Ushuhuda wa mama kifaru akisimulia Rev.Dr.Eliona Kimaro

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2021
  • Semina ya uchumi kibiblia ni semina ya siku nane, hii ilikuwa ni siku ya nne ya semina.
    neno kuu linatoka zaburi 105:19 na mwalimu wetu ni Rev.Dr.Eliona Kimaro
    _____________________________________________
    Tufuate katika mitandao ya kijamii
    Facebook : / kkkt-dmp-usharika-wa-m...
    Instagram : / kkkt_mbezibeach
    Twitter : / kkkt_mbezibeach

ความคิดเห็น • 278

  • @marymoshy6610
    @marymoshy6610 หลายเดือนก่อน +2

    Namshukuru sana Mungu kwa ushuhuda wa mama Kifaru.malaika wa Bwana wapite katika familia yangu nirejeshewe vilivyopotea kwa Jina la Yesu.

  • @BlandinaMganga
    @BlandinaMganga วันที่ผ่านมา

    Yesu mzuri ooh kweli Mungu yupo

  • @husseinnkenja8149
    @husseinnkenja8149 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huwa napenda sana mahubiri ya mchungaji huyu maana yanafundisha, yanafariji, yanamtia mtu nhuvu ya kusonga mbele na yanahamasisha zaidi na kuleta maana halisi ya maisha. Mungu akupe maisha marefu mchungaji.

  • @neemasamwel404
    @neemasamwel404 3 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316 ปีที่แล้ว +4

    Naamini ipo siku nitainuliwa sijui ni kwa njia gani ila Yesu anajua

  • @FridaLaizer-mu2kz
    @FridaLaizer-mu2kz 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Yesu ni mzuri ba mchungaji ushuhuda huu umenjbariki Sana.

  • @anicethrichard
    @anicethrichard 2 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU WANGU. USHUHUDA HUUU UMEBEBA FUNDISHO KUBWA❤

  • @agneskiloko2821
    @agneskiloko2821 5 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji uniombee Mtoto wangu ametenganishwa nami na watu

  • @user-xj8lc6jb1c
    @user-xj8lc6jb1c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie sana na anajua njia ya kukukomboa, lihimidiwe jina la Mungu wetu🙏

  • @IsayaJoseph-tk5rd
    @IsayaJoseph-tk5rd 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurah kusikia shuhuda hii kwa sabab nimejifunz kit. Amen

  • @abigaelmassawe.ameeeeen6398
    @abigaelmassawe.ameeeeen6398 26 วันที่ผ่านมา

    Wakati wa Mungu ni wakati sahihi maishani

  • @JosephinaNgambiye
    @JosephinaNgambiye 12 วันที่ผ่านมา

    YESU ni jibu la maswali magumu..utukufu una MUNGU tu.

  • @erikalutevele8362
    @erikalutevele8362 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nakushukuru kwa yote naomba nami unitoe kwenye vizingiti hivi

  • @ericmtalemwa3573
    @ericmtalemwa3573 2 ปีที่แล้ว +6

    Bwana anatupandisha viwango kupitia matukio. Amina

  • @joycesalvatory7768
    @joycesalvatory7768 ปีที่แล้ว +3

    Maisha haya hakuna kuchoka, tumshike Mungu sana na kumtumikia katika roho na kweli, Siri Iko hapo

  • @user-vc4yr9jy4u
    @user-vc4yr9jy4u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wuwuu ubarikiwae mtumishi wa mungu sifa na utukufu apewa bwana wetu yesu kristo 👏👏👏👏🙏🙏🙏

  • @mozesmungai9026
    @mozesmungai9026 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda mzuri sana,,kwakweli MUNGU hamtupi,mja wake,najua ewe MUNGU upo unatenda makuu,nakwangu najuwa unatenda much,Giza litaisha mchana unakiuja,AAAA MEEEEEN,in JESUS NAME

  • @gracemtweve627
    @gracemtweve627 2 ปีที่แล้ว +13

    Ipo siku yangu ya kutoka kizingitini kwa uweza wa Mungu

    • @mageurio9242
      @mageurio9242 ปีที่แล้ว

      Ameni Ameni

    • @fridahgakii6026
      @fridahgakii6026 ปีที่แล้ว

      Amina. Mungu ni mwaminifu. Siku yako aijua Mungu pekee. Barikiwa sana

    • @joycehaule4520
      @joycehaule4520 ปีที่แล้ว

      Amina amina

  • @deborakasambula7431
    @deborakasambula7431 8 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Mungu najua na mm utanitoa kizingitini

