Allah akuhifadhi maalim akupe nuru katk dunia na akhera tukutane chini ya kivuli chake na mtumewetu kipenzi inshaallah…. yarabb zikumbushe nafsi zetu kukuabudu kwa upweke nautukufu ulionao inshaallah
ALLAH akuifadhi shekhe Othman maalum ALlah akujaalie kila la kheri Insha'allah na akuepushia kila la shari insha'allah Allah akupe Afya na akujaalie umri mrefu wenye baraka ndani yake akujaalie uwe miongoni mwa waja wema wa peponi insha'allah Allah akuzidishie umri na ulimi wenye ladha kwa kila mwenye kukusikiliza YAA RABBI muengezee umri huyu shekhe wetu azidi jutuelimisha yaa Rabbi 😭😭😭🤲🤲
Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu, shukran sana sheikh mungu kupe jannatul firdaus na azzidi kupa affya na umri upate kutusomesha. Allahuma ameen.
Allah akuhifadhi maalim akupe nuru katk dunia na akhera tukutane chini ya kivuli chake na mtumewetu kipenzi inshaallah…. yarabb zikumbushe nafsi zetu kukuabudu kwa upweke nautukufu ulionao inshaallah
Amin yarabbi
Love your lectures
Amiin
Allah akulipe kheir sheikh wangu
Na cc Allah atuelekeze ktk kuongoka kuelekea kwa Allah
Masha Allah, shukran ustadh
Allah hakuifadhi na hakupe umri mlefu
ALLAH akuifadhi shekhe Othman maalum ALlah akujaalie kila la kheri Insha'allah na akuepushia kila la shari insha'allah Allah akupe Afya na akujaalie umri mrefu wenye baraka ndani yake akujaalie uwe miongoni mwa waja wema wa peponi insha'allah Allah akuzidishie umri na ulimi wenye ladha kwa kila mwenye kukusikiliza YAA RABBI muengezee umri huyu shekhe wetu azidi jutuelimisha yaa Rabbi 😭😭😭🤲🤲
Ya Allah tujalie mwisho mwema ya Allah na tusamehe dhambi zetu tukubalie dua zetu Ya Allah🤲🤲🤲
Yarabi tupe mwisho mwema yakubali maombi yetu na toba zetu na ibada zetu sisi tunakutegemea wewe tu yarabby
Amin kwasote
Allahumma aamin
Amiin
Masha Allah tabarakallah napenda sana darsa zko Othman maalim...Allah atuhifadhi in sha Allah
ALLAH AKBAR ❤️ SHKRAN JAZAKA'AALLA KHER ALLAH AKUJAALIE MWISHO MWEMA SHEKH INSHAALLAH
Allah akupe maisha marefu
Sheikh.mwenyezi.Mungu..akure.maisha.malfu.na.akulinde.amina
Alhamdulillah tunakushkuru San sheikh wetu,Allah akupe umri mrefu na akulipe Kila lenye kheri🤲 aamin
Amin na amjaalie na mwisho mwema
Allahumma aamin 🤲
Amiin yabb Amiin
Ameen
Allahuma ameen
Allah akujaalie mwisho mwema
Atujaalie kwa sote mwisho mwema!.🙏🙏🙏🙏
Allah akunusuru mashaalah
Alhamdulilhah shukuraaaan ya ya Alha kwakutupa tunu kama hii alha muhifdhi nahusuda mpe afiya na umri uzidishiye hikima na ilimu
Allah Awaghufurie Walio Rudi Kwa Allah Nasisi Atujaaliye Khusnilkhatima Njema Na Umriy Mrefu Wenye Afya Nzury Yarabiy
