RAADI KWA MUHARRAM MZIWANDA || JE WATU WA MAULIDI WATAENDA MOTONI || Muhammad Bachu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ค. 2024
  • เกม

ความคิดเห็น • 457

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wallaahi napata raha sana Shekh Muhammad unapo fanya raddi kwa wazushi, kwa sbb wewe hukurupuki tu kama wanavyo kurupuka wao, wewe ni mtafiti na mpekuzi na mfatiliaji makini kwenye mambo ya kielimu kabla huja ongea.
    Maashaa Allaah.

  • @rahilaabdulrazzak9951
    @rahilaabdulrazzak9951 2 หลายเดือนก่อน +9

    Natumai Sheikh Mziwanda atakuwa amekufahamu vyema na wale wengine wote waliokuwa wakifata msimamo wake kwa kuburuzwa, watakuwa wameelimika na kuifahamu hoja hii na wataweza kuieneza na kuitetea kwa nuru yake Allah Subhaanahu wa Taala. Allah akuzidishie elimu, maarifa na nguvu za kuupeleka mbele Uislamu.

  • @othmanhaji862
    @othmanhaji862 2 หลายเดือนก่อน +11

    Shukran Sheikh wetu Mungu akupe umri wa Barka

  • @Bombwejr18
    @Bombwejr18 2 หลายเดือนก่อน +17

    @Muhammad Nassor bachu kama Utaona ujumbe huu Al Akhy sheikh wangu Naomba utoe darasa kuhusu Ibada ya swala na ilivothibiti swala zetu mtihani sheikh naomba Utuandalie darasa la kujua mambo ya swala na dhikir zake mpka swala inaisha Darasa ya swala sheikh allah akuhifadhi sheikh atuhifadhi na sisi piah 🙏🤲🤲

    • @aminahassani-jh5rp
      @aminahassani-jh5rp หลายเดือนก่อน

      Swala pia inakushinda loh

    • @Bombwejr18
      @Bombwejr18 หลายเดือนก่อน +1

      @@aminahassani-jh5rp tunahitaji faida kila mtu na upungufu wake ww ukijua mshukuru Allah amekupa tawfiq yakufahamu swala

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jazaaka llaahu kheir sheikh,Kwa HAKIKA tumekuelewa sana Kwa darsa LAKO,NAAMINI HATA watu wa BID'AA wameelewa ila Kwa SABABU WANAFANYA Dini kama sehemu Yao ya KUTEKELEZA MASILAHI YAO ya KIMAISHA watazidi kupinga tu

  • @user-fm1ys1rt7w
    @user-fm1ys1rt7w 2 หลายเดือนก่อน +9

    MaashaAllah tabarakallah nakupata mubashara kutoka Lusaka Zambia ❤

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maa shaa Allah baarakallahu fiyka yani bachu Allah akuthibitishe ktk haq na aendelee kukuongoza ktk sunna

  • @binhussein4411
    @binhussein4411 2 หลายเดือนก่อน +6

    Allah akuekee katika mizan ya hasanaat yako...cc tullabu ilmin twanufaika sanaa na kufunza wengine

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 2 หลายเดือนก่อน +14

    ALLAHU akupe umri mrefu nanguvu yakuendelea kutu elimisha

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 2 หลายเดือนก่อน +8

    M Mungu akuhifadhi Sheikh Muhammad Bachu,kwa hakika unaelimisha vizuri sana sana,tena kwa lugha fasaha yenye kueleweka.M Mungu azidi kukupandisha darja wa darja

  • @khadijahwanjiku
    @khadijahwanjiku 2 หลายเดือนก่อน +10

    Sheikh wangu kipenzi Allahamdullilah Allah akupee umri wakutuelimisha, Allahamdullilah

  • @user-yu9gy6dg3g
    @user-yu9gy6dg3g 2 หลายเดือนก่อน +10

    Barakallah unajua sana abu muhaddith yani kwa furaha hadi nimeshindwa kujizuia kukoment kwakweli hongera ibnu bachu.

