Mkeo akifanya haya muache - Leilah Aboubakar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 86

  • @diagfinamix1861
    @diagfinamix1861 7 หลายเดือนก่อน +20

    Mama una urembo fulani basi kuwa unaweka niqab , miongoni mwa sisi basi wamoja wakiona sura ya kike khaswa ya kupendeza kama ya kwako roho zina dunda na hilo we ni mwalim unalijuwa kilikoni. Allah allam. Wakuli support hili basi weka like hapo chini.

    • @HusseinLimbe
      @HusseinLimbe 7 หลายเดือนก่อน +4

      Tafuta mke uoe shekhe 😁

    • @Aidhjuma
      @Aidhjuma 7 หลายเดือนก่อน +1

      Swadakta

    • @Aidhjuma
      @Aidhjuma 7 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@HusseinLimbekwani mtu akiwa na mke hwawezi kutamani mwanamke mwingine?

    • @Switielie
      @Switielie 7 หลายเดือนก่อน +1

      Khaaaaaa,

    • @neymarsalah2240
      @neymarsalah2240 7 หลายเดือนก่อน +1

      Acha upwiru ww😂

  • @kazungukakiyo
    @kazungukakiyo 7 หลายเดือนก่อน +12

    Maneno yako yana musingi muzuri saana,, Allah baariq

  • @man4nikaah
    @man4nikaah 5 หลายเดือนก่อน +4

    Assallam aleiykum warahmatullahi wabarakaatúhu shida pesa sipati mke .... Wamchao Allah mfano wa Mama yetu Khadija RA wakowapi ,,,

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi 7 หลายเดือนก่อน +7

    Nikipata km huyu naoa ndani ya mwezi mmoja tu👏👏👏🙏🙏

  • @kazungukakiyo
    @kazungukakiyo 7 หลายเดือนก่อน +6

    Alhamdulillah,,Niko mbali Sana na familia yangu,, ninapo kusikiza au fatilia mawaidha yako hufarijika saana.

  • @d15355
    @d15355 7 หลายเดือนก่อน +4

    katika wanawake wenye akili na IQ kubwa basi wewe ni mmoja wapo nilikuwa nakuchukulia kirahisi rahisi kumbe wewe ni kichwa haswa,yaani umechambua mada hujabakisha kitu mungu akubariki kwa darsa lako

  • @HurumaSelestine
    @HurumaSelestine 6 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤ Asante sana mama yangu kwaujumbe mzuri sana.

  • @RamadhanKhamis-oy2tm
    @RamadhanKhamis-oy2tm 7 หลายเดือนก่อน +3

    Masha allah barakallah fiik, Allah akuhifadhi, akuongoze na akupe umri mrefu wenye khery.

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mashallah Mungu akuweke dadaangu umenifunza kitu

  • @RashidMpina-bv6iw
    @RashidMpina-bv6iw 7 หลายเดือนก่อน +3

    Madam mungu akubariki akupe umri mrefu dunian

  • @PierreFundi-fx8sg
    @PierreFundi-fx8sg 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupe kwa ujira mkubwa. Na akuzidishiye elimu zaidi na akupe nguvu ya kunyoosha jamii.
    Ni mzee wako kutoka Burundi. Nafwatiliya sana kipindi vyako.

  • @shekhansaid9543
    @shekhansaid9543 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dada yupo vizuri kwa ushauri wa kujenga familia.

  • @Sunplazaduara
    @Sunplazaduara 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante madam kwa elimu bora inayotoa kwa jamii yetu, Mungu alibariki sana

  • @ShudaBakari
    @ShudaBakari 29 วันที่ผ่านมา

    Maashaa Allah ukhuty Allah akulipe ziada inshaallah.

  • @SeedsDeep
    @SeedsDeep 7 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu Dada nampenda anavyo Ongea.!

