MAISHA NA HISTORIA YA SHEIKH OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 351

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 6 หลายเดือนก่อน +28

    Mash Allah kipenzi changu Shekhe Osman Maalim ni moja wapo ya Mashekhe ninao wapenda . Allah akuhifadhi.

  • @massudidadi679
    @massudidadi679 6 หลายเดือนก่อน +23

    Tunakupenda kwa ajili ya Allah
    Shekh wetu kwa hakika usiondoke tena znz mpaka mwisho wa Maisha yako Allah akupe umre mrefu wenye manufaa

  • @SalmaSalum-qw8yo
    @SalmaSalum-qw8yo 6 หลายเดือนก่อน +60

    Kwenye asilimia 100 ya elimu ya dini nilionayo basi 85 imetoka katika maneno ya othman maalim allah akuhifadhi na akupe qauli thabit inshaallah atupe mwisho mwena

  • @ummahmed3354
    @ummahmed3354 6 หลายเดือนก่อน +33

    Sio Zanzibar tu... Tanzania nzima inakupenda... Allah akuhifadhi sheikh wetu kipenzi...akuzidishie kila la kheri...
    Allahummah baarik

  • @emmanuelahmedbyona2353
    @emmanuelahmedbyona2353 5 หลายเดือนก่อน +4

    Othmaan Maalim kwangu ni mwokozi😢 nilikua musharati, mwongo... nilikua kama umbwa mpaka nikaachwa na mke wangu. Sijui ilikuaje niskie mawaidha yake ya " Mali na Dunia" from that day nili badirika kua muisilamu, nikawa mtu sio umbwa tena. Na pia kila siku jua nakufwatilia kama umbwa yako Sheikh😢 hakuna kipindi kitanipitaka. Hekima na heshima naitosha kwako😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @AIFOSMUGOTV
    @AIFOSMUGOTV 6 หลายเดือนก่อน +61

    Masha Allah Alfatah katika siku zote lakini leo nawapongeza saana kwa kumueka Sheikh Wang Othman Maalim,,kipenz chang,,huwa nafaidika saaana kupitia yeye
    Naitwa Ahmed kutoka Kenya Malindi....team yote Alfatah Allah awajaze...🙏🙏🙏

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 6 หลายเดือนก่อน +2

      Allahuma Amin

    • @harthaseif5497
      @harthaseif5497 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallaah shekh wetu tunampenda sanaa mashallaah allaah akujaliee pepoyake yarab akukutanishe namtume wetu muhamad SAW mashallaah

    • @mohamedkalme5075
      @mohamedkalme5075 5 หลายเดือนก่อน +1

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namkumbuka Sh.Othman Maalim, ndio kwanza hajajulikana sana Zanzibar, nakumbuka Msikiti mabluu pale Alasir akitoa mawaidha watu wachache sana, nakumbuka alitoa kisa cha binaadam (alipowekwa kwenye baridi akalalamika, alipowekwa kwenye joto akalalamika) nadhani miaka karibu 20 na ilopita.Allah akupe umri mrefu na uzidi kutusomesha na sisi atupe ilmu.

  • @rahmahamidu9319
    @rahmahamidu9319 6 หลายเดือนก่อน +19

    Mashallah kipenz cha watu shekh wetu mungu amjaalie kila la kheri

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 6 หลายเดือนก่อน +24

    Mashaallah leo mimi nimefurahi sana kujua historia ya shekhe Othman Maalim nilikua natamani kusikia historia yake Allah akupeni kila la duniani na akhera

  • @AishaHamis-r7x
    @AishaHamis-r7x 6 หลายเดือนก่อน +5

    Maa shaa Allah baraaka Allah fika masheikh wetu Allah awalipe kila lenye kher nanyi

  • @SalmaSalum-qw8yo
    @SalmaSalum-qw8yo 6 หลายเดือนก่อน +13

    Nilimjua sheikh kupitia redio zanzibar kwenye visa vyake alivyokua anatoa mwezi wa ramadhani visa vya mitume na qisa nilichokua nakupenda sana ni qisa cha nabii yussuf

  • @khalidahmed6900
    @khalidahmed6900 6 หลายเดือนก่อน +22

    Allah amuhifadhi Sheikh wetu na amzidishie kheri na baraka katika Elimu yake.