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 2 หลายเดือนก่อน +10

    Tunatumia dalili na hadithi sio akili shukran sana sheikh wetu

  • @AbdulkareemNyongoro
    @AbdulkareemNyongoro 2 หลายเดือนก่อน +9

    Shukran sana kijana mwenzetu allah anipe nawe ujuzi zaid katka dini hii

  • @Hassanihaji-uf9nb
    @Hassanihaji-uf9nb 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akuhifadhi shekh kwa ilmu unayotupa

  • @mohamadmaulidngava1510
    @mohamadmaulidngava1510 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mashaalwaa Shekh wangu nakupenda sana kwaajili ya Allhwa

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 2 หลายเดือนก่อน +25

    Kila nikituza masikio naona ndio nakuelewa zaid. Allah akulind Muhammad bachu. nimekuelewa vizur

    • @shadhilmakame
      @shadhilmakame 2 หลายเดือนก่อน

      Ndo unasema nini

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 2 หลายเดือนก่อน

      na wewe una uliza nini ambacho hujaelewa?😂😂😂
      huu wa leo ni mwiba mkali sana umewachoma MAKHURAFI NA WATU WA MAULIDI😂😂😂 "eti unasema nini" 😅😅​@@shadhilmakame

    • @imamushafiiforgoodislamict5420
      @imamushafiiforgoodislamict5420 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa uelewa wako na kiwango cha elimu yako utaona unamuelewa ila sisi wengine tunamshukuru allah tunaweza kumjua anaepiga kelele na anaeongea kwa kiwango

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@imamushafiiforgoodislamict5420mfumo haumo ndugu

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp 2 หลายเดือนก่อน

      @@imamushafiiforgoodislamict5420 vizul pia usiache kumuomba mungu akonyeshe njia sasa hii ya kumuabudu yeye.. Useje ukafika mbele ya m/mungu hiyo elmu yako na ibada zako zikawa vumbe tu...

  • @QeysMaxamed-kp4fh
    @QeysMaxamed-kp4fh 2 หลายเดือนก่อน +6

    Allah Akuhifadhi Sheikh Muhammad/Tunaomba ile Darsa ya tawhiid Iyendelee Tunaisubiri Kwa Hamu

  • @YassanYussuf-em3lu
    @YassanYussuf-em3lu 2 หลายเดือนก่อน +4

    Bachu tusibabaishwe na watu bidaa Sunna ndio hiii hamna kurudi nyuma ila qiyami saa inshallah

    • @AhmedMohamed-mw3ev
      @AhmedMohamed-mw3ev 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallah Muhammad tupe elimu mdogo wangu Allah atakulipa kheri

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 2 หลายเดือนก่อน +6

    جزاك الله خيرا يا غالي ❤❤❤❤

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 2 หลายเดือนก่อน +8

    JAZAAKA LLAAHU KHEIR SHEKH,ALLAH AKUZIDISHIE KILA LA KHERI, NGUVU NA SUBRA UZIDI KUWAPA RADDI HAWA WATU WA BID'AA NA UZUSHI WAO

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe unamuona Bachu ni mdogo kwa umri ,lakini elimu haiangalii udogo wa umri wala ukubwa , inategemea zaidi uwezo wako wa kuzingatia mambo katika kufundishwa na upeo wa ufahamu Mungu aliokunalia.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tunamuomba Allaah akuweke, na akupe nguvu ya kupambana na wazushi, na ainyanyuwe hadhi yako na jina lako duniani na akhera

  • @AlIrshaad-j
    @AlIrshaad-j 2 หลายเดือนก่อน +4

    Allah akuhifadhi Muhammad bachu Nkupenda kwaajili ya Allah

  • @idisaidi287
    @idisaidi287 2 หลายเดือนก่อน +7

    ALLAH akuhifadhi Sheikh Muhammad bachu

  • @abdullahimohamudosman3695
    @abdullahimohamudosman3695 2 หลายเดือนก่อน +9

    Maa shaa Allah sheikh Bachu Allah akubariki, mimi ni shabiki wako wa kindakindaki.

