🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 266

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 17 วันที่ผ่านมา +3

    Kishik Allah akupe heri nyingi Sana . Achana na hao wanga wanawanga mpaka mchana . Mashafifu feki Ila ipo siku Allah atadhihirisha hamna hata haya kudanganya watu kupitia Iman . Ipo siku itasimama mjiandae . Mmekosa kaxi za kufanya

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 20 วันที่ผ่านมา +8

    Wachenii majunguu nyinyiii amuweziii kumchafuwaa KISHKII KWA VISENTII VYA SHARIFUUU FEKIIII

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @mohdally7896
    @mohdally7896 21 วันที่ผ่านมา +18

    Umeongea sana mashallah lkn huonekani km una elimu bali una mdomo tu wakuongea lkn hujaongea jambo la elimu hata moja namwisho matusi na maneno naunaonekana km ww fani yako ni mshabiki wa mipira twaziona hizo kauli

    • @doktanyunguproductsdnp4227
      @doktanyunguproductsdnp4227 20 วันที่ผ่านมา

      Haaaaaah..... haaaaaah haijui point ni Nini ndomaana anaratukaratuka

  • @ImeldaNaliaka
    @ImeldaNaliaka 19 วันที่ผ่านมา +6

    Oh Allah protect Shk Kishkii

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 19 วันที่ผ่านมา +4

    Ishalaa yako ikufikie mwenyewe duayakombaya ikuludie mwenyewe

  • @HadijaLipu
    @HadijaLipu 2 วันที่ผ่านมา

    njaa mbaya allah atujalie mwisho mwema

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 21 วันที่ผ่านมา +2

    Masharifu ..koo za mitume zinazaliwa dar.na mbeya..daaah Allah atulinde na majanga..

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 21 วันที่ผ่านมา +11

    UNATOKWA NA POVU DAKIKA 9 NZIMA HATA AYA HUNA WALA HADITHI
    MWIZI MKUBWA

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 21 วันที่ผ่านมา

      Hawa ni Wafuasi wa Masih Dadjjal (Freemasons) wapo Kazini Zama zao hizi zimmeshhawadia.
      Wanawacha Kujibu Hoja/Kukili alipotereza huyo eti Sheikh Shariff wao wannazidi Kutetea Ukafiri/Ushirikina.
      Tazama hata Nemmbo/Alama yao ni "S" (Satan) wanajificha ktk Kivuli Cha Uislamu. eti Sharifu ("S") Kumbe wameficha Siri Kubwa ya Alama ya Freemasons
      Eti Wana Ziara ya Kusafisha Miji (Shule, Misikiti, Makanisa nk) Ili Wagombanishe Watu/Jamii.
      Eti Wasafishe Uchawi na Wachawi.
      Nitashangaa Serikali na Viongozi wa Serikali. Waaemeo husika kama Watawapa Kibali Cha Kuwaruhusu Kufanya Ujinga /Ukafiri (Ushirikina) wao.
      Basi kama ndivyo Waruhsiwekwnza Waanze kwenda Bungeni (Majengo Makubwa yote ya Serikali) Kisha ndo waje Kwa Jamii/Wananchi.
      Hawa hawnatofsuti na Kamchape, Rambaramba, Oko, Tekero/Wamkoma nk wa Mfano wake (Waganga Washirikina) wanaojificha ktk Kivuli Cha Uislamu.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      Kasema hata mashindano ya Quraan
      Hajafanya mtume ﷺ

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 14 วันที่ผ่านมา

      @IbraFareed jee mtume aliwahi kua na kilinge? Hu mtindo mnaofanya jee mtume alifanya? Jee maswahaba walifanya,???

