MASHEIKH WA BAKWATA WANAWASAPOTI MASHIA TANZANIA sheikh Mohammed Issa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @abdulrashidjuma8229
    @abdulrashidjuma8229 ปีที่แล้ว +3

    Allaahu akuzidishie kheir nyingi sheikh Mohammed Kwa kusema kweli

  • @mams1892
    @mams1892 ปีที่แล้ว +2

    Innalillahi wainnaillahi Rajionn Allah atustiri na vizazi vyetu amin ya Rabb

  • @HassanAhmedAbdallah
    @HassanAhmedAbdallah 3 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi na akufanyie wepesi wa kuingia jannah kama unavyo ifanyia haki wepesi wa kufahamika

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +1

    KWELI MASHIA ARUSHA WAMEANZA KUONYESHA MAKUCHA YAO KUPAMBANA NA AHLUSUNNAH WALJAMAA!!

  • @HamijeyHamijey
    @HamijeyHamijey 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh umewaambia ukwer hela ndio inamkoroga amemsahau allah

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umefeli sanaa

  • @SherallyHussein-tu1nk
    @SherallyHussein-tu1nk 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie mpingao maelezo hayo ya Sh. Muhammad Issa, katika watetezi wa Mashiia au Mashiia wenyewe, Cha kufanya ni KULETA HOJA DHIDI YA KAULI YAKE. SI kubwabwaja TU. :- Qul haaatuuu burhaanakum inkuntum Saadiqiin.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +4

    BAKWATA ILIUNDWA KUUSAMBARATISHA UISILAM TANZANIA !!
    LEO WAMEUZA NYUMBA NA PLOT ZA WAKFU ZA WAISLAMU!!

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Nenda mahakamani

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 ปีที่แล้ว

    Jazaka llaah kheira

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akuongoze ktk sunna

  • @Sobo740
    @Sobo740 10 วันที่ผ่านมา

    Mohamed isaa

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe shiba ukalale

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน +1

    mpaka mseme mashia ni bora kuliko waisilam wengine , hampambani na mambo mengine kila siku mashia na mashia wana elimu ya kutosha ila ninyi hamna elimu yoyote

  • @user-gp1rj2hp2u
    @user-gp1rj2hp2u 2 หลายเดือนก่อน

    Hadi huruma watoa comment umu wengi munaonekna ni mashiaaa....badilikeni.

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน +1

    mashia ndio wakweli masuni waongo sana

  • @user-gp1rj2hp2u
    @user-gp1rj2hp2u 2 หลายเดือนก่อน

    Yani kweli watu wanawatukana maswahaba munafurai ALLAHU atatuadhibu siku ya kiamaaaa

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe Kuna wakati mashia wanakuwa siyo waislam na wakati mwingine ni waislam,nasema haya baada ya kuwaona waislam wengi wakiwasapoti Iran kwamba ni waislam wenzao lakini mijadala kama hii mnawakataa kwamba siyo waislam

  • @Kekulebenzene
    @Kekulebenzene 5 หลายเดือนก่อน +2

    Unakuta kuna mtu ana akili zake timamu anawafuata na kuwasikiliza masheikh wa BAKWATA

    • @Kekulebenzene
      @Kekulebenzene 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kama hawaogopi kuwasapoti mashia, wataogopa kuwaongopea waislamu?
      BAKWATA ni sehemu ya kupiga pesa tu

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Kekulebenzenebaarakallahu fiyka

  • @AbasHabimana
    @AbasHabimana 23 วันที่ผ่านมา

    Maneno ya hekma mwenye kutaka kuelewa ataelewa uko sahihi kabisa

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata sisi tulizaliwa tu tulikua hatujui uwahabi

  • @rajabuhashimu-bv8qt
    @rajabuhashimu-bv8qt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna ulicho ongea ni kupiga kelele tu ongea kwa dalili acha kutupigia kelele

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน

    😀😃😄😁😆🤣😂 shekh anajiwekea kinga ya usalama kwa kuielezea answari inavyofanya kazi zake nchini

  • @HabibuMudhwahir
    @HabibuMudhwahir 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe rudi darasani ukasome hekima huna elimu yadini

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 ปีที่แล้ว +3

    BAKWATA WAPATA PESA KWA MASHIA NJAA ZIMEWAWEKA MOYONI BUSTARDS

    • @saidkitula4982
      @saidkitula4982 ปีที่แล้ว

      Mashia hawana sifa ya uislaam hata

  • @dauddavid6837
    @dauddavid6837 3 หลายเดือนก่อน

    Yani huyu anavyoongea anaonesha wazi kwamba hana alijualo kuhusu mashia bali nikuropoka tu

  • @Sh_Taqee
    @Sh_Taqee 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni Mzuri kwa kupiga kelele na ni Jahili.

  • @sameeraidd2109
    @sameeraidd2109 3 วันที่ผ่านมา

    Pelekeni ujinga huko shehe zima unaongea utadhani una elimu na hshia. Eti wanamuabudu husein. Acha kupotosha watu kwaajili ya chuki. Usisambaze uongo shehe mzima utakuja kujibu mbele ya mungu. Acheni chuki nyie mawahabi maana mnajiona kama nyie ndio mtaingia peponi kwa kuona wenzenu makafiri.

  • @dauddavid6837
    @dauddavid6837 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee muongo nyie mawahabi na salafy sindo mmenza kuwatenga wenzenu mkawaita watu wabidaa na makhuraf leo wasema mlikua pamoja mzee acha uongo

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน

    hamna shekh hapa sasa hivi anawasifu nyerere na madiba wakati alinza kumponda ayatollah khomeini kwa kupinga umagharibi na kusimamisha dola ya kiisilam ya iran , hamna akili hapa bali ni hasira

  • @hassanmsangi4149
    @hassanmsangi4149 4 หลายเดือนก่อน

    elimu ndogo haongei kwa kutoka kwenye kitabu cha hadith wala quran bali apapatika toa hoja ya kidini sio kuongea usichokijua . kazi ni kuponda hamna lolote

  • @AL-WAARITHUUNTZtv
    @AL-WAARITHUUNTZtv 8 หลายเดือนก่อน

    Wee mzee wewe hapo unawapaka mafuta .au jamaii gani kwani hiyo jamii mashia hawao we tengeneza nchi yako uhamie

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiingia mtandaoni Mawahabi utadhani nchi nzima wamejaa wao ila uhalisia uwahabi wachache sana.
    Mawahabi wazee wa Mtandao