Allah atujaliye tunawo kuwa touched kwa sira za Mtume tuguswe zaidi nawale ambawo nyoyo zawo hazi guswi kwa maneno mazuri kama haya, Allah asiwachukuwe ila wameonja huyu utamu wakuguswa na maisha na sifa za Mtume Mouhamad kheri na salam ziwe juu yake
Wallah yupo hapo mshezi shalifu feki mimi nampenda mtume Muhammad sw lakini nimeshukia kuwepo kwa shalifu feki. Allah akupe umri mrefu sheikh othuman akupe afya njema mmeharibu kumleta shalifu feki
Maalimu othuman nakukubaliga sana una hekima haina mfano lakin njoo kwa yesu wew nikiboko hakika tanzania nzima hakuna Mwislamu anae kuweza labda mayunga
Mtume Muhammad (s.a.w) aliwakuta answar wakishereheka na sherehe za kijahilia akawaambia Allah (s.w) amekubadilishieni hizi sherehe zenu na Eidul al adha na Eidul al fitr Swali Mnampenda mtume Muhammad (s.a.w) kuliko Abubakar (r.a) au Umar (r.a) au Ally (r.a) au Othman (r.a) au tabee au tabee tabeen? Jibu kama ni hapana kitu gani kitakukanaisheni ktk yale mambo waliyowakinaisha wao! Allahu mustaan!! Allah (s.w) akuongozeni ktk huu uislamu.. Allahumma aamin
Kuhudhulia mawaidha wapi emm isimamien dini kwavitendo sio kupakana mafuta vp ingesimama hukum llhaah mgehukumu kweli kwamapenzi yakusifiana mwenyeiz mungu kawajaalia kusikilizwa je mnawafimishia au tabasam tu
Kaka Daudimakaza wewe inaonesha husomi biblia kwasababu Yesu anasema kwenye bible kua siku ya mwisho watamjia watu watamwambia bwana sisi tumetoa Pepo kwa jina lako na Yesu atawajibu nendeni nyinyi waovu mliotoa pepo kwa jina langu so atawafukuza,. Yesu pia kasema wananiamini kwa midomo lkn hawanifuati kwa vitendo. Sasa kaka kasome bible yote upate kusilimu kwani vitendo vya Yesu hivyo hamvifuati ni kuweka uso chini ukamuabudu Mmungu km wanavyofanya waislam.Nakuomba kaka fanya research zako soma bible yote kwa nia ya kutaka kujua na kujifunza bila chuki ili usione haki.
Niisikie tu hiyo sauti 🙂
Allah amuweke shekhe wetu
ampe maisha marefu yenye usalama amin
Ni kweli yaani anajua na Allah kampa kwenye kusoma kwake Allah amzidishie zaidi na zaidi Allah ampe umri mrefu wenye manufaa na yy ishaallah
❤Wallah ktk masheikh ninaowapenda huyu Sheikh no1 kwa kila kitu anajua mpaka anajua tena anaongea kwa upole ulo poleka Allah amhfadh ❤❤❤
@@husseinhassain8188 amin
Nani kama Sheikh Othumani, mawaidha ya yote sijaona ile mbaya. Nampenda sana Allah amjalie na ampe umri zaidi.❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wallah umeugusa moyo wangu kwa kumtaja mtume Muhammad
Namukuona kwa umbali sheikh Izudin❤
Alhamdulillah Sheikh wangu Othman maalim..nimekutana nae live wiki kadhaa zilizopita ..
Mashallah mashallah mashallah jazaka ullahu hery tumswaliyeni bwana MTUME MUHAMMAD ❤❤❤
ALLAHU Maswalli Wasalim 3aleyh wa3ala Alih MUHAMMAD
Maashaallah Allah akujaalie umri mrefu wenye kheri nawe shekh
Allahumma aamiin
Nakupenda sana ositadhi othumani maalim alllah akuzidishie kila lenye kheri na wew
sh othman allah amuhifadh anakipaj chapekee😊
Mashaa Allah shekhe othuman❤
Manshallah Allah akupe kheir nyingi nakupenda sna sheikh wangu❤
Na kupenda sana ussman maalim karibu mozambiki ❤
❤❤ Nas tunakuitaj Uganda ya sheikh hongera sana Allah aqbar shukran kwa kazi
Mashaallah subhana llah allah akibar
Mashaallah jirani mwema ❤
Mashaallah mabruuk sheikh uthman
Mungu akupe umri mlefu,
Allah atujaliye tunawo kuwa touched kwa sira za Mtume tuguswe zaidi nawale ambawo nyoyo zawo hazi guswi kwa maneno mazuri kama haya, Allah asiwachukuwe ila wameonja huyu utamu wakuguswa na maisha na sifa za Mtume Mouhamad kheri na salam ziwe juu yake
Ashahad Allah I'llah illah wa Ashi had Allah Muhammad rasulullah
Yaah Allah nijaalie mwisho mwema mjawako Allahuma Amiin😢
Amiin Yaa Rabb Al a'alamiin
WALA HAJIKWEZI HUYU SHEIKH JAMANI, ALLAH ATUHIFADHIE HUYU SHEIKH.
