MBIO ZA URAIS 2025: NABII ROLINGA NA SIRI NZITO, GIZA NENE ''SI RAHISI''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Join this channel to get access to perks:
    / @haleluyatv
    #HaleluyaTv #ProphetRolinga #omegaministrieschurchofallnations #ocoan
    MBIO ZA URAIS 2025: NABII ROLINGA NA SIRI NZITO, GIZA NENE ''SI RAHISI''
    Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
    Haleluya APP : play.google.co...
    Facebook : / prophetrolinga
    Instagram : / prophetrolinga
    TH-cam : / haleluyatv
    Audiomack : audiomack.com/...

ความคิดเห็น • 605

  • @richardhoseni2643
    @richardhoseni2643 21 วันที่ผ่านมา +20

    Amina Mungu atende tumechoshwa na huu unyanyasaji, uonevu, ukatili, dhuluma na uporaji wa raslimali za watanzania

  • @rehemamartin4574
    @rehemamartin4574 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ameen ameen ameen ameen mungu naomba utulinde sisi wanyonge pamoja na familia zetu ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @timothykatunz7195
    @timothykatunz7195 28 วันที่ผ่านมา +14

    Mungu awakumbuke waTanzania,awatoe kwenye utawala wa miungu,awapeleke kwa Mungu wa kweli,ma kuabudiwa siyo maagano ya miuungu

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 2 วันที่ผ่านมา

    MUNGU Baba kupitia jina la YESU turehemu na watoto wetu,tupe kiongozi Jasiri na wenye upendo wa kuongoza Nchi yetu,,Amen

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 29 วันที่ผ่านมา +55

    Mungu hafanyi Jambo pasipo kuwajulisha watumishi wake manabii

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 29 วันที่ผ่านมา +1

      Mmmmm

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 27 วันที่ผ่านมา

      huyo sijui Mungu tu

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 26 วันที่ผ่านมา

      Unamjua Nabii ww

    • @humbimusisa-db1tg
      @humbimusisa-db1tg 25 วันที่ผ่านมา

      Eti nabiii 😂 Daaah

    • @ashurasaid8409
      @ashurasaid8409 23 วันที่ผ่านมา

      Muogope mungu nabii toka lini na Leo iwe ya pili anaenda uwani ana Fanya machafu ambayo anayajuwa yenye mwenyewe na anaanzaje kuwa nabii acha ukipofu

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 วันที่ผ่านมา

    Nabii Rollinga Mungu azidi kukupa maono asante baba kwa mahubiri mazuri.

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 28 วันที่ผ่านมา +14

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen in Jesus mighty name I truly believe & trust that everything shall be divinely fulfilled as declared to me

  • @IbrahimShan-qu3um
    @IbrahimShan-qu3um 20 วันที่ผ่านมา +30

    Jamaa aongeagi uongo namfatilia sana aisee inshallah 🙏

    • @samlae7089
      @samlae7089 8 วันที่ผ่านมา

      Sasa hiyo nguo ya bafuni ya nini😅😅

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@samlae7089 ww umeona hyo nguo ya bafuni

    • @goliathmwalongo8938
      @goliathmwalongo8938 5 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 26 วันที่ผ่านมา +10

    Yesu Kristo tupe viongozi wazuri wenye nia nzuri na Taifa letu.

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 29 วันที่ผ่านมา +15

    Amina baba Tanzania chini ya Yesu ni salama

  • @alfredbee7967
    @alfredbee7967 27 วันที่ผ่านมา +12

    Asante Mungu Kwa kutupa maisha ya mtumishi wko Rolinga tumejua mengi kupitia yy by Alfred Bee kutoka BBT Manyara

    • @GabrielAmma-jp1oo
      @GabrielAmma-jp1oo 14 วันที่ผ่านมา

      Wewe n Alfredi yupi?