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 หลายเดือนก่อน +1

      So shabiki DINI sio mpira sawa brooo "Huyo ni mwalimu wetu" sema "ww ni mwalimu wetu mzuri" Au "mm ni mwanafunzi wako namba moja" Au vyovyote vile ila usitumie shabiki
      asante safi sana mtu wa mwenendo kama wakwangu,, thanks🎉🎉🎉

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 หลายเดือนก่อน

      Naomba MASHABIKI mniulizi kwa mwalimu wenu. Adhana ya kwanza ya swala ya ijumaa sio amri ya ALLAH SW wala hakusema Mtume saw. JEE SIO KHERI KWETU WALA IBADA KWASABABU MTUME SAW ALIIWACHA HAKUTUFUNZA AU MWENYEZI MUNGU SW NA MTUME WAKE HAWAKUKUMBUKA HILI MAANA ZAMA ZA MTUME SAW HAIKUWEPO?. NAOMBA JAWABU SIO MANONGWA

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 2 หลายเดือนก่อน

      ​​@@hilalalhabsi2047
      MTUME ﷺ ANASEMA LAZIMIANENI NA SUNNA YANGU NA SUNNA ZA MAKHALIFA WAONGOFU : (01)ABUU BAKRI (02) UMAR (03)UTHMAAN/AMBAE ALIAMRISHA IADHINIWE ADHANA YA KWANZA SIKU YA IJUMAA (04) ALLY رضي الله عنهم

  • @husnajuma-md2uj
    @husnajuma-md2uj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulillah maneno yenye ladha Kwa mwenye elimu ktk kuielimisha jamii shukran Sheikh

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maashaa Allaah, Ahsante Mwalimu, mwaga elimu na muongozo, atakae achukuwe asietaka basi

  • @user-xi4le1hp4y
    @user-xi4le1hp4y 2 หลายเดือนก่อน +8

    Nyinyi watu wa maulidi mnaijua dini sana kuliko mtume swalallahu alihi wa salam na maswahaba radhiya llahu anhum

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 2 หลายเดือนก่อน +18

    Unatufanya vijana tuzidi kusoma hongera mwalimu mashallah

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 หลายเดือนก่อน +1

      Bachu yupo anaburuza mbumbumbu wenzake.
      SUALI LA BACHU.
      1) KAMA MAULID NI IBADA KWANINI HAJAYAAMRISHA ALLAH SW AU ALIKUWA HAJUI?
      2) KAMA MTUME SAW AMETAKA ASHEHEREKEWE (AFURAHIWE) KWANINI HAKUAMRISHA MASWAHABA WAKE AU MTUME SAW HAKUJUA HIO IBADA?.
      JAWABU. KWASABABU KHERI YAFAA KUFANYA.
      SUALI LANGU, NO
      1) KAMA ADHANA YA KWANZA YA SWALA YA IJUMAA NI IBADA KWANINI ALLAH SW HAKUAMRISHA AU ALIKUWA HAJUI KUWA WATU WATAONGEZEKA?
      2) KAMA ADHANA YA KWANZA NI IBADA KWANI MTUME SAW ALISAHAU HATA HAKUWAITA MASWAHABA AKAWAKUSANYA DARSA AKAWAFUNZA KUWA IJUMAA NI ADHANA MBILI?.
      KAMA KESI NI MTUME HAKUFANYA NA ALLAH SW HAKUAMRISHA, JEE KWANINI MNACHAGUA KUYATUKANA YALE YA KUMPENDA MTUME SAW NA MAWALII?. HIVI BILA KUMPENDA MTUME SAW NA WAJA WEMA, HIO DINI INAFAIDA GANI KWAKO WEWE BACHU?

    • @Khatib-xp6fp
      @Khatib-xp6fp 2 หลายเดือนก่อน

      Hujamfaham mwalim ww upo kiushindani ndio ukatafuta Jambo ili ulinganishe msikilize vizuri
      Utapata kitu

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@Khatib-xp6fp sio kiushindani. Mnalazimisha lile munalochagua nyie MNAONA ndio haqi NA msilolipenda MNAONA baatwil. Kwanini kitu aseme ati kwasababu haja fanya MTUME SAW ni kharamu. KIGEZO HIKO HAKUNA KWENYE UISLAMU. PILI. MAULID MTUME SAW ALIFANYA