Allahumma swalliy wasallim alayh ❤❤❤❤
Alayhi afdhal salaatu wa salaam ❤
Maashaallah shekh Othman Maalim Allah amhifadhi
Mashalah
Subhana Almaliku Aquduss
Yaaan mashallah shekh othamn anajua mpaka anakera mashallah
Mashaallah namshukuru Allah kunipa upendo wa kumpenda mtume Mohamad (sw)raha sana ukiwa na mapenzi na mtume
Kumpenda Mtume ni kumfuata na sio kumfanyia Usanii
@HashimSalim-qj7zn hatari
Kumpenda rasul nikufuata sunna zake sio kumukhirafu
Swalla Lllaahu 'walyhi wasallam
Allah akuhifadh namabaya sheikh wangu kipenz
Sheikh othman sheikh Hamza mansory Allah awazidishie kheer nyingi sana make nimejifunza mengi kutoka kwenu
Maasha Allah
Wallah yupo hapo mshezi shalifu feki mimi nampenda mtume Muhammad sw lakini nimeshukia kuwepo kwa shalifu feki. Allah akupe umri mrefu sheikh othuman akupe afya njema mmeharibu kumleta shalifu feki
Me namchukia huyu sharif feki
Kanajipendekeza kwa watu wakubwa ili kuwaaminisha watu kuwa kanakubalika kumbe ni tapeli mkubwa
Yupi huyo?
Taqubrii Taqubrii 🎉
HAo ndoo wezake
Nampenda shekh Othman Kwa dhat kabisa na mungu ampe umri mrefu na wenye hekma
Shegh Othman Maalim ni talent sana tofaut na bachu na mafuta
Sana shekh
Usifananishe tuwi na maziwa
Ulega kila maulid yupo allah amlipe
Allahumma swali wasalim alaa nabiyyinaa muhammad.
اللهم صل و سلم على سيدنا محمد صلى الله عليه و سلم
Siku nyengine andika صلي
Asalam a shekhe nakupenda ongea yako ni ya hekima sana na unyenyekevu
Sheikh nakubali sana
Huyu jamaa mtu sana Wallahi mola ampe umri
Kumbe na wewe unasikia mawaidha
@@Azza-o8c 😅kwani mimi sio muislam
Aamiin
Mashallah ❤
MashaAllah MashaAllah MashaAllah!!!
Mungu ampe umri mrefu azidi kutupa mawaiza
Maalimu othuman nakukubaliga sana una hekima haina mfano lakin njoo kwa yesu wew nikiboko hakika tanzania nzima hakuna Mwislamu anae kuweza labda mayunga
Allahumma swali wasalim alaihii ❤❤❤
Mashaallah Sheik
Allahumma taQabbal duaa yaa rabbal alamiyn
Mashaallah shekhe wangu
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم ،من كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده في النار
شو اللي سامع لحتى تقول ها الحديث؟؟ انت تفهم اللغة السواحيلي؟
اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم ❤😊
صليna sio صلي
Sio صل
Uhibbu swalihiin walastu minhu ya Rabby jaalni minaswalihini ya Rabby
Shekher maaalim mtu wa mungu
Mungu akupe maisha marefu shekh Othman maalim❤
Salalahu aleyhi wasalam
Masha Allah
Yani nikimuona Sheikh Athumani na nikisikiliza mawaidha yake nafsi yangu hutulia kabisa yani hupata utulivu wa moyo wangu
Uma wote huu umemkubali mshenzi Sharifu feki bila kumsema na kumligania
Allahumma swalliy wasallim alayh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂
Mashaallah
Hadhara nzito hiii alhamdulilah
Asalam alayk nakupend Kwa ajili ya allah
Alhamdulillah
Mtume Muhammad (s.a.w) aliwakuta answar wakishereheka na sherehe za kijahilia akawaambia Allah (s.w) amekubadilishieni hizi sherehe zenu na Eidul al adha na Eidul al fitr
Swali
Mnampenda mtume Muhammad (s.a.w) kuliko Abubakar (r.a) au Umar (r.a) au Ally (r.a) au Othman (r.a) au tabee au tabee tabeen? Jibu kama ni hapana kitu gani kitakukanaisheni ktk yale mambo waliyowakinaisha wao! Allahu mustaan!! Allah (s.w) akuongozeni ktk huu uislamu.. Allahumma aamin
Mashallah
Kumbe hiki ndo kikos cha sharif mh nimestuka yaan😢
Ndio chenyewe hicho kama huyu sheikh elim ipo lakini njia ndio mtihani
Namuona izdun kafurahi kweli kweili kumsikia othamn
*هذا ( محمد ) خلق الله فاروني ماذا خلق الذين من دونه * ؟!
