- 610
- 922 512
SWIRATWA ONLINE TV
เข้าร่วมเมื่อ 27 ต.ค. 2021
MAWAIDHA
QASWIDA
DUFU
DUA
FILAM 🙏
QASWIDA
DUFU
DUA
FILAM 🙏
🔴#live:KUBWA KULIKO na msemaji wa Al-karimu madrasa zungu autambulisha ' USIKU MDA NI MALI "
🔴#live:KUBWA KULIKO na msemaji wa Al-karimu madrasa zungu autambulisha ' USIKU MDA NI MALI "
มุมมอง: 102
วีดีโอ
🔴#live:HUYU HAPA SHARIF FIRDAUS AIBUKIA KARIAKOO " Tukio la kujifunza"
มุมมอง 44512 ชั่วโมงที่ผ่านมา
🔴#live:HUYU HAPA SHARIF FIRDAUS AIBUKIA KARIAKOO " Tukio la kujifunza"
🔴#live:IMANI YANGU NDIO IMENILETA KARIAKOO, SHEIKH WA MKOA DSM
มุมมอง 37412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
🔴#live:IMANI YANGU NDIO IMENILETA KARIAKOO, SHEIKH WA MKOA DSM
🔴#live:Kama HUIJUI DINI usijishughulie na mambo ya masheikh, vijana mkasome sio kutukana masheikh
มุมมอง 78014 ชั่วโมงที่ผ่านมา
🔴#live:Kama HUIJUI DINI usijishughulie na mambo ya masheikh, vijana mkasome sio kutukana masheikh
🔴#live:HISTORIA IMEANDIKWA KOROGWE KWA MNDOLWA KWA MUFTI WA TANZANIA, HII NI DHWAFA
มุมมอง 167วันที่ผ่านมา
🔴#live:HISTORIA IMEANDIKWA KOROGWE KWA MNDOLWA KWA MUFTI WA TANZANIA, HII NI DHWAFA
🔴#live:MMBORA WA ZAMA ALIKUWA TUMWA NABIA | NOUR SIRAJA MOROGORO
มุมมอง 5114 วันที่ผ่านมา
🔴#live:MMBORA WA ZAMA ALIKUWA TUMWA NABIA | NOUR SIRAJA MOROGORO
🔴#live:TUBIA MJA TUBIA ULIMWENGU WA KUHADAA | WAADIL MUQADDAS
มุมมอง 7314 วันที่ผ่านมา
🔴#live:TUBIA MJA TUBIA ULIMWENGU WA KUHADAA | WAADIL MUQADDAS
🔴#live:HIVI KWANINI HUMUAMINI ALIYEUMBA DUNIA | MANAAZIL ATIQIYAI DODOMA
มุมมอง 24114 วันที่ผ่านมา
MANAAZIL ATIQIYAI HIVI KWANINI HUMUAMINI ALIYEUMBA DUNIA
🔴#live:TUMUEPUKE IBILISI FITNA KIUMBE MBAYA SANA | MADRASAT SAWIYA DSM
มุมมอง 17614 วันที่ผ่านมา
Tumuepuke ibilisi fitina kiumbe mbaya Sana #dufu #arewa #film #africa #harmonize
🔴#live:SHEIKH DIWANI achukizwa na harmonizer, huyu amemkufuru mungu wazi wazi hii
มุมมอง 2.3K14 วันที่ผ่านมา
🔴#live:SHEIKH DIWANI achukizwa na harmonizer, huyu amemkufuru mungu wazi wazi hii
🔴#live:MJA MSUBIRI ALLAH ALLAH IPO SIKU ATAKUPA | MADRASAT SAWIYA DSM
มุมมอง 22214 วันที่ผ่านมา
🔴#live:MJA MSUBIRI ALLAH ALLAH IPO SIKU ATAKUPA | MADRASAT SAWIYA DSM
🔴#live:MAULIDI YA AKINA MAMA MADRASAT SAWIYA DODOMA
มุมมอง 11214 วันที่ผ่านมา
🔴#live:MAULIDI YA AKINA MAMA MADRASAT SAWIYA DODOMA
