PAPO KWA PAPO HIYO MAZINGE NA MCH NDACHA . KINYOGOLI NA MCH WA KIYAHUDI. HOVYOHOVYO TU KWA WAKRISTO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1K

  • @selemanihamisi-yu5uw
    @selemanihamisi-yu5uw 3 หลายเดือนก่อน +3

    Masha-allah mungu awajaalie umri mrefu wenye manufaa mashekhe wetu

  • @jamilajafali724
    @jamilajafali724 2 ปีที่แล้ว +28

    Mashallha!,Allha awafanyie wepesi katika Mambo yenu Amin!!🤲🤲

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p ปีที่แล้ว +18

    Allah bless you all teacher of Islam to spread the right path to Allah and all Muslim to spread Islam

  • @jaredonyancha40200
    @jaredonyancha40200 2 ปีที่แล้ว +8

    Hapo ni roho mtakatifu lazima utibiwe wakristo utumia roho mtakatifu ndio kiongozi wao thanks pastor Ndacha

    • @jumakazungu1640
      @jumakazungu1640 10 หลายเดือนก่อน

      Mashaallah Ustadh Mazinge

    • @jumakazungu1640
      @jumakazungu1640 10 หลายเดือนก่อน

      Jazakallah Khair

  • @ZaitunOmar-w3t
    @ZaitunOmar-w3t 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mashallah mashekhe wetu Allah Yu pamoja nanyi

  • @najmayukosawagosi9354
    @najmayukosawagosi9354 3 ปีที่แล้ว +15

    Mashallah mashek wetu mungu awabarik na awape umri mrefu AMiin

  • @laodikiajafarikisinda
    @laodikiajafarikisinda 8 หลายเดือนก่อน +10

    Barikiwa sana ndacha yesu kristo azidi kukutumia roho mtakatifu maana yesu kristo ni ngome imara isiyoweza kuvamiwa na jeshi lolote, mungu ni mkubwa ndacha kusimama na hao waislaam ukiwa wewe peke yako

  • @marryemily8321
    @marryemily8321 2 ปีที่แล้ว +7

    Nzuri sana hi video, mungu awasaidie kufundishini watu si kwa ubaya, wala msigombane. elimishane jamii wamjue mungu

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 ปีที่แล้ว +18

    Maa Shaa Allah, Allah Awabariki Ma Sheikh Awape Umri Muzidi Kuelimisha.

    • @alidingongo443
      @alidingongo443 2 ปีที่แล้ว +1

      Allahummah Aaamin 🤲
      Swahiba kumbe huku pia hua wapatikana
      Unakula vitu tu huku 😂😂😂😂😂😂😂

    • @mwanahalimamwachili9679
      @mwanahalimamwachili9679 2 ปีที่แล้ว +2

      @@alidingongo443 🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani Wewe.

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 3 ปีที่แล้ว +45

    mashaallah sheikh wetu muko vizuri mungu awape umri mrefu

    • @davidkifalu6812
      @davidkifalu6812 3 ปีที่แล้ว +2

      mungu haiandikwi kwahelufi ngogo Mungu umeonae

    • @omarimkilaru5239
      @omarimkilaru5239 3 ปีที่แล้ว +1

      @@davidkifalu6812 zzzzzZZzZZzZzzZZzZXX

    • @rashidimohamedmkwizu1245
      @rashidimohamedmkwizu1245 3 ปีที่แล้ว

      Mashallaa

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว +1

      @@rashidimohamedmkwizu1245 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 2 ปีที่แล้ว

      @@davidkifalu6812 ngogo maana yake ni nini?

