MKE AMUABUDU MMEWE /WATU WANA STRESS SANA / MJINGA MKALIE KIMYA - DR MWAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2022
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 16

  • @mgenimsawa6465
    @mgenimsawa6465 ปีที่แล้ว

    Pamoja naww pia unaumwaa

  • @fredmayunga3767
    @fredmayunga3767 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow Diva i like ya shows

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 ปีที่แล้ว

    Umezidiwa na wanawake mpaka huwezi kuwaelekeza njia sahihi, mwanamke ni stara uwe umeolewa au la

  • @yasiniselemani2412
    @yasiniselemani2412 2 ปีที่แล้ว +4

    Upuuzi mtupu . Nafsi NI kuilazimisha kumtii mola wake mbona serikali ikikataza vitu tuaitii .kwanini tusimtii mola wetu

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 ปีที่แล้ว

    Ukimuona leo. Malaya mkubwa huyu pumbavu

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo mzee umeyakanyaga swala la kujistili kwa mwanamke ni mtii MUUMBA wake na swala la mwanamke kumtii mume wake ni pia ni kumtii MUUMBA wake kwa Amri aliyo pewa na mola wake kuwa amtii mume. Sasa kama wewe umeridhika wake zako wasimtii Mola wao juu ya kujistili lkn wafurahi kwa kuwa wewe wanakutii ni kher kwa sababu wewe ndio kiongozi kwao na dhima wewe ndio mwenye kuibeba juu yao. Kama wewe wanakutii lkn hautaki kuwaamrisha juu ya kumtii na MOLA wao juu ya stara mwenye Makosa hapo ni nani?

    • @ayyubthescholarsoul8171
      @ayyubthescholarsoul8171 2 ปีที่แล้ว +2

      Umesikia jibu lake vizuri??? Amesema anajua hayupo sawa muombee Dua..."wewe unaweza Kuwa haupo sawa kwenye hiki yeye hayupo sawa kwenye kile hakuna binadamu aliekamilika....Bottom line Dua zinahitajika na tusiache kukumbushana mema na kukatazana mabaya... In Shaa Allah

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 ปีที่แล้ว

      ni yeye maana ALRRIJALU KAUWAMUNA ALA NNISAI . awe na majibu . asione fahari kukusanya wake wengi tu huo ni mtihani kwake .

  • @aymankhadija619
    @aymankhadija619 2 ปีที่แล้ว

    Vipi hali dokta?,Nimeambiwa nna fibroids umesambaa tumboni kisha kuna moja kubwaa sana.Naomba whatsaap namba nikutumie unipe ushauri.Sababu maspecialist wa huku wananambia fibroids ni kubwa sana wakisema waitoe na kizazi changu pia hakitabaki salama lazima wakitoe

    • @aymankhadija619
      @aymankhadija619 2 ปีที่แล้ว

      Sina raha kabisa toka walivyonambia.Hospital 2 tofauti nimeenda majibu napewa ndo hayohayo

  • @scholarkini3343
    @scholarkini3343 2 ปีที่แล้ว

    Hichi kipindi lini na saangapi

    • @hadiadaoman1981
      @hadiadaoman1981 2 ปีที่แล้ว

      Juma tatu mpaka ijumaa sa nne usiku mpaka sa sita usiku

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 2 ปีที่แล้ว

    We aliyekuambia Mke amuabudu mume wake nani??kwani mume ni MUNGU??huyo mume ana mbingu ya kunipeleka hadi nimuabudu??
    Haipo hiyo,Biblia inasema "ENYI WANAWAKE WATIINI WAUME ZENU, NANYI WANAUME WAPENDENI WAKE ZENU"
    Mimi nimeambiwa nimtii mume na si kumpenda wala kumuabudu,ila wewe mume nipende mimi mkeo.
    Habari ndiyo hiyo,kunyanyasana hakupo,kila mtu ana task yake toka kwa Mungu.
    Ukitaka kujua zaidi hebu kasome 1WAKORINTO 7:1 na kuendelea.😎

    • @ashaomari7972
      @ashaomari7972 2 ปีที่แล้ว

      Hujamuelewa dokta

    • @shaabanramadhan6770
      @shaabanramadhan6770 2 ปีที่แล้ว

      Mskilize vizuri hakusema mke amuabudu mumewe hakusema hivyo