  • @AdiaAhmad-s5o
    @AdiaAhmad-s5o 17 วันที่ผ่านมา

    Hiloooo mungu .analiumbua. Alimsea saana marehemu mama bebii kumtengenezea CD ya uchawi akawa anaziuza mpaaka nchi ya Burundi MTU kama NATO hapa shinyanga

  • @dugabeachonline4493
    @dugabeachonline4493 21 วันที่ผ่านมา +8

    Kama na wew ulikuwa unasubir aya na hadithi kutetea hoja zao kisha ukaishia kusikia kelele za mtoto kautaka sema subhanallah

    • @OMARIOMARI-j5j
      @OMARIOMARI-j5j 21 วันที่ผ่านมา +1

      subhanallah

    • @shasha12-y2h
      @shasha12-y2h 21 วันที่ผ่านมา

      subhana llah

    • @JumaMkuchika-c8k
      @JumaMkuchika-c8k 20 วันที่ผ่านมา

      Subuhanallah

    • @bibahhadith
      @bibahhadith 20 วันที่ผ่านมา

      Subhanallah

    • @AminaKaifa
      @AminaKaifa 19 วันที่ผ่านมา

      Hee kwel nyie hamjielew hamjielew na hamjielew tena nyie ni waganga wakienyeji achen ujinga toen dalil kwenyr qur'an au hadith tuwaelew,majnunu nyie waganga njaa nyie

  • @OthmanMbuguni
    @OthmanMbuguni 18 วันที่ผ่านมา

    Usiseme ishala... Sema inshaAllaah

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 14 วันที่ผ่านมา

    Kazi kweli kweli

  • @SADABEJA
    @SADABEJA 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ogopen kiyama.kishqi tupo pamoja ,nyinyi nimushrik tuuuuu.

  • @alihaidary4143
    @alihaidary4143 19 วันที่ผ่านมา +1

    uyu njaaa ndo shida kwake hakuna uchawi kwenye misikiti

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 21 วันที่ผ่านมา +8

    Kumbe hili nalo tapeli kubwa

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 20 วันที่ผ่านมา +1

    Jameni muogopeni Allah na mjuwe kuwa ipo siku mtasimamishwa mbele ya Allah

  • @HadijaHamis-vs9hm
    @HadijaHamis-vs9hm 14 วันที่ผ่านมา

    Wallah huu ni msiba

  • @yasakilube9946
    @yasakilube9946 21 วันที่ผ่านมา +9

    Dakika 9:57 hakuna aya ya qur an wala hadithi zaidi ya porojo tuu, Allah anawafedhehesha wanaongea maneno ya kihuni ety mtoto kautak huyu kweli shehena😂

    • @hamadsaid9021
      @hamadsaid9021 21 วันที่ผ่านมา

      Hicho ndo kipimo tosha kwamba Hawa jamaa wajinga sana

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

    • @HadijaHamis-vs9hm
      @HadijaHamis-vs9hm 14 วันที่ผ่านมา

      Aya utaipata wapi porojo tuuu

    • @HadijaHamis-vs9hm
      @HadijaHamis-vs9hm 14 วันที่ผ่านมา

      Shida yangu nitamshatakia Allah sio sharifu feki

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 15 วันที่ผ่านมา

    Mnawaalika watu wa serekali ili wabariki utapeli wenu watu wajue nyinyi ni wakweli kama vile mzee wa liliondo serekali yote ilienda kunywa kikombe kumbe ni usanii wagonjwa baada ya kunywa kikombe cha maji ili wapone maradhi yao badala yake wengi wakafa njiani baada ya kunywa maji ya kwenye kikombe hacheni utapeli huyo ni sharifu feki

  • @momadesuales
    @momadesuales 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ni wa hovyo sana njaa inamtesa

  • @KassimLukanza-wp6xn
    @KassimLukanza-wp6xn 17 วันที่ผ่านมา

    Aisee... hawa wanataka kuupeleka uislam wapi yarabi?