  • @tivahalima
    @tivahalima 2 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah,,mwenyezi Mungu awazidishie

  • @rashidypandu3360
    @rashidypandu3360 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezimungu wasamehe ao wakristo hawajui wanalo litenda amin

  • @sdapathfindersdaily3224
    @sdapathfindersdaily3224 2 ปีที่แล้ว +11

    Neno La Mungu haliitaji uwe proffesor ...
    Ubarikiwe Ndacha🔥

  • @geoffreynyabigo7565
    @geoffreynyabigo7565 ปีที่แล้ว +12

    Yesu ni mwamba milele daima

    • @WeddyBwayTz
      @WeddyBwayTz 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani kunamuisiramu arie kataa kama isa sio mtume

  • @johntay8813
    @johntay8813 3 ปีที่แล้ว +10

    Allah akuifadhini nyote mko sahihi mashekhe zetu nawapendeni ajili ya Allah

  • @IssaSalum-k4f
    @IssaSalum-k4f 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah kinyogoli na mazinge Allah awahifadhi ameen inshallah

  • @kakakakabeka624
    @kakakakabeka624 2 ปีที่แล้ว +5

    Pastor uko vizuri

  • @basharry40
    @basharry40 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah shekh juma kinyogoli Alla atkufnyia wepesi katk Mambo yk yotee ❤

  • @NashatIssa
    @NashatIssa ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah Islam is the best

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 ปีที่แล้ว

    Asante shekh kinyogoli mungu awape umli mulefu Ili makafili waijuwe dini ya haki

  • @SalimMukaraj
    @SalimMukaraj ปีที่แล้ว +4

    Mungu akupe nguvu na afya shekh mazinge.

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 ปีที่แล้ว +11

    Thank you Sheikh Mazinge, other sheikhs, and the Christian clergy and ministers. These kinds of debates, or rather, discussions remove misconceptions. We are One Humanity under One God ( for aren't we all monotheists?) This is nopt about who is right or wrong. This is more about mature debates. We shall not hurl earth and stones on each other, for the one who hurls earth on the other, he himself sinks further down. Always maintain civility. God is the ONE going to judge us all. Let us be SINCERE, ask God to grant you the absolute TRUTH, not the truth that one is biased from the start to believe in. No bias, no favorism, no kabila, or dressings style, or color, or language one speaks. Once you remove those biases, see if you will not, for sure, a 100% surety with of course God Willing, be guided to the truth. I am a Muslim from Canada, and I love my Christian brothers and sisters. Peace be upon you all and peace be upon Jesus Christ and upon Muhammad, those sent by God the Creator. Ray, from Canada

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 9 หลายเดือนก่อน

      We can't compare Jesus Christ Son of God with Muhamed 1Jhn2:2 Q63:2

  • @azizashaaban870
    @azizashaaban870 2 ปีที่แล้ว +24

    Assalam aleykum.big up muslim brother's keep it up.mashallah.

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy ปีที่แล้ว +1

      Walaikm Salam warahmatullah wabarakat

    • @SydneyOnsembe
      @SydneyOnsembe 8 หลายเดือนก่อน

      Hypocrisy at its best. Kuanzia masomo ya kulinganisha hivi vitabu, kikashifu na kulaani na hatari zaidi ni juu ya pesa. Pesa,pesa pesa. Nawaonya Kwa Hilo. Maswali mengine yanadhuhirisha kwamba hawa watu nyinyi mnatumia akili zenu kuchanganua mambo mambo yaliyofichika ya mungu na yanayojitokeza Tu kiroho. Mfano; mbona yesu sijui hakurudisha punda? Ni wapi yesu akasema biblia ni kitabu cha mungu. Kwanza yesu na mungu ni mungu mmoja. Hakuna yesu tofauti na mungu akiwa kivyake maana this super natural beings , part of the spirit of the super natural being ndiyo ilikua Kwa yesu. Hilo hamlitambui ni kurushiano maneno ya akili ndogo Sana za binadamu. Na kudhibitisha hili, mungu Hadi, ndiyo maana yesu Halifax kifo cha binadamu, Mohamed alikufa akaoza vile binadamu huoza, yesu not that he wasn't able to defend himself from people crucifying him no. He came down for the purpose of teaching human beings the right way, not how powerful he was, if the old testament prophets were able to perform extra ordinary miracles by powers of God, don't you think he was able of doing anything to that mutitude ndipo wengine husema yesu atakuja sijui akufe hivo mohammed ndiye njia. Jamani mbona mnadanganywa jinsi Eve alidanganywa na the wickedly wise devil 👿. Tafakari mambo mengine si kuziba masikio na nta

