REV. DR. ELIONA KIMARO: ADABU ILIYOBEBA HATIMA 'SELF-DISCIPLINE'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ส.ค. 2023
  • IBADA YA JUMAPILI (KUSIFU NA KUABUDU NA FUNGU LA KUMI) 06 AUGUST 2023
    SOMO : "ADABU ILIYOBEBA HATIMA"
    "LIFE DISCIPLINE"
    Mithali 1 : 1 - 7
    1 Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli.
    2 Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu;
    3 kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili.
    4 Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na hadhari;
    5 mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia.
    6 Kufahamu mithali na kitendawili, na maneno ya wenye hekima na mafumbo yao.
    7 Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.

    Mhubiri : Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053

ความคิดเห็น • 30

  • @user-tw7xv7tv5u
    @user-tw7xv7tv5u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amen baba

  • @user-ml1gy5ng5c
    @user-ml1gy5ng5c 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kukutia nguvu na kipawa Zaid baba mchungaji

    • @atuganile08
      @atuganile08 7 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @perpetuaishika2574
    @perpetuaishika2574 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba unijalie adabu kwenye maisha yangu 😢😢🙏🙏

  • @danielmuzanye181
    @danielmuzanye181 11 หลายเดือนก่อน +1

    Somo jema sana. Ubarikiwe Mtumishi ili uzidi kuigusa Mioyo ya Wengi. Ni somo tunahitaji kulisikia kila mara.

  • @neemalaurent9836
    @neemalaurent9836 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu nijalie kiwango cha self discipline,kiwango cha financial discipline and economic discipline,amen

  • @abelntahorutaba9322
    @abelntahorutaba9322 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa saana Baba Mch kwa Somo lako hili.
    Hakika nimebariliwa saaana na ninaendelea kubarikiwa.
    Kweli watu wengi tunaqngamia kwa kukosa Adabu.
    Adabu Adabu Adabu Adabu.
    Barikiwa saaana mtumishi WA Mungu.

  • @jardinemwasi8123
    @jardinemwasi8123 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu. Asante kwa mafundisho mazuri leo nimejifunza mambo mengi sana. Nabarikiwa sana na mafundisho yako. Natoka Kenya.

  • @JohnMbise-go7we
    @JohnMbise-go7we 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana baba Kwa huu ujumbe

  • @user-pf2yq3jd5j
    @user-pf2yq3jd5j 11 หลายเดือนก่อน

    Baraka zikufuate popote kwa kutengeneza maisha yetu

  • @jeskamgudule6905
    @jeskamgudule6905 11 หลายเดือนก่อน +3

    Amen Baba wanivusha sana afu pia umekua mwalimu wangu wa kingereza kila ninapo sikiliza mahubili yako najifunza pia kingereza hadi rahaa 😂 Ahsante sana Baba Mungu azidi kukupa Afya

  • @wazirimahenge1458
    @wazirimahenge1458 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @sophiashirima6691
    @sophiashirima6691 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @ericknicodemudaniel15
    @ericknicodemudaniel15 11 หลายเดือนก่อน

    Thanks pastor kwa mafundisho

  • @reginardtibishubwamu1522
    @reginardtibishubwamu1522 11 หลายเดือนก่อน +1

    I will forever respect and love my dad pastor Eliona kimaro. May almight God continue keeping up your peace and happiness

    • @zawadimweta
      @zawadimweta 9 หลายเดือนก่อน

      Mungu tusaidie,Baba Mungu akuinue zaidi

  • @edinamwanasenga1584
    @edinamwanasenga1584 11 หลายเดือนก่อน

    Amina ubarikiwe 🙏🙏🙏

  • @josephlukumaya4223
    @josephlukumaya4223 11 หลายเดือนก่อน

    Ameni barikiwa na bwana

  • @hopespringforlife
    @hopespringforlife 11 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful baba Mchungaji

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 11 หลายเดือนก่อน

    Baba tumsifu yesu kristu baba kimaro. Unatutenga sna sisi tuliombali kwakutoposti mafundisho yako mazuri na ya miujiza kwetu mikubwa

  • @annamasalu981
    @annamasalu981 11 หลายเดือนก่อน

    Baba sijawahi pata mafundisho makali kama haya.Leo nimebadili mtazamo wangu.

  • @jackswallo4318
    @jackswallo4318 11 หลายเดือนก่อน

    Ameni Baba!!

  • @deborakasambula7431
    @deborakasambula7431 11 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @collinslyimo448
    @collinslyimo448 11 หลายเดือนก่อน

    Ameeen barikiwa 🙏

  • @NzikuOfficial
    @NzikuOfficial 11 หลายเดือนก่อน

    amina

  • @collinslyimo448
    @collinslyimo448 11 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-bz7be9rq9v
    @user-bz7be9rq9v 11 หลายเดือนก่อน

    Maisha ni adabu. Amen