    • @clarasimon7830
      @clarasimon7830 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mama mama kizi mkazi sio

  • @ManPro-ng3op
    @ManPro-ng3op 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mm nakupenda

  • @omarymlundi5119
    @omarymlundi5119 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo mambo yanatesa watu wengine sana wanawake wengi hawatosheki na waume zao umalaya umewazid akitoka

  • @abumutwaira4892
    @abumutwaira4892 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hvi huyu dda anasikilizwa n wanawake wenzie

  • @IbrahimuMajengo-tv8ix
    @IbrahimuMajengo-tv8ix 7 หลายเดือนก่อน +1

    Lafudhi kama ya mama Samia president

  • @AbedKirway-tr5wx
    @AbedKirway-tr5wx 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nakupenda san dada angu una ushauri mzuri naisikia sauti na mama ety kipenz samia na busara zake pia Mungu awe naww dada ang kipenz

    • @RahmaRashid-lc6nw
      @RahmaRashid-lc6nw 7 หลายเดือนก่อน

      Na mie nilisema ivo ivo na roho yangu

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 7 หลายเดือนก่อน +2

    MASHAA Allah tabarakallah

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 7 หลายเดือนก่อน +2

    Je kwanaume akifanya hayo nisawa au mwanamke pia aombe taraka ? Nisaidie kujua mana hayo yapo pandezote

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanamke anaweza kuomba talaka na sababu za kuomba talaka ndo izoizo za upande wa mwanamme

    • @AishaMohamed-n1x
      @AishaMohamed-n1x 7 หลายเดือนก่อน

      Kabsa Kwa upande wa mwanaume inakaje apo??

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 7 หลายเดือนก่อน

      @@AishaMohamed-n1x kiufupi mwanamke anaweza kudai talaka

  • @RenataSulley
    @RenataSulley 24 วันที่ผ่านมา

    Uko vizur

  • @a.856
    @a.856 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jazakallah khayran

  • @TwahirAli
    @TwahirAli 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bsrakallahufika jazakalkahir

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo ni mambo ya Tanga jamani ndiko tulikoona story kama hizi, lakini waume wamefinikwa hawayaoni yaliopo.

    • @kimjey0012
      @kimjey0012 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 ww

  • @GhaniyeHaji-hv3je
    @GhaniyeHaji-hv3je 3 หลายเดือนก่อน

    Mm nna mwaka wa 6 ss ndoa yng ina migogoro haijawahi kukutanishwa familia 2 mpk ss mkwe wng kanifukuza kwake na sina usaliti wala ushirikina wala cjalfny baba lililo kithir ni malumban ya kawaida t lkn haijawahi kusuluhushwa ss nipo kwet na mwanang mdogo na yy yupo kwao na mwanang wa kike mkubwa

  • @haroubalkharusy9117
    @haroubalkharusy9117 6 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa Allaah...., nimevutiwa ssna na ww dsdaangu, i wish nipate 2nd wife frm ur young sister......!!!

  • @DaddySBuda-dp6nq
    @DaddySBuda-dp6nq 5 หลายเดือนก่อน

    Mm nme mvumilia sana hata mungu anajua na jans nmepata dawa kwa bagi yake na shanga ya niuno nmezichukua ila sija mwambia kitu nimedundua wazi kuna usaliti mana heshima pia imepungua anaondoka bila ruhusa yangu yote nilimwambia kua ntaoa Akanijibu nioe Amekua kisoi

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 7 หลายเดือนก่อน +1

    Masha-allah anakhekima sana

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 7 หลายเดือนก่อน +1

    Maneno yako ni mazuri sana 🙏🏽

  • @dungamchafu7605
    @dungamchafu7605 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah amirat

  • @RamadhaniIssa-i1d
    @RamadhaniIssa-i1d 6 หลายเดือนก่อน

    Madam leila mimi nashida nawewe nitakupataje ndugu yangu

  • @saldinthegreat2264
    @saldinthegreat2264 7 หลายเดือนก่อน

    @Kalamutz tafiteni utaratibu wa kupata mic tie clip, hii ya kushika mic haiko poa

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 7 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sawa

  • @yusufkhanna
    @yusufkhanna 7 หลายเดือนก่อน +2

    Usaliti sio zaidi ya mara moja ndio umuache,ile moja tayari wamwacha palepale hakuna subra hio yakusubiri tenaa

