MANYANYASO YA WANAUME NA UGUMU WA MAISHA YA ULAYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Shali anatueleza safari yake ya mahusiano na changamoto alizokutana nazo mpaka kufika hapo alipofika.
TH-cam channel yake inaitwa @shalibrutsch-vlog
Please let us support her by subscribing
Thank you to Shali for allowing it to be online
Asante kwa ukaribisho. Nina story moja nataka kushare na wanao tafuta wapenzi Switzerland. Nitakuja private kwenye lile Kundi la mafunzo kama hutojali
Ahsante Shali, you are amazing
TH-cam channel ya Shali @Shali Brütsch
Kwa kweri shari nimwazi lla mrudishe irianza kunoga lkaisha na yule mdada mum morogoro nayo haikuisha shaini lkiwezekana tuletee asante sana kwa mafunzo.
Eee jamani kumbe na mimi nitafika sabusikraibazi wengi ee.
Nimependa kuona unashea safari yako ya mwanzo mwanzo ktk interviews. Nivizuri kuthrow back hizi videos za mwanzoni kutumotisha sie tunao Anza pia😄
ASANTE KWA KUSHEA
Thanks beautiful 😍
Utafika tu
Taratibu ni mwendo
Nimeipenda sana hii story.
Naomba majina ya sites unazojua na ulizotumia wewe na rafiki zako kupata wazumgu.
Video za sites zipo hapo nilishapost
jamani I love her, tumipango twingi twingiii hahahh
I love her too 😁
Tumipango twa kujenga tu 😁😁
Nakupenda pia 😍
Huyu Dada yaliyomkuta kama mm Ila Mungu ndo kila kitu
Shenanigans asante katika siku ulonifurahishaa Leo umeta dada huyu kachangamsha sana hii programme
Shukran sana
She is amazing
Ahsante Shali, karibu sana.. nakusubiri kwa hamu 🥰🥰
Wooow! I know this girl. My classmate❤❤
I love her story 😅
Ahsante sana
What a nice story jamani
Nipo inspired sana
Dada ametuonesha kua haipaswi kukata tamaa
Aan wanaume wakizungu raha jaman waaminifu aan hadi raha
Hata kuna ile ya physical contact pia , lakini hii ni ya huko ulaya.
Nimerudia mara 3 hii Elimu Ahsante sana 😂😂😂😂
Shane huyu mdada mlete tena ana story time, inaonekana haikuisha ubambwi dambwi. Wazazi wa kijana walimpokeaje na mtoto ambae sio wa kijana wao? Na alimbadili majina kumadopt kabisa awe baba kwake au wamefanyaje?😅😅 mlete tena atupe uhondo
Ni hadithi ya kusisimua hii
Nitamtafuta tena kweli …
@@OfficialDatingAssistance Natamani kujua huyo baba mtoto nae baada yskuachwa bongo na mwanae akapepea alifanyaje? Itakuwa alijua Mungu siyo shemeji yake.
😂😂
Thank you for another video
Ahsante sana
Duu huyu dada komedii sanaa
Naomba no yako dada
Nimekupenda bule😅😅
Karibu sana
Sasa mbona hamtuoneshi huo mtandao unaounganisha wapenzi unaitwaji???🤔
Hongereni sana,Shena.Natafuta,mke,wa,kizungu
Ahsante sana,
Karibu darasani
Kipepeo Kigamboni
Asant KWA kutufunza,pia Mimi Nahitaji mke mzungu
Hi dear nawezaje kupata contact zako ili tuongee
Karibu kwa instagram Page @official_datingassistance niandikie dm nitakujibu
Fanya unitafute na nimi nina ka Story
Ahsante sana, kama hutojali Naomba niandikie kwa +4367764790884 WhatsApp
@@OfficialDatingAssistance sorry,naomba niwe napata update kupikia Whatsapp yako