"Mwenyezi Mungu hasamehe kushirikishwa na humsamehe yaliyo duni ya hilo kwa amtakaye. Na anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu basi amezua dhambi kubwa"(4:38) Wewe kijana Acha uzushi Acha Uongo Utapeli Ushirikina na Uchawi utakupeleka Motoni.
Kusoma ni muhimu sana ndugu yangu isome dini yko ikisha ndo uongee,, unakosea sana na utaenda kuulizwa,, mtu anasem s.a.w " atakae fasiri ndoto au kutoa jawabu la suali bila kuwa na elimu ni km mtu aloanguka kutoka mbinguni kuja ardhini na kuingia katk kisima kisicho na mwisho hata km atapatia" ila kwa vile alisema bila ya elimu tu bc hiyo ndio mfano wa adhabu yke cjui huko akhera itakuwaj
Mimi nilijua kua huu tapeli ni mongo kwanza tujiulize kweli una sali Mara tanu kwa usiku ??? kwa sababu huna nuru yoyote katika uso wako muislamu yoyote ambaye ana swali awe meusi kama wewe au mueupe usowake unatoa nuru. sura ya pendeza lakini wewe !!? AAA suraYako nia kanisani au ya maframason subuhanallah mungu akuokowe utafute haki hapo yilipo ishallah
Mashekhe wamekua.kuradiana ktk mimbary ndio.kufikisha kila.mti anajua huwezi.kusikilizwa na mtu.kama.utampa mawaidha kwa kumlaani na.kumdhalilisha hata kama kakosea ila nirahisi.kukusikiliza kama.utatumia lugha laini
Aaaha !! huwezi kurudi nyuma ?? kwa sababu gani ??? kumbe unajua wewe ni feki hujasoma lolote lakini lengo lako nikutapeli wakina mama nakupoteza watu ili utajirike ??? wewe si dume ???! soma Surat yasini mbele ya watz !!!
Asalam alaikum naomba.kuwasihi mashekhe wote wanao wakosoa wale.wanao.waona.kua wamekosea baadhi mambo ktk dini mtu akionekana.kaenda kinyume naafundisho.ya dini.si.busara kumshambulia bali ni.kumuita kiimani na kwa stara kumfahamisha alipokosea.lakini.kutumia.mimbary nahali.hayupo.hapo si njia sahihi na hata firauni alipo takabary allah alimuambia musa aende kwa lugha laini sasa mbona mashekhe.njia.hii.hamtii kwani.nani aneweza kukubali.kosa kwa kushambuliwa?
Sharifu Sharobaro eti yeah yeah
Msanii huyu kama Chief godlove
Wanajuana sana
Wote wanaabudu mizimu ya bibi zao
Wachawi wakubwa
"Mwenyezi Mungu hasamehe kushirikishwa na humsamehe yaliyo duni ya hilo kwa amtakaye.
Na anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu basi amezua dhambi kubwa"(4:38)
Wewe kijana Acha uzushi
Acha Uongo
Utapeli
Ushirikina na Uchawi utakupeleka Motoni.
Kusoma ni muhimu sana ndugu yangu isome dini yko ikisha ndo uongee,, unakosea sana na utaenda kuulizwa,, mtu anasem s.a.w " atakae fasiri ndoto au kutoa jawabu la suali bila kuwa na elimu ni km mtu aloanguka kutoka mbinguni kuja ardhini na kuingia katk kisima kisicho na mwisho hata km atapatia" ila kwa vile alisema bila ya elimu tu bc hiyo ndio mfano wa adhabu yke cjui huko akhera itakuwaj
Mimi nilijua kua huu tapeli ni mongo kwanza tujiulize kweli una sali Mara tanu kwa usiku ??? kwa sababu huna nuru yoyote katika uso wako muislamu yoyote ambaye ana swali awe meusi kama wewe au mueupe usowake unatoa nuru. sura ya pendeza lakini wewe !!? AAA suraYako nia kanisani au ya maframason subuhanallah mungu akuokowe utafute haki hapo yilipo ishallah
Wewe mbwa asha uo usenge wako mshirikina mkubwa wew
Ni wale wale tu hakuna sharifu hapa, wanakuja kuchezea dini hawa watapeli wakubwa
KAMA HAO NDO MARAFIKI ZAKO WEWE HAMNA KITU,, PÚMBAVUZAKO UNATUHARIBIA DINI WEWE
Tapeli waaakheed
Wewe unamjua Chief Godlove wewe?? Acha ujinga Tapeli weweeeee
Tapeli tuu kuisoma qurani hujui usharudi huo wawapi sharifuu wa kisenvukee😅
Mashekhe wamekua.kuradiana ktk mimbary ndio.kufikisha kila.mti anajua huwezi.kusikilizwa na mtu.kama.utampa mawaidha kwa kumlaani na.kumdhalilisha hata kama kakosea ila nirahisi.kukusikiliza kama.utatumia lugha laini
Matapeli huyu ataka afungwe na ikiwa haitakua hivo samia suluhu unalo lakujibu mbele ya mola wetu
Aaaha !! huwezi kurudi nyuma ?? kwa sababu gani ??? kumbe unajua wewe ni feki hujasoma lolote lakini lengo lako nikutapeli wakina mama nakupoteza watu ili utajirike ??? wewe si dume ???! soma Surat yasini mbele ya watz !!!
Asalam alaikum naomba.kuwasihi mashekhe wote wanao wakosoa wale.wanao.waona.kua wamekosea baadhi mambo ktk dini mtu akionekana.kaenda kinyume naafundisho.ya dini.si.busara kumshambulia bali ni.kumuita kiimani na kwa stara kumfahamisha alipokosea.lakini.kutumia.mimbary nahali.hayupo.hapo si njia sahihi na hata firauni alipo takabary allah alimuambia musa aende kwa lugha laini sasa mbona mashekhe.njia.hii.hamtii kwani.nani aneweza kukubali.kosa kwa kushambuliwa?
wanao kosolewa sio mashekhe ni watu ambao wanajiect kama mashekh kupiga muokoto.hasa hao hata uende kisiri hawawezi kuacha pesa