HILI NDIO LILILOWAFELISHA WENGI KATIKA NDOA ZAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.พ. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 27

  • @mwanaidiiddi-hh5lc
    @mwanaidiiddi-hh5lc 3 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah Allah awalipe kheir kubwa dunian na akhera

  • @user-hm5jl1kh2t
    @user-hm5jl1kh2t 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah hubbu lhalali inafanya kazi mpka kwa waandaaji wa kipindi inaonesha msumari umegongomelewa kwa umakini na rangi inaendelea kupakwa kwa ustadi.

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah ❤❤❤ Allah awazidishie InshaAllah

  • @samirajumanneanzuruni7320
    @samirajumanneanzuruni7320 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @amnerashid9026
    @amnerashid9026 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nimefurahi kumuona somo mtoto jungu kuu amerudi mezani kipindi kimenoga 🥳👏

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 4 หลายเดือนก่อน

    A alaikum warahmatullah wabarakatu mashallah somo zuri shukran saba kwa ukumbusho Allah akubarik

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 4 หลายเดือนก่อน

    Somo miwani kama mjeruman kweli😂😂😂😂kusem kwel hki kpind nkipenda kinaamasha ndoa zlizofubaa, ahsante somo❤

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 4 หลายเดือนก่อน +1

    hii mada yafaa waarabu maana kila kitu mtu wa kazi

    • @mkude
      @mkude 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe huna unalolijua kabisa ,zero brain.kama me wako Hana hela za kukuwekea mfanyakazi usiwe na husda Kwa waraabu kuwawekea wake zao mfanyakazi. Kwa Taarifa yako mwanamke sio jukumu lake lazima akupikie chakula au kukufulia nguo,anaweza kukufanyia hivyo Kwa mahaba tu lakini sio lazima.mwanamke jambo la kwanza anatakiwa kuwa na heshima kuwa na upendo na tendo la ndoa ni wajibu wake Kwa mme wake.mme wake kama anamoenda mke wake atamuwekea mfanyakazi amsaidie kazi za ndani ikiwemo hata kupika pia.

    • @mkude
      @mkude 3 หลายเดือนก่อน

      Eti hii mada yafaa Kwa waraabu kila kitu mfanyakazi khaaaa 😮😢.kwahiyo unataka mke wako aangalie watoto afue nguo za watoto akupikie chakula akufulie nguo.halafu na usiku akupatie na tendo la ndoa.acha husda Kwa waraabu wewe kama huwezi kufanyiwa na mme wako ni wewe hiyo

  • @rehemaomarsaid
    @rehemaomarsaid 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aalaykum mashallah kipindi kizuru,lakini kunawanaume wengine hata ujitahidi kiasi Gani haoni jitihada zako Sasa mwanamuke kama huyo tufanyeje?

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallh

  • @umurimbotv304
    @umurimbotv304 4 หลายเดือนก่อน

    Asante 👏

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tutanunua kitanda, sio usingizi
    Tutanunua nyumba, sio makaazi,
    Tutanunua dawa, sio afya
    Tutanunua mapambo, sio utulivu.

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 4 หลายเดือนก่อน

    🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-mf7mt9zq6c
    @user-mf7mt9zq6c 4 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa tena utamgandaa nabutampambania mumeo wakt wote!!

  • @user-mf7mt9zq6c
    @user-mf7mt9zq6c 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani wmama wenzangu kuwa mama unaejitambua ni raha sana hata km mtavurugwa na hasad mumeo atakuganda

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-sv9ey8eq7v
    @user-sv9ey8eq7v 4 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleikum me naomba muzungumzie hii mada mume anaependa kumuapiza mkewe kwa mambo tu madogo madogo ya nyumbani

  • @user-mf7mt9zq6c
    @user-mf7mt9zq6c 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli somo mtotot hata mimi mwanagu mmoja yupo hao wako

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 4 หลายเดือนก่อน

    20:45 🎉🎉🎉❤😂😂😂😅🤣

  • @fayzakarym8943
    @fayzakarym8943 4 หลายเดือนก่อน

    Somo umenena mashaa Allh.....

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 4 หลายเดือนก่อน

    Uyuu atie jeuri saana na anaringa

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 4 หลายเดือนก่อน

      😂😅

    • @mamamamam4723
      @mamamamam4723 4 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mtu mzur kam huyu sijui ww unaeesem mjeur unakwama wap

    • @laylahsalim8873
      @laylahsalim8873 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ulimchokoza ukapewa unachostahiki🤣

    • @rukiaissa5878
      @rukiaissa5878 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂​@@laylahsalim8873