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 5 หลายเดือนก่อน

    MaashaAllah shekh amepambana sana Allah amuhifadh aendelee kutufundisha visa vya waja wema

  • @hadijagere
    @hadijagere 6 หลายเดือนก่อน +18

    Shekh wengi tume ipenda dini kwasababu umekuwa ukifundisha kwa hekma na busara yani mtu asipo kuelewa wewe basi tena Allah akupe umri mrefu wenye manufaa tuna hitaji watu kama nyinyi Allah akuongezee elimu na aiweke nuru aongeze ufaham kwenye kila lakheri akuwekee baraka ❤

    • @asilahassan9965
      @asilahassan9965 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ammina ya rabbill allamin

    • @ahz6907
      @ahz6907 6 หลายเดือนก่อน

      Amyn

    • @mikidadibandu3998
      @mikidadibandu3998 5 หลายเดือนก่อน

      Tunakupenda Sana hata Huku kwetu bara

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 4 หลายเดือนก่อน

    BISMILAAAH MAASHA ALLAAAH. WALLAAHI SHEKH. MIMI NNAKUPENDA SANA TWAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAAH. WALLAAHI. NAKUSIKILIZA DARSA ZAKO. KIILA SIKU. USIKU. SILALI WALLAAH USINGIZI WANGU UNAKUJA NINAPO KUSIKILIZA DARSA ZAKO WALLAAHI. YAARABY AKUZIDISHIE ELIM ZAIDI NA HEKIMA NA BUSARA. KWAKWELI MWENYE EZIMUNGU AMEKUJAALIA KIPAJI CHA KUTOWA MA DARSA MAASHA ALLAAAH

  • @RahmaRashid-lc6nw
    @RahmaRashid-lc6nw 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah Tabaraqallah mie nilitamani kujua na familia yake ana watt wangapi wake

  • @abalkib2866
    @abalkib2866 6 หลายเดือนก่อน +8

    Maasha-Allah sheikh Othman Allah akupe pepo kwa rehma zake insha-Allah.

  • @samiaahmad6182
    @samiaahmad6182 6 หลายเดือนก่อน +14

    Ma Shaa Allah ..Umejaaliwa Ilmu..busara..heshma..adabu..uskivu .mara nyingi au zote unajishusha chini kabisa kwa kumuogopa Mola wako mlezi....nahali yakuwa umejaaliwa neema ya ilmu na neema ya kueleweka na kuvutia unapotupatia ilmuu.. pasina na majigambo(majivuno) kwa kujiona mimi ndio mimi..
    Nakuombea na kujiombe nafsi yangu na umma wa kiislam Mwenyezi Mungu atupe furaha ya Dunia na kesho Akhera yenye kumpendeza Mola wetu..ameen..ameen Allah humma ameen
    Allah Ibarik

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 6 หลายเดือนก่อน +10

    Mashaallah shekhe othman maalim mungu akuzidishie umri mrefu wenye mafanikio kheri nyingi na Baraka 🙏 🙏 amin ishaallah. Natamani pia mimi mtoto wangu awe ka wewe ishaallah ❤❤❤asante kwa historia yako nzuri😊

  • @lucasndayishimiye9702
    @lucasndayishimiye9702 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi sio mwisilamu lakini huyo Sheikh namusikiliza sana

    • @Noorein-ws8wk
      @Noorein-ws8wk 5 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu ktk uislam ndugu yangu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 5 หลายเดือนก่อน

      INGO MURI ISLAM RELIGION

    • @nastehasheikh8454
      @nastehasheikh8454 5 หลายเดือนก่อน

      Karibu katika dini tukufu

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 6 หลายเดือนก่อน +7

    Mm natoka mombasa kenya hua kila siku mpka nisikilizee mawaidha yko allah akuifahdhi na akuzidihie ilmu uzidi kutuilimisha nimepata faida kubwa sana kwako natamani niwekaribu nawe sazote I WISH WAS IN ZANZIBAR❤❤❤❤❤

  • @hassanachunis1166
    @hassanachunis1166 6 หลายเดือนก่อน

    MASHALLAH ALLAH IBARIQ

  • @hanifahnabakiibi6929
    @hanifahnabakiibi6929 6 หลายเดือนก่อน +5

    JazaakAllahu khair sheikh Othman. We appreciate your teaching. Team Uganda 🇺🇬 😊

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 5 หลายเดือนก่อน

      NYABO, U KNOW
      KISWAHILI LANGUAGE?