  • @GressJulius-ey7zr
    @GressJulius-ey7zr หลายเดือนก่อน

    Tujifunze kumtumikiya mungu kwa sadaka zetu

  • @saraphineosuka5541
    @saraphineosuka5541 ปีที่แล้ว +1

    Najiunga Isha na haya madhabau nakuamini kuwa IPO siku yangu mungu atanirejeshea yote nilionpoteza, Amina

  • @francispeter6848
    @francispeter6848 2 ปีที่แล้ว +4

    Ukweli Mwenye Enzi Mungu Ni wa pekee sema ni Binadamu tu wabishi mno

  • @veronicakipalile4512
    @veronicakipalile4512 ปีที่แล้ว +3

    Jamani haya yamenifanye nilie Sana 😭😭 Mungu tusaidie

  • @GhatiMakuri-kp5vw
    @GhatiMakuri-kp5vw หลายเดือนก่อน

    Kiukweli napenda mahubiri yako ila pia nmejifunza kitu kwenye huu unumbe❤❤😭😭😭

  • @andrewmseo8440
    @andrewmseo8440 หลายเดือนก่อน

    Ameen ameen

  • @lazarozebedayo4948
    @lazarozebedayo4948 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema san a kwa wanaomlilia mchana na usiku

  • @barnabasmmiku564
    @barnabasmmiku564 ปีที่แล้ว

    Njia za Bwana hazipimiki
    Makusudi ya Bwana Mungu yadumu kizazi baada ya kizazi.

  • @user-sj9do2kf6o
    @user-sj9do2kf6o 3 หลายเดือนก่อน +2

    Amen mtumish

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 ปีที่แล้ว +18

    Ninamshukuru Mungu sana kusikiliza video hii 19.10.21 juu ya kizingiti. Mchj ELIONA Kimaro umetoa mifano ambayo nami nimepita, lkn mwisho wa siku ktk kumtegemea Mungu muweza nalijikuta nimechomoka ba naendelea kumtukuza tu Mungu sana. Ninabarikiwa baba na mafundisho yako popote unaposimama kuhubiri na sijajua mb zangu hata mara moja. Mungu a nisaidie, NA UBARIKIWE MCHJ. ELIONA KIMARO WA KKKT KIJITONYAMA. AMEEN

    • @schoollife5813
      @schoollife5813 3 หลายเดือนก่อน +1

      Munguakutunze kwahekima nabusara kama mfal e sulemani na ujawe rais wa tanzania ,mungu wangu nakuombamwezesheee ,ee yesu ,tupone kirho na kimwili

    • @CeciliaMargwe
      @CeciliaMargwe หลายเดือนก่อน

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @everlinekemunto267
    @everlinekemunto267 ปีที่แล้ว +8

    I will never be tired of ristening this story, it gives me strength in every time I watch.

  • @jennykeya3756
    @jennykeya3756 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumish wa mungu

  • @flourencechikoya1496
    @flourencechikoya1496 ปีที่แล้ว +1

    Nami Mungu amenitoa Kizingatini!!!

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 2 ปีที่แล้ว +2

    Daaah kweli duniani tunapitia mengi magumu lakini yupo Mungu juu mbinguni atushindiae yote nakutunyanyua kwawakati wake

  • @doreenlukio3520
    @doreenlukio3520 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba ushuuda huu umenipania nguvu maana nilikata tamaa sana lakini niliwashau simu yangu kusikiliza nyimbo za dini ndio nikakutana huo ushuuda nikasikiliza nikajikuta kama kunakitu nimekitua kupitia huo ushuuda maana sina kazi na kila nikitafuta kazi na kosa naomba mungu kupitia ushuuda huu akanitendee na Mimi miujiza

  • @jacksonkiwelu9730
    @jacksonkiwelu9730 4 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa San mtumishi

  • @everlynemissanga3235
    @everlynemissanga3235 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni yule jana leo na hata milele habadilik Ameeeeen

  • @jedidahkisaghi677
    @jedidahkisaghi677 ปีที่แล้ว +2

    Amen, mungu atutoe kwa maisha ya kizingitini

  • @sarahsoso7202
    @sarahsoso7202 2 ปีที่แล้ว +17

    Hallelujah praise the living God 🙏🏽

    • @augustinasamdala2270
      @augustinasamdala2270 ปีที่แล้ว

      TheThanks for the update and for thth in Aruba for thth to go back for a couple days so it is just that it would cost was Kilimanjaro for the bid th for a while now so if you're interested th to the cost for thth the meeting is still the bid results and ya Mama Bear the meeting is still no response was Kilimanjaro the meeting tomorrow no up for thth to the bid results and for a few minutes before to make a decision and will get the meeting with a decision to make a couple days and ya Angela has to make the bid matmat of results from th to go th for thth in Aruba th

