WATAWALA NI VIUMBE WA AJABU KUTOKA SAYARI NYINGINE ..... Siri ya miujiza ya Sanduku la Agano
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ค. 2020
- WATAWALA NI VIUMBE WA AJABU KUTOKA SAYARI NYINGINE ..... Siri ya miujiza ya Sanduku la Agano
Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...
FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
/ tricodmedia
LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
/ tricod-skills-11524157...
FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
/ tricodskills
#ViumbeWaAjabu
#Aliens
#Freemason
KIFO CHA MKE WA BABU TALE WASANII HAWA WASHINDWA KUJIZUIA HISIA ZAO WAUNGANA NA DIAMOND PLATNUMZ
th-cam.com/video/hqMAyjNQXRg/w-d-xo.html
Jmn yesu sio mungu ni mtume wa Allah tuu mungu hawez kuzaliwa kam wewe ivoo
Hapo umechemka brother yesu sio mungu wala hatakua mungu kuwa makini ndugu yangu au hii chanel ni kwa watu wa upande wa bibles tuu tujue kaka
Kaka samahani ww n Bundala au Mashaka??
Nakupenda hapo tu unapo Nipa elimu na maarifa ya Mungu. Ubarikiwe sana wewe nimtumishi wa Mungu JOSE jitahid sana na siku moja tuwe pamoja kwa BABA yetu. MUNGU muumba wetu. Amina.
Mnakufuru tu hapa yesu sio mungu yesu ni mtume ya mungu
asalam aleykum kaka jise!! kaka mimi nakuelewa sana na nanufaika sana na vipindi vyenu!!! kaka ALLAH!! akusimamie uendelee kutuelimisha!!! huwa sicoment ila nakufatilia sana kwani hii ndio chaneli yangu ya mambo ya kiroho na asili yangu WAAFRIKA!!! nakupenda!!!
Mafundisho ya uongo
Tupe usaya bro usii zingue
13:10
Daaaa tuletee bro hiyo story Freemason nao ni shida Kweli kweli walilipata wapi ilo Sanduku
Hii ntadondoka nayo siku mbili hizi
Tupo pamoja kaka Jose. napenda sana story zako now back to back
Pamoja sana Mzee wa back to back saiv ntajitahidi kwenda back to back
Nipo Mr tricod media usione sikoment tupo pamoja sana kwa story zako zote Salut sana
pamoja sana kamanda wangu
Asante
Dash very complicated mwshowe ntadata
Fallen Angel👽
Hizi Stori bana zinafanya watu wadate ,,duuuh!!,
Kaka nafurahiya utafiti mkuu Huu maanake ni wazi mara nyingi tuliona picha za Musa zilionyesha Akiwa na Mawe kumi na mbali leo nimejua ukweli kuhusu Hilo
Tuko pamoja
pamoja sanaaaaa🙏
INAWEZEKANA. MAKE FREEMASON/ ILLUMINATI WANAJUA MAMBO NA SIRI NYINGI ZA UNIVERSE, SPIRT WORLD NA YA KIDUNIA. (ILA KTK YOTE HAYO, NI KATIKA MIPANGO YA MUNGU)
Hivi mi nita kupata je kwani ? Nafuta history zako sana. Na shida na ww nita kupata je
Nicheki kwa hii number WhatsApp 0713728986