  • @maryamzdelights1352
    @maryamzdelights1352 6 หลายเดือนก่อน

    Maa Shaa Allah...Maa Shaa Allah

  • @RahmaAbdallah-jf8uh
    @RahmaAbdallah-jf8uh 6 หลายเดือนก่อน

    Nimefurah sana kusikia sheikh wangu allah amlinde na husda

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mulize shekhe Othman maalim sauti yake mbona haizeki yani Hadi ❤Raha kikweli hatakama umegomba na mtu ukimsia yeye unatulia Kama moja

    • @ahz6907
      @ahz6907 6 หลายเดือนก่อน

      Naam😊

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah yaani sii mashekh wengi tunojua biography zao, Tunashkuru sana maalm wetu Allah akulipe kheri duniani na Akhera

  • @SaalimMody
    @SaalimMody 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wanasem shekh Athman amesom malindi markazul husna gede

  • @SHABANIABEDI-qt1vw
    @SHABANIABEDI-qt1vw 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah sim yangu nimejaza mawaidha yake na sichoki

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 6 หลายเดือนก่อน +8

    Maashallah walitoka watatu kuja TZ yaani Ali, Omar na Othman. Majina yote ya masahaba wa bwana mtume S.A.W

    • @maymunahomar5016
      @maymunahomar5016 3 หลายเดือนก่อน

      MaaShaaAllah ❤

    • @alijuma7674
      @alijuma7674 28 วันที่ผ่านมา

      Mashaallah hakika elimu ya sheikh Othman na masheikh wengine lazima tuzienzi kwa kusoma sana lakini kubwa zaidi adabu ,hekima na busara hapo elimu itapaikana .
      Mimi binafsi sheikh Othman amenifanya kujuwa vitu vingi kupitia mawaidha yake mfano mawaida yake dunia ni kijani kibichi ,dunia ni dakika tu na mawaidha ya visa vya mitume ni hatari nimetolesha CD zaidi ya 200

  • @naimachiza3939
    @naimachiza3939 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kipenzi cha Watanzania Nzima ❤❤❤Tunaomba Serekali ikupee Uraiya Kabisa Upate Passport ya Tanzania ❤❤❤

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 6 หลายเดือนก่อน +6

    Masha-Allah. Allah Akuzidishie Umri , Na Akujaze Kula la Kheir ! 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪 Ni Sheikh ni nae mpenda sana ! .na masheikh wote vile vile na wapenda wote. Allah ! Atawalipa kula la kheir. 🙏🙏🙏

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mashaallah Mashaallah nakupenda kwajili ya Allah Allah akuhifadhi...tunafaidika sana na mawaidha yako yanatubadilisha allah akulipe kheri

  • @umukulthumu1419
    @umukulthumu1419 6 หลายเดือนก่อน +3

    Wakenya watatusamehe shekhe othman maalim niwetu hamumpati tena 😂 huyu niwetu Allah katugaiya siku zote sikuwahi kujua kama sio raia wahuku shekhe tunaomba uchukue uraia ili tusije kugombania na Wakenya mana hawachelewi ili wasitusumbue🙌😂😂😂😂

    • @stevewanga957
      @stevewanga957 6 หลายเดือนก่อน

      Wakenya wataleta vita 😂

  • @shamte9musicofficial126
    @shamte9musicofficial126 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah umpe maisha marefu na umbashirie pepo ya darja ya juu Sana.

  • @bushraaljadidi7747
    @bushraaljadidi7747 6 หลายเดือนก่อน +7

    ما شاء الله شيخنا نحن نحبك كثيرا 😍

  • @ZaidiShabani-q6y
    @ZaidiShabani-q6y 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaallah hakika shekh Allah akupe mwisho mwema ww ndio mwalim wangu bila napokusikiliza uwa nakuelewa moja kwa moja nakupata utulivu wa nafsi nasijawai kuchoka kuludia elimu yako

  • @abdikanzu5261
    @abdikanzu5261 6 หลายเดือนก่อน +6

    Allah akujaalie umri mrefu wenye siha na amali njema, ili uweze kutuelimisha na kuwafundisha tuliokuwa hatujui

  • @khaliphaabubakar9466
    @khaliphaabubakar9466 หลายเดือนก่อน +1

    Tunampenda sheikh Othman Maalim.
    Asante kwa kutuletea sheikh wetu kipenzi.Tunaomba mzime TV hapo studio maana inatutoa kwenye mada.
    Shukran

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 6 หลายเดือนก่อน

    MASHAA ALLAH ,ULILELEKA KI ILIMU .

