WAZIRI LENGO LANGU LAKUSILIMU. NDACHA AMEPANGA KUTUUWA BAADA YA SISI KUSILIMU..BY SH YAHYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ค. 2020

ความคิดเห็น • 302

  • @kareemsukri3256
    @kareemsukri3256 4 ปีที่แล้ว +23

    Hakika kweli anaeongoza ni Allah mungu awazidishie imani karibuni katika dini ya haki

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 4 ปีที่แล้ว +14

    Subhanallah Subhanallah..Kwel Allah humwongoza amtakae Masha Allah

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 ปีที่แล้ว +16

    Maasha Allah, Allah awasimamie katika Imani yenu, sasa muwe askari wa kweli wa Allah katika kuusambaza na kuusimamia ukweli huu.

  • @rahmaabdi3056
    @rahmaabdi3056 4 ปีที่แล้ว +13

    maashaa Allah, nawajua hawa mabwana kwa muda mrefu katika mihathara za mtandaoni. Allah amewaongoza kwa ukweli, na inshaa Allah wale wote wana akili na maarifa watauona ukwli.

  • @mwawekomiuda5777
    @mwawekomiuda5777 3 ปีที่แล้ว +1

    Takbirrrrrrrr! Kusilimu dió kwa uezo wako ni kwa nguvu Za ALLAH. Karibu ktk dini ya hakhi. Ila tu jitahidi uwarudishe ktk uislamu uliosababisha kutoka ktk uiislam

  • @omakywazamani6696
    @omakywazamani6696 4 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah hakika Mungu anakupenda sana pale alipo kutoa ktk ngiza kuuweka ktk nuru

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 3 ปีที่แล้ว +5

    Uongofu unatoka kwa Allah.Masha Allah brother Nimefurahi kukuona ndani ya uislamu.Tushikane mikono hadi peponi.Aamin.

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 4 ปีที่แล้ว +15

    Waislamu wenzangu anapotajwa mbora waviumbe nilazima tumswalie Kwa uwingi , hapo tutaonesha mapenzi makubwa Kwake rehma na amani zimshukie

  • @ummabdulrahman170
    @ummabdulrahman170 4 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah tabarakallah twawaombea kila la kheri ndugu zetu waislamu karibuni saaanaa katika dini yetu yakiislamu mungu atuongoze sote yaarabb

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 ปีที่แล้ว

    Mashallah mungu awape Moto huohuo mungu awalinde nawapongeza sana huyo ndacha anajigamba sana nakumtukana mtume mungu awaongoze yote

  • @crescentvscross1132
    @crescentvscross1132 3 ปีที่แล้ว +2

    Dundi alishakuja arusha. Du subhanallah amesilim maashall

  • @hasahm1995
    @hasahm1995 4 ปีที่แล้ว +7

    Sheikh yahya ningesihi be-ithnillah wajitokeze kwa muhadhara na wa approach head-on na waonyeshe haki ..... Tonawasubiri InshaAllah

  • @user-nx7jd3cf1m

    ALHAMDULLILAH. ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA AMEKUJAALIA NURU. ALHAMDULLILAH THUMMA ALHAMDULLILAH.

  • @guyogalora2736

    Alhamdulillah of the gift of islam..

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 4 ปีที่แล้ว +4

    الله أكبر كبيرا والحمدلله كثيرا وسبحان الله بكرة و أصيلا

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 4 ปีที่แล้ว +7

    Ukweli unajidhihirisha Allah akbar

  • @ikramukapemba9562
    @ikramukapemba9562 4 ปีที่แล้ว

    Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyeumba vitu vyote karibuni katika Uislamu kuanzia sasa nyie ni ndugu zetu katika Imani karibuni sana Dar es salaam muafundishe wasabato wanaojiita A.M.R

  • @abdulmalikngola9244
    @abdulmalikngola9244 4 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah welcome to islam my brothers I believe u will defend islam from your heart and soul,S.yahya great work

  • @hashimmoote3587
    @hashimmoote3587 4 ปีที่แล้ว +2

    ماشاء الله تبارك الرحمن

  • @saidabae7101
    @saidabae7101 4 ปีที่แล้ว +5

    Alhamdhuliah Allah karim