ALINITIMUA NYUMBANI KWAKE | NILITEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MASAKI MPAKA KINYEREZI | WIVU NI MWINGI SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มี.ค. 2024
  • Judith ameeleza safari yake ya mahusiano kutoka kwa wabongo ambao alifumania mara kadhaa mpaka kutumiwa video ya utupu ya aliekua nae kwenye mahusiano na mwanamke mwengine.
    Alikutana na mume wake wa Kireno kazini lakini changamoto ya wivu ilikua ni kubwa sana.
    Mahusiano yakivunjika na kurudi baada ya misukosuko lakini waliweza kurudi sawa.
    Kwasasa anaishi Portugal na ameelezea wareno na nchi yao na changamoto za kufunga ndoa.
    Unaweza mpaka kwenye mitandao ya kijamii na TH-cam kwa jina la Adeltaeta
    Thank you Judith for allowing this to be online
    www.oda.international

ความคิดเห็น • 104

  • @gracenbarnes5254
    @gracenbarnes5254 4 หลายเดือนก่อน +16

    Mwafrika yeyote aliye na. ndoto za kuishi ughaibuni futa mawazo ya kuhudumiwa na mwanamme kwa kila kitu. Jipange kisaikolojia kufanya kazi uwe na kipato chako ata kama utaolewa na mwafrika mwenzako hatakubali uwe mama wa.nyumbani la sivyo ndoa itavunjika kirahisi uking'ang'ana uwe mama wa.nyumbani ughaibuni. Mimi naishi ughaibuni nasema ninachokifahamu

    • @ameeranassor1619
      @ameeranassor1619 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi naishi ughaibuni na nahudumiwa kila kitu na family yangu pia, sio wote wako ivyo,.wanaume waislam wanahufumia kila kitu mpaka sanitary pads

    • @gracenbarnes5254
      @gracenbarnes5254 3 หลายเดือนก่อน

      @@ameeranassor1619 ninaishi na msjirani zangu waislam kibao marekani mke na mume wote wanafanya kazi na wanalipa bills ni wachache hufanya ivyo wengi wanapambana na maisha labda iwe umeolewa na Tajiri

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 4 หลายเดือนก่อน +9

    Hongera sana Bi Harusi kwa kupata Mtoto na kufunga Ndoa.

  • @Juke995
    @Juke995 4 หลายเดือนก่อน +7

    Jmn views muwe mna like basi 😢views laki nane like hata elf moja hasifiki sio vizuri

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 หลายเดือนก่อน +1

      Thanks dear kwa ukumbusho.. 🙏
      Wananinyina likes kweli jamani 😁😁

  • @frankmushendwas37
    @frankmushendwas37 4 หลายเดือนก่อน +5

    Dada judith ongeza sauti

  • @annamussa185
    @annamussa185 4 หลายเดือนก่อน +8

    Jamani mwenzenu eti nahisi kuchoka kusikiliza haiko motroo sana bwana😢

    • @nancymaphie379
      @nancymaphie379 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwelie

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 4 หลายเดือนก่อน +3

      Hapana bana kila mmoja anauelezeaji wake😂wengine ni story teller wazur na wengine sio hahah

    • @annamussa185
      @annamussa185 4 หลายเดือนก่อน

      @@nicekweba9920 me sijamaliza Yani hata shena huwa anafurahi usoni lakini hii kapoa inaboa bwana

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani mwanzoni nilisoma komment za baadhi ya watu humu sijui kama huwa wanasikiliza video mpaka mwishoni, Jamani huyu dada anajielewa tena yuko humble sana,

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  3 หลายเดือนก่อน +2

      Well said 📌
      Kuna watu wanapenda zile Story zenye mapito magumu.. wanasahau maisha ni maisha na kila mtu na safari yake ya maisha…

    • @judithetaeta2594
      @judithetaeta2594 3 หลายเดือนก่อน

      Asante sanaaa

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 3 หลายเดือนก่อน

      Kidogo nkaangalie nyingine😊😂😂😂

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran Sana da shena nice interview 💐

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ramadan Mubarak Habibty 🙏🏼🌹

  • @SipeKato
    @SipeKato 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu dada uongeaji wake aupo vizuri historia ykee aiererweki

    • @graciek5872
      @graciek5872 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yupo vizuri sana naona wewe ndo hujamwelewa

    • @taucdulle7460
      @taucdulle7460 หลายเดือนก่อน

      Ana mambo mengiii ila anashindwa kusema anajaribu kukwepa ila hajajipanga

    • @RahmaAwadh-ul9yu
      @RahmaAwadh-ul9yu 19 วันที่ผ่านมา

      Sio muadithiaji mzuri ,,,,Story yake nzr lkn sio muadithiaji mzuri

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nice story

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Sana dada Judith ❤️❤️

  • @edinaelikana1057
    @edinaelikana1057 4 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani sana kula chapati zako natuongee Kiswahili 😊.Kesho nitawasiliana na
    Counsellor, Tanzania Embassy.Akutafute .

  • @husseinsalimbora3534
    @husseinsalimbora3534 4 หลายเดือนก่อน +10

    Sheha mimi penda Sana wewe kwa kutupa taarifa mzuri kila siku.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 หลายเดือนก่อน

      Thanks kaka 🙏

    • @RosemaryKidiro-wz3ux
      @RosemaryKidiro-wz3ux 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@OfficialDatingAssistanceda sheina mbn unajibu comment uogopi kifungiwa account yako mm sitaki nikukose😢

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 3 หลายเดือนก่อน

      Heee kumbe wakijibu comment wanafungiwa😮😮😅​@@RosemaryKidiro-wz3ux

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 4 หลายเดือนก่อน +7

    Mbona uzungu nwingi sana

    • @frankmushendwas37
      @frankmushendwas37 4 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo ujifunze lugha shida afrika wavivu kujifunza na kubadlika

    • @graciek5872
      @graciek5872 3 หลายเดือนก่อน

      Jamani ameolewa na mzungu

  • @gwantwamwalyaje8515
    @gwantwamwalyaje8515 3 หลายเดือนก่อน

    Nime Kuelewa Sana Dada Yangu Judith

  • @vasudepika4521
    @vasudepika4521 4 หลายเดือนก่อน +1

    We appreciate this program, as we learn a lot . I JACKLINE do accept it as in intermarriage get to learn different cultures and country. Thanks you so much the presenter of this program

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 หลายเดือนก่อน +1

      Our pleasure!

    • @PtransJulius
      @PtransJulius 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      nipo south Africa nataka nikupe yangu dada shena

  • @Byme6434
    @Byme6434 3 หลายเดือนก่อน +2

    Naifikiria Kinyerezi tuu

  • @selinamwakiluma7968
    @selinamwakiluma7968 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutangulie Daughter ❤

  • @edinaelikana1057
    @edinaelikana1057 4 หลายเดือนก่อน +2

    Judith nitafute niko Portugal pia nimefurahi sana kukuona kwani hapa Portugal hakuna watanzania wengi .Ninaishi Santarém.

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vamos vamos😂

  • @alodiadiocless3546
    @alodiadiocless3546 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ongea kiswaili

  • @user-ew1qn3fc1x
    @user-ew1qn3fc1x 3 หลายเดือนก่อน

    Bonsoir ❤❤

  • @evampuya-mp9vf
    @evampuya-mp9vf 4 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏

  • @katetejoseph7290
    @katetejoseph7290 4 หลายเดือนก่อน +5

    Karibu sana Judith

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 หลายเดือนก่อน +4

    Girl🔥🔥🔥Mungu akutangulie in you're marriage 🥰ubarikiwe shena❤

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 3 หลายเดือนก่อน +2

    Likes km zote

  • @frankmushendwas37
    @frankmushendwas37 4 หลายเดือนก่อน +3

    Leo naangalia live nimefurahi sana hongera dada sheila kwa kazi nzuri❤

  • @esnathmdeda
    @esnathmdeda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dada tuliza kichwa ukiwa unahojiwa pia hayo mapozi ambayo haya make sense achana nayo unaboa kuwa straight ukiwa unaongea 😢😅huoni dada shena hapo katulia 😊

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 หลายเดือนก่อน +4

      Sio kila mtu anaweza kukaa kwa Camera kuzungumza na jamii kwa mara ya kwanza.. So lazima atafute comfort ya kuweza ku navigate, just subscribe kwa TH-cam channel yake kujifunza maisha ya Portugal 🇵🇹 you will love it 😍

    • @sekikigosi8265
      @sekikigosi8265 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wow! Kumbe ulikuwa mkulima na mfugaji napenda sana hongera.Nikweli wengine wanaongea na body pia yani wanaongea na mwili unaongea atajifunza tu taratibu nikama kula na uma na kisu sio wote wanashiba kula ivo au kuweza sio rahisi 😂😂😂

  • @JoyceakaJowi
    @JoyceakaJowi 4 หลายเดือนก่อน +2

    jamani Judy wangu,ndivyo anaongea hivyo hivyo hehehhhe....yaan watu wanahisi anaringa,hamna jamani hahahah

