HISTORIA YA SHEIKH MSLEM HADI KUINGIA GEREZANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 151

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 ปีที่แล้ว +29

    Leo shekh rashid umenikosha sana ,,umemleta mtu ambaye nampenda sana kwa ajili ya Allah,,allah akubariki sana

  • @muhidinsuleiman4315
    @muhidinsuleiman4315 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana sh Rashind.
    Sheikh Msellem nampenda sana na Allah amueke tuzid kusoma kupitia yy inshaallah.

  • @ShabanMohd-g2d
    @ShabanMohd-g2d ปีที่แล้ว +1

    Allah akuweke sheikh mselem nakupenda sna kama mtu hakufahamu uyo haelewi popote

  • @selemanimlahagwa6942
    @selemanimlahagwa6942 9 หลายเดือนก่อน +2

    Shekhe wng mselem ally nakupenda sana kwaajir ya Allah . Allah hakupe maisha marefu insha'Allah

    • @AwesoMohammed
      @AwesoMohammed 8 หลายเดือนก่อน

      Sheikh Allah akupe afya njema uzidi kutuonesha nuru ya Allah

  • @hemedjumaa390
    @hemedjumaa390 ปีที่แล้ว +2

    Allah Amhifadhi Sheikh Wetu Mselem Bin Aly.. Tunampenda sana 😊

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 ปีที่แล้ว +17

    Mashallah Asante sheikh Rashid Allah akulipe kher kwa kutuletea Shekh mselem 😢Dah kwakwel mim siwez kusahau nipo Mdog nasikia tu mama angu kila siku akilia Bas akiwekwa mawaidhsa yake shekh msellem uone askitika jaman Siku izi wanatukosesha darsa za sheikh msellem Yaan Mpaka amenifanya na mimi Nimpende Allah akupe umr mrefu sheikh Msellem akuepushe na shar za binaadam na majini😢🤲🤲

  • @malongoisack5811
    @malongoisack5811 ปีที่แล้ว +17

    Huyu sheikh mselem nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @hamadsuleimaan802
    @hamadsuleimaan802 ปีที่แล้ว +6

    Ktk mashekh nnaowakubali huyu ni namba moja Nampenda sana shekh Msellem Aliy

  • @mirajimohamed7606
    @mirajimohamed7606 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah alhamdulillah nakupenda shk Mselem bin Ally kwa aajiri ya Allah napenda ambavyo una present mada zako na hauna upande kama mashekh wengine

  • @cadabra7402
    @cadabra7402 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mja wa Allah nampenda snaaaaaaaa , juzi nilienda kupiga picha nikakutana nae harusini anatoa mawaidha kuhusu ndoa Wallah maneno yanakuingia , nilitaman asimalize kuongea , anaongea kwa utulivu , bashasha , Allah amempenda sna ,Allah amdumishe yeye na sisi katika imani thabit. Ya Allah hakika unasikia na unaona chochote kile mwanadamu anachokifnya na hata kile asichokifanya kilichomo tu kwenye nafsi yake , nakuomba mola wangu unipe ucha Mungu mimi na waislamu wengine , na utufufue hali ya kuwa nyuso zetu zina nuru yako Mola wetu mtukufu, Amiin. 10:14

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 ปีที่แล้ว +10

    MASHAALLAH, JAZZAKALLAH kher.wallah sura yake na bashasha zake anapocheka unajua huyu sheikh yuko vizur Allah akuzidishie ELMU YENYE manufaa. Bega kwa bega mpaka Firdaus

    • @twahaabrahman-ev8co
      @twahaabrahman-ev8co ปีที่แล้ว

      Bega kwa bega Mpaka firdaus Pole Sana Ndugu

    • @ibugharib389
      @ibugharib389 ปีที่แล้ว +1

      @@twahaabrahman-ev8co POLE ya nini

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah Allah akupe pepo ya juu sheikh mselem

  • @stevenmichaelmaganga4828
    @stevenmichaelmaganga4828 ปีที่แล้ว +6

    My favorite shekh watch him everyday

  • @AbdallhAliy
    @AbdallhAliy 9 วันที่ผ่านมา

    Love you mselem she nampenda Sana mwenyezimungu azidi atuwek ameen

  • @asiamohamedy2643
    @asiamohamedy2643 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah shekh wetu yaan maneno yako huwa matamu ya hekma na huachi kitu kwenye ukwel unasema hufumbii jicho chochote nikwel semen ukwel japo wapo wtu watakasrka kulingana na ukweli huo lkn unakuwa ushaufikisha ALLAH akupe afya njema shekh wetu

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah tunashkuru sana Sheikh Rashid hakika tumefarajika sana kupa history ya Sheikh Mselem wengi tulikuwa tunabambanyana juu ya historia yake Allah amzidishie umri mrefu aweze kutuelimisha zaid na pia Tunamuomba Allah aizidishie muangaza alfatah tv iweze kutuletea mazuri zaidi

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah. Sheikh Mselem ni fundi wa kuongea na Fasaha san hatoki nje ya mada ni mtulivu mno. Allah amhifadhia na husda za mahasidi.

  • @ustadhisimbula8622
    @ustadhisimbula8622 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa allah shekh langu hili nampenda sana kwaajil ya allah allah aendelee kumlinda na kumuhifadhi

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 14 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah Masha Allah Tabarak Rahman 🤲 Allah atuhifadh ww pamoja na sisi

  • @Allybinamour
    @Allybinamour ปีที่แล้ว +3

    mashallah mwalim wetu shekh mselem bin ally allah akujalie umri mrefu wenye kheri ili tuzidi kunufaika na elimu yako.allah akulinde na kila shari.

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 ปีที่แล้ว +12

    Mashaallah huyu Sh, Msellem ni mtu muhimu kwenye jamii ana tawadhui kubwa

  • @ChangaMoto-k8q
    @ChangaMoto-k8q ปีที่แล้ว +1

    Mashallah shekh wetu,mungu akupe upeo zaidi wa kuyuongoza

  • @binloufy454
    @binloufy454 ปีที่แล้ว +2

    Ma sha allah hii ni hazina ytu katka ulimwengu wetu allah atuekee na azidi kutuekea ktika elimu ya kubwa ya dunia na akhera Tunakupenda sana kipenzi chetu sheikh mselem bin allay

  • @amirybeka9602
    @amirybeka9602 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah sheikh mselem Allah akuhifadhi, akupe umri mrefu wenyew kher naww.

  • @zuzadomikano3765
    @zuzadomikano3765 ปีที่แล้ว +2

    SHEIKH MSELEM ,ALLA AKUWEKE PEMA IMANI YANGU WEWE UNARADHI NA UNA KHERI KATIKA UCHAMUNGUWAKO ,WAZAZI WAKO ALLAH AWAVIKE TAJI DUNIANI NA AKHERA ,ULI PATA RADHI ZA MTUME ,SIO KAMA HAWA WANAJIVUNIA VYETI VYAKUJITOA KINYESI WAKOSEFU WA ADABU .

  • @is-hakaame
    @is-hakaame ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Allah amjaalie husnil lhatma sheikh Mselem yeye pamoja na sisi🙏

  • @floramateru
    @floramateru ปีที่แล้ว +1

    Masha ALLAH maalim yuko vizuri ALLAH SW AMUHIFADHI

  • @fatumahussein6399
    @fatumahussein6399 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah!!! Shk Mselemu Allah amhifadhi. Ni miongoni mwa mashk nnao wakubali Sana.

  • @abiiajmi2399
    @abiiajmi2399 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallh wewe ni wangu hasa ❤❤❤ mungu amekujalia hekma

  • @khamishaji-fw1km
    @khamishaji-fw1km ปีที่แล้ว +1

    Namkubal sana maalim nashukuru sana shehe MUNGU azid kukulinda sana

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 ปีที่แล้ว +1

    Allah atuwekee viongozi wetu Hawa wazidi kutuelimisha

  • @JemzMaalim
    @JemzMaalim ปีที่แล้ว

    Maaashllh ALLH SW amhifadhi shekhe wetu

  • @ahmadjuma-xx5nd
    @ahmadjuma-xx5nd ปีที่แล้ว +1

    Mashaa allah sheh mselem allah azid kukuhifadh

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +2

    Mash Allah Shekhe Mselemo Allah akupe umri wenye wenye manufaa kwetu sote Amiin Rabbil Alaamin.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว +4

    Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu A¿huyu Mzee Allah amemjaalia akili za elimu he's very wise Sheikh I really really love him..💯👌