  • @ZainabuSudi
    @ZainabuSudi 6 หลายเดือนก่อน +3

    mashaalllh mashekh zetu niraha sana kuzaliwa katik uislam

  • @giftngwalo6360
    @giftngwalo6360 3 ปีที่แล้ว +8

    Nakukubar sana ndacha buruza hao mashekh mpaka waseme Bwana YESU asifuwe

  • @katendemmayara372
    @katendemmayara372 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo waislamu mazinge atawapotosheni mno na kama hamuamini mtaamini siku mkikutana na moto wa jehanam maana mmejaa ushabiki tuu Hongera sana pastor kwa kuwaelimisha.

  • @alllyrics4835
    @alllyrics4835 3 ปีที่แล้ว +11

    Jazzak Allahu khairan tunakupenda saana ma Shekh wetu Allah awazidishiye umwri wazidi kuwapa vidonge

    • @RehemaMbwingo
      @RehemaMbwingo 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu awalipe hery mashehe zetu dunian na ahera,by rehema mohamed

  • @nsubiraphael8514
    @nsubiraphael8514 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana ndacha,wafundishe hao Bado wako kizani lkn hawaamini,wafundishe usichoke bwana Yesu kristo asifiwe

  • @LameckOtuomameshack
    @LameckOtuomameshack 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mwl NDACHA UKO safi Sana MUNGU Yuko upande wako

  • @EVA.ERICNAMUFWAKAGE
    @EVA.ERICNAMUFWAKAGE 14 วันที่ผ่านมา

    Tunakuombea maisha marefu na yenye upako wa maneno ya Mungu ndani yako uzidi kufundisha ao walio potea

  • @jaredonyancha40200
    @jaredonyancha40200 2 ปีที่แล้ว +4

    Kifo cha yesu Mazinge ilikuwa n mpango wa mungu na msije mkapoteze watu kama ukipoteza watu jua mto wa jeanum uko

  • @DadiLitamba-w2r
    @DadiLitamba-w2r 9 หลายเดือนก่อน

    Pastor Ndacha grande abraço e grande força Deus te abençoe. Mozambique.

  • @ambeleikenda5054
    @ambeleikenda5054 ปีที่แล้ว +10

    Uko vizuri sana mtumishi Ndacha, may God bless you!

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha mungu akupe maisha mengi

  • @didamsellem2679
    @didamsellem2679 3 ปีที่แล้ว +16

    Kinyogoli Allah akupe umri mrefu wenye kheri

  • @ThierryKambale-d8n
    @ThierryKambale-d8n 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wa Cristo heri ni kwenu...wa Islam okokeni muwe wa Cristo Jameni ,sababu waalimu wenu wiko nawa danganya n'a mwisho ni moto....jina la yesu li barikiwe.
    From Rdcongo. Mambasa

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 ปีที่แล้ว +8

    Thank you so much our Sheikh Mazinge!. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deceptive} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! May our Christian brothers search for their Creator and accept the One who created them. It is the same God of Christians and Muslims and all humans and everything created. Let us not fight for the sake of holding on to our bias. The Truth stands alone, differences are many. Regards from Ray in Canada

    • @mbogotelespholi797
      @mbogotelespholi797 ปีที่แล้ว +2

      There is paragraph is ready there about our seviour of this Jesus but not mhamad, as what u know,,
      Also, Jesus is the, God's son but mhamadi is a servant (mtume), how this relate??

  • @khadijaali1656
    @khadijaali1656 11 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur masheikh wetu Allah awape nguvu kupinga huo uzushi wa hao makafir

  • @husseinguyo4379
    @husseinguyo4379 3 ปีที่แล้ว +13

    Sheikh wetu Allah akulipe kwa kulingania dini ya Allah

  • @KurthumAwazi
    @KurthumAwazi ปีที่แล้ว

    shukrani shekh mungu akubaliki lakini pia atubaliki waislamu wote kwaujumla tusije kuiacha
    dn ya allah nakufuata makafir ishallah mwenyezimungu
    atufanyie wepesi

