Hiyo sio sababu sema na wa zanzibar wenyewe mmejaa laana za kila aina siku zote kilicho chema ni chema haki badili tabia mkiona tabia zenu zimabadilika juwa hata nyie wenyewe mmechangia kwenye kila laana na maasi mmo na ndo mana Allah akajalia zanzibar mashekhe wengi na wana zuoni ili watu wapate ponyo juu na nafsi zenu Moja ya kiburi mlicho nacho na nikibaya zaidi ni kujiona nyie mmeongoka ilhali matendo yenu ni machafu mkae mkijua hakuna mkamilifu na peponi watakao Ingia ni waumini
watu wa kilwa walikwenda ,wasio Rudi maka ndio walikua masahaba ,walikwenda Mara ya pili walikuta mtume amefariki ,ndio historia ,MTU akiwa mzazibar ,historia anavuria Zanzibar au akiolea MTU anapamba zanzimba inchi ya karibuni , zipo pesa za kilwa ,za zamani zipomwd na zipimwe z Zanzibar kitongoji Cha kilwa 😊
huyo mwana histori afanye ijitihada ,asinene mapenzi ya watu ,Zanzibar wametoka kilwa kishahiri kilwa ndio nyumbani kwake ,waarabu walifika kilwa,,kwanza ktk miji yetu wa pwani ,ndio kikazaliwa kishwahiri ,
Msikiti wa Kiblateni uliopo Katika kisiwa cha Pate ilikuwa na Sehemu ya Zanzibar mwaka 1896 ndio Zanzibar ilipokonywa kisiwa cha Pate kabla ya kupewa Kenya
Daa ila watu bana? Kwani uongo hapo wewe unaomanisha niupi sasa? Mnaambiwa someni ila hamtaki kazi kubisha juhudi za watu wanao jitahidi kuwasaidia mpate maarifa japo kidogo tu
"Wazanzibari ni wayahudi"? Labda nikujibu hivi Tawrati ni kitabu kilicholetwa na Mungu kupitia kwa nabii Mussa/Suleiman n.k. Baaada ya miaka na binaadamu kupotea katika dini, akatumwa nabii Issa atangaze Injili (ni dini hiyo hiyo moja). Baada ya miaka na watu kupotea katika dini...Mungu akamleta nabii Muhammad (SAW) kutangaza Quraan (kukamilisha dini yake ile ile tangu milele) Kiufupi...binaadamu wa (sasa) zanzibar inaweza kuwa wengi wao walifuata kiyahudi (wajumbe wa mwanzo), baadae wakafata injil (mjumbe aliyofatia) na kumalizia kwa mjumbe wa mwisho wa Mungu.
ZANZIBAR AFTER EGYPT Mnamo 1990 nilisoma Encyclopedia kuwa: "Zanzibar has the longest history in Africa after Egypt but the little geography." Hiyo Zanzibar Islamiyyah sio Zanzibar Nyerereiyyah.
Mbwana salim maxammed tunakuamini sana kwa kupenyapenya kila aina ya chochoro kutupatia hbr muhimu Allah akuzaidishie umri mrefu
Mashallah tabaraqah.
Ahsante sana kwa nice history.
Kuna watu hawapendi kusikiliza wa wanakuja na majawa humu. Sikilizeni mpate faida .
Mashehe wasomi safi sana kwa kutufundisha historia
Alhamdulillah zanzibar yetu,inatajwa vibaya na watwana waliotoka pasipo julikana,mti mwenye matunda hauachi kupingwa mawe
Asanten kwa historia
Mhhh! Haya Mungu atusaidie tu.
You are right shekh
Mashallah
Mashaallah Allha
YEMEN NDIO WANAJUA NA NDIO ZENJIBAR ASILI YAKE
Subhanallah
Kwa kutupa history inapendeza ila mjue kabisa wawekezaji waja kuporomosha ule udhuri ulio elezwa na walio kuja kutembelea
Utukufu umeondoka Kwa sababu mitwana na mijakazi imejaa
Hiyo sio sababu sema na wa zanzibar wenyewe mmejaa laana za kila aina siku zote kilicho chema ni chema haki badili tabia mkiona tabia zenu zimabadilika juwa hata nyie wenyewe mmechangia kwenye kila laana na maasi mmo na ndo mana Allah akajalia zanzibar mashekhe wengi na wana zuoni ili watu wapate ponyo juu na nafsi zenu
Moja ya kiburi mlicho nacho na nikibaya zaidi ni kujiona nyie mmeongoka ilhali matendo yenu ni machafu mkae mkijua hakuna mkamilifu na peponi watakao Ingia ni waumini
😅😅😅😅😂
Inasemekana hata nabii mussa alifika zanzibar na yule mtu aliemzidi elimu alikuwa ni mtu wa east africa.