🔴#live:LIKABAKI KUBWA LAO AKALIWEKEA SHOKA KWENYE SHINGO YAKE | MADRASAT SAWIYA 2O24
มุมมอง 40414 วันที่ผ่านมา
🔴#live:LIKABAKI KUBWA LAO AKALIWEKEA SHOKA KWENYE SHINGO YAKE | MADRASAT SAWIYA 2O24
🔴#live:NARUDI MOLA UNANIJUA VYEMA MJA NILIPOKOSEA | MANAZIR ATIQAI
มุมมอง 37114 วันที่ผ่านมา
🔴#live:NARUDI MOLA UNANIJUA VYEMA MJA NILIPOKOSEA | MANAZIR ATIQAI
🔴#live:MAKA NA MADINA TUTAKWENDA KWA UWEZO WA MOLA | SAWIYA MADRASA ( DSM )
มุมมอง 32714 วันที่ผ่านมา
🔴#live:MAKA NA MADINA TUTAKWENDA KWA UWEZO WA MOLA | SAWIYA MADRASA ( DSM )
🔴#live:TUMEKUJA DODOMA KUONYESHA KITU WATU WATASHANGAA , AFISA WA HABARI WA MADRASAT SAWIYA DAR
มุมมอง 18114 วันที่ผ่านมา
🔴#live:TUMEKUJA DODOMA KUONYESHA KITU WATU WATASHANGAA , AFISA WA HABARI WA MADRASAT SAWIYA DAR
🔴#live: BALAA LA MAUJUD kwenye maulidi hii tazama
มุมมอง 11714 วันที่ผ่านมา
🔴#live: BALAA LA MAUJUD kwenye maulidi hii tazama
🔴#live:SHARIF mimi siwez kukatishwa tamaa sirudi nyuma katika hili
มุมมอง 1.9K21 วันที่ผ่านมา
🔴#live:SHARIF mimi siwez kukatishwa tamaa sirudi nyuma katika hili
🔴#live:WEWE KAMA NANI UNAETAKA SHARIF ASOME YASSIN, ACHENI WIVU |Sheikh kiroboto
มุมมอง 2.9K21 วันที่ผ่านมา
🔴#live:WEWE KAMA NANI UNAETAKA SHARIF ASOME YASSIN, ACHENI WIVU |Sheikh kiroboto
🔴#live:Unapaswa kuomba msamaha haraka sana, ata wewe mganga tunakujua
มุมมอง 7K21 วันที่ผ่านมา
🔴#live:Unapaswa kuomba msamaha haraka sana, ata wewe mganga tunakujua
🔴#live: Unamsema SHARIF Feki wakati wewe mwenyewe ni mganga tunakujua
มุมมอง 11K21 วันที่ผ่านมา
🔴#live: Unamsema SHARIF Feki wakati wewe mwenyewe ni mganga tunakujua
🔴#live:Mh MUFTI WA TANZANIA afanya ziara katika mji wa TAM kwa sheikh ALHATIMY
มุมมอง 75821 วันที่ผ่านมา
🔴#live:Mh MUFTI WA TANZANIA afanya ziara katika mji wa TAM kwa sheikh ALHATIMY
🔴#live:MAJIBU MAKALI YA SHEIKH MAULANA KUMJIBU MWAIPOPO, WEWE SIO SHEIKH UJUI KUSOMA
มุมมอง 8K21 วันที่ผ่านมา
🔴#live:MAJIBU MAKALI YA SHEIKH MAULANA KUMJIBU MWAIPOPO, WEWE SIO SHEIKH UJUI KUSOMA
🔴#live:KAYNAKSH HILI NDIO BALAA LAKE AKIIMBA QASWIDA YA KUMSWIFU MTUME KWA NJIA HII
มุมมอง 12121 วันที่ผ่านมา
🔴#live:KAYNAKSH HILI NDIO BALAA LAKE AKIIMBA QASWIDA YA KUMSWIFU MTUME KWA NJIA HII
🔴#live:MTOTO WA BACHU AKUTANA ZA USO, MAULIDINI TUNAKUNYWA POMBE NA TUNA VUTA BANGI ? | SHEIKH DIWAN
