Mimi nitawaza juu ya vision yangu. Sitapambana tena wanadamu ambaye Mungu mwenyewe aliweka mpaka na makerubi KULINDA bustani ya EDEN. UPANGA WANMOTO UWAKAO KUWILI KUMDHIBITI BINADAMU. MIMI NI NANIII NIWEKEYE KIBURI CHA OVYO . NISAIDIE EEEH MUNGU NISONGE MBLE. BASI!!
Kwa kifupi kanisa la KKKT ni kama halina nidhamu na viongozi wao hawaheshimiani na hata waumini wao pia ni kama wamelogwa. Nimeona Katoliki Padre akienda tofauti husimamishwa na hakuna kitakachotokea. Tatizo la kanisa hili ni kujali maslahi binafsi kuliko Mungu.
Mngu akuinue kwa kiwango cha juu umenisaidia Sana kupitia u tube sbb nipo Qatar hatuendi makanisani lkn Nashukuru Mngu maana naenda kanisani kupitia mitandao
Wewe ni jembe la mbinguni mungu akubariki
Aimeen 🙏🙏🙏 sana kwa ibada njema
Akubariki Mungu Mwenyezi. ..kweli km Mungu kamshindwa kiumbe alichokiumba sembuse mimi nihangaike nahuyu kiumbe? ? woiiiiiiiii. .....
Amina mtumishi barikiwasana
Axnte mtumish kwa Neno zuri
Ubarikiwe mchungaji
Mungu akubariki mchungaji nakufata nikiwa saudia arebia mungu azidi kukupaka utukufu milele
Unanibariki Sana pastor
MUNGU akubariki kwa hekima iyo
Asant mchungaji kimaro Mungu azidi kukupa mafunuo Zaid ili nizid kufunguliwa🙏
Ameeeeeen barikiwa sana kwa ufunuo huu muchunganji kwa kweli Roho yangu haitambichana na mwana ndamu tena🙏🙏🙏
Asante Bwana Yesu.
Kweli haina haja ya kushinda a na mwana damu milele Mungu niumbie moyo
Umeukonga moyo wangu ba aaa barikiwa sanaa
Amina nimebarikiwa mno Roho yang hatashindana na mwanadam daima Mungu akubariki Mchungaji Kimaro
Amen mimi naendelea mbele Hilo ni neno langu Asante Sana mtumishi Mngu akubariki
Barikiwa sana mchungaji kwa huu ufunuo wengi tulikuwa tunakosa na tunamchukiza Mungu lakini tumeomba kwa Mungu wetu na atusaidie Amen
Bwana yesu atukuzwe milele kweli mchungaji roho yangu aitapambana na mwanadamu milele aminaaaa
Amen 🙏 🙏 🙏
mungu akubariki sn mchungaj, hakika umekua baraka kwa wengne
Aamen🙏🙏
nakupenda mtumishi unanibariki sana MUNGU akubariki sana
AMEEEEN AMEEEEN
BRO KIMARO MUNGU ATUVUSHE THANKS NENO LA WAKATI
Iwen na busara kama nyoka ,lweni wapole,lweni wataratibu ahsante sana mama yangu ahsante mtumushi ahsante kwa jina langu hili Ahsante Mungu wangu
Amen asante Mtumishi nimeponywa kwa neno lako.
Nabarikiwa sana na mahubiri ya Rev Kimaro kila siku nayaona Mapya.
Roho yangu atashindana na mwanadamu Yesu ilo ndilo Ombi langu❤❤❤❤
Najiunganisha na madhabau hii Mimi na familia yangu
Ubarikiwe sana Mchungaji na Mungu akubariki
Akubariki mungu
Ubarikiwe mchungaji Eliona kimaro,nakupata kutoka songea,ubarikiwe baba kwa somo nzuri
Veronica Sadi amina mtumishi
Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele 😍
nabarikiwa mtumishi wa bwana
mchungaji kimaro nakuelewa sana
baba unaeleweka barikiwa mtumishi wa bwana
Amen kubwa baba 🙏🙏🙏
Aminaaaa
Mimi nitawaza juu ya vision yangu. Sitapambana tena wanadamu ambaye Mungu mwenyewe aliweka mpaka na makerubi KULINDA bustani ya EDEN. UPANGA WANMOTO UWAKAO KUWILI KUMDHIBITI BINADAMU. MIMI NI NANIII NIWEKEYE KIBURI CHA OVYO . NISAIDIE EEEH MUNGU NISONGE MBLE. BASI!!
Tumebarikiwa sana
Amen
Amina mch
AMENI
Kwa kifupi kanisa la KKKT ni kama halina nidhamu na viongozi wao hawaheshimiani na hata waumini wao pia ni kama wamelogwa. Nimeona Katoliki Padre akienda tofauti husimamishwa na hakuna kitakachotokea. Tatizo la kanisa hili ni kujali maslahi binafsi kuliko Mungu.
Amen,
AMEEEEEEEEEN
Yan km umeniona
Mngu akuinue kwa kiwango cha juu umenisaidia Sana kupitia u tube sbb nipo Qatar hatuendi makanisani lkn Nashukuru Mngu maana naenda kanisani kupitia mitandao
Be blessed Baba. Sitashindana na wanadamu Milele.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa sana na injili yako.naomba no yako
Balikiwa Sana mchungaji kimaro
Ubarkiwe sana
Amen
Ubarikiwe baba nataman siku Nije dar nifike kanisan hapo unitamkie neno la kutembea nalo kuingia 2024
Amina
Beautiful sermon! God bless this man of God.
Barikiwa baba mchungaji
kristo akubariki ninapenda kufuatilizia Vipindi vyako kwenye morning Glory na vingine
Bro KIMARO MUNGU ATUVUSHE THANKS NENO LA WAKATI
All blessing. God bless the Rev.
Amen
Amia MCHUNGAJi
amina kmwe sitoshindana na mwanadmu kmwe mungu nsaidie
Amen amen
Bwana yesu asifiwe.kwakweli roho yagu haitashindana na mwanadamu