Ni kutoka Zanzibar kaka ndio chanzo cha elimu east africa
Na hata kwenye Ile misahafu minne iliyoandikwa mmoja ulipelekwa tumbatu
Hajuwi kitu uyo mtu wa uguja ana ubinafsi alifika pemba naabii suleiman ali fika pemba haja uguja mwambie ache ubinafsi wa uguja na upemba😊
Ww ndo una ubinafsi maana yeye hajasema unguja Ila kasema ZANZIBAR
watu wa kilwa walikwenda ,wasio Rudi maka ndio walikua masahaba ,walikwenda Mara ya pili walikuta mtume amefariki ,ndio historia ,MTU akiwa mzazibar ,historia anavuria Zanzibar au akiolea MTU anapamba zanzimba inchi ya karibuni , zipo pesa za kilwa ,za zamani zipomwd na zipimwe z Zanzibar kitongoji Cha kilwa 😊
Hakika zanzibar ni mwambao wa pwani wote, ikiwemo na kilwa. Wameikatakata ndo wamevibakisha ivo visiwa tu
Ilikuwa zamani saiv kilicho baki ulevi mtupu 😅😅😅😅
Baass
huyo mwana histori afanye ijitihada ,asinene mapenzi ya watu ,Zanzibar wametoka kilwa kishahiri kilwa ndio nyumbani kwake ,waarabu walifika kilwa,,kwanza ktk miji yetu wa pwani ,ndio kikazaliwa kishwahiri ,
Zanzibar ipo tokea karne ya kwanza BC huko Tanganyika ilikua pori tu na badae wageni na wafanya biashara wakaweka makaazi sehem za mwambao.
Hahahah kiswahiri kweli kilianzia kilwa ila sisi tunazungumzia kiswahili kwenyewe ni Zanzibar 😅
kiblateyni kweli iko patte island kijijini siyu kilikuwa nikijiji cha kihistory hata wa zanziber walienda kwa war hadhramut na British colony rules
Msikiti wa Kiblateni uliopo Katika kisiwa cha Pate ilikuwa na Sehemu ya Zanzibar mwaka 1896 ndio Zanzibar ilipokonywa kisiwa cha Pate kabla ya kupewa Kenya
Kheeee...kumbe Balkis aliitawala mpaka Zanzibar yetu hii jamani?
Wewe muongo ombamsamaha kwa ALLAH
Daa ila watu bana? Kwani uongo hapo wewe unaomanisha niupi sasa? Mnaambiwa someni ila hamtaki kazi kubisha juhudi za watu wanao jitahidi kuwasaidia mpate maarifa japo kidogo tu
Lete yako ya ukweli kama yy muongo. Nyinyi ndio walewale wasiotaka kusikia Zanzibar inatajwa vizuri. Mahasidi wakubwa
Sifa zikizidi unakua ujinga, hata jina hili sio la kiarabu ni la kiajemi
Ccm waongo wanatuambia warabu wageni na wabantu ndo wenyeji kumbe KUSH na WARABU ndo Wazanzibar
KWA HIYO WAZANZIBARI ni kusema ni WAYAHUDI??? Maana Suleimani alikua Mwebrania na tena Myahudi aliyekamilika
Ndio waemrania ndio kizazi cha mwanzobpemba tolea karne ya kwanza walikuwa wanaongea kibrania
Htakama tuwe nani lakini Balkisi alifika na kukaa Zanzibr
"Wazanzibari ni wayahudi"? Labda nikujibu hivi Tawrati ni kitabu kilicholetwa na Mungu kupitia kwa nabii Mussa/Suleiman n.k.
Baaada ya miaka na binaadamu kupotea katika dini, akatumwa nabii Issa atangaze Injili (ni dini hiyo hiyo moja).
Baada ya miaka na watu kupotea katika dini...Mungu akamleta nabii Muhammad (SAW) kutangaza Quraan (kukamilisha dini yake ile ile tangu milele)
Kiufupi...binaadamu wa (sasa) zanzibar inaweza kuwa wengi wao walifuata kiyahudi (wajumbe wa mwanzo), baadae wakafata injil (mjumbe aliyofatia) na kumalizia kwa mjumbe wa mwisho wa Mungu.
ZANZIBAR AFTER EGYPT
Mnamo 1990 nilisoma Encyclopedia kuwa:
"Zanzibar has the longest history in Africa after Egypt but the little geography."
Hiyo Zanzibar Islamiyyah sio Zanzibar Nyerereiyyah.