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 21 วันที่ผ่านมา +9

    Acha wizi jambazi mkubwa wewe.Nendeni mahospitali mkatibie watu kama kweli.Hali ngumu ya maisha inasababisha kuzuka kwa matapeli kama hawa

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @Pablolookman
    @Pablolookman 20 วันที่ผ่านมา

    Subhanallah taifa la kwanza kulaani ni TZ waisilam wengi ambao wangeunda dola lakini wamezidiwa na wasiokua waislam masheikh kila siku majungu hapo amazengumza mwanzo mwisho hajatoa Aya wala hadith ivi wasiokua waislam wanawachukuliaje mnavyoshambuliana

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 20 วันที่ผ่านมา

    Kumualika mama Haina maana kwamba hicho mnachokifanya kipo sahihi kweny dini! Sas hiyo mnayoisema hamna tofaut na kamchape hizo ni shirki kwanin hamhamasishi watu wakasali? Mim naona huu mchezo serikali iuangalie ,na hayo maneno hamuwezi kumchafua mtu aliyeshiba lkn pia hata shule zake hamuwezi kuzichafua kama mmeandaa KUTENGENEZA maneno ionekane shule za kishiki ndo wale watainiwa feki wanapopatia vyeti Hilo mmechambia wembe,lkn pia huyo unaemsema sharifu ni mume wa wachawi nafkir hiyo kauli na wew unatakiwa uchunguzwe zaidi maan kuongea huko sio kwa kiume

  • @mzulwa2006
    @mzulwa2006 21 วันที่ผ่านมา +1

    Dalili ya duwa ya kufunga na kufungua mwaka tunaomba na pili ni mwaka upi wa kiislamu au wakidunia

  • @TawakalKasim
    @TawakalKasim 21 วันที่ผ่านมา

    Lamuhimu ni risachi kama hamshirikishi Allah tabarak wataala na watu wanafanikiwa kwenye matat iz Yao hoj ifungwe mfarakan kweny uislam hautakiw Alla humpa amtakae jmn

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 20 วันที่ผ่านมา

    Acha maneno ya kujigamba dini haipo ivo. Ongea kwa ushahidi wa aya na hadithi za mtukufu wa daraja mtume (s a.w)

  • @zakirmwinyi9418
    @zakirmwinyi9418 13 วันที่ผ่านมา

    Matapeli wa dini hawa...inasikitisha sana..

  • @sakinakwela3342
    @sakinakwela3342 16 วันที่ผ่านมา

    Akija Oman akijulikana mama ni mgogo anazea jela 😂😂😂

  • @saidramadhan4516
    @saidramadhan4516 21 วันที่ผ่านมา +3

    Jamaniiii eeeh mnawapa maadui zenu njia za kutudhoofishaaaa hebu acheni haya mambo

  • @TawakalKasim
    @TawakalKasim 21 วันที่ผ่านมา

    Hakun aliejitokeza kusem ameibiwa Ama kutapeliwa na kama hamshirikishi Alla punguz ukal wa manen Allah hump amtakae

  • @ZainabZainab-q5z
    @ZainabZainab-q5z 14 วันที่ผ่านมา

    Allh ndo anazijuwa Nia zenu

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 doh kweli sheikh kishki kapiga ikulu jiwe alilolusha gizani limewapiga wengi kumbe wako wengi na huyu nae nani😂?!

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 20 วันที่ผ่านมา +2

    Yaani huyu jamaa ameongea mwanzo mwisho na hakuna hata mashiko katika maongezi yake

  • @maratochacha5308
    @maratochacha5308 21 วันที่ผ่านมา +3

    Waislam ni ndugu, mkitofautiana basi ni vyema kukaa chini na kutatua tofauti zilizojili kwa kufuata hadith na Quran tukufu. Haya maisha ya dunia ni starehe fupi na yenye kudanganya.

  • @NafiounMohamedChioni
    @NafiounMohamedChioni 20 วันที่ผ่านมา

    Mimi naona huyu kishki amemuinua firdaus jina

  • @nicolaskalunde
    @nicolaskalunde 16 วันที่ผ่านมา

    Nilihama Uislamu kwasa7bu ya uswahili wao muda mwingi ni majungu sn. Hata mzee Yusuf yalimshinda haya fitna uchawi nk....