  • @jacksonmusyoka8837
    @jacksonmusyoka8837 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha kazi nzuri

  • @Musicians667
    @Musicians667 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu wangu ndacha Mungu akubariki sana tena sana yaaani nitakutafutaka Ili unifundishe kbs

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 3 ปีที่แล้ว +7

    Ndacha hana lolote ni mda tu anapoteza. Hongera sana kwa ma sheikh wetu ,sheikh mazinge na sheikh kinyongoli ALLAH azidi kuwahifadhi wahadhiri wetu

    • @fredymahinda4024
      @fredymahinda4024 2 ปีที่แล้ว

      Hawana hata nauli Iman dhaifu ombeni Kila kitu mtapewa

  • @minahadi2190
    @minahadi2190 3 ปีที่แล้ว +12

    MashaAllah tabarakAllah Allah awaifadh waadhir wetu 🤲

  • @magrethlubimbi4055
    @magrethlubimbi4055 ปีที่แล้ว +4

    YESU NI MWAMBA ❤

  • @johnmwangi448
    @johnmwangi448 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa saaana ndacha na Mungu aendelee kukufunulia

  • @kiswahili_mangat
    @kiswahili_mangat 3 ปีที่แล้ว +9

    Waislamu mko taabani! Huyu mwinjilist hataki mchezo. Hongera sana Kijana wa Mfalme wa Wafalme. Simply supper guided and informed!!!🤣🤣🤩🤩

    • @hajrasaid1533
      @hajrasaid1533 ปีที่แล้ว

      😄😄😄 yani ww mmh

    • @yomenikabombwe4939
      @yomenikabombwe4939 ปีที่แล้ว

      Waisilamu wanajua YESU katika mwili lakini awamjui awamjui katika roho njo matatizo ya imani

    • @yomenikabombwe4939
      @yomenikabombwe4939 ปีที่แล้ว

      Katika mwili YESU ni wana wa daudi katika roho Kesho bwana mbele ya daudi

  • @apostlekingreigns3893
    @apostlekingreigns3893 3 ปีที่แล้ว +2

    ndacha profecer nakupenda waislamu kubalini

  • @tegemeareuben7618
    @tegemeareuben7618 3 ปีที่แล้ว +16

    Haki i love the Pastor who seconded answering

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 ปีที่แล้ว +4

    yaaan sheikh wangu uko vzr mashaaAllah

  • @California9451
    @California9451 ปีที่แล้ว +7

    Mungu Ambariki sana mtumishi wa Mungu Ndacha

    • @anchillafabian
      @anchillafabian 11 หลายเดือนก่อน

      Bible haiwahusu wa Imani nyingine wanatafuta nini? Malumbano hayo hayana tija watafute shughuli nyingine

  • @SophiaMsigwa-lc3km
    @SophiaMsigwa-lc3km 11 หลายเดือนก่อน +13

    Yesu kristo ndie njia ya kweri na uzima❤ 🎉

  • @gracestefan-w8v
    @gracestefan-w8v ปีที่แล้ว +4

    God of wonders🙏🙏🙏pasta ndacha blessed

  • @Murua-sm6hh
    @Murua-sm6hh ปีที่แล้ว

    Pastr uko sawa kabsaa waislam wawachane nao

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 2 ปีที่แล้ว +9

    Maashallah nakupenda mazinge kwa ajil ya Allah

    • @mohamed6500
      @mohamed6500 2 ปีที่แล้ว

      Manshaallah sheikh mazinge nakupenda Sana kwa ajili ya mungu

    • @jumakazungu1640
      @jumakazungu1640 10 หลายเดือนก่อน

      Mashaallah Sheikh Mazinge Mungu akujaalie Rahma

  • @ShangweDicksontqbs
    @ShangweDicksontqbs 8 หลายเดือนก่อน

    Stay blessed forever and ever pastor Ndacha

  • @amisibilly5084
    @amisibilly5084 3 ปีที่แล้ว +19

    Sheikh mazinge upo sahai sana.ila napenda Tanzania saana muko na hamani ya dini mwenyezi mungu awazidishie amani.

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni ปีที่แล้ว

    Mashallah mashekh zetu kwa kazi nzuri,Allah atakulipeni Jannat Firdaus

  • @salmaabubakar6442
    @salmaabubakar6442 2 ปีที่แล้ว +5

    Uwislam ni raha🥰 Alhamndullillah kwakuzaliwa katika Dini ya kislam😊❤️😘

  • @Chai1-g9k
    @Chai1-g9k 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallh ustd

  • @graceshayo1347
    @graceshayo1347 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akulinde mtumishi wa Mungu kwenye hiyo Kaz ni ngumu maan hao waislam cyo watu kbx niwafug majini wakishindwa wanaend kuloga hao tunawajua san

    • @chekbob1464
      @chekbob1464 2 ปีที่แล้ว

      Sisi atulogi ila tunamtumia na tunamuomba allaah

  • @EmmanuelPaluku-k4d
    @EmmanuelPaluku-k4d 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu kushuhudia Yesu kuwa Mwanaye:soma Matayo 3,17

  • @زهرغنيه
    @زهرغنيه 3 ปีที่แล้ว +7

    Kama kuna watu nawapenda nimahadhil mashaallah Allah awajaliy

  • @BenjaminIreri
    @BenjaminIreri 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu ndacha mungu akupe ufunuo zaidi

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 3 ปีที่แล้ว +11

    Ndacha uko vizuri saaana!

    • @omarchuo2178
      @omarchuo2178 2 ปีที่แล้ว

      Majibu unayasikiliza lakini

    • @adammbise6234
      @adammbise6234 ปีที่แล้ว +1

      Uko vzr Sana mwalimu ndacha

  • @NdayiragijeTharcisse
    @NdayiragijeTharcisse 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha Mungu awabariki sana kabisa

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwa Mara ya pili nashuhudia Mazinge AKIBURUZWA NA HUYU MUHUBIRI NDASHA
    *YESU JUUUUUUUU*

  • @faizajingu5933
    @faizajingu5933 2 ปีที่แล้ว

    Ally Islam din MashaAllah
    Shehe mazinge Allah akubashirie pepo inshallah wataelewa tu takbiriiii Allah akibaruu

  • @mams1892
    @mams1892 3 ปีที่แล้ว +7

    Jazzakallahu khairan

  • @EddytabenMwambegu
    @EddytabenMwambegu 11 หลายเดือนก่อน

    Big up.mtumishi.uko sahihi Na Wala hutumii kiburi kama Hao wanao fanya kuongea Kwa ukali

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 ปีที่แล้ว +11

    😃😄na penda group ya mazinge mashaallah mngu awazidishiye

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy ปีที่แล้ว

      Umeon kis wa kristo wa liangalia ustadh manzing aki changish elif kum😂😂😂😂

  • @agapepalangyo4316
    @agapepalangyo4316 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyekiti umefanya vizuri kuzuia lugha ya maudhi

  • @bernardchesoli4322
    @bernardchesoli4322 3 ปีที่แล้ว +3

    Bibilia Ina pumzi ya uhai wa Mungu. Twende binguni turudi duniani yesu ni mwana wa Mungu.

    • @salimuwaya7600
      @salimuwaya7600 2 ปีที่แล้ว +1

      Nani kakudanganya yesu ni mwana wa mungu...Mungu hajazaa wala hajazaliwa

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว

      @@salimuwaya7600 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

  • @antonykamauwamwea8982
    @antonykamauwamwea8982 2 ปีที่แล้ว +1

    Machungu mengi wanaposkia kwamba ndacha amewaweza kwa ufunuo wa ukweli... Ndacha mungu akubariki...

  • @samxx411
    @samxx411 3 ปีที่แล้ว +9

    Wallahi haya mambwembwe ya Mazinge nayapenda sana, hivi ndo inavyotakiwa Muislam katika Mashindano, vita au Midahalo ya dini baina ya uislam na dini yoyote lazima uoneshe mbwembwe/ujidai kuisimamia dini usiwe laini laini au mwepesi

    • @geraldtarimo2550
      @geraldtarimo2550 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mchungaji anatisha

    • @igurusitv6553
      @igurusitv6553 3 ปีที่แล้ว +1

      Ila aseme ukweli wa maandiko akisema uongo, haina maana ya midahalo

    • @stevensosipita2851
      @stevensosipita2851 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyo mazinge wenu anawapotosha ni mnafiki hatari mtaingia motoni woote.

