Ukitaka kujuwa umuimu wa kuwa wamoja fwatilia maswala ya china 🇨🇳 na Taiwan 🇹🇼 brother, if you know the geopolitics strategy you cannot want that division at all
Ajira ndo muhimu mkuu, nawaomba muhakikishe wazawa wananufaika ipasavyo, haitapendeza vibarua wakatoka nje ya Zanzibar, pili huduma, Makaro ya Kwahani yanafoka na majumba hayatimii hata miaka 5, machafu yamejaa vichaka.
Yajayo kweli yanafurahisha ila Mh Dk Mwinyi sisi wananchi walio wengi hatujui bei gani zinauzwa isipokuwa tunasikia wenye nyazifa za madaraka makubwa na wafanyabiashara wenye uwexo ndio wameziodhi kwa wingi.
Mtu gani wa Zanzibar maskini anaweza kununua nyumba hizo ghali na si kweli kwamba unaweza kuwapa bure .Wazanzibari maskini wamezoweya kujenga vibanda vyao kidogo kidogo hata kwa miaka 10 lakini mwisho wanapata mwahala mwa kujistitiri .Hizo nyumba maadamu unajenga kwa pesa za mikopo ya watu ambapo na wewe umetiliwa chako ni kwa ajili ya kuwauziya wageni na hasa jamaa zako walowezi wa Kitanganyika ili uwape vitambulisho vya Mzanzibari mkaazi ili wakusaidie kuidhibiti Zanzibar kwa lengo la kuipeleka Tanganyika.
Nitoe angallizo jinsi zanzibar itakavyo imarika nazani kuna haki ya passport kurudi ili kuilinda zanzibar maana itavutia watu wingi kutoka bara kuingia zanzibar
Mie mzanzibar kwa baba na mama ungelijua wazanzibar walioko bara hususan wakipemba wanofanya biashara na wengine kufanikiwa huko Wallah usingethubutu kusema hayo
Tutasema maana nyinyi ndio mmetaka hivo Zanzibar hawana lazima na hawayaki mnalazimisha muungano wa lazima kwann musiingane na Kenya au Uganda kwa lazima@@fahadfaraj6474
Allha akupe umri mrefu utimize ndoto zako kuijenga zanzibar
Zanzibar nindogo sana passport nimuhimu
Ukitaka kujuwa umuimu wa kuwa wamoja fwatilia maswala ya china 🇨🇳 na Taiwan 🇹🇼 brother, if you know the geopolitics strategy you cannot want that division at all
Kumzuia nani sasa?
Allaa kulipe kheir
Hongera mh. Raisi maono yako ni makubwa. Mungu akusimamie
Mheshimiwa rais utanunuwa ama utachukuwa😂😂😂
Haya ndiyo tunayoyahitajia.
Allah akutie nguvu na akupe taufeeq yake!
Safi sana hogera rais
nyumba m200 myonge gana anaweza
MashaAllah ❤️
Maendelea,si,kwanini,upige,kura,mara,mbili,au,maendeleo,yanakafara,ya,dam,zawatu
shida mnaza thn mnacha
Mm naamini akitimiza miaka 10 basi zanzibar itabadilia na hapo ndipo tutadai mamlaka kamili
Miaka mitano barabara ya Chake Mkoani bado mbovu
Ajira ndo muhimu mkuu, nawaomba muhakikishe wazawa wananufaika ipasavyo, haitapendeza vibarua wakatoka nje ya Zanzibar, pili huduma, Makaro ya Kwahani yanafoka na majumba hayatimii hata miaka 5, machafu yamejaa vichaka.
Kwanini pasingeendelezwa mradi ule wa jaani,Kwa Hani mpaka Miembeni??
Yajayo kweli yanafurahisha ila Mh Dk Mwinyi sisi wananchi walio wengi hatujui bei gani zinauzwa isipokuwa tunasikia wenye nyazifa za madaraka makubwa na wafanyabiashara wenye uwexo ndio wameziodhi kwa wingi.
Ila wewe kiongozi unavutiya una mipango mizuri naomba tu utawale kwa mda mrefu tufike ktk malengo katiba ya znz ibadilishwe utawale angalau miaka 20
Mtu gani wa Zanzibar maskini anaweza kununua nyumba hizo ghali na si kweli kwamba unaweza kuwapa bure .Wazanzibari maskini wamezoweya kujenga vibanda vyao kidogo kidogo hata kwa miaka 10 lakini mwisho wanapata mwahala mwa kujistitiri .Hizo nyumba maadamu unajenga kwa pesa za mikopo ya watu ambapo na wewe umetiliwa chako ni kwa ajili ya kuwauziya wageni na hasa jamaa zako walowezi wa Kitanganyika ili uwape vitambulisho vya Mzanzibari mkaazi ili wakusaidie kuidhibiti Zanzibar kwa lengo la kuipeleka Tanganyika.
Nitoe angallizo jinsi zanzibar itakavyo imarika nazani kuna haki ya passport kurudi ili kuilinda zanzibar maana itavutia watu wingi kutoka bara kuingia zanzibar
Acha ubaguzi mungu apendi