USHUHUDA WA BINTI ALIYEOKOLEWA KUTOKA KWENYE NGUVU ZA GIZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2017
  • Binti aliyeokolewa kutoka kwenye mzimu wa shangazi yake akitoa ushuhuda katika ibada ya Evening Glory (The School of Healing) Usharika wa Kijitonyama 21.11.2017
  • เกม

ความคิดเห็น • 80

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 ปีที่แล้ว +12

    Damu ya Yesu itufungue katika vifungo vya kichawi amen Mungu tazama watoto wangu waponyeshe

  • @RoseMalya
    @RoseMalya 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi tunakuombea maisha marefu. Mungu wetu wa mbinguni azidi kukuinua utukufu hadi utukufu. Amen.

  • @mhemberefelista9332
    @mhemberefelista9332 ปีที่แล้ว +5

    Kupitia maombi haya naomba na dadangu Nesia apone anateseka sana Yesu nakuomba umuweke dadangu huru kwa damu yako Takatifu

  • @NyabonyiKairo
    @NyabonyiKairo 4 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU kuna sisi ambao atujui wabaya wetu uenda n watu wetu wa karibu pia tunaomba kwa damu yako ututenge na mabaya yote juu yetu mabaya hayato tupata sisi wala tauni haito kariba hema yetu

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 5 วันที่ผ่านมา

    Nakemea mizimu ndani yangu ya ukoo ya mashangazi kwa jina la yesu kupitia Mtumishi wa Mungu mch kimaro,nifunguke mimi na familia yangu

  • @jastinnkya
    @jastinnkya 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amin sana mtumishi wa MUNGU akubariki sana

  • @Elidasamue
    @Elidasamue 11 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏🙏🙏 ukawe na maisha malefu Mchungaji

  • @joetemba6376
    @joetemba6376 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu endelea kutukomboa na vifungo vyote kwa jina lako wote mnaosoma posti hii mpone kwa Jina la Yesu kristo wapendwa kuna mahali Mungu amenitoa Asante Yesu

  • @reubenbusanji2904
    @reubenbusanji2904 4 ปีที่แล้ว +5

    Shetani siyo rafiki wa binadamu Yesu ndiye rafiki wa kweli, tumwamini tumfurahie na tumtukuze katika jina la Yesu.

  • @elizabethsixbert2762
    @elizabethsixbert2762 ปีที่แล้ว +2

    Yesu unapozuru wengine nami usinipite🙏

  • @AgnesKalinga-ku5se
    @AgnesKalinga-ku5se 28 วันที่ผ่านมา

    Hallelujah 🙏 Glory be to God 🙏

  • @lutangilooffice8604
    @lutangilooffice8604 ปีที่แล้ว

    Ameen hakika Mungu anaokoa damu ya yesu ikazidi kunena mema daima kwenye familia zetu

  • @addalazaro5579
    @addalazaro5579 ปีที่แล้ว +2

    Mashangazi wabaya Sana Sana hawapendi tufanikiwe wapuuzi sana

  • @annamlozi4538
    @annamlozi4538 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU akubariki baba mchungaji. Akuongezee miaka.

  • @monicaashery1
    @monicaashery1 2 ปีที่แล้ว +4

    Damu ya Yesu iendelee kutullinda,.Amen!

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda huu unatisha sanaa.Yesu tutee.

  • @aminamavura6834
    @aminamavura6834 ปีที่แล้ว +1

    Kwa damu ya Yesu tunafunga mkataba yote ya Ibilis shetani ikashindwe kwa Jina LA yesu

  • @mhemberefelista9332
    @mhemberefelista9332 ปีที่แล้ว +2

    Yesu nakuomba uniokoe na wote wanaongea mabaya juu yangu. Wapo wanaonitengenezea story ya uwongo Yesu nakuomba uwe nao wanapotaka kutamka baya juu yangu midomo yao uwe mizito wawe mabubu

  • @cathypeter
    @cathypeter ปีที่แล้ว

    Damu ya Yesu ikanene mema maishani mwangu

  • @venirandacharles7800
    @venirandacharles7800 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tusaidie 🙌🙌

  • @annamgesi951
    @annamgesi951 หลายเดือนก่อน

    Eeee mungu angalia familia zetu

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 3 ปีที่แล้ว +2

    Jina la Yesu lihimidiwe

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 ปีที่แล้ว +1

    Kimaro huduma yk kubwa sana ningekuwa na taasisi ningesema njoo utumike huku Yesu akusaidie

  • @wallacestevenrutaserwa4517
    @wallacestevenrutaserwa4517 ปีที่แล้ว +1

    Asante Yesu kwa ukombozi wako nami niweke huru kupitia mtumishi wako uyu.

  • @hamurabani5386
    @hamurabani5386 ปีที่แล้ว

    Amina napokea kwa Jina la yesu kristo

  • @waelmsangi5503
    @waelmsangi5503 2 ปีที่แล้ว +5

    Jina la Yesu lina nguvu.