  • @hedaya-e9j
    @hedaya-e9j 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ mashaallah

  • @Amirshamte
    @Amirshamte 9 หลายเดือนก่อน

    Mashallah sheikh maelem nakupend sana kwa ajili ya Allah mungu akulinde na kwa pamoja mungu atupe mwisho mwema inshallah

  • @zainabhassan1514
    @zainabhassan1514 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nampenda sana shehe mselem bin aly mungu ampe maisha marefu amina

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py ปีที่แล้ว +1

    Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah MashaAllah Allah akupe umri mrefu ya sheikh

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa الله leo tuna mgeni mkubwa sana. Mashaa الله ...الله akuhifadhi abuyi.

  • @HashimAli-h6b
    @HashimAli-h6b ปีที่แล้ว

    Mashallh shekh wetu tunakupenda sn mungu akupe mwisho mwema

  • @omarmsuya5373
    @omarmsuya5373 ปีที่แล้ว +1

    Maashallah
    Allah amfanyie shekhe wetu wepesi

  • @hajikhamis6544
    @hajikhamis6544 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah Yani shekh elimu alionayo anasema hajasoma sijui engesoma ingekuaje leo Mt anapitia kitabu kimoja anaaza kuandaa mijadala duh

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed ปีที่แล้ว +1

    Namkubali Sana Allahu Akuhifadhi wewe ni Mzanzibari Hasa umechanganya Damu kwa kila Kisiwa 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda sheikh Mselem bin Ally mno wallah allah atuekee mwanazuoni wetu biidhinillah

  • @AbdallahMsiki
    @AbdallahMsiki ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah akulinde akuepushe na kila baya nakupenda kwaajil y ALLAH

  • @ChalaS-uk7kb
    @ChalaS-uk7kb 2 หลายเดือนก่อน

    Nampenda sana sheh mselem kwa ajili ya allah

  • @MaliganyaWilson-ef3pk
    @MaliganyaWilson-ef3pk ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana huyu sheikh mungu amrahisishie pepo yake.

  • @husseinbudaga2953
    @husseinbudaga2953 ปีที่แล้ว +1

    Allah akujaalieni saana..

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah akulinde na kila shari na atukutanishe sote peponi. Najua umejishusha kuhusu elimu lkn mm na jamii ya wengi naamini tunakuchukulia kuwa ni mwenye elimu na muono mpana. Allah akuhifadhi.

  • @asalkhan9168
    @asalkhan9168 ปีที่แล้ว +2

    Kwa ajili ya Allah sheikh nakukubali sana

  • @ZUHURAKHALFAN-mc8nd
    @ZUHURAKHALFAN-mc8nd ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadhi SHEIKH Mselem AKULINDE NA SHARI

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 ปีที่แล้ว +13

    Huyu mtu namkubali Sana Allah ampe afya njema

    • @DeBoy-oy2jg
      @DeBoy-oy2jg 3 วันที่ผ่านมา

      Aamin yarabbal'alamin

  • @hajikhamis6544
    @hajikhamis6544 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Allah awajaze kheri mashekh wetu

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe ladhi zake shehe wetu

  • @hidayakhamis-z9g
    @hidayakhamis-z9g ปีที่แล้ว

    Allah akujali heri na uendele kutupa Eli ya ahera

  • @AbdallahJuma-xc2qt
    @AbdallahJuma-xc2qt 2 หลายเดือนก่อน

    Mselem mungu akutie nguvu

  • @subetizaid6515
    @subetizaid6515 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuifadhi sheh wetu mpendwa mselem bin alyii

  • @profesamakame5179
    @profesamakame5179 ปีที่แล้ว +2

    Asalam Alaykum sheikh Rashid kweli wasomi mara zote c wenye kujisifu hz ndio hekma za sheikh wetu

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 6 หลายเดือนก่อน

    Ma sha allah
    Sheikh msel
    Allah akuhifadhi

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Tabaraka Allah

  • @KaekaOmariy
    @KaekaOmariy ปีที่แล้ว

    Ishaahla mungu akubariki milele

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 9 หลายเดือนก่อน

    MashaAllahu al imaam Sheikh Mselem ❤

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t ปีที่แล้ว +1

    SH rashid salim #LEO umeikonga nyoyo yangu

  • @muhammadiabassi656
    @muhammadiabassi656 ปีที่แล้ว +1

    ماشاء الله الله يحفظك ويبارك فيك

  • @AbdoulsudaisSuleiman
    @AbdoulsudaisSuleiman 3 หลายเดือนก่อน

    Maashallah ❤

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 ปีที่แล้ว +1

    Mash ALLAH tupo pamoja

  • @salumchoma8731
    @salumchoma8731 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah shekh wetu

