Unajua leo ndo nimekubali nandonimeelewa kufa kwa hisia ndo kufa kwa mapenzi yan leo ndo nimeelewa vizur sana somo hili kufa kwa hisia..yani huna msisimko tena dhidi ya uyo mtu kutokana kwa matendo yake...yan unakuwa huna nguvu tena ya ushawishi wow...nimelielewa vizuri sana somo hili leo la kufa kwa hisia
Nina baba mkwe wangu uyo simpendi hasilan..Yan yupo negative Sana anapenda Sana kuwafanyia watu buring Yan siwez hata kukaa nae mana Hana mvuto kwangu na Kwa watu wengi hawampendi kabisa..Sasa madam unanishauli nini?? Mana anaweza akakujibu kitu hata mbele ya watu haeshim watu kabisa Yani..Yan mpaka nasema naweza hata kumjibu vibaya
Asante sana my sister from another mother
Wajina Allah akuhifadhi
Unajua leo ndo nimekubali nandonimeelewa kufa kwa hisia ndo kufa kwa mapenzi yan leo ndo nimeelewa vizur sana somo hili kufa kwa hisia..yani huna msisimko tena dhidi ya uyo mtu kutokana kwa matendo yake...yan unakuwa huna nguvu tena ya ushawishi wow...nimelielewa vizuri sana somo hili leo la kufa kwa hisia
Huyu Dada ni mzuri sana kimetendo na kiimani kimaadili kisura
Alhamdulillah kwa mashauri mengi , Allah akulipe duniani na akujaaliye mwisho mwema ni ndugu yako toka DRC
Mashalla nataman siku moja nikuone mwanasaikologia huyu inshallah naamin ntatimiza ndoto yangu hii
Allah amuhifadh Dada yetu kwa maneno yake yaliomo wafunzo ndanimo#Aaamim#Tunawapata vzr tukiwa Bujumbura 🇧🇮
Ameen
Allah akujalie sheihat umri mrefu ❤❤❤❤❤🎉
Leila asalaam walykum samahani ninamengi sana yakuweza kukwambia unaweza ikawa nifaida kwa wengine
Shukran sana madam kwa maiwadha mazuri....❤
Asnte sana dadaang mung akulipe n watu wafaidik inshaa allaah naww
Tusikose kukisoma kitabu cha Mwenyezimungu (Quran) na kukizangatia
Good lesson ❤
Huyu dada mimi nampenda sana jisi alivyo yaani yuko simarty kichwani
Hebu wafundishe Wanawake waweze kubalance muda wa kuchezea simu na majukumu ya familia akiwemo mume.
inshaallah
@@MadamLeilaAbubakarMinatak kuongey nawew madam kweny sim maan niko mbali
@@MadamLeilaAbubakarmadamu tunaomba kuongea nawe please turahisishie mawasiliano nawe tuko mbali
Nakupenda bule
Hata Mimi sipendi kusoma vitu vidogo vidogo mfano kitabu kikiwa kidogo Huwa hakinishawishi kukinunua
Nakupenda unty leyla❤
❤
@@MadamLeilaAbubakarmadamu nakupataje ili tuongee mada muhimu please
🇹🇿 1
Nayamudu kabisa haya jaman hem nipen mawasiliano nifanye nusra
Nina baba mkwe wangu uyo simpendi hasilan..Yan yupo negative Sana anapenda Sana kuwafanyia watu buring Yan siwez hata kukaa nae mana Hana mvuto kwangu na Kwa watu wengi hawampendi kabisa..Sasa madam unanishauli nini?? Mana anaweza akakujibu kitu hata mbele ya watu haeshim watu kabisa Yani..Yan mpaka nasema naweza hata kumjibu vibaya
Angekuwa Baba yako ungefanya nini
Fikiria Sana
Mzee wake ni wako
Jaman naomba msaada naingia kwenye app ya garden kuitafura redi nuur lakin naingia wananiambia station is unreachable
Imesharudi
Asalam alykm mm naomba namba za uhty Leyla
0757643746
Allah akupendee km alivyoowapnda wanwkee wema w4
Naomba uyo app ya vitabu
Nawapata vyema
👏🏾