    • @nassleydady5783
      @nassleydady5783 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hilalalhabsi2047shida kibur na kujua sna unazungumzia azana wakat mtume (saw) alikuwepo yy ndio alikua anahaki ya kusema hili linafaa hili halifai ss yy mtume (saw) aka funga kwa kusema dini ss imekamilika kisiongezeke kitu wala kisipunguzwe kitu ss kinamziwanda wao ninani waliotuengezea ibada yy sio swahaba wala sio mtume vyenginevo kitabu na sunna ndio alivotuambia mtume (saw) tukisema tufate mawazo atamm naweza nikasema kwaumma ulivo na maasi tuengezen swala badala ya 5 ziwe 6 je ilo nikosa kwa jili ya Allah?

    • @nassleydady5783
      @nassleydady5783 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@hilalalhabsi2047ushaur wang achakibur soma uelew ukielew huwez kuja na izo hoja

  • @user-db6pg7tx1h
    @user-db6pg7tx1h 2 หลายเดือนก่อน +4

    جزاك الله خيرا في الدنيا والأخرة شيخنا محمد بن ناصر

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 หลายเดือนก่อน

      آمين، وأنت مع جميع المسلمين

  • @IsmailKhamis-fh8nh
    @IsmailKhamis-fh8nh 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah allah akuzidishe ufahamu wa kielimu tuzini kusoma kwako inshaallah

  • @AliJabal-fx8pd
    @AliJabal-fx8pd 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jazaaka Allah kheir tume faidika.

  • @user-ye3fy9kk6r
    @user-ye3fy9kk6r 2 หลายเดือนก่อน +3

    Baaraka llahu fik,umebarikiwa sheikh

  • @khamisali5942
    @khamisali5942 2 หลายเดือนก่อน +7

    Me nakuelewa sana kabla sijamaliza kuiangalia na kuskiliza

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mziwanda kama anajua haqi basi hawezi kubisha.
    Hii ilimu ya Sheikh Muhamad Bachou iko juu.
    Ameweka wazi na usawa kila kitu

  • @manrectorz
    @manrectorz 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mashaallah, Umepewa kipawa kikubwa sana cha kufanya Ufafanuzi na kum Raddi mtu mpaka anakuelewa japo Kumtoa mtu ambaye amepata mafanikio yake na Kufahamika kwake kumetoakana na Maulid ni ngumu sana ila kwa Taufiq ya Allah tu

  • @algakire
    @algakire 2 หลายเดือนก่อน +5

    معاكم عثمان من رواندا 🇷🇼. الله يحفظكم جميعا 🤲

  • @user-rp4eb5xw1z
    @user-rp4eb5xw1z 2 หลายเดือนก่อน +5

    Qweli ukiwe qwenye upotevu huwezi jua mpka ukae mbali ndo utajua.....sheh wangu Allah akupe muongoz nauzid kutunufaisha naallah atakulipa kila la kher

  • @samorajama8833
    @samorajama8833 2 หลายเดือนก่อน +1

    MAAA SHAAA ALLLAAAH
    SHUKRAN SANA BAARAKA LLAAHU FIYKA
    ILA ULIUDHI SIKU ULOKUJA TANGA
    UKASEMA
    KILLA ANAEMCHUKIA SHEIKH FLANI WA TANGA AFE NGUVU ZA KIUMI
    ULINIUDHI SANA
    ILA HUMJUI NDIO MAANA UKASEMA HIVYO.

  • @MwajumaRamadhan-qi4wi
    @MwajumaRamadhan-qi4wi 2 หลายเดือนก่อน +1

    mashaallah unanitoa ukungu kwenye masikio yangu

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 2 หลายเดือนก่อน +17

    😂😂😂ni ukweli usio pingika kua masufi wote Africa mashariki wanamjua bachu vizur
    ndo mana wote WANAMCHUKIA

    • @user-zj6uz6dt9j
      @user-zj6uz6dt9j 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sahihi kabisa, akhy

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kingine wanapiga kelele eti ni mtoto mdogo hawajui kwamba elmu haina utoto waweza kuwa mkubwa halafu hamna kitu kwan Ibn Abbas Allah amwie radhi alkua na elimu kubwa yeye ndo alikua mkubwa sana mbele ya maswahaba! Watu hawataki kukubali ukweli

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Hamis-ks1sy
      Watu wa Bidaa huenda hawajui kua hata Wajinga pia hua wanazeeka.

