Baba Mungu Tunaomba Toba na Rehema, Utusamehe Makosa Yesu Utusamehe yale Makosa Tunayokumbuka na Tusiyoyakumbuka Tunaomba Toba na Rehema Utuondolee Dhambi ndani Ya Mioyo yetu Tumekosa Baba Hatustahili kusimama mbele zako Tunaomba Huruma Yako. Amen 🙏
Mungu nisamehe kimaryo mchungaji wangu Unamahubiri yenye kugusa mioyo Hadi uvunguni mea mioyo ya sisi wanadamu ambassador tunajisau na tunasahau tuliko toka... Ahsante kwa kutuamsha kea imani na kutujenga ili tuwe Wanadamu Wa kumpondeza mungu..... Amina mchungaji wangu
Mungu akubariki sana Pastor. Hakika neno lake Mungu linatuongoza na kutuangazia kila siku iitwayo leo. Ee Mungu tusaidie tusimame imara kiroho ktk neno lako. Tumsifu Yesu Kristu.
Bwana Yesu Kristo asifiwe Mchj. Mimi ROSE ALOYCE, NIMEOKOKA. NAMPENDA YESU KRISTO. Nipo Chuo cha Tumaini Makumira Usa river. Arusha. Leo Nipo hapa Dar. KESHO NITARUDI KAZINI. MIMI NI MTOTO WAKO KTK MITANDAO KILA SIKU. NINAKUOMBA NIJE OFISINI KWAKO NILETE SADAKA YANGU.
Ujumbe huu nimekuwa nikimsihi sana Mungu atakaponifanikisha nisijisahau ktk maisha yangu,nilianza ofisi yangu ya ushonaji baada ya miaka 2 ofisi ikawa na muonekano hatimae tar 12 septemba viliibiwa vitu vyote na mashine zote,maombi yangu makuu ilikuwa nisijisahau hata kama nitafanikiwa mpaka mipaka ya nchi yetu,Mungu anisamehe nilipojisahau
Nipo mahali flani ni mtumishi wa mtu. Juzi tulienda kutembelea nyumba yake mpya anayotaka kuhamia. Kuna wahindi wanaafisha Ile nyumba Sasa mwajiri akawatolea ukali akawaambia Hamuna ruhusa ya kula chakula hapa ndani wala kutumia choo. Aliwafokea sana mpaka Leo imenikaa akilini nawaza jinsi wahitaji wale maskini walivyonyanyaswa. Ee Mungu nipe hekima na unyenyekevu.
Baba Mungu Tunaomba Toba na Rehema, Utusamehe Makosa Yesu
Utusamehe yale Makosa Tunayokumbuka na Tusiyoyakumbuka
Tunaomba Toba na Rehema
Utuondolee Dhambi ndani Ya Mioyo yetu
Tumekosa Baba
Hatustahili kusimama mbele zako
Tunaomba Huruma Yako. Amen 🙏
Mungu nisamehe kimaryo mchungaji wangu Unamahubiri yenye kugusa mioyo Hadi uvunguni mea mioyo ya sisi wanadamu ambassador tunajisau na tunasahau tuliko toka... Ahsante kwa kutuamsha kea imani na kutujenga ili tuwe Wanadamu Wa kumpondeza mungu..... Amina mchungaji wangu
Mwenyezi Mungu ninaomba rehema na toba katika maisha yangu kwa yote niliyokukosea tangu utoto wangu. Ninaomba nijalie hekima ya kuishi Mungu wangu.
Ubarikiwe nami nisaidie nizidi kukumbuka kule nilikotoka MUNGU wangu asante naomba na Rehema zako Mungu
Mchungaji unagusa mioyo ya watu wengi Mwenyezi Mungu azidi kukupa afy njema kwa ajili ya wengi mm binafusi unanibariki Sana 🙏
Baba wa Mbinguni tunaomba Rehema.....Tusamehe ee Jehovah!
Mungu akubariki sana Pastor. Hakika neno lake Mungu linatuongoza na kutuangazia kila siku iitwayo leo. Ee Mungu tusaidie tusimame imara kiroho ktk neno lako. Tumsifu Yesu Kristu.
Amen Mungu wangu nurehemu katika maisha yngu
Mungu wangu naomba Toba na rehema nipe moyo wa shukrani
Mungu tunaomba Toba pale tulipo kosea katika maisha yetu
Tunawahitaji wahuburi kama hawa ambao siyo Feki.
Ubarikiwe🎉
Ni kweli wengi wamebaki na njoo ukombolewe toa ubarikiwe
Bariki wa sana mtumishi kwa Neno linatugusa na kutufungua
Barikwa mtumishi wa mungu, enyewe Mungu anatutoa mbali kisha tunamsahau
Amina mungu nisamehe maana nimeishi kwa uovu na kukata tamaa
Mungu nisamehee pale nilipo jiinua
Nabarikiwa Sana Mungu azidi kukujalia kwa ajili yetu.
Amen.mungu anakutumia vema kutukumbusha wajibu na hakika unahubiri kwa kuongozwa na rohobmtakatifu
Amina sana baba Mungu atuhurumie sana
Mungu atusamehe😢😢😢😢😢
Atusamehe kweli.
Amen🙏. Mungu nipe unyenyekevu na nikumbuke nilipotoka.
Amen 🙏🙏 Mungu atusaidie kwa hili
Mungu akubariki sana kukutumia kutukumbusha neno na tuliishi
Oooh YESU NIREHEMU MIMI
Amen..I love your sermon 🙌
Mungu tunaomba rehema ziwe nyingi 🙏🙏🙏
Asante Baba kwa hili somo hakika litatupa kukumbuka ni wapi Mungu alitutoa na kwanamna gani tunatakiwa tuzidi kumheshimu na kumpenda
Duh Mungu aturehem sawasawa na fadhili zake
Amina baba mtumishi Wa mungu
Amina na barikiw sana
Ila kimaro hakika mungu akupe maisha marefu ili tuzid kupokea mafundisho mazur mungu akubariki babangu!!
Ewe mwenyezi mungu nisamehe zambi zangu nanikujue ww dkt kimario inanibarik sana
Sema baba tupone mtumishi wetu.
Have mercy on me dear Lord
Mungu atusamehe
🙏🙏🙏 mungu akubark
Mungu atusemehe
Bwana Yesu Kristo asifiwe Mchj. Mimi ROSE ALOYCE, NIMEOKOKA. NAMPENDA YESU KRISTO. Nipo Chuo cha Tumaini Makumira Usa river. Arusha. Leo Nipo hapa Dar. KESHO NITARUDI KAZINI. MIMI NI MTOTO WAKO KTK MITANDAO KILA SIKU. NINAKUOMBA NIJE OFISINI KWAKO NILETE SADAKA YANGU.
Amina mtumishi
Mungu aendelee kukutumia baba ili uzid kuziponya nasfs zetu
Amina Mtumishi
Nimevuka ktk magumu ambayo mungu ndie alienihurumie,hakika nakumbuka nilikotoka
Amen
Asante🙏
Mungu wangu nisaidie
Ameen
Hallelujah
Amen Daddy
Nakumbuka nilipotoka aiseee wacha kabisa nilifika dar kwenye Interview na fuso la Nyanya leo hii Mungu amenibariki sanaaa
Ujumbe huu nimekuwa nikimsihi sana Mungu atakaponifanikisha nisijisahau ktk maisha yangu,nilianza ofisi yangu ya ushonaji baada ya miaka 2 ofisi ikawa na muonekano hatimae tar 12 septemba viliibiwa vitu vyote na mashine zote,maombi yangu makuu ilikuwa nisijisahau hata kama nitafanikiwa mpaka mipaka ya nchi yetu,Mungu anisamehe nilipojisahau
Mungu atakurudishia kila kitu!
@@leonardkajuna1213 Amen mpendwa
Ameni Ameni.
🙏🏽🤲🏽
Amen baba
🤲🏽🙏🏽
Amina
❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏❤
Amen 🙏 🙏 🙏
🙏
Usisahau ulikotoka tazama kumbukumbu la torati 28 uzijue baraka na laana