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 7 หลายเดือนก่อน

      Wanaume munasaliti kutwa kucha mbona sisi tunavymilia hata mume msaliti

    • @Muharram-c5n
      @Muharram-c5n 7 หลายเดือนก่อน

      Unakifaham kisa cha bi Aisha(ra) aliposingiziwa uzinifu,etep alizochukua mtume Muhammad (swa)kabla ya wahyi alikuwa ameshamwambia mkewe maneno flan inamaana alikuwa tayari kusamehe,unaweza kusamehe kabisa wala has haina shida

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 7 หลายเดือนก่อน +3

    Talaka nani kasema Mbingu zina tetemeka ?? Tupe aya hapa au Hadith Ukhty

    • @MohdMohd-y4w
      @MohdMohd-y4w 7 หลายเดือนก่อน +2

      Ushamfahamu lkn unataka ubishani , jibu ni Arshi na Arshi ya Mungu si iko mbinguni

    • @newbwejuu4302
      @newbwejuu4302 7 หลายเดือนก่อน +1

      nadhani ukatafute mwenyewe acha kufanya fitina katika dini

    • @MfizoCrypto
      @MfizoCrypto 7 หลายเดือนก่อน

      Unajina kubwa Mashaallah ! Tafakari uzito wa jina lako kisha kasome tofauti na hapo badilisha jina.

    • @NurdinTwangeni
      @NurdinTwangeni 7 หลายเดือนก่อน +1

      Uwe na inswaaf ndio din na simihemko

    • @LuqmanAndrew-nu9rx
      @LuqmanAndrew-nu9rx 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaio hujaona point yoyote zaid ya Mbingu kutetemeka?
      Kalale

  • @abdulrahimsaid7864
    @abdulrahimsaid7864 7 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah

  • @KarimKombo-xu8he
    @KarimKombo-xu8he 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nenda darasa kama unataka Aya na hadithi

  • @jadisaid5993
    @jadisaid5993 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akubaarik

  • @abdallaabdalla4416
    @abdallaabdalla4416 7 หลายเดือนก่อน

    Sio niqab bali ni jalbab

  • @FakHamad
    @FakHamad 5 หลายเดือนก่อน

    Vaaaa nikabu mama

  • @Muharram-c5n
    @Muharram-c5n 7 หลายเดือนก่อน

    Baaraka llahu fik

  • @AbdulkarimAdamsumai
    @AbdulkarimAdamsumai 7 หลายเดือนก่อน

    Daaah shukran sana madam

  • @YoanWins
    @YoanWins 7 หลายเดือนก่อน

    Shukrani sana🎉

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 7 หลายเดือนก่อน

    Mammy ningetaman kukuoa

  • @MikidadRashid-oj8tf
    @MikidadRashid-oj8tf 7 หลายเดือนก่อน

    Uje ufunde mwanangu

  • @MikidadRashid-oj8tf
    @MikidadRashid-oj8tf 7 หลายเดือนก่อน

    Dada anafaa kuwa kungwi

  • @khamisoothman5294
    @khamisoothman5294 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah

  • @hamisichirau4983
    @hamisichirau4983 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @AbdulNizigiyimana-u8m
    @AbdulNizigiyimana-u8m 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akuripe unashauri muzuri na omba nambayako

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 7 หลายเดือนก่อน

      Akuripe au akulipe.
      Jinga sana, zingatia amatumizi.ya R n L niwafundushe mpaka lini

  • @marwaanhanief9623
    @marwaanhanief9623 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @AbdulVitasa
    @AbdulVitasa 7 หลายเดือนก่อน

    safi kabisa

  • @ShabaniShabani-p8c
    @ShabaniShabani-p8c 7 หลายเดือนก่อน

    Mashall

  • @niyorHamiss-yv4rm
    @niyorHamiss-yv4rm 7 หลายเดือนก่อน

    Mallahah

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @romanusnjovu6845
    @romanusnjovu6845 7 หลายเดือนก่อน

    Haya yote ndio anayo wangu mimi

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 7 หลายเดือนก่อน

    Kama ulikuwepo katika maneno uliyoyasema, mashaallah tabaaraka rrahmaan.