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 2 หลายเดือนก่อน

      @@darajanida
      Makhurafi mna mambo ya ajabu sana

    • @giltaemi4017
      @giltaemi4017 2 หลายเดือนก่อน

      @@darajanida
      Nani kutukanwa.
      Au kumuambia mjinga kua unachokifanya ni cha kijinga sasa acha kufanya mambo ya kijahili ili uonekane mtu safi kisha mjinga huyo akaendelea kufanya ujinga wake sasa mimi nikimuita mjinga nakua nimemuita kwa sifa yake au nimemtukana.
      Acha Ujaahili alafu ukiitwa jaahili ndo ulalamike.
      Huna hoja isipokuwa ni kutetea ujinga sasa kwa usalama wako ukiendelea kutetea ujinga na wewe utakua katika wao.
      Maneno ya mtume ni kwamba ukijifananisha na watu na wewe ni ni katika wao

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp หลายเดือนก่อน

    Eheheeeeeee😂 wallah nakupenda sana Mwalimu yetu yaani umenyoosha maelezo mno

  • @augustomariosama1542
    @augustomariosama1542 หลายเดือนก่อน

    Mimi binafsi namuelewa sana huyu shaikh Muhammad Bachu maana ni mwepesi mno wakufafanua vitu

  • @suraiyarashid4568
    @suraiyarashid4568 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Allah akupe umri mrefu

  • @lubuva708
    @lubuva708 2 หลายเดือนก่อน +1

    Makkah tunakupata vizur Ustadh Muhammad usikate tamaa zidisha kuelimisha na asihangaike na wanao taka kukushusha kwasababu ndio ubinadamu

  • @hassanmohamedlaizer569
    @hassanmohamedlaizer569 2 หลายเดือนก่อน +7

    Sheikh mziwanda tatizo ukweli hataki kukubali

  • @user-fo9xs1sc2c
    @user-fo9xs1sc2c 2 หลายเดือนก่อน +5

    Shehe wangu Allah Akulinde na husuda Natamani mwanangu Asome kwako ndio itakua kitu cha samanj na bahat aje kuelimisha watu shehe uko mjin hakika vivijin uku tuliko sis tuko mtupu watu wanakumbatia bidaa nakufanya kua ibada wakidai watapata malipo Shehe la mwisho mim mkulima mwanangu nataka asome elimu yenye manufaa nitalipia galama itayo kuwepo anamiaka 5 mim ndoto ya mwanangu ajekuwafundisha haki

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 2 หลายเดือนก่อน +4

    Allah bariki❤ message sent

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 หลายเดือนก่อน

      Truly have been clarity,,,,,, May Allah guide all inventors to straight way? Ameen

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wachape tu masufi hao Allah Awaongoze ktk haq

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official 2 หลายเดือนก่อน +8

    nimejifunza kitu kua
    shaikh bachu حفظك الله ورعاك HII RADDI umeiandaa ukiwa umemuomba ALLAH akupe ufasaha na kueleweka kwa watu
    ndo mana umeweka bayana amabyo mtu yeyote wa MAULIDI na BIDAA akiskia basi ataacha bidaa na maulid
    ila naamini pia wapo WAZUSHI watasema 🗣️🗣️🗣️🗣️ BACHU HUNA ELIMU NENDA KASOME 😂😂 ( pumbaaaav sana atakae sema hivyo),
    ✍️✍️✍️ila nimalize kusema kua hii RADDI ya leo imempiga vibaya sana MAWLANA WETU MZIWANDA, sjui kama atapona(Allah amuongoze)
    NB 🔴 shaikh bachu, ALLAH AKUHIFADHI kwani wewe ni katika wale wanaofanya operation safisha jiji liwe safi
    🏝️🏝️🏝️ بارك الله فيك وعلى والديك، وعلم "إنتَنصُرُو الله يَنصُركم ويُثَبِّت أقْدَامَكُم"🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️🏝️