    • @ImaniTinda-h6x
      @ImaniTinda-h6x 4 หลายเดือนก่อน

      Mkund kweli ww

  • @debiwatechnicalworks5291
    @debiwatechnicalworks5291 ปีที่แล้ว

    Yesu ana nguvu kuliko nguvu zangiza mahana alitumwa na mungu 🙏 kuokowa duniya yote,
    muhamedi alitumwa nanani

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 3 ปีที่แล้ว +7

    Halleluya,,ndacha u aeleweka sema wana giza jingi ndio wanatakasika taratibu

  • @FetyMbalale
    @FetyMbalale 11 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kuwa muislamu,,, kumfuata mtoto wa mungu mmmh!

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi ปีที่แล้ว +7

    HALLELUJAH!
    JESUS IS THE KING OF KINGS!!!

  • @PeterEkutan-h7t
    @PeterEkutan-h7t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ndio njia ya kweenda mbinguni

  • @rakansalam4046
    @rakansalam4046 3 ปีที่แล้ว +19

    Mwalimu ndacha wape elimu ya mungu tanzania kweli kimeeleweka waislamu mfuate yesu

    • @nassorhaji2637
      @nassorhaji2637 3 ปีที่แล้ว +2

      Ww hujielewi na huelewi kua unakoelekea siko kabisaa

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nassorhaji2637 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

    • @allylassuh4947
      @allylassuh4947 ปีที่แล้ว

      ​@@noahwamalwa4385taja watu alioua heheheheheh ama kwly machizi wako wengi hata bible hamsomi😂😂😂

  • @JeanpatrickbuhashePatrickbuhas
    @JeanpatrickbuhashePatrickbuhas 7 หลายเดือนก่อน

    Mutumishi wa mungu mungu aku zidishiye kila iitwayo Leo

  • @amurisabiti7037
    @amurisabiti7037 3 ปีที่แล้ว +7

    Mazinge na group yako hongera sana

  • @kingbrazioanticlockwise3667
    @kingbrazioanticlockwise3667 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mwalimu

  • @mchopaluka4319
    @mchopaluka4319 3 ปีที่แล้ว +4

    Mazinge akishindwa mada anajigeuza kichekesho

  • @aminaaman9439
    @aminaaman9439 2 ปีที่แล้ว +2

    Taqbiriiiiiii shekhe mazinge Allah akulipe sana inshallaah

  • @josephmanase3176
    @josephmanase3176 ปีที่แล้ว +7

    Ndacha yupo vizur sana, mungu akubaliki sana

    • @bigmanfish6346
      @bigmanfish6346 ปีที่แล้ว

      Ndacha atumia ujanja hafati maandiko. Anajua kabisa dini ni uislamu lakini pesa nazo…. Njaa

    • @innocentshayo9341
      @innocentshayo9341 ปีที่แล้ว

      ​@@bigmanfish6346sio kweli...

    • @AsnathSingano-m6b
      @AsnathSingano-m6b ปีที่แล้ว

      Pasta ndacha barikiwa sana mungu aendelee kukupa maarifa maana unanibariki sana

    • @AsnathSingano-m6b
      @AsnathSingano-m6b ปีที่แล้ว

      Pasta ndacha barikiwa sana mungu aendelee kukupa maarifa maana unanibariki sana

    • @AsnathSingano-m6b
      @AsnathSingano-m6b ปีที่แล้ว

      Pasta ndacha barikiwa sana mungu aendelee kukupa maarifa maana unanibariki sana

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 ปีที่แล้ว +10

    Mazige chali miguu juu chezea mchungaji wewe ubarikiwe sana mtumishi wa yesu kristo

  • @ednamsovela9366
    @ednamsovela9366 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU awafungue ufahamu mumjue YESU