    • @user-ek3ou5fy7z
      @user-ek3ou5fy7z 2 วันที่ผ่านมา

      Asante Alfred kutoka babati na mm nikitokea manyara nakubali sana sana familia yangu ya BBT Mungu awatangulie

  • @hoseakayinga2090
    @hoseakayinga2090 27 วันที่ผ่านมา +5

    Asante sana mtumishi umetumia lugha ya kihekima ya hali ya juu sana. Be blessed

  • @5flashesfilms394
    @5flashesfilms394 26 วันที่ผ่านมา +20

    Sio rahisi raisi alieko kwenye uraisi kua raisi 😂😂😂❤

  • @TEDDYmichael-z8f
    @TEDDYmichael-z8f 19 วันที่ผ่านมา +6

    AMINA MTUMISHI, MUNGU NA ATENDE, PIA ATUCHAGULIE VIONGOZI WANAOFAA, ATUONDOLEE MAFISADI

    • @barakaellaseko3791
      @barakaellaseko3791 2 วันที่ผ่านมา +1

      Ningefurahi kama angesema ukiwa na shaka muulize Mungu, siyo niulize mimi.

  • @erickkanana5493
    @erickkanana5493 19 วันที่ผ่านมา +4

    Wanadamu tumuombe mungu kwa ajili ya shida zinazokuja mbele zetu mungu asaidie kwa ili

  • @EliaPundugu
    @EliaPundugu 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mungu tusaidie maana tumechoka na vitendo vya utekaji,unyanyasi,na mauaji yakikatili,mungu tusaidie Sana tunahtaji Neema yako.

  • @mariamgodwin7186
    @mariamgodwin7186 7 วันที่ผ่านมา +1

    Namuelewa sana mtumishi Huyu utabili wake haundagi kinyume hakika Mungu bado ana manabii wake wa kweli ❤

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 15 วันที่ผ่านมา +17

    Mtumishi wa MUNGU namheshimu sana maana aliwahi kutabiri kifo cha magufuli 😢😢

    • @hassanthabit3726
      @hassanthabit3726 5 วันที่ผ่านมา

      Mshamba huyo ahachane na SIASA.

    • @jovithngaiza1020
      @jovithngaiza1020 2 วันที่ผ่านมา

      We ndo mshamba mkubwa na unanuka umaskini wa maisha​@@hassanthabit3726

    • @Keyjop
      @Keyjop 2 วันที่ผ่านมา

      Kumbe ndio huyuu

  • @adriantimothy9909
    @adriantimothy9909 25 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu naomba urehemu taifa letu Tanzani

  • @godfreydeya4140
    @godfreydeya4140 29 วันที่ผ่านมา +33

    Haitakuwa Rahisi
    Rais awe Rais

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 28 วันที่ผ่านมา +1

      😂 aisee

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 27 วันที่ผ่านมา +7

      Mama samia, hakubaliki, yaani 2025 akapumzike, asilazimishe madaraka, hayupo wa kumpa kura.

    • @michaelrweyemamu1068
      @michaelrweyemamu1068 25 วันที่ผ่านมา

      😆😆😆

    • @happinessmwaipopo7426
      @happinessmwaipopo7426 12 วันที่ผ่านมา

      Duh umenifungua aiseeee sasa do naelewa aliposema haweki neno lolote kwenye triangle 😅

    • @jescarwegoshola1754
      @jescarwegoshola1754 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🤔

  • @malcomg1004
    @malcomg1004 25 วันที่ผ่านมา +8

    Uchaguzi ujao ndo wataona madhara ya kumuua mh Rais John Magufuli,I swear to God

    • @Boj842
      @Boj842 18 วันที่ผ่านมา

      Kabisa

    • @ChristopherKayera
      @ChristopherKayera 14 วันที่ผ่านมา

      😮😮😮😮😮 mbona na yy Alileta madhara kwa kulazimisha Kijani nyingi kuwa ndani ya mjengoo 😢😢😢😢

  • @stephanSandika
    @stephanSandika 20 วันที่ผ่านมา +7

    Mm mtumishi kwenye kutabiri mambo ya nchi Sina shaka

  • @killylevenson
    @killylevenson 16 วันที่ผ่านมา +3

    Asante sana Nabii❤

  • @HappyPaul-nj9ri
    @HappyPaul-nj9ri 29 วันที่ผ่านมา +20

    Mungu ponya Tanzania

    • @BabaFarzan-ml4er
      @BabaFarzan-ml4er 27 วันที่ผ่านมา +2

      Asituponye
      Atutolee CCM basi

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu tunaomba ingilia kati nchi ya Tanzania tunaendeshwa na mashetani yasio na hofu yako

  • @mhinamanmagazine
    @mhinamanmagazine 27 วันที่ผ่านมา +2

    This pastor is a real man if God, I can feel his energy, very powerful

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 27 วันที่ผ่านมา +23

    Mungu tunaomba msamaha kila sehemu tunapokosea sisi Kama taifa lako
    Mungu tafadhali Kaa nasi🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @Mbish-zc9mt
      @Mbish-zc9mt 25 วันที่ผ่านมา

      Tuseme nn ss juu ya ukuu wa Mungu....ukuu wake ni mkuuu kuliko vyote na atatushindia yote na kutuweka sehemu sahh🙏🙏🙏

    • @joykapaya1970
      @joykapaya1970 10 วันที่ผ่านมา

      Amen.
      Mungu aturehemu🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @PatrickKigava-lr4el
    @PatrickKigava-lr4el 26 วันที่ผ่านมา +20

    Maombi maombi maombi ya wana wa Mungu kuleta faraka ndani ya CCM kwa UOVU, mauaji, ufisadi, wizi wa Mali za uma, haki kuto kutendeka. Mungu ataiondoa CCM.

  • @wilfredyhumphrey918
    @wilfredyhumphrey918 2 วันที่ผ่านมา

    Unabii unaendeleaje kutimia mtumishi 🙏

  • @neemataris3273
    @neemataris3273 28 วันที่ผ่านมา +10

    Mambo ya roho hayo hatari sana maombi yanahitajika

  • @OnesimoFrance
    @OnesimoFrance 20 วันที่ผ่านมา +5

    Asante Mtumishi Wa Mungu Mungu zaidi kukutumia kama mjumbe wake

  • @ClaraMatei
    @ClaraMatei 15 วันที่ผ่านมา +6

    Mii ata akifa sawa tu maisha n magumu sana hata simpend

  • @irakozeshakiru1131
    @irakozeshakiru1131 28 วันที่ผ่านมา +7

    Mungu simamia Tanzania

  • @mcmrtichaentertaimentgudi7331
    @mcmrtichaentertaimentgudi7331 5 วันที่ผ่านมา +1

    Takbeer Nabii Nakujua Rolinga

  • @aishambuma1716
    @aishambuma1716 7 วันที่ผ่านมา +1

    Gu akuinue zaidi

  • @EngelLameck-nz5nk
    @EngelLameck-nz5nk 29 วันที่ผ่านมา +59

    Na ishara zimeanza tayari Tanzania inapotea ccm inatupoteza niwanyanyasaji kupitiliza Ila Huyu Mungu Atawanyoosha

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 13 วันที่ผ่านมา +4

      CCM Wauwaji sana kunawatu wasiojulikana

    • @EngelLameck-nz5nk
      @EngelLameck-nz5nk 13 วันที่ผ่านมา

      @@rogerabdallah439 niwapumbavu sana hao mbuzi

    • @Reginajohnson-1988
      @Reginajohnson-1988 4 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli na tanzania inakuja kutawaliwa na nchi za kigeni ukiona sasa hivi wachina wabanunua masaki yote

    • @EngelLameck-nz5nk
      @EngelLameck-nz5nk 4 วันที่ผ่านมา

      @@Reginajohnson-1988 yaan tunako elekea cjui Mungu Tusaidie kwa kweli

  • @princessprecious6995
    @princessprecious6995 27 วันที่ผ่านมา +1

    Amen mtumishi wa Mungu naamini Mungu atatuepusha mimi na uzao wa tumbo Langu na wazazi wangu na Dada na watoto wao na waume zao

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 2 วันที่ผ่านมา

    Amen amen naomba

  • @BenedictKadege
    @BenedictKadege 13 วันที่ผ่านมา +3

    Amen tumechoka kuonewa

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu asimame na wananchi tuombe kwa ajili ya wananchi sio hawa kina ng'umbi na hawa wanasema tukiwapoteza wasitafutwa na ccm yao mungu awashushie ghazabu yake muda wa ccm kutawala ufutike kwa uovu wanaoufanya kufilisi nchi kutokujali wananchi Kuwafanya wawe masikini maisha yao yote kwa ufisadi wa rasilimali za nchi

  • @user-xl7yv7hr3z
    @user-xl7yv7hr3z 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina baba

  • @mariethapeter7464
    @mariethapeter7464 28 วันที่ผ่านมา +3

    Asante sana Yesu

  • @StevenMasunga-fd7xf
    @StevenMasunga-fd7xf 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu afanye wepes, tumechoka na utawala huu,