    • @user-kh2hn8in1s
      @user-kh2hn8in1s 2 หลายเดือนก่อน +1

      Allaahu amrehemu babaako, ampanulie kaburi lake na alinawirishe,

  • @AshrafBunu
    @AshrafBunu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi sheikh letu

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 2 หลายเดือนก่อน +9

    Masufi bhana ni tatizo kubwa sana aisee pambana sheikh wangu Muhammad bachu

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 2 หลายเดือนก่อน

      Hamna kitu huyo ubwa

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 2 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@ramygichero1016😂😂😂Lkn c umeelewa? au bado utaenda maulidi??
      yan kama utaenda basi wewe ni KONKI SUFI

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน

      Endelea na sherehe zako utakipata mbele ya Allah ​@@ramygichero1016

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maa shaa Allah,jazaakallahu khayran

  • @user-ir5ec5jn3w
    @user-ir5ec5jn3w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh weka muhadhara InshaAllah uwakabili Mashia na Bida'a zao

  • @IsmailKhamis-fh8nh
    @IsmailKhamis-fh8nh 2 หลายเดือนก่อน

    جزاك الله خير

  • @k.kchakua1376
    @k.kchakua1376 2 หลายเดือนก่อน

    Jazaqallahu khaira Sheikh Allah akuongezee Umri Aamin

  • @seifhamid8329
    @seifhamid8329 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadhi

  • @user-er2ku2fs8y
    @user-er2ku2fs8y 2 หลายเดือนก่อน

    Jazzakallahu khaira sheikh Mohammed

  • @defantasticacomedy6366
    @defantasticacomedy6366 หลายเดือนก่อน

    Wallah huyu sheikh wanamchukia tu kwa maslahi yao binafsi ila anayoongea ni facts tupu na ana dalili za kutosha.Allah akulipe ujira mwema sheikh Muhammad Nassor Bachu.

  • @mohagurey2214
    @mohagurey2214 2 หลายเดือนก่อน +2

    May Allah guide them before it is too late

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 หลายเดือนก่อน

      Ameen, before hereafter day

  • @YussufMohd-fc1dj
    @YussufMohd-fc1dj 2 หลายเดือนก่อน +6

    Bachu we unajua hadi unakera

    • @user-yu9gy6dg3g
      @user-yu9gy6dg3g 2 หลายเดือนก่อน +3

      sema barakallah au mashallah waislamu tukisifiana tunapaswa tuseme hivyo yakhe

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@user-yu9gy6dg3g ww ni mzenji au? Naona yakheee. But nice

    • @user-yu9gy6dg3g
      @user-yu9gy6dg3g 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@KhalfanMassoud hapana niko bara napenda tu kusema hivo

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@user-yu9gy6dg3g ahaa basi mzuri hio.

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli

  • @user-wk5ju8kd3u
    @user-wk5ju8kd3u หลายเดือนก่อน

    Maneno safi sana endelea kutuilimisha

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 2 หลายเดือนก่อน +3

    Bibi Aisha mke wa Mtume aliishi muda mrefu baada ya mtume kufariki lakini hakuwahi kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume je alikuwa hampendi Mtume je alikuwa hajui kuwa kuna ibada ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume ? Hapana bali Bibi Aisha alitambua kuwa hakuna ibada ktk uislamu inayoitwa maulidi ya Mtume.

  • @KassimMuslih
    @KassimMuslih 29 วันที่ผ่านมา

    Akhy kunywa maji ntalipia.. جزاك الله خيرا

  • @badrudinsalum3139
    @badrudinsalum3139 2 หลายเดือนก่อน +1

    Barakallahu fiyka

  • @fakijecha
    @fakijecha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm sina ninacho kupinga ila uwislamu tunapowelekeza tunaufaya km timu za mpira ni hatari sana na ndo mana kila kukicha tunapigwa vita na wala hatusemi lolte tunatukanana wenye kwa weye tusipo amka tukawa sisi tunajitoa kwa ajil ya din kwenda sehemu tofaut kuisambaza dini basi tujue tutabeba zima kubwa km huwuwelewan walimu wetu tafuteni njia ya kuitana muwekane sw mana siai tunawapenda kwa ajil ya allah na sijengine

  • @isaack100
    @isaack100 หลายเดือนก่อน

    SubhanaAllah yaani unamanisha qiyas itangulie Qur'an Sunna na Ijmaa?

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 2 หลายเดือนก่อน +1

    وَعَلَيْكُمُ السَّلَامْ وَرَحْمَةُ اللهِ وَبَرَكاتُهُ‎🤝

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 2 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wa matwalaga ni vipofu na viziwi hawaoni haki wala hawaisikii pia,usichoke sheikh wetu malipo yako yapo kwa Allah.

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 2 หลายเดือนก่อน +1

    Muhammad bachu wewe ni mwanazuoni na hao wengine ni wapotoshaji

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 หลายเดือนก่อน

    Mziwanda nampenda kitu kimoja huwa akipata dalili sawa sawa harudishii kwa kibri sijamuona na hilo na sidhan kama inafikia matamanio namuomba Allah amuongoze nasi atuongoze maana ni mujtahid japo yupo na watu wengine sio.

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 2 หลายเดือนก่อน

    mashaaah jazaka lahu khayra

  • @KhamisHaroub-uj5ci
    @KhamisHaroub-uj5ci 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran Simba wa Allah ❤️❤️❤️

    • @ShabanHassan-td3lx
      @ShabanHassan-td3lx 2 หลายเดือนก่อน

      Hahahahahh! Simba wa Allah wko msituni uko, hawpo kwny udahyya, huyu muhammad bachu.

    • @ShabanHassan-td3lx
      @ShabanHassan-td3lx 2 หลายเดือนก่อน

      Akhiy khamis huo ni utani tu nimeipenda comment yko sn.

  • @ashrafkhamis6746
    @ashrafkhamis6746 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani vitu vya msingi, vya kutuweka pamoja mmesahau. Mmesahau hata wachamungu wa zamani kuna itirafuu hazikuwafanya wavunjiane heshima.

  • @user-us7oy4fy5l
    @user-us7oy4fy5l 3 วันที่ผ่านมา

    Sheikhe unanichanganya unasema ajatufundisha kusherekea siku ya kuzaliwa kwake je jumatatu tunafunga kwajili gani naomba nieleweshe

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bacho hujamuelewa Shekh Muharram Allah amhifadh,lakini kingine umezungumzia vitu vingi kaa mahala mamoja

    • @user-ye3fy9kk6r
      @user-ye3fy9kk6r 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo mwalimu lkn spite kwenye kila engo ili ahakikishe umepata uelewa,lkn anzie deep,ww tu ndo unashida,tumia akili

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 2 หลายเดือนก่อน

    Bachu anajiona hapo ktk hyo video kazungumza kiakili saaana 😂😂😂

  • @hassanadam6272
    @hassanadam6272 2 หลายเดือนก่อน +1

    اللهم بارك

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 หลายเดือนก่อน

    Sheih Mzwanda Allah amuongize na atuongoze na sisi na sioni kuna haja ya kumlaumu maana makosa ni waalimu alosoma kwao kuna ike misingi ya elimu ila anapenda kheri baki mazingira na elimu ya mwanzo alikopatia. Allah atunusuru na atuongoze maana ni hatari sana maneno haya na dini sio akili ya mtu kabisa akili inafuata sana matamanio (Unahokipenda ndicho akili itakupeleka) na akili zatofautiana na akili ya binaadam ni kitu dhaif sana

  • @stanleykipingu228
    @stanleykipingu228 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah nakuelewa vyema

  • @user-us7oy4fy5l
    @user-us7oy4fy5l 3 วันที่ผ่านมา

    Na mm sheikhe nataka kuuliza je mtume anajiswalia yeye mwenyewe

  • @ramadhankilango9088
    @ramadhankilango9088 2 หลายเดือนก่อน

    Kama Kuna aya inayokataza kutaja na kumsifu mungu na mtume Muhammad s.a.w ndiyo bidaa inaingia vinginevyo ukisema hasara ya ghalama za sadaka utaeleweka

    • @binismail8527
      @binismail8527 2 หลายเดือนก่อน

      Namna yakutukuza na kumsifu imebainishwa Sasa ww mwenye mapito haya ya mkusanyiko na ubwabwa mmeitoa wapi???????????

  • @Khamismwtn
    @Khamismwtn 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mwalimu wang

  • @MrRavini
    @MrRavini หลายเดือนก่อน

    Tunaomba RADDI kwa watu wanao sikiliza makaswida shekhe

  • @bigemagomabigemagoma6312
    @bigemagomabigemagoma6312 หลายเดือนก่อน

    Huyo mpiga kinanda na gita ndio walidai amekushinda kwenye ule munakasha!
    Matwarika hawajielewi

  • @AnubakarAli
    @AnubakarAli 2 หลายเดือนก่อน

    Shkh mimi nakuuliza mtume alihutubu hutba ya ijumaa kwa lugha ngapi je ipilugha inofaa kuhutubu je kiswahili kimepokewa na nani katika hadith zamtume sahaba au

  • @jumamukoko6662
    @jumamukoko6662 25 วันที่ผ่านมา

    Nanyiyi ndiyo mko na njaa, mziwanda hana njaa

  • @user-ug8hc4yh5k
    @user-ug8hc4yh5k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maulid ni bidah na itaendelea kuwa bidah
    Lakini usitusikilizishe hivi vinanda wanao piga hawa waimba tarabu
    Waonyeshe tu hawa waimba tarabu bila sauti

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 2 หลายเดือนก่อน

    INA MAANA NYIE MASUFI AU MATWARIQA MNA AKILI NYINGI KUMZIDI MTUME MUHAMMAD S.A.W NA MASWAHABA ZAKE??

  • @AbdallahSalim-tf1ee
    @AbdallahSalim-tf1ee 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanzo Bachu fataha na kasiri umeshajua kuweka pahali kwake mana twakujua ukipewa kitabu hakina mayaka kwako mtihani

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 2 หลายเดือนก่อน

      Fuata dalili acha na makasira na mafataha hayo

  • @user-kh2hn8in1s
    @user-kh2hn8in1s 2 หลายเดือนก่อน +1

    حياكم اللّٰه يابني

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 หลายเดือนก่อน

      آمين، بارك الله في شيخنا محمد الباشو وفيك وفي جميع المسلمين

  • @AnubakarAli
    @AnubakarAli 2 หลายเดือนก่อน

    Mtume aliruhusu wapi kuhutubu kwa kiswahili je hii bidaa au sibidaa tueleze

  • @ShabanHassan-td3lx
    @ShabanHassan-td3lx 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani eh habar y mjin saiv tumia akili kwanza 😂😂😂😂😂😂😂

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 2 หลายเดือนก่อน +3

    ALLAH akuhifadhi sheikh Muhammadi bacho watabainikiwa tu na hakki hata kama wanapindisha ukweli

  • @AmanYusufu
    @AmanYusufu 2 หลายเดือนก่อน

    Bada hajajuw vigawanywo vya ibada bachu anay kuxukuma tunazid kufahamuudhaifu wako ustadh kusoma xi kilimo cha miyez3 alaf xoma kama kulivo andikwa hauna amana ya elimu xom vizuri

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wa maulidi washakufa wameoza hawawezi badilika coz wanadai n ibada ...bachu endelea ivyo ivyo kaka.

  • @HuseniMaulidi
    @HuseniMaulidi หลายเดือนก่อน

    Ufahamu wako mdogo dogo kazana kusoma mbn shekhe saidi amekukaribisha akufundishe.

  • @jumamukoko6662
    @jumamukoko6662 25 วันที่ผ่านมา

    Anaye jua nani yuko ni Allah pekee tu

  • @user-do7ui5wi3n
    @user-do7ui5wi3n 2 หลายเดือนก่อน

    Maulid si ibada ila ni mashairi tu lkn ni mashairi ambayo yanamtaja Mtume (s.a.w) kwa mujibu wa hadithi ya Mtume anapotajwa aswalie hapa ibada ni kumswalia mtume sh. Bachu

  • @ameirameir4349
    @ameirameir4349 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watu WA maulidi hawana dalili ya kisheria ya kutetea maulidi lakini wanaumia dalili za kiakili