ويش دخل محمد في هذا الآية؟
Ayyah gani Sheikh ina sema Ivo?? Qur'an ya ngapi na ayyah ya ngapi maana
*..عقدة من لساني ، ( بكلام الله ) يفقهوا قولي *
Nakupenda sheikh othman maalim ❤
MASHALLAH
Umeliza maalim ALLAH AKUHIFADHI
Hakika umesema kweli ya shaikhu
As alaikum Sheik
Huyu sharif shekh feki, kama anapesa nyingi hivyo zakutunza, mbona anawadhulumu wanawake pesa zao kwa kuwadanganya?
Mbona sheik othman hauisomi qurani badalaa yake kuimba tauhid othman mina kupenda soma qurani zaidi acha tauhid
صلوا على النبي
Huyo sharif kwwli choko
Hela zake zmepepea kaa za sheytwan 😢
Tunashukuru namazungumzo
Adabul khilaafi mkipingwa tu nyinyi misufiy , ila nyie mnavyo watusi watu wa sunnah Hapo amusemi adabu khilaafiy
Miwahabi mpoo roho zawauma
Tujivunie kua na mashee wenye elimu Allwa awalinde na mitiani kama alicvyo walinda mitume wake
❤❤❤❤
Hiyo dhanna mbaya.wadhwanie vizuri nduguzako utakuwa umetoa swadaq.nyie mawahabi mnanini ???
Mashallaha 💯 💯 💯 💯 💯 💯
Mshallha
Sharifu punguza kiherehere
Ndio mambo yenu hayo ya kupenda pesa na mlo
𝕄𝕒 𝕤𝕙𝕒 𝔸𝕝𝕝𝕒𝕙 𝕄𝕒 𝕤𝕙𝕒 𝔸𝕝𝕝𝕒𝕙
Mung akure hekima na busara
Huyo shalifu feki kaja kuuza maji au mafuta maana huyo mwanga tu
Makhuraf wamekutana apo
😂😂wahuni sana masufi
Kuhudhulia mawaidha wapi emm isimamien dini kwavitendo sio kupakana mafuta vp ingesimama hukum llhaah mgehukumu kweli kwamapenzi yakusifiana mwenyeiz mungu kawajaalia kusikilizwa je mnawafimishia au tabasam tu
Wacha chuki wew, kwani akisema kuhudhuria n mawaidha, c n kweli...Akili yako ndogo ndio maana unakuwa na ugumu wakutafakari
Lkn najiuliza kwanini wasomi ndoo wawo wamedhwala dhwalala mubiina ?
NAWE Ukisoma UTAJUA ,SAIV HUJASOMA UNAPELEKESHWA TU NA USHABIKI WA KIMADHEHEBU
watu wa bidaa
MAWAHABI 😂
Hpo ukikemea kw jna la yesu wte mijin inalipk
Kemea tuone
Yesu kwetu ni nabii kama kwenu ni mungu ki mpango wenu
@ruqaiamohammed345 okoka utaelew tok kwny din ya majin njoo kwny uzima muhamadi hn mbingu
@@Daudimakaza-s1v kweli kafir ni kafir tu na kwa kher 👋 👋
Kaka Daudimakaza wewe inaonesha husomi biblia kwasababu Yesu anasema kwenye bible kua siku ya mwisho watamjia watu watamwambia bwana sisi tumetoa Pepo kwa jina lako na Yesu atawajibu nendeni nyinyi waovu mliotoa pepo kwa jina langu so atawafukuza,.
Yesu pia kasema wananiamini kwa midomo lkn hawanifuati kwa vitendo.
Sasa kaka kasome bible yote upate kusilimu kwani vitendo vya Yesu hivyo hamvifuati ni kuweka uso chini ukamuabudu Mmungu km wanavyofanya waislam.Nakuomba kaka fanya research zako soma bible yote kwa nia ya kutaka kujua na kujifunza bila chuki ili usione haki.
Mashaallah
Masha Allah
Mashallah
mashaAllah
Mash'allah
Mashallah
MASHA ALLAH MASHA ALLAH MASHA ALLAH
Allah atuhifadhi ss na vizazi vyetu Kwa mbawa za REHMA zake na atujaalie mwisho mwema