KAMA UNAHISI UNAJUA UKWELI WA HII DUNIA FIKIRIA MARA MBILI VIDEO HII ITAKUCHANGANYA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2021
  • KAMA UNAHISI UNAJUA UKWELI WA HII DUNIA FIKIRIA MARA MBILI VIDEO HII ITAKUCHANGANYA SANA
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE th-cam.com/users/Tricodskills...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #freemason
    #Genesis
    #SiriMzito

ความคิดเห็น • 108

  • @mlingijames1917
    @mlingijames1917 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunashukuru Tricod kwa elimu hizi, ila NEY WA MITEGO anazidi kutupa fumbo juu ya mziki na maisha yake, tunaomba utuchambulie maisha yake na ukweli wa hizi nyimbo zake, Asante

  • @kidongojoseph
    @kidongojoseph 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu atupe Nuru zaidi

  • @motelutula7475
    @motelutula7475 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atusaidie sana! Cku hizi wapotoshaj wameongezeka aseeh!

    • @user-rx4tk1tr4k
      @user-rx4tk1tr4k 2 หลายเดือนก่อน

      Sio upotoshaji imelinganishwa wapi

  • @kidongojoseph
    @kidongojoseph 2 หลายเดือนก่อน

    H8ngera kaka nakufatilia , asante sana nami nko lab ,

  • @vincentlusige9532
    @vincentlusige9532 ปีที่แล้ว +1

    Kazi safi bro hakuna jihanamu vilikuwa ni vitisho tu vya missionaries ili tubadilishe imani zetu

  • @hamdanishomalijuma4235
    @hamdanishomalijuma4235 3 ปีที่แล้ว

    Kazi njema my beast

  • @del-mohaa7527
    @del-mohaa7527 3 ปีที่แล้ว +5

    1: waibrania called God elohim
    2:somali called God illahi
    3:arab called God Allah
    Hili ni jina moja tu la mungu ambae ni Allah ila kila lugha wanapronounce tofauti au accent tofauti mungu wa kweli ni ALLAH PEKEE hakuna mwengine

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaaa

    • @motelutula7475
      @motelutula7475 3 ปีที่แล้ว

      Acheni kujidanganya nyie! Afu mnasupportiana kupotoshana! Allah co Elohim na haiwez kuja kutokea

    • @bonifaceirungu5594
      @bonifaceirungu5594 3 ปีที่แล้ว

      Mungu ni neno na ndio maana kila lugha hapa duniani inavile inavyo tamka neno Mungu kivyao, ambapo kiswahili ni (Mungu,) kijaluo ni (Nyasae,) kikikuyu ni (Ngai,) kigiriama ni Mulugu,) kizungu ni (God,) na kabila zingine wana vile wanatamka neno Mungu. Sasa, katika biblia ya kiswahili limetumika neno Mungu, biblia ya kizungu limetumika Neno God. Sasa kinachonishangaza ni kwamba qurani iliyo tafsiriwa kwa kiswahili, linatumika jina Allah sanasana na wakati mwingine Mwenyezi Mungu, lakini katika qurani iliyotafsiriwa kwa kizungu, huwezi pata wakitumia neno God, ili kuonyesha Allah ndio kusema God kwa kiarabu (kwa mfano _ God said ) bali huandika (Allah said ). Sasa my friend, nataka uniambie kama Allah ndio Mungu ama God, kwanini kwenye qurani ya tafsiri ya kizungu wasitumie Neno God?. Kwa Shuari hii mimi sioni kama neno Mungu ama God ndio neno Allah, inaonekana Allah ni jina, na Mungu ni neno,. Lazima ujue Mungu hana jina na atabakia kuitwa Mungu kwa sababu yeye si kumbe, viumbe ndio wenye majina ,ukisikia Mungu mwenye jina ,basi ujue huyo ni kiumbe. Kwahio someni qurani vizuri na mtafute neno Mungu linatamkwa vipi kwa kiarabu juu Allah ni jina. Na kama Allah ni God kwa kizungu, basi qurani ya tafsiri ya kizungu inafaa kutumia neno God

  • @briantumaini7700
    @briantumaini7700 3 ปีที่แล้ว +6

    Likes zangu please first to view & Comment, from Kenya ...Nice job bro...