    • @yusuphusaid2595
      @yusuphusaid2595 ปีที่แล้ว

      @@augustinasamdala2270musaidie

    • @cresensiankwera1776
      @cresensiankwera1776 ปีที่แล้ว

      Mungu nimwema kwetu na mimileo natoka kiuchumi kwajina la yesu

  • @furahamangi4715
    @furahamangi4715 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ujumbe umeninguza san hakii malaika wa bwana shuka kwangu😢😢

  • @erickjohaness3060
    @erickjohaness3060 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema

  • @gasperurassa6440
    @gasperurassa6440 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @linasuline3657
    @linasuline3657 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu bado anabaki kuwa mungu tu hata Kama hajajibu

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba uniondolee vizingiti na milima yote iliyopo mbele yangu.

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu 3 หลายเดือนก่อน

    Huuu ushuhuda unatia nguvu🙏🙏🙏

  • @joycekaje8755
    @joycekaje8755 2 ปีที่แล้ว +4

    Hallelujah Pastor Kimaro Mungu akubariki

  • @user-us8xw9cg4o
    @user-us8xw9cg4o 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nione na mimi😢

  • @furahamangi4715
    @furahamangi4715 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu nionekanie 😢mm mwanao kwa maisha yangu na mahusiano yangu

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah!! Mungu ni mwema sana,,,Asante Yesu sifa kwa Yesu .Mungu ni mwaminifu sana.🙏🙏🙏

  • @andrewmseo8440
    @andrewmseo8440 หลายเดือนก่อน

    Ameeen ameen

  • @kilichomoonlinetv2928
    @kilichomoonlinetv2928 2 ปีที่แล้ว +2

    Halley's mungu yuko nasi milel

  • @ruthjames2735
    @ruthjames2735 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue. Mtumish kwer dunia haina huruma imeniuma xana ila inaumaxana

  • @rezegerezege691
    @rezegerezege691 2 ปีที่แล้ว +8

    😭😭😭😭😭 hipo siku nami nitafanikiwa tu.

  • @mjerusikipago299
    @mjerusikipago299 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameen!! SAA na wakati wa BWANA UTAFIKA KWANGU

  • @oscarurio2507
    @oscarurio2507 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu ni mwema katika maisha yetu

    • @jenifamoshi1219
      @jenifamoshi1219 ปีที่แล้ว

      Mungu ni mwaminifu kwa kila hamwaminiyee. Amina

  • @davidondieki1148
    @davidondieki1148 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen❤🎉

  • @pendojohn7499
    @pendojohn7499 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi wa Mungu natumain kupitia mafundisho Yako Naamini vizingiti vyangu vimeisha Kwa Jina la Yesu na nitatoa ushuhuda

  • @queenpeter9809
    @queenpeter9809 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu, Asante Mungu wanguu sanaa

  • @getrudemollel705
    @getrudemollel705 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @joycehaule4520
    @joycehaule4520 ปีที่แล้ว

    Amina naamini nitatoka kizingitini

  • @josephinesakaya2616
    @josephinesakaya2616 2 ปีที่แล้ว

    Hivyo viatu ni vikubwa siviwezii yaniii Mungu ni mwema mnooo Yehova Yuu haiii

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 ปีที่แล้ว

    Hallelujah Mungu ni wamajira na nyakati jaman nimepata kitu apa

  • @hawaamran8198
    @hawaamran8198 ปีที่แล้ว +1

    Amen, nimebarikiwa sana na mahubiri haya

  • @bahatirichard8423
    @bahatirichard8423 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Mchungaji na akupiganie Kila hatua ya maisha yako nimependa sana ushuhuda huu

  • @SonkoJackosoni
    @SonkoJackosoni 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika nimebarikiwa Amen Amen hili ni langu

  • @faustinkhayasi184
    @faustinkhayasi184 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen,waja Mungu abaki Kuwa mungu

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema saana 🙏🙏

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwacheni Mungu aitwe Mungu🔥🔥👏👏👏🙏🙏🙏

