WACHUNGUZE MAHASIDI WAKO TABIA HIZI //SHEIKH OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • USISAHAU KU SUBSCRIBE

ความคิดเห็น • 73

  • @FatoumiaMango
    @FatoumiaMango 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu akupe maisha marefu maalimu Othman

  • @mofidamofidda7877
    @mofidamofidda7877 3 หลายเดือนก่อน +2

    Allah Akbar ❤

  • @OthmanSaid-rr5xf
    @OthmanSaid-rr5xf 5 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akulipe kilalaheri sheikh othman maalim

  • @EuniceOdegea
    @EuniceOdegea 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah may allah grant you mercy.

  • @Mona-i9f
    @Mona-i9f 10 หลายเดือนก่อน +17

    Mashallah napenda mawaidha ya ustadhi huyu mimi Mashallah 😊M.mungu ampe shifaa azidi kutuelimisha

  • @HASSANAMANI-l4l
    @HASSANAMANI-l4l 10 หลายเดือนก่อน +13

    Allah akupe ujira ulio wa kheri na wote wanao fatilia maidha yako sheik othman maalim

    • @DjumaAsha
      @DjumaAsha 10 หลายเดือนก่อน +2

      Aaaamina ya Rabby 🤲 🤲

    • @yedogalla1377
      @yedogalla1377 7 หลายเดือนก่อน +1

      AMIN

    • @rizikishahari6948
      @rizikishahari6948 3 หลายเดือนก่อน

      Allahumma Amin!

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 10 หลายเดือนก่อน +5

    Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe Jannah firdausi Yarabb Allahumma Ameen, Nakupenda kwaajili ya Allah shekhe Othman Maalim, nafurahia uwepo wako, Allah akupe umri mrefu na Afya NJEMA shekhe Othman Maalim, Tunakupenda mno 🙏🙏

    • @Tima-q4y
      @Tima-q4y 10 หลายเดือนก่อน +1

      🤲🤲🤲

  • @KautharSuleiman
    @KautharSuleiman 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda sana sheikh othman sichoki kusikiliza mawaidha yko Allah akupe afya njema na akupe umri mrefu tuzidi kufaidika na mawaidha yko .Amiin

  • @SAIDAL-HARTHY-b7d
    @SAIDAL-HARTHY-b7d 10 หลายเดือนก่อน +4

    Jizaaka llah sheikh othman ALLAH akuhifadhi na akuzidishie kheri sheikh

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallha may Allah protect us all amin ❤

  • @MariamZeidy
    @MariamZeidy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah Allah akuzidishie katika elmu yako🙏🙏🙏,,, nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @HadijaSalim-i5u
    @HadijaSalim-i5u 10 หลายเดือนก่อน +1

    Salaam alaekum sheik Othman malim mungu akupe afya na umri mrefu na kupenda Kwa ajili ya Allah akupe kila kheiri duniani na akhera inshaallah

  • @KhansaaHamisi
    @KhansaaHamisi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuafikie katika kila kher InshaAllah nakupenda kwa ajili y Allah

  • @cellcelll2151
    @cellcelll2151 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akujaze kheir sheik

  • @LeilAMbegu
    @LeilAMbegu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaalah barakallah shehe othuman mungu akulipe Amiin nakupenda Kwa ajili ya mola wangu mlezi

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mmungu akupe afya na umri mrefu amin.

  • @Tima-q4y
    @Tima-q4y 10 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah ustdh Allah akulinde n hasadi akupe umri na afya uzidi kutuelimisha🤲🤲

  • @zuakhalfan9767
    @zuakhalfan9767 9 หลายเดือนก่อน +1

    Masha allah napenda sana mawaidha yako allah akupe afya na umri amin

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah ya-ustathi othman ❤asante kwa kutuelimisha Nitazingatia mungu akulinde na husda za macho

  • @Saudaboshori-ie7en
    @Saudaboshori-ie7en 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh Othman Maalim nkpnda kwaajili YA Allah

  • @yedogalla1377
    @yedogalla1377 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah ❤❤

  • @halidibenali2548
    @halidibenali2548 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki. Malipo yako peponi bila hisabu

  • @nurathkhalid1993
    @nurathkhalid1993 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akulipe kwa kila herufi unayoisoma

  • @AJALAMICKIDAD
    @AJALAMICKIDAD 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah kea hadith nzuri Allah akuhifadhj