  • @mustaphabduljumbe-uc7vw
    @mustaphabduljumbe-uc7vw 21 วันที่ผ่านมา

    Sasa nmeelewa vzur kuw mradi wa watu umeguswa na mrija unaendelea kutoa faida ndogo ila nashukuru sana shekhe kW kutupa elim yaan nmefrah Sana'a kuwaona wafadhil wa mrad huu wa mtoto kautaka 😂😂😂,pia bado hajawa na taluma ya kuzungumza na hadhira nlichogunduwa n muongeaj San tofaut na hoja husika 😢😢😢nmekupenda bure kW ufukunyuzi mzur

  • @abalkaram786
    @abalkaram786 21 วันที่ผ่านมา

    @الجميع
    NJAA MBAYA SANA
    SHARIFU WENU AKASOME FIKHI NA QORANI KWANZA. KARAMA HAZIWI KWA MTU MPUMBAVU ASIESOMA MSILETE UPOTOVU APA:

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 20 วันที่ผ่านมา

    Waislam wote weny elimu ya din hawawez kuunga mkono porojo kama hizo ,alafu Cha ajabu wanaomzungumzia huyo sharifu feki ni watu wazima na bwanamdogo sharif amekaa kimya boss wao

  • @husseinmukwambo9001
    @husseinmukwambo9001 21 วันที่ผ่านมา +1

    HAYO MANENO YOTE KAFUKAFU HATA HAMNA AYA WALA HADITH
    MATUSI NA POROJO HATA HOJA HUNA HUONI AIBU NDUGU YANGU TETEA HOJA KWA AYA AMA HADITH KAMA MLIVYO MSEMA SHEIKH WANGU KISHKA KATUMIA KAMUSI BADALA AYA SASA WEWE YAKO IKO WAPI

  • @Mauya23
    @Mauya23 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe toa povuuu mpaka koo likauke, lkn feki itabaki kuwa feki tu, tunaendelea kuwa jua waliofikiwa na ukweli, tunasubiria mwingine tumjue aje!

  • @BakariMussa-to2me
    @BakariMussa-to2me 20 วันที่ผ่านมา

    Nyie mashekhe tuigopeni siku ambayo tutalejeshwa kwa mola wetu😂😂 hebu wacheni kuikumbatia dunia jaman tumche Allah ikiwa nyinyi wenye elimu hampendani nasisi ma amuma wenu, hebu msiwape makafili njia tumuogopeni Allah jamani😢

  • @TawakalKasim
    @TawakalKasim 21 วันที่ผ่านมา

    Sis si waongoaj sisi ni wakumbushaj ujumbe Umisha fikia Mada ifungwe tusiwape makafir njia sis SOTE ni waislam tuacheni mfarakan

  • @muhala410
    @muhala410 20 วันที่ผ่านมา

    Fanyeni debat acheni maneno mitandaoni kuwachanganya watu kisa wislamu semeni nyinyi wafumu tumewachoka Sasa kila umoja asema yake

  • @RojaRojas-o7g
    @RojaRojas-o7g 20 วันที่ผ่านมา

    NA WEWE MWIZI KAMA MWIZI SHALIFU UCHWARA APO MPAKA MPATE PESA ZA MAFUTA YA UPAKO

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 18 วันที่ผ่านมา

    Chawa chawa chawachawa

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 21 วันที่ผ่านมา

    Wapumbavu wote watajitokeza kumsapoti sharifu feki, na sasa ndo tutawajua masheikh njaa wababaishaji

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 20 วันที่ผ่านมา

    Wacha ushabiki itafute haki ilipo kaburini hutokuwepo unaemshabikia utakuwepo pekeako tu wewe kama wewe matendo yako ndio mwenzako shauri yako

  • @halimamnyati9311
    @halimamnyati9311 16 วันที่ผ่านมา

    Tunahitaji ayaaa babuuuu cyo porojotu

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 9 วันที่ผ่านมา

    Maneno ya ukosaji hayo

  • @UstadhAboubakar
    @UstadhAboubakar 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nyinyi Matapeli hata sura zenu zaonekana kuwa matapeli pia hamna hata khofu ya ALLAHU✓

    • @Pablolookman
      @Pablolookman 20 วันที่ผ่านมา

      Ivi ushawahi kuona sheikh kama sheikh anaongea namna hiyo lijitu linalopoka hajatoa hata aya

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 18 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Kishki unayasikia hayoo? Wanasema watakuumbua, haya kazi unayo Sheikh Kishki, duh !!!!