Allahu maamin
Allah akuhifadhi uzidi kutukumbusha sheikh
Allah akujaalie mwisho mwema...jazallah kheiri
Mashaallah !! Allah atujaanlie imani ya dini inshaallah
ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA IN SHAA ALLAH
Allah atujaalie subira na atujaalie mwisho mwema ishaalah
Allhamdullh Allaha akupe kila la kheri fiduniaa wali akheraa mashalllh mungu akupe nguvu zaidi
ALLAH AKUHIFADHI SHEEKH WETU AKULINDE NA MITIHANI YA DUNIYA NA KHUSDA ZA WALIMWENGU
Naomba maizashekishiki natoti aiyekwendamtembeleyakwawo
Mashaallaah allaah akuhifadhi shekhe
Alhamdulillah mawaidha mazuri Masha Allah Mola akulinde maalim uzidi kutupa elmu ilio bora
Mashallah WALLAH BILAH TALLAH ALLH akujalie afya na uzima shekh wetu kwa mawaidha yko jinsi unavyosoma Quran natamani niwe ni mm
Ya Allah kwa mwenzi huu mtukufu ramadhani mpe maisha marefu sheikh Ili atuelimishe zipate kuhuiyka nyoyo zetu
Alah akujaliye heri zake naakupe imani jema
Allah akuhifadh hapa duniani na kesho akhera
Sheikh Allah akupe umri na afya uzidi kutuelimisha
Mwenyezi mungu atuifadhie shekh wetu Othman maalim kwani mawaidha yanagusa moyo kweli
MASHALLAH ALLAH AKUJAZE KHERI.SHEIKH OTHUMAN NAPENDA SANA MAWAIDHA YAKE ANAELEWEKA VIZURI SANA
Allha akuzidishie,,na wote umati Muhammad Sw alaimu wasalamu,,,
Allah kujaze kheir nyingi Sheikh
Kungekua na uwezekano tungebadilishana vichwa I love you shekh OTHUMAN MALLIM
Ameen yaraby laalameni mwangu nakumpenda ndani ya roho yangu nikikusikza nampta furaha ndani moyo wangu
❤❤❤SHEKHE wangu mpendwaaa
ALLAH AKUHIFADHII
WW NA FAMILY YKO
Kwa REHMA Zake Allah akukutanishe na kipenzi Chake KHAYRA KHALKIHII MUHAMMAD RASUULU LLAH.
Allah Akupe Emma duniyani na Akhera Pepo🤲🤲
Allah akulinde na akuhifadh na akujaalie hatma njema
Shukran allah akulipe kher kwa ukumbusho wak maalim
Alla akulinde maalim unayotoa yakaijenge Omani yangu amina
MaashaAllah Sheikh Othman nakupenda kwa ajili ya Allah
Allah akuhifadhi Akupe maisha
marefu Kwa darsa iliyo na elimu .
Allah akujalie maisha marefu
Allah akujalie maisha marefu 11:32
Mashallah Tabarakallah. Allah akujalie kheri nyingi Duniani na akhera.
Ameen Rabbi Allah Ameen
Yarrabi taqabal Dua
Niondole matatizo yote niliyonayo.
Nipe afya nipe utajiri wapangaji wema unijalie maskizano na watu
Allah akuingize peponi bila ya hisabu sh othman
Jàzakallah kheri shekhe wetu tunakupenda
Allah azidi kukubariki sheikh,Shukran sana kwa mawaidh manzuri sanaaa,Allah atulipe sote kheri nying hapa dunian na kesho Akhera,Amiiin.InshaAllah
mashallah Allah akuzidishie hekma na umri na Afya.Amiin.