  • @SalmaMohamed-z8e
    @SalmaMohamed-z8e 10 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akupe afya umri mrefu nawe Uwe miongoni Wa waja wake Wema inshaallaah

  • @NonotiMokiwa
    @NonotiMokiwa 10 หลายเดือนก่อน +1

    mm naitwa nonoti mokiwa mdogowangu shekhi othumani maalimu mm siwezi kulala bila kusikiza mawaidha yako

  • @AishaHamis-r7x
    @AishaHamis-r7x 10 หลายเดือนก่อน

    Alihamndulillah maa shaa Allah sheikh wangu nafatilia sana mawaidha yako yana mafundisho sana wallah Allah akupe umr mrefu Ammina 🤲

  • @OmarAli-bx9uo
    @OmarAli-bx9uo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu akujazee kheri na baraka zake katika kipaji chako

  • @aminaSuleyman-d6y
    @aminaSuleyman-d6y 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jazzallahu ghaira kwa ukumbusho na somo zury

  • @AnisaA-v4v
    @AnisaA-v4v 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allah na akulipe inshallah ❤

  • @Midathuborana21
    @Midathuborana21 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mawaidha nzuri sheikh

  • @MurjanaRose
    @MurjanaRose 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah allah akuhifazi shekhe wetu amin

  • @HappyBlueMackerel-ym7yh
    @HappyBlueMackerel-ym7yh 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akulipe

  • @zuleikhaKhamiss
    @zuleikhaKhamiss 9 หลายเดือนก่อน

    Subuhanallah nimelishuhudia hilo, Allah Atunusuru 🙏

  • @a.856
    @a.856 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah khayran

  • @MuhsinKitwana
    @MuhsinKitwana 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen InshAllah.

  • @ZayanaIdrisa
    @ZayanaIdrisa 10 หลายเดือนก่อน

    Allah akuingize ktk pepo ya fir dawsi kwa kazi unayo ifanya

  • @MuscatRuwi-er5jh
    @MuscatRuwi-er5jh 9 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe heri nyingi shekhe

  • @biashaomar2367
    @biashaomar2367 10 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah

  • @ZeituniRashidi
    @ZeituniRashidi 9 หลายเดือนก่อน

    Allahakujalie uipatepepo mashallah kwamawaidhaunayotoa

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 3 หลายเดือนก่อน

    Ni mtihani kwa kweli

  • @KhamisMdzomba-w6h
    @KhamisMdzomba-w6h 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah kheir

  • @ArumiyahAkidu
    @ArumiyahAkidu 9 หลายเดือนก่อน

    Jazaaka llahu khayraa maulaana

  • @KhamisMdzomba-w6h
    @KhamisMdzomba-w6h 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah kheir sheikh

  • @AshaSaid-do2kj
    @AshaSaid-do2kj 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jazaka Allahu khair

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jazaka llahul kher sheikh wetu

  • @salmamfaume1073
    @salmamfaume1073 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah khaira ❤❤❤

  • @Khadijahabib-z2d
    @Khadijahabib-z2d 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani kumbe kwetu Burundi huji tume kukumbuka mwalim wetu

  • @fatimaalhabsii1728
    @fatimaalhabsii1728 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amiin

  • @MuscatRuwi-er5jh
    @MuscatRuwi-er5jh 9 หลายเดือนก่อน

    Allha akulipe

  • @mombasaraha1252
    @mombasaraha1252 10 หลายเดือนก่อน

    Swadakta kabisa maneno yako na hasidi huwa siwambali niyule akujuwaye

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 10 หลายเดือนก่อน +1

    Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh

  • @kurthummohamed6290
    @kurthummohamed6290 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @maimoonabakari1426
    @maimoonabakari1426 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona haina sauti jamani 😢

  • @EuniceOdegea
    @EuniceOdegea 7 หลายเดือนก่อน

    Kwan sheikh unatokea mitaa yetu

  • @ibrahimabdul6586
    @ibrahimabdul6586 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mawaidha ya kitambo Sana hii ya Sheikh Othman. So don't mislead the umma

  • @JumaBinAbdallah
    @JumaBinAbdallah 10 หลายเดือนก่อน +1

    You mean what, by miss leading

  • @KhamisMdzomba-w6h
    @KhamisMdzomba-w6h 10 หลายเดือนก่อน +6

    Jazakallah kheir sheikh

  • @MuhsinKitwana
    @MuhsinKitwana 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ameeen InshAllah,

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 4 หลายเดือนก่อน

    Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh