Huyu ni mimi kabisa..eeeh Mungu nitie nguvu,baraki kazi ya mikono yangu nikatoe aibu ya nyumbani kwetu...ujumbe umekuja kwa mda muafaka kabisaa..Thank you Jesus.
Yote yapo Mungu amesema ataibariki familia unakuta familia mmoja.tu kafanikiwa jaman tusiumizane kama Mungu atakubaliki atawahurumia ndugu zako unafanikiwa peke yako utakuwa na laha.gan Mungu akihurumia.anakuhurumia na ndugu zako Mungu atusamehe na.hii.dunia Mungu anatunza kumbukumbu la kizazi cha baraka
Mimi ni msabato lakini nakupenda sana mchungaji nakupenda sana😢Mungu azidi kukuongoza utangaze injili ya yesu🙏
Tupo weng MUNGU amuinue kwa kweli huy mchungaji
Mchungaji namimi mama nilyeko Mbeya unibariki ktk hili. Asante kwa maombi yako yenye nguvu. Mungu akubariki mtumishi
Mungu asikupungukie mch Kimaro! Umefanyika kivuko kwa wengi! Mungu akutunze🙏🙏🙏
Huyu ni mimi kabisa..eeeh Mungu nitie nguvu,baraki kazi ya mikono yangu nikatoe aibu ya nyumbani kwetu...ujumbe umekuja kwa mda muafaka kabisaa..Thank you Jesus.
Mungu akubariki sana Mchungaji Kimaro nayasikiliza sana maombi yako
HALLELUJAH. SHE IS INDEED BLESSED TO BE A BLESSING. TUMPE MAUA YAKE HUYO DADA💐💐❤❤️🙏🙏
Mungu akubariki uendelee kutanga injili
Sitakufa kwa jina la Yesu...
Ila we mtumishi wa Mungu,natamani nikuone live mtumishi kimaro
Nakupenda sana baba Mungu akuinue zaidi
Pastor hu ushuda najiona mimi japo so kubwa ila nimeweza na baba angu nimemjengea nyumba na alikuwa ajawayi fikiria icho kitu .
Namshukuru alhaa kwajili yako mungu akufiche wenye kiburi wasikuone
Mungu akubariki mchungaji
Nakupenda sana mchungaji Kimaro Mungu azidi kukubariki
Mimi ni kivuko cha familia, nitavusha watoto wangu na ndugu zangu, wenye shida mbalimbali. Naamka tena kwa jina la Yesu
Amina ! Hayo ndio magumu ktk familia na baraka zinazidi kuondoka nyumbani pengine ndiye atakayefungua milango na baraka kuja kwa kila mmoja
Ahsante sana kwa kunibariki❤
Barikiwa sana Mchungaji nimepokea
Mchungaji hapo umenena mch. Hicho kisaa kimekuta wengi Mimi hata nashindwa kusema
Sifa shukrani Kwa Mungu wetu, Mimi ndie mkombozi wa Familia
Napokea kusudi la Bwana Tena, Amen,Amen.
Mimi nikivuko chafamilia kwa jina la Yesu
Mimi ni kivuko cha Familia ....❤❤
Amina asante baba mchungaji haya yapo sana ktk familia 🙏 Mungu atusimamie
Kimaro nakupendaga bureeee
Dah Mungu akutunze
Sifa, Shukran na Sifa tumrudishie Mungu. Amen
Ndo yalivo machawi hayataki maendeleo! Yawexekana walilogwa kwani wachawi wanasambaratishaga familia.
Mungu mwema
Ntaamka tena mimi ni kivuko cha familia
Uko vizuri mtumisjhi wa mungu
Mungu akutumie apendavyo hakuna wa kusimama mbele yako.👏👏👏
Amina....Mimi ni Kivuko Cha Familia yetu in Jesus' Name
🙏🏽
Ameen Napokea ktk Jina la Yesu Kristo
Mungu tusaidie 🙌🏽🙌🏽
Ameen Ameen
Amina
Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
Atukuzwe BABA na MWANA na ROHO mtakatifu...
Yote yapo Mungu amesema ataibariki familia unakuta familia mmoja.tu kafanikiwa jaman tusiumizane kama Mungu atakubaliki atawahurumia ndugu zako unafanikiwa peke yako utakuwa na laha.gan Mungu akihurumia.anakuhurumia na ndugu zako Mungu atusamehe na.hii.dunia Mungu anatunza kumbukumbu la kizazi cha baraka
Amen
Amen 🙌🙌🙏
Eeeh Mungu mimi nina shangamoto kwenye familia 😢😢😢😢
Baba yangu wa Kiroho Mungu azidi kukuweka kwaajili yangu umeniinua mnooo
Amin napokea kwa jina yesu Kristo 🙏🙏🙏
AMEN ❤❤❤❤❤
❤
It's so powerful
Ameeeen, mimi ni kivuko cha Familia.
🙏
Amen Amen 🙌🙌🙌
Ameen baba mm ni kivuko cha familia🙏🙏🙏
Amiiinaaaaa ninapokea kwa jina la yesu
Amen🙏🙏🙏🙏
Unafundisha vizuri we nimwalimu
Mungu anamtumia kuvusha watu, tumuombee maana shetani hutamani kuwaangusha ila tutashinda kwa jina la Yesu
Amen ushuhuda umengusa sana maan mm ndio nitakaye badilisha familia yangu
Ameen baba
Hii ni shidaaa
Mimi ni kivuko cha Familia kwa jina la Yesu
Ata Mim natamani nikuone mtumish kimaro
Mzungu akupe wepesi
Mimi ni Kivuko cha Familia na ukoo kwa jina la Yesu
Napokea
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ameeeen
Mimi ni kivuko cha familiaa
Napikea baraka na uzao wangu
Sema Baba hilo limeibuka kwetu nikatumia nafasi ya kazi yangu nilitembeza vitasa mambo yakaenda. Kila familia ina ngano na magugu.
Naomba no yako
mchungaji apo umegusa kweny familia yetu ndo walivyo Mungu 🤔
Allilliiiiiiiiiiiiiiliiiiiiiiiiiiii
Ameeen😂😂😂😂❤❤❤
😅😅😅😅😅
Yote yote mchungaji yote yote yapo vitu viko viwili
😂😂😂😂😂hio kqeli
😂😂😂😂
😂😂😂😂 ameen
Tupo hapa
Barikiwa sana Mchungaji nimepokea
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen