Yaaani utapeli mpaka kwenye dini imani yetu Tanzania ni aibu tupu akijitokeza Shekh kuitetea imani baaasi inakuwa shughuli wanakurupuka huko mashekh njaaa na kumuona shekh msemakweli ni mbaya jamani hatari hata M/Mungu hatumuogopi tunaendeleza matumbo yetu tumrudieni Allah
Kweli Tznia sana kumejaa mitapeli mijambazi tu wale shkh wa uhakika kidogo Allah awahifadhi, asilimia 80 ni wizi mitandaoni sijui ana karama sijui sharifu wote ni n wizi tu Allah awadhalilishe Yarrab
Shekh kishki anapo sema huyo nisharifu feki haja kosea huto sharifu hana tiba zaki islamu kuna clep kwajina taka nimroge yatarabu ameshiriki apeana nazi na mafuta hiyo ndio dua wanao mtetea kina mazinge ogopeni mungu
Huyo kishki mwenyewe hayuko perfect ana hasada kuna watu wanaopeleka wtt wao ktk school yake kama hujalipa ada mwezi anawafukuza wtt halafu yy anajifanya mkarimu ktk macho ya watu
@@saidalhinai1131ngoja asa nikuulize we kama shule zingine huwa usipo lipa mwez mmoja unafanyaje unakaa bure tu acha chuki mbwaa we mashule yote usipo lipa ada mwezi mmoja unasimamishwaaa mie mdg wang kasoma comecolleg ada tumeteleza mwezi mmoja kambiwa kuanzia kesho usije mpk mlipe hyo ni lzm we vp bhnaaa
@@saidalhinai1131😅mi naomba unifahamishe HASAD ni nini kwanza, kisha nakuombea ALLAH akujaalie umiliki shule, ndo ujue walimu na wafanyakazi wote wa hapo huwa wanajitolea au wanataka Mishahara?, then nijibu kwanini walimu wa Madrasa huwa wanashindwa kuendelea kufundisha hasaaaa wakioa? NI WAZI WEW NDIO UNAHASAD na ndio maana ukaitaja ilhali huijui maana yake
Wanajiita mashk wanajitia wao eti wanasoma dua ukienda kwa huyo shkh hajui chchte badae anakupeleka KW mganga kuku na kuvunja nazi waogopeni hao mashkh uchwara matapeli wizi tuu
Allah akupeni Afya kuilinganiia na kuipigania dini Yarrab🤲mana tupo ktk mtihani wa kuzungukwa na vishekh njaa vijambazi hawana imani ila maslaha tuu
Yaaani utapeli mpaka kwenye dini imani yetu Tanzania ni aibu tupu akijitokeza Shekh kuitetea imani baaasi inakuwa shughuli wanakurupuka huko mashekh njaaa na kumuona shekh msemakweli ni mbaya jamani hatari hata M/Mungu hatumuogopi tunaendeleza matumbo yetu tumrudieni Allah
Mashekhe wengi Tanzania ni washirikina wanajificha kwenye kichaka cha Dua kumbe ni ushirikina
Kweli kabisaa
😂😂😂😂 kweli kabisaa sheikh wangu
WaTz mmetoa wasanii wengi mpka kwenye dini 😂😂sio mapastors sio masheikh wengi wasanii na jambajamba nyingi😅
Ni kweli ma sheikhs wetu tanzania wanatia hadi huruma.. Yaaani kila msim, kunakua kuna tokea visanga tofauti katikati ya ma sheikh wetu.
Mara masharifu utaskia makarama watz wana mambo mengi sana😢
Masha Allah
❤❤❤❤Alhamdulillah
Nimemuelewa sana Sheikh Hizudin,,
Mifano mengi na nusu ya hii Darsa,( 99% ) amemlenga sana Sheikh Kishk
Naam pia nimefaham anamsubirisha sheikh kishki yanayomkuta kwa vile anasema kweli,sjui nimepatia au laa
Sikweli hajamlenga yeyote anachohimiza ni kuongea yalio ya muhimu kwenye dini yetu
Kweli Tznia sana kumejaa mitapeli mijambazi tu wale shkh wa uhakika kidogo Allah awahifadhi, asilimia 80 ni wizi mitandaoni sijui ana karama sijui sharifu wote ni n
wizi tu Allah awadhalilishe Yarrab
Chezea Tz weweeee, maajabu yote ya dunia yapo huku
Masheikh mahuni 😂😂😂😂
Tena wanadai hela nyingi hao mashekh
Ila tz hakuna masheikh kuna walanguzi wa madawa ya kulevya wanawake
Wenzetu wametuzidi Wana kila kipaji 😂😂😂
Mashaallah 🙏🙏
😂😂 mijini.imemwagwaa wanadubili mashalifu wayatoe na. Mafuta namaji namganganyuoe anajiita shalifu
Shekh kishki anapo sema huyo nisharifu feki haja kosea huto sharifu hana tiba zaki islamu kuna clep kwajina taka nimroge yatarabu ameshiriki apeana nazi na mafuta hiyo ndio dua wanao mtetea kina mazinge ogopeni mungu
Huyo kishki mwenyewe hayuko perfect ana hasada kuna watu wanaopeleka wtt wao ktk school yake kama hujalipa ada mwezi anawafukuza wtt halafu yy anajifanya mkarimu ktk macho ya watu
Hivi akili yako inachaji kweli yani unataka ufundishiwe watoto wako Bure
Umemjibu vizur sna@@bashirumuniru
@@saidalhinai1131ngoja asa nikuulize we kama shule zingine huwa usipo lipa mwez mmoja unafanyaje unakaa bure tu acha chuki mbwaa we mashule yote usipo lipa ada mwezi mmoja unasimamishwaaa mie mdg wang kasoma comecolleg ada tumeteleza mwezi mmoja kambiwa kuanzia kesho usije mpk mlipe hyo ni lzm we vp bhnaaa
@@saidalhinai1131😅mi naomba unifahamishe HASAD ni nini kwanza, kisha nakuombea ALLAH akujaalie umiliki shule, ndo ujue walimu na wafanyakazi wote wa hapo huwa wanajitolea au wanataka Mishahara?, then nijibu kwanini walimu wa Madrasa huwa wanashindwa kuendelea kufundisha hasaaaa wakioa?
NI WAZI WEW NDIO UNAHASAD na ndio maana ukaitaja ilhali huijui maana yake
Wanajiita mashk wanajitia wao eti wanasoma dua ukienda kwa huyo shkh hajui chchte badae anakupeleka KW mganga kuku na kuvunja nazi waogopeni hao mashkh uchwara matapeli wizi tuu
Waeleze wajue.
Sisi Wakristo tuna Mitume na Manabii 😂😂
😂
😂😂 SALALWAHU salamatal wali Afya yaa rabb 🤲🏾
Please, don't drag us into their nonsense.
ALLAH awanusuru mashekhe matapeli