  • @AsiaBakary
    @AsiaBakary 8 หลายเดือนก่อน

    Allah. Mjalie kila la kher sheh wetu

  • @KassimAbdilahi
    @KassimAbdilahi ปีที่แล้ว

    Mashaallah shekh wangu

  • @muhamadhusein5260
    @muhamadhusein5260 ปีที่แล้ว +1

    Shekh mselem ni kipenzi chetu,
    Wewe ni adui kwa ccm,adui kwa makafiri na adui kwa masalafi,
    Allah atakuhifadhi na maadui hao

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 ปีที่แล้ว

      Kipenzi,kumbe unalala nae wewe,kafiri na shoga ni wazazi wako,by the way Mselem your smart guy,may Allah protect you.

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 19 วันที่ผ่านมา

    Leo ya 3 naangalia hii interview ❤❤❤

  • @marischidy63
    @marischidy63 ปีที่แล้ว +1

    Masha.alla.tunaomba.sehemu.yapili

  • @AbdallhAliy
    @AbdallhAliy 9 วันที่ผ่านมา

    Mashaalla

  • @Abuu_Mundhiri
    @Abuu_Mundhiri ปีที่แล้ว

    Mwendelezo tafadhali

  • @jumamkali8307
    @jumamkali8307 ปีที่แล้ว +1

    ❤ Masha Allah

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 ปีที่แล้ว +2

    ‏ما شاء الله

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 ปีที่แล้ว +1

    naam maashallah

  • @AbubakarKumbwani-yq5vg
    @AbubakarKumbwani-yq5vg ปีที่แล้ว

    Sheikh Mselem wewe una elimu kubwa ila hauna vyeti,elimu na vyeti ni vitu viwili tofauti ndio mana kuna watu wana vyeti lakini elimu hawana au elimu yao ndogo haiendani na ukubwa wa vyeti vyao.ALLAH akujaalie umri mrefu na siha njema ili uzidi kutoa elimu.

  • @FathimaZubair-jt4cg
    @FathimaZubair-jt4cg ปีที่แล้ว

    مشاءالله ❤️

  • @zainabhassan1514
    @zainabhassan1514 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba sehem ya pili inshaalah

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 ปีที่แล้ว +1

    POLE SANA SHEIKH,KUHUDHURIA MIKUTANO ISIWE SABABU YA KUWEKWA JELA..ANAESHUKIWA HUFATILIWA muda hadi kuwa na UKWELI NDANI YAKE,kisha kushtakiwa hapo

  • @ussiamini2868
    @ussiamini2868 ปีที่แล้ว

    Mm mwenyewe nakukubalisanaa shehe mselemu

  • @AbubakarKumbwani-yq5vg
    @AbubakarKumbwani-yq5vg ปีที่แล้ว

    Halafu kuna genge la watawala wahuni wakamzushia kesi ya uongo ya ugaidi,ALLAH awaangamize wahuni wale.

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah sheikh hatujuwani Lakini inaonesha no msomi na anajuwa akisemacho... Na kipindi hichi ni Safi Sana tu.. History ni Tamu iwapo itakuwa ya kweli na sh ndio ni mtu wa ukweli

  • @hamissalum6023
    @hamissalum6023 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏

  • @MaryamIssa-y7v
    @MaryamIssa-y7v 3 หลายเดือนก่อน

    Kuwa na degree masters phd shehe km huna elimu ya kumjuwa aliyekuumba na kukufadhilisha ni mpumbavu tu heri ya yule anaeijuwa walau juu moja ktk dini mara mia zaidi,vp utakuwa bize kutafuta elimu ya dunia kisha miaka 60_70 unakufa faida yake fupi sn ilimu yako ni yenye manufaa shehe unajuwa mipaka ya kuishi duniani kwa ajili ya maisha ya milele.