มุมมอง 1.2K21 วันที่ผ่านมา
🔴#live:MTOTO WA BACHU AKUTANA ZA USO, MAULIDINI TUNAKUNYWA POMBE NA TUNA VUTA BANGI ? | SHEIKH DIWAN
🔴#live:KUMEKUCHA maulana atoa POVU kwa masheikh, hili uwe SHARIF uwe mweupe na kilemba kikubwa
มุมมอง 1.3K21 วันที่ผ่านมา
🔴#live:KUMEKUCHA maulana atoa POVU kwa masheikh, hili uwe SHARIF uwe mweupe na kilemba kikubwa
🔴#live:MASHEIKH NA HILI TULIANGALIENI TUNAHITAJI KUWAPA WATOTO ELIMU YA DINI YETU ,TUNAWAOMBA MSAADA
มุมมอง 7821 วันที่ผ่านมา
🔴#live:MASHEIKH NA HILI TULIANGALIENI TUNAHITAJI KUWAPA WATOTO ELIMU YA DINI YETU ,TUNAWAOMBA MSAADA
🔴#live:ZAINUL MADRASA KUTOKEA ZANZIBAR QASWIDA YAO WALIOPIGA VIWANJA VYA SWIRATWA MUSTAQEEM
มุมมอง 31221 วันที่ผ่านมา
🔴#live:ZAINUL MADRASA KUTOKEA ZANZIBAR QASWIDA YAO WALIOPIGA VIWANJA VYA SWIRATWA MUSTAQEEM
🔴#live:HUYU HAPA MAHEGE NGOZI MR.NIMROGE AKIWA NA KAYNAKSH JUKWAA MOJA
มุมมอง 36828 วันที่ผ่านมา
🔴#live:HUYU HAPA MAHEGE NGOZI MR.NIMROGE AKIWA NA KAYNAKSH JUKWAA MOJA
🔴#live:NIMEKUKOSEA NINI JIRANI KUTWA MIDOMONI | MADRASAT NURUL-HUDA
มุมมอง 60128 วันที่ผ่านมา
🔴#live:NIMEKUKOSEA NINI JIRANI KUTWA MIDOMONI | MADRASAT NURUL-HUDA
We Firdausi mungu ndio atakuhukumu kama unadhambi asohili analile wao wanafanya mangapi hakuna anae wahukumu mashehe acheni kuradiana ila aallah akulinde we Firdausi maana wanao kuradi na msaada unawapia tunawajua wa kwanza baba rama alimaalufu shehe mtoto umewafadhili sana hao 😮😮😮😮😮😮😮
Ogopen kiyama.kishqi tupo pamoja ,nyinyi nimushrik tuuuuu.
SASA UNAONGEA NINI,SIJAKUELEWA KABISA.UMEANZA VZUR KUA LINAPOTOKEA JAMBO LAMASHEH MUITANE MLMALZE LISFIKE MITANDAON,LAKINI WEWE UNASUTANA NAMWAIPOPO.KWELI HUU NIMSWIBA MKUBWA NDUGU ZANGU WAISLA,HAWA WASTUCHNGANYE,TUSOMESHE WATOTO,TUEPUKE HAWA WANAOCHAMBANA.MWAIPOPO YOPO SAHH.MNASAPOT USHIRKINA TU.UYO FIRDAUS MWENYEWE HAJUI KUSOMA QUR,AN,WEWE MWENYEWE USHATUKERA SSANA APA.UPUUZ MTUP.TUWEN MACHO SANA NAHAWA WATU.UYO SHARIFU WAO NIMGANGA,NAANAHAMASISHA MIZM KUNA CLIP TUMEISIKIA HUMHUM.AF WE UNASEMA KAMA ANAKOSEA UTASEMA DDUH HUU NIMSWBA MZITO WAISLAM,NIHATAR KUBWA SANA KWAHAWA WATU
Tubu nduguyangu iposkumoja tutakufa tutajibu nini
SHEKH KISHQ ,TUPO PAMOJA,ENDELEA KUKOMESHA WATU WAMTNDO HUU.WASITUCHAFULIE UISLAM.
