ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nabarikiwa Sana na mahubiri haya naomba muwe mnaturushia na anaposoma maandiko mch anapoanza kuhubiri
Mungu hulipiza kisasi kwa wale wanaowafanyia ubaya wenzao!
Ukiona Jambo limekupata Mungu unaye mtumikia ndy muda anajidhihirisha katika utumishi wako na kuonyesha usahihi wa naninimtumish wa Mungu .
Wonderful teaching. God Bless you Dr . Kimaro
Kweli ubaya hurufi hapa hapa. Shuhuda nyingi zipo katika Manisha yeti. Tupendane na kusaidiana. Somo hili no la wenye ufahamu wa Mungu.
Hakika Mungu si dhalimu. Sikuzote tujifunze kutenda mema
Mapito ya wenye Haki ni Magumu, MUNGU ndiye Hakimu wa Haki
May God bless you with your teaching.
Duuu wewe mchungaji kimaroo ubarikiwe Sana baba
Wema ni Akiba 🙏🙏
Glory to God 🙏
Mti wenye matunda hupigwa mawe Kama usingekua na matunda usingepigwa mungu akupe ujasiri.
Mungu atabaki kuwa mungu tu
Duuu Mungu akubariki sana pasta Hili somo nimegusa
Asante sn mchungaji kwa mafundisho yako.
Amina 🙏
Wakati wa mungu kulipiza kisasi
Amina umenijenga kiimani
Really serving God of forgives
Mungu wetu atusamehe
Quite a thrilling sermon
hakika mungu Ana njia nyingi kweli inaima Sana ata Mimi nimejitunza kitu asante mchmgaji
Amina mafunzo makuu.Adui atakuvusha
Amina baba huku kwetu mbona hiyo dhambi inawakuta wanafanya kuhamishwa kwenda sehem nyingne?
Amina
Hakika tenda wema nenda zako
Ameni
God tyme is the best
Kweli duniani ni mapito
Amen.
Ameeeen
Vinywa jamani
Nikweli kabisa
Pastor
Tuombeane kwakweli
Galatia6:7
😄😄😄😄
Hapa duniani kila kitu ni muda tu,Na mwisho wa Ubaya ni aibu
Mahubiri mazuri ila story za mchongo
Mbona yapo tu watu wanahila nyingi
Upo na uhakika ??
kumbee hawa jamaa wana waza mishahara tuuu na kulipwa vizurii kuliko kutoa hudumaa
Hahaha kwakweli ukisikia ndo unaelewa
Story haiwezi kuwa ya kweli ila inafundisha
Hakika dawa ya adui.yako nikumpenda tu
Story za kutunga.
Kwa hiyo??
th-cam.com/video/TkHCbvz_BHY/w-d-xo.htmlMuchugaji wa kweli ni nani?
Msimamo na mungu ni jambo muhimu sana kulia na mungu nijambo muhimu
Mavuno ni mengi mch Kimalo nenda mbali kahubili Injiri 👉hapo waje wengine ni kanuni ya Mungu. Usilaumu mtu
Some women are witches... Others are our own relatives, our sweet mothers but they have witch hearts...
@nangatv9218 Think before you talk otherwise your mouth will put you in hell.
Hiyo theology ndio inayolimaliza kanisa la sasa mtu hana wito ana degree ya theology maneno yanakuwa mengi kuliko Neno la Mungu.
Aise we miss him

th-cam.com/video/TkHCbvz_BHY/w-d-xo.html
Muchugaji wa kweli ni nani?