Simulizi ya MUSA ina VIUMBE toka SAYARI Nyingine (ALIENS)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ค. 2020
- Simulizi ya NABII MUSA ina VIUMBE toka SAYARI Nyingine (ALIENS)
Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...
FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
/ tricodmedia
LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
/ tricod-skills-11524157...
FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
/ tricodskills
#Aliens
#ViumbewaAjabu
#Sayari
DUNIA INATAWALIWA NA VIUMBE TOKA SAYARI NYINGINE: Siri Nzito kuhusu MAREKANI na VATICAN HII HAPA
th-cam.com/video/FstcArrV7FU/w-d-xo.html
Beware of false knowledge is dangerous than ignorance
Mungu bafananishwi na kitu chochote
one love❤
Asante sana bro
Mzee unapata dhambi neno LA Mungu usema usiongeze neno sasa unaongezea neno na akili zako za uongo Mungu akusamehe bure
Nakuelewaga sana brother jose tunakumic sana njoo back to back kuna wakati unakuwa kimya kidogo
Sawa kaka ntafanya hivyo nilikua nakarabati kidogo ofisi ndio maana nikapotea
Tricod Media sawa mkuu tupo pamoja sana ❤❤❤❤
Muongo muongo mungu akusamehe
Hii umefeli kaka huongo
Dah! bro mussa uyo na story iyo itakuwa sio yule wanaomfahamu wakristu na waislamu,, kajiedit uyo
Muko ba sazi kweli Mungu ndo atatembelea UFO. Kwanini mnakufuru hivyo.
Aaaah umedangany mpk nimekuchukia gafra kwann Mussa hakufa wakat na yey alikua anakutana na icho chombo kila siku ayo maswala acha mwamba
Kweli haya mambo itabidi niache ili tuendelee kuwa pamoja hahaha
@@TricodMedia sema ukweli ata kama unawauma watu bwana hiz dini mwanzo walituaminisha kua dunia ni flat alivojitokeza mwanasayansi kusema dunia ni duara wakamuua
You make me laugh man...
Good bro
Unafanya kazi ya kupotosha kama ujila
Kwa mara ya kwanza sijakuamini apa naanza moto uwake siku 40 na miti isiungue kiukwl hakikua chombo je na kakichaga ako kadogo mbon hakakutetea siamini kama ni chombo me naamini alikua ni Mungu
Usilinganishe mambo ya kiroho na mambo ya science kwamaana utabadirisha imani ya watu wanao kusikiliza...
Acheni ujinga haujui chochote kuhusu Biblia Mungu ashuka kwa chombo mtapata laana. Viumbe hivyo ni mashetani unaviushisha na Musa kiaje. BURE KABISA
The world is flat kaka.......no aliens from other planets nor that mount Sinai's not located in Egypt pia ...mt sinai iko Saud Arabia...asante kbx mpee lasamu baba Prince Katega
Sawa kaka ila umenifurahisha sana kama world bado unaamini ni flat utakua umetisha sana maana kwa maisha ya saiv dunia unaweza kuiona kwa kutumia vifaa vya sayansi najua unaamini pia jua linatembea hahaha kuhusu mlima sinai hakuna ambae ana uhakika na hilo sema ntapitia kucheki ila swala la dunia hahahahaha ni duaraaa
Psalm 19:1 The heavens declare the glory of God; and the firmament sheweth his handywork kaka ... the sun move coz it rules the day my friend.. kaa dunia ingekuwa vile wana tuambia ? Then life on this planet was really going to mean anything kaka.. kwasababu wanayo pesa wange tumia this technology we got kwa kuondoka hizi pandemics and world wars events brother Joseph
Saud Arabia ipi ina mlima Sinai, hujasoma qur an, mlima Sinai upo Misri.
Hao allien wanaokufa wawe Mungu😩
@@TricodMedia bro wewe ni muongo Sana Yani allience unamfananisha na Mungu wa Musa daàaah kweli umepotoka, Ibrahim alipikia chakula malaika sio Mungu soma biblia vizuri acha ujinga
Hovyoooo
Je hivio viube vinatoka
wewe bana acha upumbavu na kupotosha watumishi wa Mungu. Utajutia sana wakati moja kwa haya unayofanya. Hata mtoto wa miaka miwili atafahamu kuwa huo wako ni uongo na unapotosha muno.
kama naelewa
Watu wakisha karirishwa kitu kumbadili ni shida yaaan ivyo vyombo ni kweli vinafanya hv kaz
Biblia kweli inahitaj nguvu kubwa mpaka kuielew
Umeamua kudanganya wazi wazi.
Acha kumfananisha MWENYEZI MUNGU na ALIEN uo upumbavu na makufuru
Umedanganya fala nakutoa
Utopolo mtupu
Kuna wengine Teknologia zinawapeleka vibaya
Hata watu wa zamani waliamini dunia ni kama meza alivojitokeza mtu kusema tofauti wakamuua ndo nyie hamtaki kukubali ukweli kwa sababu mmekalili
Kaka hii ni story yako tu mambo hayako hivyo.
Kwa hio bro unamaanisha alikua sio MUNGU kaka na wewe hivi hujui hata yordani maji yaligawanyika ili sanduku la agano lipite kwa hio ship ya allien pale tena ilikuepo
Wewe ni fara yujui kutoa story
Wewe ni Mjanja lakini jifunze kutofautisha L na R sio fara ni fala hahaha
Hadishi ya uongo hiyo
Hovyo kabisa wewe
Unajuaje vp Kama ilikuwa hiyo chombo
Wacha kudanganya watu unayo yasema hata hauna elimu nayo
Uko poa kabisa, ila sisi wa Congomani una tuchanganya kuwesabu jitaidi uwe natuchiliya English kungambo Yama verse
Nashkuru sana ntazingatia hilo hesabu ni exodus kwa kiingereza
@@TricodMedia Asante sana ndugu najuwa tuko pamoja
hesabu ni numbers sio exodus
kutoka ndiyo exodus
unaongea kistaalabu kumbe umevuta msubaa
Hahahahahahahaha
😂😂😂 nyie watu waongo sana
Not all the time kaka
Tatizo hili,kwani taarifa za awali Zina tofauti gani na visa vya kigiriki,,
Stephen Watson duniya itakika mahali pakwicha nawewe utabaki ukisema niongo, n'a wengine wa kipata neema yakuokoka say amen glory be to God 🙏
Micheline MY friend we don't need to end our prayers with the word AMEN my sister coz by mentioning that word into a prayer we just give glory to "RA THE HIDDEN ONE" the word AMEN come from AMUN-RA or ATUM RA the great God of Egypt ... when Greecian were conquering the world.. they change most of everything in their language nyakati za Alexander the great.. plz don't take my words for being truth my friend just do your own research..PEACE ✌
Huo ni upuzi mtupu unao zungumza wewe
😅