  • @hamisisamuli6055
    @hamisisamuli6055 6 หลายเดือนก่อน +3

    MaShaAllah, Allah Akuhifadhi Sheikh Wetu Tunajifunza Mengi kutoka kwako.

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 5 หลายเดือนก่อน +4

    *Allahumma baarik sheikh kwa mawaidha zote ulizotufundisha tumefaidika mno. Jazaa yako kwa Allah. Na daima matani yako / comedy ndiyo huzidisha ladha kwa mawaidha yako.😂😂😂 Shukran sana* 💞

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 5 หลายเดือนก่อน

      NDUGU
      HIZO LETTER ZAKO
      UMEZIANDIKAJE????
      NIME PENDA ULIVY ANDIK

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 5 หลายเดือนก่อน

      @@allahisone6386 Shukran

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 6 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @ednamachocho3059
    @ednamachocho3059 2 หลายเดือนก่อน

    Leo mimi mchoyo kumbe wakwetu wewe halafu umepotelea huko kwa wenyewe RUDI NYUMBANI SHEIKH OTHMAN MAALIM

  • @aminaabood2898
    @aminaabood2898 17 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Allah akuhifadh.akupe UMRI mrefu.shekhe maliim Othman maliim.mashallah.mimi nijuamuzanzibar

  • @ayoubrashid8392
    @ayoubrashid8392 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeskiliza sehem zote lakini ulipomtaja Shekh Kish nimeshtuka hhh WALLAHI Ni mwanazuoni mkubwaa

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 6 หลายเดือนก่อน +4

    Masha Allah Masha Allah sheikh wetu Allah mpe umri mrefu wenye kheri na barka tele ili tuzidi ilimika

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kama shekhe Othman maalim nikimsikia roho yangu inasuzika mashaallh nani nampenda

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 5 หลายเดือนก่อน

      INASUZIKA
      NDIOOO WAMAANISHA?

  • @AbuubakarHamadAbdalla
    @AbuubakarHamadAbdalla 6 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh Rashid tuletee Sheikh Shaharan Mussa Jongo

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 6 หลายเดือนก่อน +4

    Katika masheli nawapendao Tanzania yy ndio namba moja Allah amuhifadhi na kila shari za watu wabaya

  • @nzabahabwanimanaaisha9923
    @nzabahabwanimanaaisha9923 6 หลายเดือนก่อน +4

    A A W W Othuman Maalim sauti yoko ukisoma Qor an roho yangu inapata uturivu nakupenda kwa ajiri ya Allah.Aisha kutoka Rwanda ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @ummohammed8380
      @ummohammed8380 6 หลายเดือนก่อน

      Asallam aleikum ndugu yangu usiifupishe hii Usiandike kwa kifupi
      Kwenye salam kuna jina la Mungu haifai kukatishwa

    • @1nesoch
      @1nesoch 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@ummohammed8380
      Allah atusaheme makosa tunayofanya bila kujuwa ao kwa kusahau.
      Allahuma Amin.

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo 2 หลายเดือนก่อน

    29:30 Maalim usiondoke maisha hapa😂😂😂😂 Zanzibar ni kwenu hasa, nakukumbuka sana hata daawa zako Dar ,nilipokuwa mdogo,nikijisifu memuona Sh Othman Maalim kumbe hata sjamuona .. Nilikuwa nikifikiri Sh atakuwa mtu mzimaa kumbe sh kijana zama izo😂😂

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 6 หลายเดือนก่อน +2

    masalafi shikeni ADABU ZENU KUMTUKANA USTADH MAALLIM ❤

  • @zabibunyirasafali852
    @zabibunyirasafali852 5 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba na sisi. Sheikh wetu . Kuja huku Rwanda. Tutafurahi Sanaa.

  • @hamesmido2975
    @hamesmido2975 6 หลายเดือนก่อน

    Mashallah❤

  • @NanaHassan-s8x
    @NanaHassan-s8x 3 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah tabarakallah, mungu akuzidishie 🎉🎉🎉

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaaaallah mashaaaallah

  • @hawahamza1085
    @hawahamza1085 3 วันที่ผ่านมา

    Hongera kwa historia nzur na Ahsante kwa kutoa taaluma kwetuAllah azid kukuongoza

  • @zabibunyirasafali852
    @zabibunyirasafali852 5 วันที่ผ่านมา

    Shekh wetu Allah azidi.kukupa umri mrefu. Ata watu wa Rwanda tunakupenda.

