MFAHAMU MWANDISHI MKONGWE AMBAYE ZANZIBAR INAJIVUNIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 เม.ย. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 62

  • @muddaththirhamoud1240
    @muddaththirhamoud1240 2 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu mzee ana elimu kubwa sana ❤ Ahojiwe tena huyu kuhusu Historia ya Zanzibar

    • @knight6757
      @knight6757 2 หลายเดือนก่อน

      Andike kitabu cha historia ya Zanzibar!

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 หลายเดือนก่อน

    Ingependeza kwa viongozi wetu,kutathmini michango ya watu km hawa na kutunza historia km hii iliyotukuka,ni zawadi kubwa kwa vizazi vya ss na vijavyo.Hongera sn Sk Salim ,Mmungu akutunze uendelee kutema madi kwa faida ya Wazanzibari

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mashallah leo sh Rashid umetuletea mtu wa maana kabisaaa ,

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 2 หลายเดือนก่อน +4

    WAZANZIBARI NI WASOMI SANA, ILA WANAFELISHWA NA WAKOLONI WATANGANYIKA KWA UCHOYO NA ROHO MBAYA ZAO! YAANI ILE MISUKULE YA TANGANYIKA INAROHO MBOVUUU🦝🦝

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 หลายเดือนก่อน

      Tutawatawala hadi kufa,mkundu wewe uliezaliwa na kahaba mamaako

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

      Hii ndio heshima ya WaTanzania ilobakia baada ya Muungano wa miaka 60. Iko wapi heshima, utamaduni, dasturi, ya MTanganyika ?? ilokuwa ikijulikana East Africa nzima. Kuna time Watoto wa kizungu watakuja kukutawalini mkitaka msitake maana wa Africa wengi kutoka Tanzania wamekubali kuwawacha uwafrika wenzao na kwenda kujiuza kwa Wazungu ili wapate watoto Weupe. Hao kesho watakuja kudai haki za wazee wao. Kwa taarifa yako.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

      @@vincentcharles4385 Ndio Elimu uliyo ipata kwa wazazi wako.

    • @safarsafari68
      @safarsafari68 2 หลายเดือนก่อน

      Acha matusi tunaheshima zetu​@@vincentcharles4385

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 2 หลายเดือนก่อน +1

    NAMSHUKURU ALLAH ZANZIBAR WAZEE WETU WALISOMA KAMA ENGELIKUA WAZEE WETU HAWAKUSOMA WATANGANYIKA NDIO WENGETUMALIZA HASWAAA NA WAO ALHAMDULLILLAH WAMETUSOMESHA
    SITOMSAHAU MZEE WANGU ALLAH AMREHEMU

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah shukran sana kwa zawadi nzuri ulotuletea na amini utatupa zawadi nzur zaidi ❤

  • @othmankhamis885
    @othmankhamis885 2 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah, hii ndo Ile ya kaka yangu KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU, ndo zanzibar inapopitia

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wallah zanzibar ila watu wa ibadilisha ikaapa juu kimataifa na wananchi maisha yao ikawa madhuri. Ila viongozi bdo wana umimi .tenna ni viongozi wa chini kabisa

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 หลายเดือนก่อน +2

    Salim Ahmed Salim nakukubali vibaya sana

  • @user-rv2gb2gi7q
    @user-rv2gb2gi7q 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee Salim Allah amjalie mwisho mwema na aendelee kusimamia ukweli kama anavyosema

  • @vitalismlay5905
    @vitalismlay5905 2 หลายเดือนก่อน

    Mwandisho mzuri mwenye kipaji cha ajabu.
    Nilpata bahati ya kukaa pamoja Arusha Kwa kipindi tofauti zaidi ya mara tutu Kwa kweli nilijifunza mengi sana kutoka kwake.
    Mlete Tena atupe elimu tujue historian ya Zanzibar na mapinduzi yake.
    Inshallah Mungu ampe maisha marefu.

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 หลายเดือนก่อน

    Mashallah znz

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh rashid tunakuomba please tuletee tenaa tunafaidika sana na elimu . Sio kisiasa kijamii.

  • @aishaswedy6856
    @aishaswedy6856 2 หลายเดือนก่อน

    Na ni mwalimu mzuri sana na ukimsikiliza hachoshi in shaa Allah mungu azidi kumtia afya

  • @YUSSUF-ns4cl
    @YUSSUF-ns4cl 2 หลายเดือนก่อน

    MASHALLAH WATU WA MAANA KAMA HAWA HUWA WANABANIWA LKN HONGERA ALFATAH

  • @zakiaqasim5312
    @zakiaqasim5312 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maasha Allah tumefaidika

  • @user-hb9bn5xe6x
    @user-hb9bn5xe6x 2 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maashaallah hiki kichwa💯👌🫴