  • @patrickJosse-t7h
    @patrickJosse-t7h 17 วันที่ผ่านมา +3

    Safi mtumishi tunahitaji watumishi kama nyinyi Tanzania,inakopelekwa sio salama wengi ni machawa harafu inchi Ina Deni kubwa teyale pamoja na kuuzwa Kwa maeneo na waarabu wananchi tutapitia ziki katika maisha hapo baadae

    • @edsonnhandi-yp8qi
      @edsonnhandi-yp8qi 4 วันที่ผ่านมา

      nimekubali kuna kitu ndani yako mtumishi ubarikiwe

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 28 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu atusaidie

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 29 วันที่ผ่านมา +34

    Kweli tupo mtaaani toka 2017
    Nmemaliza chuo
    Wenzangu wameajiriwa
    Na wenginee wamemaliza 2022 jamann ukiangalia hio miaka na majina yao unaona uchungu moyoni sanaa😢😢😢

    • @user-nl8ec4np1t
      @user-nl8ec4np1t 29 วันที่ผ่านมา +3

      Tupo wengi sn toka 2014 ndugu kuna muda unasikia uchunguuu😢

    • @godrivernicholous3536
      @godrivernicholous3536 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-nl8ec4np1t😢😢😢

    • @user-jh4hg2ev9s
      @user-jh4hg2ev9s 28 วันที่ผ่านมา +1

      Pole sana jitahidi utafute hata fani ambayo hujasomea

    • @jacobmsigwa383
      @jacobmsigwa383 28 วันที่ผ่านมา +2

      Poleni sana, wanashikwa mkono na wenye nafasi

    • @WILLIAMCYPRIAN
      @WILLIAMCYPRIAN 28 วันที่ผ่านมา +1

      SI RAHIS RAIS AWE RAIS

  • @njombehc
    @njombehc 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu yupo upande wetu Asante YESU

  • @scolarketer8353
    @scolarketer8353 11 วันที่ผ่านมา +1

    am watching live from Kenya glory be God 🙏🙏

  • @ezekielmwamlinge9138
    @ezekielmwamlinge9138 28 วันที่ผ่านมา +21

    Waache wavurugane maana wanakiburi sana mimi naomba mungu awaonyeshe ukuu wake

    • @majormajomjohn3775
      @majormajomjohn3775 28 วันที่ผ่านมา +1

      Amen,ikiwezekana wauwane kabisa

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 3 วันที่ผ่านมา

      Hakun kuomba acha moto uwake tunasubir

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 27 วันที่ผ่านมา +9

    Ukweli lazima usemwe, 2025 mama samia akapumzike, hayupo wa kumpa kura.

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly 9 วันที่ผ่านมา +1

    Rolinga nakukubali sana

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 29 วันที่ผ่านมา +16

    Sio rais samia kua raisi wa tanzania

  • @benithaBrighton
    @benithaBrighton 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu ndiye ajuae yote asimame mwenyewe katika kila jambo

  • @GeshomuMwamalili
    @GeshomuMwamalili 19 วันที่ผ่านมา +1

    Duu kweli mungu atuepushie na mkono wa ibilisi

  • @EsterChalale-uq4jh
    @EsterChalale-uq4jh 18 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu aingilie kati huyu mama hatumtaki tena

  • @JosephMganga-z6n
    @JosephMganga-z6n 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu aliangazie taifa letu tushateseka sana

  • @AmosAdam-n9v
    @AmosAdam-n9v 23 วันที่ผ่านมา +13

    Siyo rahisi Rais kuwa Rais ktk jina la Yesu kwa utukufu wa Mungu we need changes

  • @SaudaSaudaAmiri
    @SaudaSaudaAmiri วันที่ผ่านมา

    Mashaallah ww ni mtumishi wa Mungu kweli kabisa ❤ Maana maono yako na muungozo wa Mitume ya kwenye vitabu vya dini

  • @user-cd1ny9vf7d
    @user-cd1ny9vf7d 29 วันที่ผ่านมา +2

    Asante sana baba, mi nimeelewa

  • @user-hj3ky9zy6y
    @user-hj3ky9zy6y 3 วันที่ผ่านมา

    Amina mungu attended hivyo kwa maono ya mtumishi WA mungu

  • @jmastertz161
    @jmastertz161 13 วันที่ผ่านมา +2

    namkubar sana nabii hatabiligi uongo

  • @chamlilemhando7478
    @chamlilemhando7478 7 วันที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri ndugu nabii

  • @user-jz7wv2uy9c
    @user-jz7wv2uy9c 23 วันที่ผ่านมา +1

    MUNGU akubariki sana.

  • @yekoniajulius7340
    @yekoniajulius7340 28 วันที่ผ่านมา +11

    Si Rahisi Raisi kuwa Rais
    13/08/2024

    • @nancykaseko
      @nancykaseko 27 วันที่ผ่านมา

      😂mwenye macho aambiwi tazama na mwenye masikio aambiwi sikia...ujumbe umetufikia Yesu atufanyie amani dats all in jesus name

    • @user-es9ye1tj7u
      @user-es9ye1tj7u 25 วันที่ผ่านมา

      Hataa ss tunaombaa munguu,,sasa hiv tunahofu na maishaa ya watoto wet atunaa amaniii ,,tunaogopaa harafu rais amekaa kimyaaa,watot wet wanateketeaa,,

  • @WilbrandBoneza
    @WilbrandBoneza 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu atende sawasawa na mapenzi yake🇹🇿🙏🙏🏼🙏🏼

  • @Ericzdeking24
    @Ericzdeking24 28 วันที่ผ่านมา +6

    Watanena kwa Lugha tofauti na atakayeiba kura ya mwingine akapate anguko kubwa.

  • @AlfonceGwambiyeBilantanye
    @AlfonceGwambiyeBilantanye 29 วันที่ผ่านมา +6

    Amina Mtumishi Mungu azidi kukutumia kama jicho la Taifa.

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 2 วันที่ผ่านมา

    Maamuzi magumu ni muhimu kwa mama, awaachie wengine wasonge mbele, imetosha Amani ni muhimu kuliko uongozi

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu afanye yaliyo sahihi, ahsante roho Mtakatifu kwa mafunuo

  • @EvelynePaul-x9y
    @EvelynePaul-x9y 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu atutetee watanzania maana hats kifo chamgufuli ulitabili nakweli ikawa

  • @ramadhaniathumani1025
    @ramadhaniathumani1025 28 วันที่ผ่านมา +10

    Mungunuulinde uhai wangu na familia yangu!

  • @chaohappy6328
    @chaohappy6328 17 วันที่ผ่านมา +2

    YESU TUSAIDIE SANA

  • @faithzion7476
    @faithzion7476 28 วันที่ผ่านมา

    Its high time for God to bring change in this nation.Watu wanateseka sana nchi hii

  • @user-en4es6nj4r
    @user-en4es6nj4r 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu wa mbingu na dunia na akutunze sana

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 27 วันที่ผ่านมา +8

    Ni kweli mfumo unasema 2025 ndo awamu ya 6 ,kwa sasa wamelazimishia kuwa y 6 ni uongo, kingine tunaumia mnoo kwa kutuulia JPM 😢😢

    • @shabanibussara8454
      @shabanibussara8454 7 วันที่ผ่านมา

      Duh! Dogmatism😢 on it's highest level

    • @gloriamongi3073
      @gloriamongi3073 วันที่ผ่านมา

      Rudia kusikiliza Mtumishi

  • @nancykaseko
    @nancykaseko 27 วันที่ผ่านมา +2

    Yesu ingilia kati nchi yangu Tanzania in jesus might name.🙏

    • @joykapaya1970
      @joykapaya1970 10 วันที่ผ่านมา

      Jesus might name.

  • @imakitori399
    @imakitori399 4 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumish wa bwana

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 2 วันที่ผ่านมา

    Hahaha ,,,,tulia na pesa zako,,, barikiwa sana mtumishi wa BWANA

  • @patrickJosse-t7h
    @patrickJosse-t7h 21 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli mtumishi ni kweli ,tupo nyuma yako ,na mungu atuhepushe na huyu kiongozi aliyopo madalakani sababu hatuna haja nae

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ngoja niliweke wajue,,si rahisi Rais kuwaRaisi

  • @beautykimetule3888
    @beautykimetule3888 23 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu tusaidie tusaidiee

  • @kondelalukuba3896
    @kondelalukuba3896 24 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika sauti ya Mungu haijirudii

  • @Safariking2010
    @Safariking2010 29 วันที่ผ่านมา +38

    Siyo Rahisi Raisi awe Raisi!

    • @herieldavidmauki6327
      @herieldavidmauki6327 29 วันที่ผ่านมา +2

      imekaa kaa yenyewe vile😂

    • @majormajomjohn3775
      @majormajomjohn3775 28 วันที่ผ่านมา +1

      Hii mm sijailewa hii

    • @bennygwasa4563
      @bennygwasa4563 27 วันที่ผ่านมา +1

      Hiyo ndio tafsri sahihi, nakubaliana na wewe

    • @alicemgalawe3924
      @alicemgalawe3924 27 วันที่ผ่านมา

      Si rahisi Raisi kuwa Raisi

    • @Upendo-gd6fn
      @Upendo-gd6fn 26 วันที่ผ่านมา

      Watu wa Mungu tuendelee kuomba Mungu atatu surprise na wema wake uchaguzi ujao. Hawezi ruhusu mpango wa giza juu ya Taifa hili kusudi la Mungu litasimama.

  • @user-bf1jd9nl3v
    @user-bf1jd9nl3v 6 วันที่ผ่านมา +1

    Yaan mm mpaka naogopa,tufanyaje jaman ili haya yasitokee maana tunayaona kwenye nchi za wezetu mambo sio mambo..daah Mungu atusaidie kwa kwel maana hao chadema hawana uzoefu na uongozi Bora ibaki ccm hvyo hvyo..amani itatawala

    • @AnnaJohn-u9f
      @AnnaJohn-u9f 4 วันที่ผ่านมา

      Tafta pasprt chap

  • @WilsonNaano
    @WilsonNaano 5 วันที่ผ่านมา

    mungu akulinde mtumishi wa mungu

  • @NeymantBoy
    @NeymantBoy 12 วันที่ผ่านมา +2

    mungu wangu tunaitaji viongozi wema tumechoka kutekwa jaman ndugu zetu wanapotea pabil kuelewa wapo wap😢😮😅

  • @viktamade
    @viktamade 19 วันที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Mungu umenyooka sana...Mungu akutie nguvu

  • @TinaNgongoro
    @TinaNgongoro 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekuelewa

  • @eliaspokoso8398
    @eliaspokoso8398 29 วันที่ผ่านมา +13

    Mimi binafsi mutumishi wa Mungu nimekuelewa amen kubwa 🙏🙏

  • @GhostRaider-p1o
    @GhostRaider-p1o 28 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu yupo chato tunaomba sana

  • @richardsoka2400
    @richardsoka2400 28 วันที่ผ่านมา +1

    I understand! Understood!

  • @saulimmbaga.safisana9556
    @saulimmbaga.safisana9556 29 วันที่ผ่านมา +13

    Naamini sana huyu nabii ni shida yuko bzr sana

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 28 วันที่ผ่านมา +1

    nakuelewa sana mtumishi

  • @ManenoMateso
    @ManenoMateso 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameen

  • @GomaRunyamila
    @GomaRunyamila 3 วันที่ผ่านมา

    Si rahisi kuwa rahisi

  • @janemumbua7353
    @janemumbua7353 28 วันที่ผ่านมา +7

    Plz wakuu WA tz mtii hii sauti,imetufanyikia Kenya vijana wako mtaani....walokole ombeni taifa lenu...

    • @MagrethKatondo-qs9oz
      @MagrethKatondo-qs9oz 2 วันที่ผ่านมา

      Amina. Ee Mungu mwenye huruma tunakuomba baba uliokoe taifa letu. Utusamehe baba uliokoe taifa letu la tanzania. Utuhurumie baba Mungu wa kweli. Amina.

  • @sitakilyimo3906
    @sitakilyimo3906 26 วันที่ผ่านมา +3

    Ongea kwa kituo mkalimani wako aweze kutafsiri vizuri.
    Unaenda kwa haraka mno.
    Unampa shida sana

  • @JosephPolela
    @JosephPolela 26 วันที่ผ่านมา +1

    We must pray for our country

  • @JosephMganga-z6n
    @JosephMganga-z6n 12 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @BarnabaMollel-p1m
    @BarnabaMollel-p1m 28 วันที่ผ่านมา +3

    Naomba mwenye no ya huu Mtumish wa Mungu

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 28 วันที่ผ่านมา +1

      No? Labda ya wale wasaidizi wake hapo

    • @innocentjoseph805
      @innocentjoseph805 12 วันที่ผ่านมา

      ​@@christinewomanoffaith5479 me mwenyewe nahitaji ata ya msaidizi wake plz