Jazzakah-la kheri innshAllah. Niwale waonao penda kudhulumu na kuzua,huyo mwanamke.Na maisha ya sasa ni wengi wenye kuzuwa ili wapore Mali za wenyewe. Allah asitujalie miongoni mwao innshAllah.
Allahu Akbar May Allah grant you more knowledge to acknowledge us in shaa Allah and May Allah bless you and your family and May He grant you jannatul Firdousy in shaa Allah Jazakumullah kheir
Nani aliebashiriwa Pepo? Ikiwa mtume mwenyewe hajui ataishia wapi kwa ushahidi wa Qur'an الأحقاف 9 قل ما كنت بدعا من الرسل وما ادري ما يفعل بي ولا بكم إن اتبع الا ما يوحى إلي وما أنا الا نذير مبين Sasa Nani kambashiria Nani au anajua ilmulghaib? الأنعام 50 قل لا أقول لكم عندي خزاين الله ولا أعلم الغيب ولا اقول لكم إني ملك إن اتبع الى ما يوحى إلي قل هل يستوي الأعمى والبصير افلا يتفكرون Shida munasikiza na kuamini pasi na kuizingatia Qur'an ndio mukawa munaamini kila munaloelezwa.
ww ndio usiojua lolote na jaribu kurudia tena kujifunza kwa undani quran na kwnn allah ashindwe kumuweka mmoja Kati ya wale wachamungu bora waliojitolea kuinusuru na kuipigania dini yake allah katika orodha ya watu wa peponi wakati bdo yupo duniani lakukuomba tu ndugu yetu jithd na zidisha nguvu zako ktk ibada za allah ili tu usije ukawa kama wale walio potea na uwe ktk wale alio waridhia allah na mjumbe waku mtume muhammad saw
WEWE NDIO UNATAKIWA UZINGATIE QUR-AN NA USIKARIRISHWE KILA USIKIALO. KATIKA QUR-AN KUNA HUKMU ZILIZOFUTWA ZIKAJA BORA KULIKO HIZO. sasa Mtume saw hakujua ghaibu ila baada ya kushushwa aya (WAHYI) WA KUMFUNDISHA HIO GHAIBU ALIOKUWA MWANZO KAAMBIWA ASEME SIJUI. QUR-AN " عَالِمُ الْغَيْبِ فَلا يُظْهِرُ عَلَى غَيْبِهِ أَحَدًا إِلا مَنِ ارْتَضَى مِنْ رَسُولٍ ) " ☝️ MWENYEZI MUNGU MTUKUFU NDIO ANAJUA GHAIBU NA HAMFUNULII YOYOTE ILA ALIO WARIDHIA KATIKA MITUME YAKE. " Kwahio Muhammad saw ni Mtume na karidhiwa na Mwenyezi Mungu sw ndio maana sasa akajua ghaibu na hukmu ya aya ya mwanzo ikafutwa. Lakini Qur-an ikasema.
Allah akupe umri mrefu ili wengi tupate faida kutokana na mawaidha yako,pia mungu akujalie pepo ya daraja la juu.
Amin
Aamin
Amiin
Mashallah mashallah ❤️
MashaAllah ❤
Hapa south C Nairobi kenya tunakupenda sana. JAZAKALLAH KHEIR
Jazakarakher Sheikh Othuman ...
Jazakallah khayran
🎉🎉🎉🎉
Jazzakah-la kheri innshAllah. Niwale waonao penda kudhulumu na kuzua,huyo mwanamke.Na maisha ya sasa ni wengi wenye kuzuwa ili wapore Mali za wenyewe. Allah asitujalie miongoni mwao innshAllah.
MASHALLAH
❤❤❤❤
Masha Allah, Allah akuzidishie umri tuzidi kunufaika
MASHAALLAH MASHAALLAH ❤JAZAKHA ALLAH KHER SHEKH
Masha allah jazak allah qeyr
Allah akupe umri mrefu wenye faida hapa Dunia na kesho akher
Mashallah sheikh Allah a zidi kupa afya uzidi kutukumbusha sisi umaa wa kiisilamu insha'Allah
Allah akuzidishie ilmu inshallah
Mansha Allah mungu azidi kukuweka utupe chakula cha moyo
BARAKALLAHU FIIK. Shukran Sheikh wetu. JAZAKALLAH KHEIR.
Umechanganya sana mungu kuchukua rai kwa kiumbe vipi shaikh
Allah sw akujaalie maisha marefu yenye afya na kheir na kesho akhera firdaus inshaa Allah
Asalam aleikum. Kaif? Mashaallah Darsa zinatupafarada sisi wengine Alhamdullillah.