  • @Dadytamal
    @Dadytamal 20 วันที่ผ่านมา

    Alf hii dini ye2 ha2jazoea vituko km hv,,mnazingua sn

  • @SeleKaisala
    @SeleKaisala 20 วันที่ผ่านมา

    Jamani povulina watoka masheghe hiyo elimu dunia ndio uiislam uoni.uganga

  • @samaamin2501
    @samaamin2501 18 วันที่ผ่านมา

    Wananchi epukaneni na washenzi kama hawa, matapeli na majabazi wanatuharibia dini yetu. Hii ni mipagani

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @selemansalum
    @selemansalum 13 วันที่ผ่านมา

    Kwanj imekuwa ugomvi hivi,unaongea tu bila kituo ndio uislam umekufunza hivyo kwwli😢😢😢😢???

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 20 วันที่ผ่านมา

    Ukumnapokwenda mwisho mtampa utume

  • @Maalim_Samatta
    @Maalim_Samatta 20 วันที่ผ่านมา

    Mh, mtoto kautaka tena....😢

  • @dr.peterlombiso7686
    @dr.peterlombiso7686 21 วันที่ผ่านมา +2

    Achana mada hizi, mnatutia aibu waislamu, dini isiwe kama vyama vya siasa.

  • @MohamedKaburu
    @MohamedKaburu 18 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu wanayafanya ambayo ajadhiiri allah wala kwa mtume wake kama mashindano ya qruan lakin mtu kajitengeneza akifanyacho yey ndio wa pepon wenzie wa motoni

  • @Abdallahmohamed72
    @Abdallahmohamed72 17 วันที่ผ่านมา

    Wewe hunamaneno ya maana wala yenye hekima upuzi mtupu.waropoka bure tu kufunga mwaka nakufungua mwaka hayo yako kwa uislamu hauna elimu yoyote wewe nimropokaji tu

  • @5amediaonline335
    @5amediaonline335 20 วันที่ผ่านมา

    Ropo Ropo Mnatengeneza Tisa Apo hakun jengne

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 20 วันที่ผ่านมา

    Wee mnafiki njaaitakupoteza

  • @AMINGULAMRASUL
    @AMINGULAMRASUL 14 วันที่ผ่านมา

    ACHENI UTAPELI MNATETEA MATUMBO YENU MTAKUTA TU NA ALAAH MNAYOYAFANFA KUWATAPELI WATU

  • @HusseinMwatende-ws1nt
    @HusseinMwatende-ws1nt 21 วันที่ผ่านมา

    Makafiri yamekauka KOO, SABABU TU KUAMBIWA UKWELI,SUBHANNA LLAAH,HAMNA HADITH WALA AYA,NISTORI TU,DAAAAH ETI MTASEMA USIKU MCHANA MTALALA,KISWAHILI HUJUWI UTAIWEZA TIBA KWELI?DUH SAFARI TENA KUFATA UCHAWI KWA WAARABU

  • @ali-ri9ek
    @ali-ri9ek 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kishki twamjua hapa Kenya kama sheikh mswafi tena mwenye elmu

    • @husseinmukwambo9001
      @husseinmukwambo9001 21 วันที่ผ่านมา +1

      Nahilo halifichiki

    • @thabitimkufi7388
      @thabitimkufi7388 16 วันที่ผ่านมา

      Na ndivo ilivo sasa hawa washirikina ni wenye chuki tuu juu yake

  • @harunadaudi5628
    @harunadaudi5628 21 วันที่ผ่านมา

    Chawa kama chawa unaongea kama Babalevo Njaa mbaya ndugu yangu alfu unataka kumuombea mtu Dua we mwenyewe naona kama akili yako fuse zimewaka nabdi uombewe dua