  • @sarahkudoyi4371
    @sarahkudoyi4371 2 ปีที่แล้ว +13

    Yaani venye ndacha anawagonga na nyundo za vichwani hadi wanachanganyikiwa,,,waislamu okokeni na muache kufuga majini na uchawi kibao,,,plz pst ndacha continue eppening their eyes by preaching the gospel

    • @Innocent_alamudy
      @Innocent_alamudy 2 ปีที่แล้ว

      Nenda kasome

    • @farsihajiselemani5061
      @farsihajiselemani5061 2 ปีที่แล้ว

      Love

    • @myleskenya
      @myleskenya 2 ปีที่แล้ว

      Muslim accepting the truth is very difficult

    • @AAA-zu1vy
      @AAA-zu1vy ปีที่แล้ว

      Kafiri ni kafiri tuuuu unataka tue wa kafiri hata huna adabu

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 ปีที่แล้ว

    Ndacha uko vzr,unavijuwa vitabu vzr...ubarikiwe sanaaa

  • @alitalib1310
    @alitalib1310 3 ปีที่แล้ว +17

    Hahaha ALHAMDULILLAH nimezaliwa muisilamu

    • @kawtharalbarwani1337
      @kawtharalbarwani1337 3 ปีที่แล้ว +3

      ALHAMDULILLAH

    • @shabanikuziwa4713
      @shabanikuziwa4713 3 ปีที่แล้ว +2

      Namshukuru mungu kuzaliwa muisirau

    • @massiasinkala3478
      @massiasinkala3478 2 ปีที่แล้ว

      Ww unafurahia kuzaliwa uislam,mbingu utaiskia tu,siku atakapokuja YESU katika utukufu wake,na wa MUNGU wa mbinguni mtalia na kusaga meno,nakuhakikishia usipokiri YESU,na kumwamini mbinguni hutaingia kamwe

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว

      @@kawtharalbarwani1337 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

    • @noahwamalwa4385
      @noahwamalwa4385 2 ปีที่แล้ว

      @@massiasinkala3478 mohammed alikuwa muuaji hatari sana!

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi ปีที่แล้ว

    Mazinge Allha akupe umri mrefufu Ili uwanyooshe makafir

  • @idarsaide2932
    @idarsaide2932 2 ปีที่แล้ว +7

    Mazinge mungu akupe maisha

  • @stephenkiboeaungo
    @stephenkiboeaungo 8 หลายเดือนก่อน

    Ndacha amemaliza Mazinge kabisa.Na mwenyekiti pia amechomwa na ukweli wa Ndacha na kuanza vikwazo vingi vya kunyamazisha Ndacha.Ndacha ana Roho Wa Mungu

  • @yusufmohamed7235
    @yusufmohamed7235 2 ปีที่แล้ว +3

    Muhammad (saw) na Yesu wote manabii, wote twawakubali.

  • @kellykellizer7867
    @kellykellizer7867 ปีที่แล้ว

    Heko sana kwa maustadhi wangu,Mazinge,kinyogoli na suleiman mbogo Mungu alipe kwakazi muifanyayo🙏

  • @selemanemomadeformassane3441
    @selemanemomadeformassane3441 2 ปีที่แล้ว +30

    Islam is a true religion!

    • @SociedadeSust1234
      @SociedadeSust1234 2 ปีที่แล้ว +1

      I agree for u

    • @anselmoonolius
      @anselmoonolius ปีที่แล้ว +1

      Weka hoja ndugu

    • @pungopungo411
      @pungopungo411 ปีที่แล้ว +1

      Acheni kupamba kama muhamadi haponyi mtaponwa na nani .wakati hammuamini mponyaji

    • @California9451
      @California9451 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana Mungu akusaidie

    • @ashaomary5558
      @ashaomary5558 ปีที่แล้ว +2

      Asante mungu mm nimwisilam

  • @JumaMohamed-zs4wz
    @JumaMohamed-zs4wz 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ mungu akubariki

  • @alfrednyamnini7352
    @alfrednyamnini7352 3 ปีที่แล้ว +9

    Mwalimu ndacha uko vizuri.