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Thank you so much umetisha sanaaaaaaaa likes nyingi zinakuhusuuuu

  • @georgegrayson3492
    @georgegrayson3492 3 ปีที่แล้ว +6

    Broh habari unafanya kazi poah sana ila naomba next time uje na simulizi ya kuhusu shetani au mtawala wa kiroho wa ulimwengu huu maana kuna reports zinasema kuwa shetani mwanamke na kuna baadhi ya wamuziki wa kubwa waliouza nafsi zao walikili hivyo kwa kupitia nyimbo zao dark horse ya kperry beal jean ya michael jackson ile video ina utata sana piah na ule wimbo wake wa whatever hapen so naomba uje simulizi hii kama nikwel

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaaaaa hii noma sanaaaa ntaifanya kama haina ukweli wa kuumiza sana hahahaha

  • @thomaslonusamuel5766
    @thomaslonusamuel5766 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante saaana 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🥰🥰🥰🥰💐

  • @ferdinardmwongela1939
    @ferdinardmwongela1939 3 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe kunayo tusiyoyaelewa ingawaje hatujui kama ni kweli ingawa bado Luna uwezekano kwa maana mengi tumeyasoma bila kujua kindani zaidi kwani tunasoma tupate Nazi bila kujua inatakiwa tujue ukweli asanteni tricod media nimejua mengi kutoka kwenyu ingawaje mengine nahitaji roho mtakatifu atufungulie tujue kwani napenda sana kujua zaidi

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana ni vizuri kuujua ukweli wote wa duniani na ni vizuri ukasimama kwenye imani yako pia maana hakuna njia moja sahihi ya kuwasiliana mungu maarifa hayana mwisho na wengi wanapotea kwa kukosa Maarifa

  • @stellamwali1848
    @stellamwali1848 ปีที่แล้ว +1

    Heloa zairaaa iko kwa wa meru helps mean kitusafii

  • @kevinboyse8628
    @kevinboyse8628 3 ปีที่แล้ว +3

    Hey Jose can we talk in PRIVATE ???

  • @emmanuelowiti8217
    @emmanuelowiti8217 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi naamini Mungu yupo,kupitia pumzi ya uhai wangu,naweza nisiamini mengineyo maana yatanichanganya tu.

  • @edwardlucas8912
    @edwardlucas8912 3 ปีที่แล้ว +3

    Tuambie ukweli wanao tuficha broo

  • @anganilekajigilikajigili2641
    @anganilekajigilikajigili2641 3 ปีที่แล้ว

    Yesu Kristo ndio jibu

  • @marvinnowamani3107
    @marvinnowamani3107 ปีที่แล้ว +1

    Team Kristo.

  • @lucasjohnleo3051
    @lucasjohnleo3051 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa Mimi ambae nafatilia Mambo Kama haya nimekuelewa Sana sana! Ila nikusaidie tuu kiukweli shetani hayupo! Shetani ilitumika kuiita Imani za kiafrika ili tuziache na kufata ukristo na uislamu! Ila tumepigwaaa

    • @frankbella4271
      @frankbella4271 5 หลายเดือนก่อน

      umepigwa peke yako

    • @Abdoulyousouf
      @Abdoulyousouf 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 kweli kapigwa pekeake

  • @marvinnowamani3107
    @marvinnowamani3107 ปีที่แล้ว

    Team kr

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna geni alie Christian anajua mwanzo wa kitabu cha kwanza Genesis yote jinsi Mungu alivyo anza kuiunda dunia. Someni Bible itawafungua macho ya kiroho. Bwana Yesu Asifiwe🙏

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 3 ปีที่แล้ว

    kuna vitu vingi sana hatuvijui kwa sababu tumekuwa wavivu sana kusoma vitabu na kufuatilia makala zenye kutufungua ufahamu Ndio maana wanaofuatilia mambo wanakuwa mbele sana kufahamu . hii ni changamoto lazima tukubali kujifunza kila siku kwa kuwa wasomaji na wafuatiliaji wa makala zenye kutufungua ufahamu big up sana joseskills (trokodi media)

  • @happy-pn9yx
    @happy-pn9yx 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani ulipotelea wapy missment mob Sana

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 3 ปีที่แล้ว

    Kuna Mungu baba Mungu mwana I mean Yesu) na Mungu roho mtakatifu, ukisoma vizur pale kwenye uumbaji Mungu alisema na tumfanye mwanadam kwa mfano wetu, ikimaanisha utatu mtakatifu Baba, mwana na Roho

  • @dullahshaaban9050
    @dullahshaaban9050 3 ปีที่แล้ว +2

    Unyumbu....✍️✍️

  • @miltonchiwanga8734
    @miltonchiwanga8734 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika umeshaa nifungua akili saana juu uwepo wa mungu kwell nime amin tume fichwa mengine mengi dunia ina siili nzito saana