  • @znzislamiconline121
    @znzislamiconline121 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah Mzee Wetu Allah ampe Afya njema na umri mrefu tupate Almasi alizo kua nazo

  • @abdulatifmoxamed8047
    @abdulatifmoxamed8047 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wazanzibari wengi wasomi walikimbia nchi sababu ya madhila yalotokea hapo nyuma huyu kabakia mungu kambakisha tupate madini toka kwake

  • @allybin08
    @allybin08 2 หลายเดือนก่อน +1

    Masha allah

  • @mohdalliy656
    @mohdalliy656 2 หลายเดือนก่อน +1

    @al fatah Hyu mzeee Arjshwee tna Ktema Madini mngii mnooo Ardiwe tnaa

  • @allybin08
    @allybin08 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah awape umri mrefu watu kama hawa ndio hazina zetu zilizo baki

  • @ABDULLAOALI
    @ABDULLAOALI 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah, goog job

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hazina kama hiz ndio muwape nafas wapate kuetuemisha

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 2 หลายเดือนก่อน +3

    Saiv kuna majina ya ajabu ajabu 😅

  • @lmdos4382
    @lmdos4382 2 หลายเดือนก่อน

    We need more of him

  • @Dadydadonmiki-dg3nl
    @Dadydadonmiki-dg3nl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee ana madini mengi Sana.

  • @mbeguofficial6646
    @mbeguofficial6646 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee anavitu vingi kichwani!!!

  • @SaidAbdalla-gl2dp
    @SaidAbdalla-gl2dp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah nimekumbuka mbali wakati kuna wakati nilikuwa daktari wa small simba. Small simba ya kina Shaaban musss.inosent haule,kina ubwa khamis,Rashid khamis .lambo na wengn.

  • @dadysamsungalaxt8289
    @dadysamsungalaxt8289 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli nimesikitishwa na huyu mzee maana amefanya kazi kubwa sana lakini kwa kauli yake yeye hasaminiwi ni kweli maana hii ni kawaida yet u mimi ningependa kumuona nitamuona vipi?

  • @user-hx8tj3oe3r
    @user-hx8tj3oe3r 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @safarsafari68
    @safarsafari68 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee wa maana huyu..sio mchezo

  • @salmarajabu4712
    @salmarajabu4712 หลายเดือนก่อน

    Mbona wafanana na muarabu Moja alikua dalali mkubwa Mombasa marehema shamiri aligia Mombasa kwao unguja watu niwawiliwawili walahi

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 2 หลายเดือนก่อน

    Nishamsikia mara nyingi sana
    BBcna sauti ya ujarumani

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna "sisi" na "sie" ndio tulichonacho

  • @movora4466
    @movora4466 2 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha sana

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 2 หลายเดือนก่อน

    I think you are right he was called Muharami Kirara

  • @festomombo5859
    @festomombo5859 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo elimu kwa kweli inahitajika kuwafikia wengi

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kama awo washauliw weng zanzibar

  • @bakarali6094
    @bakarali6094 2 หลายเดือนก่อน +1

    huyu mtu tunamuhitaji tena tupate zaid na zaid tusiyoyajuwa

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 หลายเดือนก่อน

    Kwa nn Viongozi wetu ndani ys Znz hawawatumii wazee km hawakupata na kutunza historia iliyotukuka?

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ana bongo sana

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee lazima apewe nafasi ya kuzungumza zaidi.... Naomba mumlete Tena bcz hii ni historia Sasa akijaakiondoka ndio itapotea

  • @FahadAbubakari
    @FahadAbubakari 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mleteni tena huyu mzee

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน +1

      Lazima wamlete tena na tena. Mwandishi hodari sana wa hapo Unguja Mungu amuweke.

    • @user-po1cq9so9h
      @user-po1cq9so9h 2 หลายเดือนก่อน

      Kirara kawa chizi

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-po1cq9so9h Kwenu nyiye mwenye Elimu yake, anosema ukweli, mwenye heshima anakuwa chizi. Kama yeye chizi basi wewe utakuwa jam 😂😂😂

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 2 หลายเดือนก่อน

    Sjaiona sehemu ya pili

  • @SalumHamad-vr2je
    @SalumHamad-vr2je 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ni baraabara

  • @maryamahmed1753
    @maryamahmed1753 2 หลายเดือนก่อน

    Muharram kirara alicheza Shangani halafu KMKM.
    Kirara aliyemtaja ambaye alichezea S.Simba aliwahi yeye na Sinapo kucheza Annuur.
    Jina la huyo marehemu limenitoka

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 2 หลายเดือนก่อน

    Watu wa fupi si wakuwachezea, Salim Said ni mtata haogopi kitu

  • @aliabdulrahman1202
    @aliabdulrahman1202 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 2 หลายเดือนก่อน

    uymzee ana matirial nyingi nyingi tupatie tena huyu rashid