Mzee wngu mazinge vp upo bega kwa bega na waganga washirikina huoni utaivunja heshma yko Mzee au njaa
freemason mbwa wewe mkundu wako
🎉🎉
Na hawa mashekh ambao wana muunga mkono huyu mhuni kwamba anacho fanya ni sahihi ipo siku mungu atakoa hukumu kwenye maisha yapa dunia kabra hawajafa inauma sana muislam huyu alie kua ni mkristo Leo anakuja kufanya uhuni na mashekh wanaangalia tu
njaa mbaya allah atujalie mwisho mwema
Ujinga mtupu
Huyu sheikh mbabaishaj katika ilmu.hata yeye qur'an bado sana.yatupasa tusome sio kutumia mda mref kutetea ujinga
Tapeli kaibukia kariamoo😅
Jirongo tapeli mushiriki acheni uhuni masufi daktal wa utapeli na shirki,
Toka hapa siyo shekh wewe wacha uongo, unajiita shekh hata kusoma dua hujui soma sasa dua hata unachokiongea haueleweki usihutubie soma dua ndugu wacha siasa omba dua ndiyo kilichokupeleka hapo kariakoo siyo maswala yakula wala kura kama kusoma dua huwezi basi ondoka hapo kimekupeleka nini hapo wacha usaniii babuuuu
Dogo wewe bado sana
Unapotosha sana dini umefanya dini biashara
Sasa wewe utaki ya haramu, kwanini ukubali kuchukuwa pesa bila kuchunguza zikiwa za halali. Wewe una mlekewo wapoteza vijana wengine fikra potofu. Shida ujasoma dini yako upate mlekewo
Ndio kwenda hatukuji pays ww
Haya unaejiita sharifu mwenye makarama omba kifusi kijiondoe chenyewe tu maana ww hatari sana
😂😂😂😂😂😂😂😂
Alhabib umechelewa mno!
Walid Sheikh wetu tunakupenda tunaokupenda kwa ajili ya ALLAH.
Tapeli
Huyo SIO SHEIKH,HAKUNA SHEIKH AMBAE HAJUWI QURAN,HAKUNA SHARIF ASIEJUA MYENENDO YA MTUME, (S W) ETI TUKAPIGE KULA KISWAHI HAJUWI ATAJUWA QURAN KWELI HUYU NI MNYAMWEZI
Bas km anapona watu bas aende hospital wagonjwa wapoe mana wanateseka san matapeli nyinyi
Kwani Maxinge akidanganywa hajui chochote kwani kudandia dini ukubwani,wenxiee wamejua dini toka wakiwa na cku moja.
Ngedele wewe mpumbavu wew
Acheni Kupotosha Watu Sasa Picha Ya Sheikh Kishki Inafanyaje Hapo
@@SheikhHassanMussa SHEKH KISHKI ALIBAINISHA UTAPELI WAKE NA KUMWAGA UGALI WAKE NA UGALI WA MASHEKHE FEKI NDO MAANA KAMUWEKA HAPO KUDHANI LABDA MZIWANDA ANAMWAMBIA KISHK KUMBE ANAAMBIWA YEYE MWENYEWE .MTOTO WA MIAKA 19 HAHAHAHA JAMAN UONGO FANI
@SalhaAlly-x8q Namshukuru Kwa Kuelewa Hilo
Anaetinza ndie yanayomhusu haya maneno khekhe weka wazi
Mawaidha yanaanza na mzungumzaji kwanza ,na mashekh hawataki waongezeke ili wabaki wao .wakitokea wengine roho zinawachoma na kupiga mafumbo ,lkn ukweli iko pale pale tu.ALLA HUMPA AMTAKAE NA HUWEZI KUMFUATA ALIYEKUTANGULIA IKIWA MANHAJ YAKE HAIKO SAWA,AFUATWE MTUME SAW