  • @ablatuny5406
    @ablatuny5406 ปีที่แล้ว

    Mashallah

    • @LamazanMuchaba
      @LamazanMuchaba 11 หลายเดือนก่อน

      Allaah akuhifadhi shekh wetu 1

  • @SHEIKHMWAIPOPOTV
    @SHEIKHMWAIPOPOTV ปีที่แล้ว

    Waislamu wengi tunaroho mbaya sana igeni wenzetu wakristo wanamaalifa sana sisi ni mazuzu walahi tupunguze fitna kama alikosea si basi tupunguze unafiki waislamu

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV ปีที่แล้ว

      Sasa mselemu munamtukana hapo kakosea nini kama alikosea mbona selekali imemachia tunakosea sana huyo ni kiongozi ndio maana tunalanika waislamu kutukana viongozi wa dini ya mungu mselemu kafanya kazi ya mungu inchi hii

  • @Moc.khalfan
    @Moc.khalfan ปีที่แล้ว

    Me nimesoma comments za watu wengi nimeona bora nitoe Rai alfatah muweke darsa za Tafsiri za sheikh kutoka suratul baqra au muendeleze suratu nisai alipofika pale msikiti wa Radio anour daraja bovu

  • @MaalimuIslaamu
    @MaalimuIslaamu 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa majina naitwa Sheikh JUMA RASHIDI maoni yang ni kwamb Sheikh Mselem Bin Ally ni Mwanazuoni wa kizazi chetu aliye na msimamo wa kuigwa kwa waislamu katika nchi hii

  • @abdulhamidjabu6530
    @abdulhamidjabu6530 ปีที่แล้ว

    kichwa cha habari tofauti na maelezo

  • @awadhabed
    @awadhabed ปีที่แล้ว +1

    Asalamu Alleikum..Nitafurahi na nitashukuru kupata number ya Sheikh Rashid ya Whatsap kwa kufanya kheri zaidi kupitia yeye.Shukran.Allah aitie Qaboul Ujumbe wangu Umfikie.

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 ปีที่แล้ว

    Makhawariji wa zanzibar( muamsho mulitusababishia maafaa kweli ) hivyo bc mupate funzo dini sio vita dini ni kusoma na kufundisha sw Iko ivyo namuomba allah awaondoshe tabia za ukhawariji murudi ktk mstari wa sawa sawa ammin

    • @AllyMassud
      @AllyMassud ปีที่แล้ว +1

      Mafa gani yalio fanywa na mwasho

    • @saidyussuf2291
      @saidyussuf2291 ปีที่แล้ว

      Kawafate uwanusuru ndugu zako watoke , usitake kufungua mdomo wako hapa ujione una elimu kubwa wakati hata kutawadha hujui , sioni kama busara kuanza kuwaambia watu wasojua ataa maana ya khawaarij , tumia njia za kielimu ukamuongoze , maana hapa hutopata faida zaidi ya kufanya izo sifa zako za kipumbavu , NA UWE MAKINI ALLAH ANAJUA KAMA UNATAKA KUTENGENEZA AU UNATAFUTA SIFA KWASABABU ANAJUA DHAMIRA YAKO

    • @zahormohd
      @zahormohd ปีที่แล้ว +1

      Wewe punda kama wale wa mwembe makumbi

  • @ZaynabSeiph-me5nr
    @ZaynabSeiph-me5nr ปีที่แล้ว

    Allah Akbar nimejifunza kitu,,kusoma sio madgrii na vyeti, mashekh igeni kutoka kwa shekhe uislam sio kuwa mfuas wa kundi fulani

  • @maryammachanoomarymachano951
    @maryammachanoomarymachano951 ปีที่แล้ว +1

    Nime frahi kuskia history ya shekh Mselem

  • @IsmailMohamed-b6j
    @IsmailMohamed-b6j ปีที่แล้ว +1

    Shee mselem naitaji niwe mwanafunzi wako nipo dar unaweza nisaidia

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 ปีที่แล้ว +1

    Tunasubiri shehemu ya pili

  • @Abuumuqbil4994
    @Abuumuqbil4994 ปีที่แล้ว

    Watu wengi waona mumeonewa kumbe sio kweli mulitaka kuonewa mulilinganiwa sana muache vujo lkini mulijikuta wababe kilicho tokea munakijuwa nyinyi Rudi ni ktk haki