SHEIKH MZIWANDA - MASWAHABA WA MTUME NA UISLAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 ปีที่แล้ว

    MZIWANDA MZIWANDA !KUNA KITU UNAKIIMARISHA NDANI YA MOYO WANGU.
    ALLAAH AKUBARIKI

  • @chabunu3367
    @chabunu3367 3 ปีที่แล้ว +1

    Moyo wangu ndio umekukubali Allah akuhifadhi

  • @saniahussein4463
    @saniahussein4463 5 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah Allah akulipe pepo ya juu kabisa

  • @bobsuleh9365
    @bobsuleh9365 5 ปีที่แล้ว +2

    Swadakta yaa sheikh wajazakallah khaira

  • @kingkiya6640
    @kingkiya6640 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsanta yaa skeikh,,,Jazaakallah khayran fyii haadhih dunia wal aakhera biahsan da'awa

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 ปีที่แล้ว +3

    ماشاء الله جزاك الله خير شيخنا

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 ปีที่แล้ว +1

    رضي الله عن أصحاب رسول الله صل عليه وآله وسلّم

  • @khamisirashidi201
    @khamisirashidi201 5 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani Sheikh wangu

  • @pacifiquemukanya1009
    @pacifiquemukanya1009 5 ปีที่แล้ว +2

    Tuandaliye pati2 sheikh bi idhni llahi kwa mada iyo iyo

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว

    shekh unaezakuwa ashabu rasulu lakini hauwezi kuwa swahaba plz elewa Holo plz ukisomarudi nyuma utapata Hilo my shekh

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 5 ปีที่แล้ว +1

    nakuelewa sana shekhe mziwanda sana

    • @equalchitayi2860
      @equalchitayi2860 5 ปีที่แล้ว +1

      Shekh nakuelewa lakin unataassub kiasi wasomi watalijua hilo

    • @alakhy9448
      @alakhy9448 5 ปีที่แล้ว

      @@equalchitayi2860 kama ipi akhy

  • @NurdinKishik
    @NurdinKishik 5 ปีที่แล้ว +2

    yaallaah

  • @ummargaddaf400
    @ummargaddaf400 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana

  • @chaubajaj5272
    @chaubajaj5272 4 ปีที่แล้ว

    Mashaalaha

  • @feisalfaraj44
    @feisalfaraj44 2 ปีที่แล้ว

    aslm my shekh sisi washahili twasema kuwa vidole mbili ndio humuuwa chawa kwasasabu hunutowa Kwa kuchwa ndio Kisha anauliwa na vidolew mbili njee ya kichwa

  • @capitainesalazar8388
    @capitainesalazar8388 5 ปีที่แล้ว

    Mashia ni makafiri bila shaka

    • @aliabdalla6229
      @aliabdalla6229 5 ปีที่แล้ว

      Capitaine salazar
      salazar makafiri kwa dadili gani na wawo wanasali wakati tano wanabiga shahada vp beyna muslim wa kafir ni salaa sisi tunajua hivo

  • @rajabumzuwanda7505
    @rajabumzuwanda7505 5 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo hadithi uliyofungua nayo mmmmmmmm sifa zote et Ally hayumo mcheni Allah

  • @aliabdalla6229
    @aliabdalla6229 5 ปีที่แล้ว

    Mawahabi sku zote wanajifanya wawo wanampenda mtume muhamad na masahaba yake wakwanza wakuchukia masahaba na wajiku wamtume ni wawo.
    Sai masahaba wote ametaja majina wawo kwani katika vitabu zote sayedna ali hukuwa khalifa wane wamtume kuwa nini hukutaja jina lake. Sayedna ali na mtume amesema ana madinatul ilmi wa aliyu babuha mtume amesema nfano wa sayidna ali na mimi nimfano wa haruna minmusa lakini hukuna nabia baadi yangu low inge kuwa uko nabi ungkuwa niwewe ningapi fadila za sayidna ali mtume na menye ezi mungu amezitaja nrani ya qurani mbona hukusema basi mashia hawakosei masahaba wakwanza kukosea masahaba ni nyiyi mawahabi.
    Lakini hatushangai sababu shehe wenu mkubwa makisa ni yake ilukuwa kazi yake ni ku daifisha hadisi za alu beyti zote na nyiyi njia ni hio hio

    • @nasibuabasi4701
      @nasibuabasi4701 5 ปีที่แล้ว

      mtume s. a. w amesema Kama pazia lamitume lingekuwa linaendelea basi baada yangu angekuwa omari nasio Ally Kama unavyodai akhii

    • @mohammedally2289
      @mohammedally2289 3 ปีที่แล้ว

      @@nasibuabasi4701 wewe muogope mungu umar awe mtumi

    • @nasibuabasi4701
      @nasibuabasi4701 3 ปีที่แล้ว

      @@mohammedally2289 mtume amemtaja omari ila kwakuwa nyie mnachuki binafsi juu ya omari ndio maana mnageuza maneno

  • @bobsuleh9365
    @bobsuleh9365 5 ปีที่แล้ว

    Swadakta yaa sheikh wajazakallah khaira