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 ปีที่แล้ว

    Kwakweli nakuombea sana mtumish wa Mungu

  • @YohanaSapuro-xx9xo
    @YohanaSapuro-xx9xo 10 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba mchungaji

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga ปีที่แล้ว

    Amen Amen maroho yauchawi yatoweshwe

  • @dafrosamsonge2007
    @dafrosamsonge2007 ปีที่แล้ว

    Nmecheka Sana, Mungu awatunze jaman

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 ปีที่แล้ว

    Amina sanaaàaaaaaa.

  • @meshackkatindasa5492
    @meshackkatindasa5492 5 ปีที่แล้ว +7

    Huyu ni mchangaji mwema.

  • @danieljulius4277
    @danieljulius4277 ปีที่แล้ว +1

    Kwa jina la Yesu Kristo nakemea mizimu yeyote kwenye maisha yangu Amen.

  • @priscadanny2623
    @priscadanny2623 ปีที่แล้ว +1

    Wowww! Mungu ni mwema daima 👌🙏🏿

  • @dapinitiative2451
    @dapinitiative2451 หลายเดือนก่อน

    Nimeiangalia tena Leo May 2024. Naomba kufahamu kama huyu dada aliolewa

  • @user-td9jf9ty7i
    @user-td9jf9ty7i ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana baba

  • @PetrolinaKarengi-jx2cs
    @PetrolinaKarengi-jx2cs 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie

  • @kelvinbondia4360
    @kelvinbondia4360 ปีที่แล้ว

    Mungu atufungue kwa kweli tina kua vifungoni bila kujua

  • @omdonia6457
    @omdonia6457 ปีที่แล้ว

    Amina Amina

  • @davidkilajaga8842
    @davidkilajaga8842 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @iyvonaconstantine8862
    @iyvonaconstantine8862 ปีที่แล้ว +3

    Aleluya Amen

  • @michaelmnyeke9564
    @michaelmnyeke9564 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mungu tu

  • @amanimakury9686
    @amanimakury9686 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atusadie

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 ปีที่แล้ว

    Amen amen ...amen ..

  • @rinarina2270
    @rinarina2270 2 ปีที่แล้ว

    🙋🙋

  • @dafrosamsonge2007
    @dafrosamsonge2007 ปีที่แล้ว

    Maskin jaman ,Damu ya Yesu itamuweka huru

  • @salomekazauragladness6548
    @salomekazauragladness6548 ปีที่แล้ว +1

    Jina la huyo binti ni la shangazi au lah!

  • @ellynkya7216
    @ellynkya7216 ปีที่แล้ว +1

    Yupe mcho ya rohoni ili tuone adui

  • @biryafondo4903
    @biryafondo4903 7 หลายเดือนก่อน

    AMEN HALLELUJAH

  • @BrunoMakweta-dm5sb
    @BrunoMakweta-dm5sb 5 หลายเดือนก่อน

    Amna baba ang nae kafungwa na majn naomba msaada wa maomb

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 ปีที่แล้ว +1

    WAFICHUWE BABA TUKO WENGI.

  • @IreneMerica
    @IreneMerica 9 หลายเดือนก่อน

    Eeee Mungu tuaidie

  • @jackobenock3856
    @jackobenock3856 ปีที่แล้ว

    Ohooo ni shida

  • @allenloth9713
    @allenloth9713 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @DorothyMulandi-ku5jx
    @DorothyMulandi-ku5jx ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @veilashao6869
    @veilashao6869 ปีที่แล้ว +1

    Damu ya Yesu itulinde

  • @rosemanase9663
    @rosemanase9663 ปีที่แล้ว

    Damu ya YESU IKULINDE

  • @samsonsamwel8782
    @samsonsamwel8782 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona wamekucmamisha mh.

  • @Halima-wy7to
    @Halima-wy7to 2 หลายเดือนก่อน

    Emugu wagu turidiye famili zetu kupitia mazabau haya

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 ปีที่แล้ว

    Zaburi 24:
    1 Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
    Wafilipi 4:
    19 Na Mungu wangu atawajazeni kila mnachokihitaji kwa kadiri ya utajiri wake, katika utukufu, ndani ya Kristo Yesu.
    *TUNAPOKEA MLIPUKO WA KUFANIKIWA SANA KWENYE UCHUMI, AFYA, AMANI, BARAKA NA UKOMBOZI KATIKA KILA ENEO KWA JINA KUU LA YESU!!!*

  • @juliuskimeyj193
    @juliuskimeyj193 6 ปีที่แล้ว +3

    Jamani. Mndumii tarama wandu waphi

  • @olivastephano2900
    @olivastephano2900 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @lilianmbangwa5479
    @lilianmbangwa5479 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahahaha

  • @josephinemichael9648
    @josephinemichael9648 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mungu ni mwema !!! Na wakati wa bwana ndio wakati sahihi

  • @ceciliaogola5597
    @ceciliaogola5597 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @maryd1538
    @maryd1538 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @helenamdoe4934
    @helenamdoe4934 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @emiltonndanshau8718
      @emiltonndanshau8718 ปีที่แล้ว +1

      AMEEEN. . AHSANTE MUNGU.

    • @emiltonndanshau8718
      @emiltonndanshau8718 ปีที่แล้ว +1

      DAMU YA YESU ITUFUNIKE NA UBAYA WOWWOTE KUTOKA KOKOTE.RAFIKI WA KWELI NI YESU KRISTO.