
    @bilalikaoneka5080 ปีที่แล้ว +1

    Je maswahaba wao wenyewe alikuwa wanajua kama wao ni waadilifu???
    Sasa mbona waliuwana wenyewe kwa wenyewe na wao wote ni waadilifu. na mtume alisema kupgna waislamu kwa waislamu ni ukafiri
    Tusiwajadili maswahaba una.maana gan... yan tusiseme hapa kakosea.. hapa muawiya alikosea kumpiga aliyy na alimdhulumu aliyy.. tusiseme hvyo??
    Au tusifundishe tarekh ya uislamu???

    • @nasserm.nasser5087
      @nasserm.nasser5087 ปีที่แล้ว

      Allah anawaamrisha waislamu kwanza kuomba maghfira kwa makosa yao na kuwaombea maswahaba maghfira. Na anakuamrisha usiweke chuki juu yao ( surat hashr aya ya 10)
      Lakini asiyekuwa muislamu hawaombei maswahaba maghfira na huwawekea chuki maswahaba

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 7 หลายเดือนก่อน

    Twaiby shekhe bainisha hakki waislamu wanafichwa xana kuhusu hawa watu, mtu akisema uambulia matusi makubwa wahabbi huyo ila Allah ni shahidi wa haya kuwatukana matusi watu wanao watahadharisha na hawa jamaa

  • @SalumMzee-mu7zt
    @SalumMzee-mu7zt 7 หลายเดือนก่อน

    Unatafuta ugali kaka yng hakuna shia mweusi kuna moto ndugu yng

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 7 หลายเดือนก่อน

    Shia anaelimu anakariri kuongea vile hajakosea kweli anaemwabudu muhammad bas amefariki ila anaemwabudu allah allah yupo

  • @selemanmstafa9251
    @selemanmstafa9251 6 หลายเดือนก่อน

    Sisemi Kwa ubaya ila kupitia khutba zako mbalimbali na makongamano wewe hapana hata kama ghuraan sijui. Ila Kuna usemi usemao hata kama kusoma hujui hata picha? Mungu ametupa akili hivyo. Ni muhim kutumia akili Kwa kile unachotuambia

  • @AkhyAnwar
    @AkhyAnwar 7 หลายเดือนก่อน

    Ni wakubwa hao maswahaba lakini walimkimbia mtume s.a.w.w akiwa kalala kitandani,acha zako wewe kuwasoma na kuwajua mienendo yao ni muhimu zaidi ili tujifunze pia mjue kitu kimoja mtume alisema "mimi ni jiji la elimu na Ali ndio mlango wake wake"kwahiyo kama elimu yako umeichukua tofauti na hapo kazi unayo

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 6 หลายเดือนก่อน

      Kumbe ww ni kafiri

    • @AkhyAnwar
      @AkhyAnwar 6 หลายเดือนก่อน

      @@wazirihamisi6484 unamjua kafiri

  • @rahmaMohamed-op9mk
    @rahmaMohamed-op9mk ปีที่แล้ว

    Elimu,hana,huyu,aujui,wislam

  • @yasiniselemani3917
    @yasiniselemani3917 ปีที่แล้ว

    Wekeni mjadala hili jambo mitandaoni linatosha

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 6 หลายเดือนก่อน

    Nyie nguruwe wa kishia, watu waliosha bashiriwa pepo na Allah muumba wa kila kitu je nyinyi ndo kama akina nani muwa tukane na kuwa laani? Mbwa kabisa nyie hamfai hamuna akili na huyo mbwa wenu jalala... Jitu lenyewe laitwa jalala

  • @adnaankhanbhai7057
    @adnaankhanbhai7057 6 หลายเดือนก่อน

    We nguruwe mkubwa jalala kwa sura tu ni munafik mkubwa sana mbwa we

  • @binnassorabdallah37
    @binnassorabdallah37 6 หลายเดือนก่อน

    Muongo wewe hawajamtelekeza wewe ni moungo sio kua hujui malengo ya meneno ya swahaba unajua ila unapewa tonge unauza akhera yako kwa dunia .

  • @bilalikaoneka5080
    @bilalikaoneka5080 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mziwandwa ni mmoja kati ya wajing

  • @jafarshossy5830
    @jafarshossy5830 ปีที่แล้ว

    Wewe hujuwi chochote mt

    • @iddymaimbi9526
      @iddymaimbi9526 ปีที่แล้ว

      Wewe nd hujui

    • @mbanomrage604
      @mbanomrage604 ปีที่แล้ว +1

      Ww ndio hujui chochote Kaen na ushia wenubmakafir wakubwa njie

  • @KAIPAAA3211
    @KAIPAAA3211 9 หลายเดือนก่อน

    Zote hizo hadis za uongo wajinga nyie nyote upumbavu t, kira mtu anaandika hadis zake anasema Mtume mtume mtumee uongo tupu ujinga

  • @jafarshossy5830
    @jafarshossy5830 ปีที่แล้ว +1

    Wataja upuuzi mziwanda hujuwi chochote

    • @samxx411
      @samxx411 ปีที่แล้ว +1

      Wewe unajuwa lkn mashia mnabaki kuwa ni makafiri huo ndio ukweli

    • @hamisjangala6759
      @hamisjangala6759 ปีที่แล้ว

      Makafari yanapata moto.

    • @MohammadHamisi-i6z
      @MohammadHamisi-i6z หลายเดือนก่อน

      Mashia, siwaislamu .

    • @MohammadHamisi-i6z
      @MohammadHamisi-i6z หลายเดือนก่อน

      Huyo Shekh wao kwao hatakiw

  • @MohammadHamisi-i6z
    @MohammadHamisi-i6z หลายเดือนก่อน

    Huyo anayejiita nishekh wao , atueleze kwao kijijini mbona hatakiwi nikwann?