Masheikh wote pangeni tuonane tuongee.haya makumbano yenu yote. Niwapeni ufafanuzi katika kila nyanja. Mtawaidhika na kuelimika. Mimi ni mmoja katoka kwa aliye mmola. Si mwanafunzi miongoni mwa wanafunzi wenu.ninaelimu kutoka kwa mwenye elimu juu yetu. Nina majibu katika kila nyanja. Nina habari maalum kwa nyakati hizi za mwisho, kuwa kila mtu apate kujuuwa ukweli maana dunia i.eanza sagarii yake. Darili zipo lakini hamzijuwi ni aweka wazi na kurejea kwa Nabii Isa huenda msimjuwe kwa Mujibu wa taratibu ila kwa iimani. Maana kushuka maana yake ni kuzaliwa. Mwenyezi Mungu ameshusha Mitume katika idadi kaadha, je nani aliye muona Mtume akishuka na uwingu? Njooni nahitaji sana kwanza kuongea na viongizi wa Dini mimi ni .mwalimu falam min ahadullah niwe mwalimu kwenu kuwapambanulia katika yale mnayo hitirafiana .karibuni tunaenda kwenye hukumu . siwadanganyi .Mtwawaidhika na kuelimika ili kusije kuwa na hoja siku hiuo mbele za Mola kuwa hatukuwa tunajuwa. Khatami wasira fi kurubinallah. Nina kweli tupu,maswali yenu yote leteni kwangu. Nahitaji maswali zaidi ya 100,000 kwa siku ila vigezo na masharti utulivu vizingatiwe.nahitaji viongozi kwanza 0784417511 nina lugha ya kiarabu original Allah amenifundisha kwa nukta moja kuonyesha uweza wake.
Anaetunza ndie yanayomhusu mawaidha hayo mashekhe na madharifu feki weka wazi shekhe
Yani sura ya Mazinge muda huyu dogo anaongea inaonekana kabisa anasema astaghfirullah,unatuangusha waislam shekh Mazinge
Mashal ❤
Yaani huyu jamaa ni command 😂😂😂sana sijui kwa nn hajaenda bongo movie
Huyu ni wa kupigwa fimbo tu
Ilo jicho analo mtizima shekhe mazingine😂😂😂
Kama wanaokusema ni walinzi watalala saa ngap?😂 Alafu lugha hizo eti mtoto kautaka. Yote kwa yote mbali na kusoma dini tujitahidi kutafuta pesa maana hizi ni njaa maana mambo mengine hayakuhitaji uwe na elimu kubwa kutambua km ni haki au batili
Kwa usharfu hauna kuna meng umeongeayapo knyume na usharf ila we sema kuwa umepewa karama za kuwaombea watu duwa
Maulana ni sheikh wetu mzuri. Kwenye hili la kijana firdausi kidogo umeghafilika.. naamini mwisho wa siku utamgundua hayuko sahihi. Na wewe ni mtu sahihi umefanya kheir nyingi. Nikuusie uendelee na haqi yako ya uislam... achana na mtoto huyu inaonekana hafuati mwenendo wa hawi wa dini. Mwaipopo , wewe maulana wote tunawapenda.. Msigombane. Allah awalinde
INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RRAJIUUN.
Kwanini mmaongea Sana hapa tatizo utaratibu WA dua mnao ufanya sio mnafanya kama manyaunyau
Mtafufuliwa na qaumu lutwi wote nyie
wanaonekana hawa ni wasanii
Jamani waislamu,,mtu akikosea hatujafunzwa kuombeana mabaya,,muombeni huyo kijana tu Mwenyezi Mungu amuongoze,,msiwe wachache wa kuombeana mema,,hata mtu Muhammad S.A.W hakuwambea watu dua mbaya,,waislamu badilikeni
SubhannahAllah yy mwenye kwa kinywa chake anasema shida yake ni pesa Alipoulizwa anampendea nn huyo chiefgod amejibu sababu ana pesaa mhhh makubwaa
Maneno ya ukosaji hayo
Mashallah ❤
Acheni kudanganya watu na upako wenu hakuna sharifu hapo
Mashal❤
Kwanza iyo salamu tu vurugu kaona wapi asalaamu alayku
Masheikh nipo na nyie mpaka muuwane
Wewe mwenyewe hujui kusoma mchawi mkubwa wewe