  • @HalimaOmar-u5x
    @HalimaOmar-u5x หลายเดือนก่อน

    Ma sha Allah sheikh Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha na darsa tofauti tofauti

  • @ahmadimahmoud9014
    @ahmadimahmoud9014 6 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran kwake mwalim wetu kwa yote unayo tufunza sisi ni wanafunzi wake kutoka Congo drc goma

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 6 หลายเดือนก่อน +5

    Masha ALLAH Tabarakallah ❤ ♥❤.ALLAH akuhifadh sheikh wetu kipenz 4rm Kenya 🇰🇪

    • @kimarumarwa3464
      @kimarumarwa3464 6 หลายเดือนก่อน

      Zanzibar ni Makka ndogo tangu zamani,

    • @aishakinia4957
      @aishakinia4957 6 หลายเดือนก่อน

      Amiin Yaraab nimeenukia na mawaidha ya sheikh othman maalim Allah ampe umri mrefu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 5 หลายเดือนก่อน


      😅AL-KAABA IPO? 😅

    • @SakinaSakinat-qd9rs
      @SakinaSakinat-qd9rs 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@aishakinia4957.. Amiin Amiin Amiin my dada

  • @AhmedSheikh-v9i
    @AhmedSheikh-v9i 6 หลายเดือนก่อน +2

    Tafadhali Sheikh, umetueleza juu ya wazazi wako na ndugu zako na tumefaidika sana but pia tueleze juu ya familia yako, yaani mke (au wake) na watoto wako

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo 2 หลายเดือนก่อน

    35:50 ulipomtaja sheikh Nassor umetushtua maalim wetu

  • @yuenbiao1777
    @yuenbiao1777 หลายเดือนก่อน

    Sheikh wetu Sheikh wetu kipenzi chetu kiongozi wetu

  • @MudymazindeMazinde
    @MudymazindeMazinde 2 หลายเดือนก่อน

    ALLAH amjaalie sheikh Othman maalim...ampe kila lenye heri

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k 29 วันที่ผ่านมา

    Mashallh allh akuhifadhi shekhe Othman maalim fill-dunia wall akhera wewe pamojanafamiliayako naakupe sihanjema na allh akupepoyake wewenafamiliayako pamojanasisi

  • @husseinkhamis3475
    @husseinkhamis3475 5 หลายเดือนก่อน

    Kama kuna interview hii ya Karne
    Allah Allah Khusna l Khatima
    Sheikh wewe sio Mkenya sio Mtanzania wew ni wetu sote
    Kuna kitu Allah amekupa masheikh hapa Tanzania hawana

  • @hawaasaid383
    @hawaasaid383 4 หลายเดือนก่อน

    Shekh rudi kenya mbona ulituhama? Wa wa kwale wanahitaji elmu pia

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 5 หลายเดือนก่อน

    Ulianza Mambrui kwa Bidhwi ulimalizia wapi Sheikh ?

  • @idrisjumadarusi3037
    @idrisjumadarusi3037 5 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah Sheikh ama kwa hakika chema hujiuza...Allah atuzidishie na atujaalie Kila kheir yake ...Amin

  • @kariuknoor5753
    @kariuknoor5753 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nampnda xn shekhe othumani❤ allah amuweke

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy 6 หลายเดือนก่อน +3

    Maasha allah shelhe wangu nataman sikumoj tukutan nitafurah zaid nampenda shekhe othuman najifunz mambo meng kupitia mawaidha yake allah akuhifadhi

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa ufupi useme ulianzia Al ghanai ukamilizia Swalihiina ?

  • @masooddzilabwenimwadzila5058
    @masooddzilabwenimwadzila5058 4 หลายเดือนก่อน

    Asalaam alleykum
    Naomba namba ya Sheikh Othman.