Mombasa kenya mungu akuzidishie maisha marefu uzidi kutupa daawa sheikh wetu
BarikaAllah ❤❤❤
Allah akulipe
MA SHA ALLAH
Jazakallahu khairan
Maashaallah mungu akupe kila la kheir duniani na akhera inshaallah
Mashallah
Allahu Akbar
May Allah grant you more knowledge to acknowledge us in shaa Allah and May Allah bless you and your family and May He grant you jannatul Firdousy in shaa Allah
Jazakumullah kheir
❤❤❤❤❤❤
Salallahu Alaihi Wasalam❤️❤️❤️
MashaAllah
Mungu akupe Umri mrefu Sheikh wetu
Apo kwenye kikongwe mwenye kope nyeupe hadi nimecheka😂
Mungu anisamehe.
Jazakallah kheir
Allah akupe umri mrefu Sheikh Othman maalim
Mashallah❤❤
MashaAllah sheikh Allah akupe umri uzidi kutuelimisha
Shukran othuman
JAZAKALLA
Shukran sheik
❤
❤❤
Asalam aleikum. Oustadh naomba niulize question plz. Lkn Nicolas mbali ya Tz. Can i have à no to coll you to ask My question ? Tafadhali
Asalam aleikum. Oustadh naomba niulize question plz. Lkn Nicolas mbali ya Tz. Can i have à no to coll you to ask My question ? Tafadhali 52:48
Asalam aleikum. Oustadh naomba niulize question plz. Lkn Nikombali ya Tz. Can i have à no to coll you to ask My question ? Tafadhali 52:48
Kuna no hapo tuma SMS or voice
Nani aliebashiriwa Pepo?
Ikiwa mtume mwenyewe hajui ataishia wapi kwa ushahidi wa Qur'an
الأحقاف 9
قل ما كنت بدعا من الرسل وما ادري ما يفعل بي ولا بكم إن اتبع الا ما يوحى إلي وما أنا الا نذير مبين
Sasa Nani kambashiria Nani au anajua ilmulghaib?
الأنعام 50
قل لا أقول لكم عندي خزاين الله ولا أعلم الغيب ولا اقول لكم إني ملك إن اتبع الى ما يوحى إلي قل هل يستوي الأعمى والبصير افلا يتفكرون
Shida munasikiza na kuamini pasi na kuizingatia Qur'an ndio mukawa munaamini kila munaloelezwa.
ww ndio usiojua lolote na jaribu kurudia tena kujifunza kwa undani quran na kwnn allah ashindwe kumuweka mmoja Kati ya wale wachamungu bora waliojitolea kuinusuru na kuipigania dini yake allah katika orodha ya watu wa peponi wakati bdo yupo duniani lakukuomba tu ndugu yetu jithd na zidisha nguvu zako ktk ibada za allah ili tu usije ukawa kama wale walio potea na uwe ktk wale alio waridhia allah na mjumbe waku mtume muhammad saw
@@user-vz4qj1ym1e nipe aya moja inayowataja kwa majina au kwa idadi hata hao waliobashiriwa pepo ambao inadaiwa eti mtume kawataja.
ALLAH AKBAR 😢KAKA ZINGATIA SANAA KUISOMA DINI YKO N UELEW MAAN UNACHOKISEMA HATA SIJUI UMEKISOMA WAP DUUH
@@LeilahRashid-fg3pt Qur'an
WEWE NDIO UNATAKIWA UZINGATIE QUR-AN NA USIKARIRISHWE KILA USIKIALO. KATIKA QUR-AN KUNA HUKMU ZILIZOFUTWA ZIKAJA BORA KULIKO HIZO. sasa Mtume saw hakujua ghaibu ila baada ya kushushwa aya (WAHYI) WA KUMFUNDISHA HIO GHAIBU ALIOKUWA MWANZO KAAMBIWA ASEME SIJUI.
QUR-AN " عَالِمُ الْغَيْبِ فَلا يُظْهِرُ عَلَى غَيْبِهِ أَحَدًا إِلا مَنِ ارْتَضَى مِنْ رَسُولٍ ) "
☝️ MWENYEZI MUNGU MTUKUFU NDIO ANAJUA GHAIBU NA HAMFUNULII YOYOTE ILA ALIO WARIDHIA KATIKA MITUME YAKE. " Kwahio Muhammad saw ni Mtume na karidhiwa na Mwenyezi Mungu sw ndio maana sasa akajua ghaibu na hukmu ya aya ya mwanzo ikafutwa. Lakini Qur-an ikasema.
❤❤❤❤
❤❤❤❤