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 21 วันที่ผ่านมา +1

    Huna uvumilivu kitu, hiyo ni njaaaaa wacheni kitudanganya hiyo ni njaaa wote nyie mnamtegemea Sharifu Fekiiiii na ndiyo maana mnatetea uganga ndani ya imani ya dini yetu nyie semeni tuuu ila nyie ni waongo sana hana cha karama kitu, mnapita kuchonganisha watu na huo uchawi wenu mnaudhalilisha uislam wachawi nyie wenyewe, hatuyataki maji ya uongo mpona nyie mnasema na nyie semeni usiku mtalala

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f 17 วันที่ผ่านมา

    Ametoka kiboko ya wachawi sasa amekuja sharifu hii dunia tunapita tuu ndugu zangu

  • @OmarHaruna-jc2sj
    @OmarHaruna-jc2sj 20 วันที่ผ่านมา

    We chawa acheni njaa

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 21 วันที่ผ่านมา +1

    Fatilieni saaana.wote wanaomuunga mkono huyo sharifu feki asilimia kubwa ni waganga na wanamatatizo makubwa

  • @SwaleheRajab
    @SwaleheRajab 19 วันที่ผ่านมา

    Njaa nying

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f 17 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi dunia mumeiweka mbele

  • @NafiounMohamedChioni
    @NafiounMohamedChioni 20 วันที่ผ่านมา

    Mbona mna payuka payuka?

  • @majaliwaking4500
    @majaliwaking4500 20 วันที่ผ่านมา

    Hahahah huyu povu Tu na njaa imehama tumboni imekwenda kichwani. Haya limeshakua bomu hilo

    • @ShamimMsofe
      @ShamimMsofe 17 วันที่ผ่านมา

      Hahaha 😅

  • @KhalidAlliy
    @KhalidAlliy 18 วันที่ผ่านมา

    Shekhe mazinge hayupo hapo kashakula mzigo wake katembea

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      Jiepushe na dhana

  • @AliOmar-bx2oz
    @AliOmar-bx2oz 8 วันที่ผ่านมา

    wanaonekana hawa ni wasanii

  • @ali-ri9ek
    @ali-ri9ek 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wacheni kudanganya uyo mtoto, twamjua yeye ni sharif feky

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @imperfektservantt-e8b
    @imperfektservantt-e8b 20 วันที่ผ่านมา

    Wahadhiri pasi na kuwavunjia heshima wala kubeza kazi wanazofanya inabidi warudi darasani waisome kwanza dini vizuuuri, wana makosa mengi mnoo tena mengine ya kufuru kabisa mfano yupo muhadhiri anapenda kuitumia aya ya Qur'an وَتَرَكُوكَ قَآئِمًاۚ kwenye mzaha na ucheshi hali ya kuwa kosa hili linamtoa mtu kwenye uislamu na Allaah amekataza kwenye surat taubah. Mnapoambiwa kweli mnasema mnaonewa wivu, muislamu gani anayeonea wivu kazi ya kuingiza watu kwenye dini? ina maana wapo waislamu hawapendi waislamu waongezeke?? Acheni ujinga MKASOME

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 16 วันที่ผ่านมา

    Matapeli Matapeli watupuu hiyo njaa yenu Sijui itawapeleka wapi!??

  • @SalumRamadhan-w3g
    @SalumRamadhan-w3g 16 วันที่ผ่านมา

    Wewe njaa inakusumbua acheni utapeli na sharifu feki wako huyo dawa yenu haikubaliki kwa ushirikina wenu

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kishki hana njaa kama nyie mnaowadhalilisha mama zetu na kuwatapeli

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @zuenajumashf3105
    @zuenajumashf3105 21 วันที่ผ่านมา

    Bure kabisa na njaa nyingi...Allah atawafedhehesha hadi mwisho mtajuwa hamjui maana hamjajiumba