  • @katore1982
    @katore1982 6 หลายเดือนก่อน +1

    TabarakaAllah fii nimyenyekevu kujibu maswali Allah azidi kukujaaliya Elmu utufunze dini yetu Islam

  • @allahisone6386
    @allahisone6386 5 หลายเดือนก่อน

    OH, MKENYA KUMBE
    MSAMBWENI KWALE
    &
    LIKONI

  • @KakaYoyo-nv8fb
    @KakaYoyo-nv8fb 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupendasana sheik Wang nikoBurund

  • @AbdulaziziPacha
    @AbdulaziziPacha 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh ni mtu wa kheri kuna watu tunaitwa pacha wake kwa kumuigayeye

  • @MankooBoy
    @MankooBoy 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah Allah akuhifadhi shekhe wetu

  • @bwengyeashraf5081
    @bwengyeashraf5081 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ni sheikh wangu
    حفظه الله

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 5 หลายเดือนก่อน

    Historia ya Kielimu n Muhimu

  • @hatujuanisalum9354
    @hatujuanisalum9354 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nashindwa nimepata kigugumizi kuona historia ya ya huyu baba,nampenda kwa ajili ya Allah simu yangu imejaa maneno yake yake sauti mawaidha mafunzo matamu murua ya visa vya mitume yote hayachoshi kuyasikiliza nimejua mengi kupitia mawaidha yake .nashindwa kuelezea Allah ampe umri mrefu azidi kutuelimisha azidi kuelimisha sisi na vizazi vyetu vijavyo. Mimi dada yako. Nakupenda kwa ajili ya Allah.

  • @JasminiAthumani
    @JasminiAthumani หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Allah azid kukuweka

  • @habibiddy8096
    @habibiddy8096 6 หลายเดือนก่อน +2

    MashaAllah hii ni miongoni mwa TH-cam channel ambayo hujutii kuitazama Allah akujaalie heri na aikuze zaidi na zaidi ifike mbali

  • @apexmombasa6809
    @apexmombasa6809 4 หลายเดือนก่อน

    Ma sha Allah ya sheik Othman Malim

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 22 วันที่ผ่านมา

    Alfatah tv jazakumulaah

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 6 หลายเดือนก่อน +6

    Alhamdulilah. Watu wa Unguja na Pemba wamekuvuliya kofiya na ushakuwa mtu wa hapo Unguja mpaka ucheshi wako na lafdhi ya lugha yako tunaipenda. Mashaallah

  • @muskhaj1230
    @muskhaj1230 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mashallah SHEIKH RASHID KWA KUMLETA MWALIM WETU SHEIKH WETU HATA WW NI MWALIM WAKO.
    KUNA SIKU ULINISABABISHA NIJE MSIKITINI NILISIKIA SAUTI YA SHEIKH OTHMAN MAALIM KUMBE KUJA UPO WEWE SHEIKH RASHID SALIM
    MASHALLAH ALLAH AKULIPENI KHERI.

  • @bwanakaleshallo1305
    @bwanakaleshallo1305 5 หลายเดือนก่อน

    Al-Akh Uthman Mbona naona unaogopa kusema ulisoma pia Gede na zaidi Maahad Kisauni?

  • @ZubedaMgalla-tn1df
    @ZubedaMgalla-tn1df 6 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaaa ALLAH kazi nzuri walimu zetu...MOLA AWAHIFADHI KWA KAZI KUBWA MUNAYOIFANYA amin

  • @Athmanobo
    @Athmanobo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah ustadh osman amenisomesha Islamic teachers training college mikindani mombasa Allah (sw) amuhifadhi.

  • @omaryakub5387
    @omaryakub5387 5 หลายเดือนก่อน

    shekh nafsy ni nini, watu na wanyama ama

  • @EshaRashid-i9c
    @EshaRashid-i9c 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akujalie maisha mema duniani na akhera inshallah babuu uthman Maalim .Much love from wajukuu zako upande huu wa kwale

  • @DON_CARE
    @DON_CARE 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana sheikh othmaan maalim kutoka moyoni 🤝😊

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 หลายเดือนก่อน

    Shekh tunakupenda

  • @AlifChingande
    @AlifChingande 4 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allah

  • @DaudaBilikesi
    @DaudaBilikesi 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ni Sheikh mzuri na Mwalimu aliyetimia.Amejaaliwa mvuto wa kusikilizwa na kutochosha masikio ya wasikilizaji wake.Hakika ni mjuzi aliyejaaliwa karama njema ya kufikisha.Allah amhifadhi na kumpanua zaidi ili Ummah uendelee kumfaidi na yeye anufaike pia,Biidhnillah.

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 6 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah mm hua najua katokea sehemu ya mjini kumbe katoka Digo ....Mola akuhifadhi sheikh wetu

  • @ahmedhamisi-jc2hs
    @ahmedhamisi-jc2hs 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli kabisa shekh wetu othuman maalim akitoa darasa ugusa moyo na lazima mtu abadike