  • @DoreenMwanga-ne1dt
    @DoreenMwanga-ne1dt 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmh kinge kinge

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 4 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani wanaboa kwa kweli,shenna mwenyewe yupo vizuri

    • @DoreenMwanga-ne1dt
      @DoreenMwanga-ne1dt 4 หลายเดือนก่อน

      @@twiseghekisilu8845 kumbe na wewe umeona na penda shena anaongea kiswahili vizuri

  • @user-ip4ie7pt6i
    @user-ip4ie7pt6i 3 หลายเดือนก่อน +1

    Portugal miji yao Mizuri Ila life ni ngumu

  • @user-wx9or8rw4n
    @user-wx9or8rw4n 4 หลายเดือนก่อน +2

    Da shena,I love you

  • @MaaneML
    @MaaneML 3 หลายเดือนก่อน

    My dear Shena video zako ni nzuri na kuelimisha. Ila ninaomba zifanye ziwe za dakika za chini ya saa moja. Ni long sana na wakati mwingine unaowahoji waambie watulie na kuwa na focus kwa mada. Yaani wapunguze maneno ambayo hayana msingi sana.

    • @esterMahenge
      @esterMahenge หลายเดือนก่อน

      We nae khaaa😅😅😅

  • @DoreenMwanga-ne1dt
    @DoreenMwanga-ne1dt 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada ni mimi kabisaaa

  • @bettymbatta9626
    @bettymbatta9626 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ila hizo temper za huyo shem ziweke kwa maombi aisee, zisije geuka kitu kingine. Tunaomba mrejesho after 5 years

    • @Angel84-zf6ce
      @Angel84-zf6ce 4 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli, maana dalili za mvua ni mawingu...ni kuomba Mungu sana

  • @user-bq6bz8xu2u
    @user-bq6bz8xu2u หลายเดือนก่อน

    Judth nakuona . Bibi kutoka Arusha

  • @JoyceakaJowi
    @JoyceakaJowi 4 หลายเดือนก่อน +2

    samaki Samaki niko hapa....Shena kama umegundua wateja wako wengi unaowahoji hapa,first date zao ni samaki samaki..hehehehehheheh.....

  • @EnosGervas-gr8zb
    @EnosGervas-gr8zb 4 หลายเดือนก่อน +2

    Dada jude namfananisha na dada moja site ya kinyerezi power plant

  • @saphinamarwa8360
    @saphinamarwa8360 2 หลายเดือนก่อน

    Nilipata mzungu yupo Portugal, japo hatukufika mbali na English alikua anajua yeye

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 4 หลายเดือนก่อน +2

    Leo uji wa muhogo

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 3 หลายเดือนก่อน +1

    Story yake kama haiko sahihi,.sujui anadanganya 😢

    • @mtupeace8235
      @mtupeace8235 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅

    • @esterMahenge
      @esterMahenge หลายเดือนก่อน

      Danganya na ww😂😂

  • @esterkivaria8986
    @esterkivaria8986 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂maisha ya Ester why mimi???
    Nilisoma comment kabla ya kusikiliza kidogooo niache,but nikasema Dada shena hawezi niangusha♥️🙏
    Interview nzuri saaana

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @goldenvalentino208
    @goldenvalentino208 2 หลายเดือนก่อน

    Mwambie amsalimie Ronaldo

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kuongea huku ukitingisha kichwa tulia ok

    • @PureSoul-rf4xd
      @PureSoul-rf4xd 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 eeh

  • @kiddmagrking1647
    @kiddmagrking1647 2 หลายเดือนก่อน

    I m sorry huyu dada anavyoongea amenifanya nishindwe kuangalia hii interview

  • @mwenebatuetabo5515
    @mwenebatuetabo5515 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini unatafuta shuhuda za wanawake2 hata sisi wanahume tunahushuda wetu wa kimahisha

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  4 หลายเดือนก่อน +1

      Angalia vizuri kaka utaona Video za wanaume nyingi tu
      Pia Karibu sana kwenye kipindi na ahsnate kwa Support

    • @olivernyange2349
      @olivernyange2349 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @paulalove1223
      @paulalove1223 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo Bora huachane nahe tuhu😂

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hila pahula humenichekesha 😂ahachane nahe kwakweli😂😂

    • @nicekweba9920
      @nicekweba9920 4 หลายเดือนก่อน +1

      Itakua umemjua leo mbona huwa anahoji watu wa jinsia zote

  • @nancymaphie379
    @nancymaphie379 4 หลายเดือนก่อน

    Ongea kiswahi bwana