    • @joycemwamwala5599
      @joycemwamwala5599 2 ปีที่แล้ว

      Shangilieni watu wa MUNGU mbona kimyaaaaaaaaa

  • @franktarimo4868
    @franktarimo4868 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni mungu atujalie tuwena roho nzuri

  • @GodyMeela
    @GodyMeela 8 หลายเดือนก่อน

    Ameni nimebarikiwa Kwa ujumbe mzuri

  • @janetmochache3598
    @janetmochache3598 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen

  • @user-ui1qs9yl1n
    @user-ui1qs9yl1n หลายเดือนก่อน

    ANOTHER GOOD STORY LIKE WE USE TO SAY PARTY AFTER PARTY

  • @sarahburetta8547
    @sarahburetta8547 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah wakati wa Mungu ndio wakati sahihi

  • @joshuasakota
    @joshuasakota 2 ปีที่แล้ว +2

    goog you haven na amani!!!!

  • @queenpeter9809
    @queenpeter9809 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu tusaidie sana, rehema zako zitufunikee tuu

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 2 ปีที่แล้ว +1

    Amin
    Mungu hajawahi kushindwa

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 ปีที่แล้ว

    Aminaaa napokea malaika kwa jina la Yesu

  • @mwanzajosephine468
    @mwanzajosephine468 ปีที่แล้ว +1

    Kiatu menibana nimeishia kutoa machozi ni ngumu kuamini kama kuna Mungu wakati huo ukika utulie unajua ahaaaaaa kumbe Mungu alikuwa nami.

  • @thetwobros2599
    @thetwobros2599 2 ปีที่แล้ว

    Amina Mina kabisa 🍇🍇🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🙏🙏

  • @helenkimo1078
    @helenkimo1078 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen Ameeen Ameeen thankyou jesus Amen i receive it in the name of the lord Jesus

  • @IsayaJoseph-tk5rd
    @IsayaJoseph-tk5rd 2 หลายเดือนก่อน

    Asant mungu kwa yote naomba NAMI uniondolee vizingiti

  • @magrethuronu7190
    @magrethuronu7190 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atabak kuwa Mungu kwa kweli

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp ปีที่แล้ว

    Aminaa ubarikiwe pts kwa shuhuda

  • @FELISTAMASAWE
    @FELISTAMASAWE 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki Mchungaji

  • @vailethkisija5619
    @vailethkisija5619 8 วันที่ผ่านมา +1

    Ushuhuda uninitia Nguvu Ila kwa Mtumishi kushindwa kuomba no.sina mbavu

  • @mordekaikiwango3600
    @mordekaikiwango3600 ปีที่แล้ว

    Ameeeen kweli Mungu Yupo kbs Mungu niponyeeee

  • @jacksonmollel7940
    @jacksonmollel7940 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mchungaji hakika Kwa mambo ya ushuuda unazo toa zinanisaidia mm kwani uhalisia Nayapitia but naamini Yesu ni Bwana.

  • @aidaraphael1956
    @aidaraphael1956 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu tusaidie

  • @deborahmangula-lg4zf
    @deborahmangula-lg4zf หลายเดือนก่อน

    mungu nami nitoe kizingitini

  • @user-um9id9zx9u
    @user-um9id9zx9u 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mtumishi

  • @ezrannko
    @ezrannko ปีที่แล้ว

    Bwana akubariki sana mchungaji

  • @marcellyimo283
    @marcellyimo283 2 ปีที่แล้ว +1

    haleluyaàaaaa jamani Mungu ni mwaminifuu

  • @elisiakaale6674
    @elisiakaale6674 2 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo na Anaishi Jana Leo na hata milele.Amen

  • @venirandacharles7800
    @venirandacharles7800 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeen🙏🙏🙏 utukufu kwa Yesu 🙌🙌🙌🙌

  • @meshackhengamales6955
    @meshackhengamales6955 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameen

  • @cheapprice4u864
    @cheapprice4u864 ปีที่แล้ว

    Amina kubwa kwa jina la yesu

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu wangu nakuomba unitokezee kwenye ndoa yangu

  • @phibymakuyu5056
    @phibymakuyu5056 ปีที่แล้ว

    Pr natamani Mungu anikutanishe na ww naona barikiwa

  • @pendohaonga9954
    @pendohaonga9954 11 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @nenenongi66
    @nenenongi66 ปีที่แล้ว

    Amen,Amen,Amen,I receive in the mighty name of Jesus

  • @kissajohn8676
    @kissajohn8676 ปีที่แล้ว

    Hallelujah Mungu wetu mkuu sana