Ya Allah mungu akuhifathi akupe afya akupe umri mrefu na nakupenda Kwa ajili a Allah na akupe chochote uombacho duniani na akhera inshaah
ALLAH ATUPE UMRI MREFU NA ATUSAMEHE MADHAMBI YETU AMEEEN,
Asante kwa ukumbusho Allah utujalie afya,riziki za halal utukubalie funga zetu utusamehe madhambi yetu na kutupa mwisho mwema inshallah
Thank you Shekhar Othman mungu akuzidishie miaka Mingo ya kuishi uje ufundishe wajao😊
Mungu akupemaisha marefu
,mashallah ❤❤❤sheikh othman msalim akupe ❤❤❤❤❤umir na afiya❤❤❤❤❤❤ duniyani ❤❤❤❤❤ lnshallah amini ❤❤❤❤❤
Cheikh wetu manshallah unasuti Safi kusoma quoran
Allah akujaalie wepesi ktk mambo yk amiin yrabbalaamiin
Asante shekhe hothuman tunajua meng kupitia ww mungu atujaalie mwema
Allah akuhifadhi naakujaliye afya njema na umri mrefu wenyewe nyingi kher nabarka uzidi kutuelimisha
Baaraka-Llaahu Fyiiķa Wa Jazaaka Llaahu Khayiran Fiid-Dunya Wal Akhira!
Allah atupe mwisho mwema Amin
Allah atujalie mwisho mwema ameen🤲
Allah atujaalie mwisho mwema inshaa Allah...jazakaallah kher
Asalam aleykum warahmatullahi wabarakatu, shukran sana sheikh mungu kupe jannatul firdaus na azzidi kupa affya na umri upate kutusomesha. Allahuma ameen.
Mungu ametupa mengi sana,mimi mungu kanipa vingi sana nilivyo viomba,ninamshukuru mungu sana,
Allah akupe kilama shahada siku ya umauti wako
Allah, atujarie mwisho mwema, umati wa muhadi
Cheikh outman maalim inchallah mgu ahupe maecha maturité yakuzidiche imani hali yaju
Mashallah tabarakallah shekhe huyu namkumbuka tngu mvulana amepiga suty yake smart anatowa daawa mpaka leo maskin Allahu Akuhifadhi
Masha allah allah akutunze 🙏🙏
MashaAllah mawaiza mazuri mungu akubariki
Masha Alhah, mungo akulipe duniani mpaka ahera inshaalhah.
Shukrani shekhe wetu mungu akubari inshallah akuondoshe na dhambi zako
Mashaallaah mungu mkubwa sana AlHamdulilahi
Allah akuhifadh fi Dunya Wal akher
Allah akupe Afwa na Afya InshaaAll uzdi kutuedhea
Allah akuhifadhi sheikh wetu
My best sheikh
Allah akupe afya njema na akuzudishie elimu ifaayo ili uzidi kutuelimisha.BaarakAllahu fiik, Sheikh Maalim Othman
Allah atupe mwisho mwema yaraby
MashaAllah..shukran kwa mawaidha yakuelimisha
Allah Akbar Allah akupe mwisho mwema
Shukrani, Allah akujalie kila la kheri
MashaAllah Allah Akubarik
Shukran Jazaakum Allahu kheir Shekh from Belgium
Allah akuhifadhi sheikh wetu inshallah
Allah akujaaliye mwisho mwema ❤
Mwenyezi akubariki sana kwa kazi hii nzuri.You are humble and to the point mashaallah
Maa Shaa Allaah Tabarakallah. Jazakallahu kheir ya ustadh
Shukran Kwa ukumbusho Allah akulipe kheli shekh wetu
Alhamdulillah Allah akuhifadhi sheikh wetu
❤Amiin ya rabb Allah akuzidishie umri maalim
Allah Allah mashaallah maneno mazuri sana Allah akuweke
Allah akulipe Kwa datasa lako zuri
❤❤❤❤❤❤❤allaah akulipe kila la kheri
Shekhe asante kwa kutujuza mema inshallah Mungu akuhifahd
Allah akupe umri mrfu wenye khri n ww
ameen mungu akuhifadhi atupe mwishi mwema in shavallha
Allah akupe afya njema inshaallah
Ahsante sana kwa darsa hii imenifundisha kitu kikubwa Sana Al-hamdulillah
Shukran sheikh kwa ukumbusho wako
Love from Kenya 🇰🇪
Mugu akuifadhi malim azidi kukupa afya jema
Alhamdulillah Allah bariq shekhe wetu inshallah
Mashaa'Allah ahsante
Jazzakum'llah kheri