  • @sirpaza8513
    @sirpaza8513 21 วันที่ผ่านมา

    Njooni Kwa Yesu

    • @HusseinMwatende-ws1nt
      @HusseinMwatende-ws1nt 21 วันที่ผ่านมา

      Kwa yesu hatuji mana papa amebariki ndoa za jinsia moja,NAFIKIRI YESU NI SHO NDIO MANA MUMESHAURIWA MUOWANE WAUME KWA WAUME,STUPID

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 20 วันที่ผ่านมา

    Huyu chawa kajengewa nyumba nini mbona mapovu. mengi hivi

  • @OthmanMbuguni
    @OthmanMbuguni 18 วันที่ผ่านมา

    Acheni kuendekeza njaa

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @abalkaram786
    @abalkaram786 21 วันที่ผ่านมา

    @all
    ACHENI NJAA SIO HUSDA UYO BWANA SIO SHARIFU NA HAKUSOMA NA HUWEZI KUWA NA KARAMA NA HUNA ILMU NA ATA FATHA HUJUI KUSOMA USITULETEE VIOJA NA VITAKURO NA NJEE ZENU IZO.

  • @hussehussein1081
    @hussehussein1081 20 วันที่ผ่านมา

    HUYU NI MSEMAJI WA TIMU GANI LIGO KUU?

  • @AmanMahaliya
    @AmanMahaliya 19 วันที่ผ่านมา

    acha kumsema kishki msenge wasenge nyinyi fanyeni KAZI mbwa nyinyi njaatu zinawasumbuwa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 19 วันที่ผ่านมา

    HAPO MNAMPA DHAMBI TU HUYU KIJANA KWA SABABU MNAMTUMIA ILI MPATE CHOCHOTE KITU
    KWANINI MNAMPA DHAMBI HUYU KIJANA
    1- Hajui dini yy anafanya tu akiiambiwa ( ni kosa)
    2-Na wanaoganya Tiba na uchawi ni mashekh wenginee cio huyu kijana
    3- Huyu kijana ANATUMIKA TU
    4-UKIANGALIA HAPO HAKUNA TAWHEED ILA NI UGANGA NA HAWAA NAUTAPELI TU!
    5- UNAFANYATIBAYAKISHERIA HATA QURAN HUJUI
    C UTAPELI HUOOO
    MUOGOPENI ALLAHMAISHA HAYA N MAFUP SANA
    HAKIKA ADHABU YA ALAH HAIVUILIKI

  • @yusuphmbaga9242
    @yusuphmbaga9242 20 วันที่ผ่านมา

    Dah huyu jamaa anaonekana anapinga double kick.

  • @khalfanhamadi3616
    @khalfanhamadi3616 13 วันที่ผ่านมา

    Mnatakiwa mumuelewe kishk shida ni yy sio sharif kwani sharif ni nasaba ya mtume

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 20 วันที่ผ่านมา

    Huna .mamaako umtaje huyo anawanae wanaomuita mama

  • @MombokaMomboka
    @MombokaMomboka 21 วันที่ผ่านมา

    Mataperi wakubwa Wakiisramu Vibaka wakubwa Hamna Dua yamateperi Nguruwe porinyie😂😅

  • @AkibaruRamadhani
    @AkibaruRamadhani 20 วันที่ผ่านมา

    Hivi vilia njaa siviwe manabii wakatumie bibilia huko waachekutuchafulia dini bhana alaaa

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 14 วันที่ผ่านมา

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @ceptjm.7456
    @ceptjm.7456 21 วันที่ผ่านมา

    Daah mi sijaelewa kabisa nasikia maneno tu. Hadithi wala aya ya kutetea hoja zao sioni, zaid wanamalizia na maneno ya kiuni tu na wamedhamilia ushari si tunataka dalili bhn hatutak maneno

  • @medwho959
    @medwho959 21 วันที่ผ่านมา

    Aulia ya shetani. Mna laaana

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 19 วันที่ผ่านมา

    Njaa noma

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 21 วันที่ผ่านมา

    Wapuuuzi nyinyi, Washirikina wakubwa