  • @romytz7200
    @romytz7200 3 ปีที่แล้ว +1

    Makala zako zote nafuatilia hii inahitaji umakini kuielewa kazi nzuri

  • @mucci_AI
    @mucci_AI 3 ปีที่แล้ว +1

    Lests goo muda sana tulikumis

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Asante sanaaaa niliwamic sana pia nilikua nasoma dini kidogo sema haya mambo yanachanganya sanaaaa sijui waliotupa dini walifanya makusudi au walikua hawajui

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Heri ya mwaka mpya kwanza maana tumeuona mwaka salama

  • @fabbemwami1252
    @fabbemwami1252 3 ปีที่แล้ว +1

    Shetani ni mwanadamu aneetenda mabaya asio mpendezesha Mungu

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰🥰😇😇😇😇🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♀️🚴‍♀️

  • @georgeogwele6044
    @georgeogwele6044 หลายเดือนก่อน

    Mbona tulikua tunaweza danlodi saivi mmetufungia hiyo fursaa

  • @Craytos_Baraka
    @Craytos_Baraka 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmmh mmmh mmmmh mmmh
    Duh kwelly njia pandaa

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha hahahaha noma sanaaa

    • @Craytos_Baraka
      @Craytos_Baraka 3 ปีที่แล้ว

      Kwenye swala la dini generation hii zimekuwa zinachanganya sana unaweza ukafika kipengele flani ukaona dini flani inasema ukweli ila kwenye kipengele kingne dini nyingne inasema ukweli kuliko ya kwanza wew unabaki njia panda tena auoni na umeshapata hadi ajali😄😅

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 10 หลายเดือนก่อน

    katika sala ya baba yetu kuna sehemu inasema UTAKALO LIFANYIKE DUNIANI KAMA MBINGUNI. SO yale yafanyikayo mbinguni yanafanyika kimwili hapa duniani

  • @kennykeyz2582
    @kennykeyz2582 3 ปีที่แล้ว +1

    𝕟𝕚𝕔𝕖 𝕛𝕠𝕓

  • @wilsonjustin3668
    @wilsonjustin3668 3 ปีที่แล้ว

    Hapa nimepata kitu

  • @ShadowScreamStudio
    @ShadowScreamStudio 5 หลายเดือนก่อน

    Duuu...upotoshaji mkubwa tangu kuumbwa dunia

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 3 ปีที่แล้ว +5

    leo sijakuelewa kabisaa, ulikusudia nn, maana story zilikuwa nyingi, yaani unatupeleka mbiguni, duniani, kuzimu, daaah, umenivuruga sana, sijajua lengo hasa, ulitaka tujue kipi hasa, myb utoe clip nyingine ya ufafanuzi zaidi

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahaha kweli kabisa ntafanya hivyo

    • @michaeljohn9070
      @michaeljohn9070 3 ปีที่แล้ว

      fanya hivyo kaka, maana nimeshangaa sana kuona kuwa mungu nae ana watoto, ha ha ha ha ha ha, tena kitambo tu, daaah

    • @ninialzahrani4098
      @ninialzahrani4098 3 ปีที่แล้ว

      @@michaeljohn9070 ali waza nanan

    • @michaeljohn9070
      @michaeljohn9070 3 ปีที่แล้ว

      @@ninialzahrani4098 na mm ndo nashangaa sasa

    • @lucasjohnleo3051
      @lucasjohnleo3051 3 ปีที่แล้ว

      Shetani hayupo Ani hapo waafrika tuliambiwa Imani zetu Ni za kishetani ili tuu tuziache!! Hakuna Moto Wala mwisho wa dunia

  • @paulalipakwa9077
    @paulalipakwa9077 2 ปีที่แล้ว +1

    Asande kutujulisha habari hii

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba utuletee hii elimu ya chakra please mana mm nimekuwa nikijotahid kubalance chakra zangu ila sasaivi Nasumbuliwa na kichwa na pia macho yangu yanakuwa yanakuwa kama yanauma sana napokuw kwenye jua ila nikiwa kwemye kivuli nakuwa sawa tuu Au nikiwa ndani pekeyangu nakuwa Sawa tu ila nikishaanza kujichanganya na watu ndo mtihan unaanzia hapo.

  • @imbatokamoyoni2209
    @imbatokamoyoni2209 3 ปีที่แล้ว +2

    I Have no comment

  • @DavidNdara
    @DavidNdara 3 ปีที่แล้ว

    The Gap Theory

  • @abeidsanga7361
    @abeidsanga7361 4 หลายเดือนก่อน

    Mnapo amini watu na kuwa abudu huko ndiko kuficha ukweli wa hii dunia kubudu watu kwa maelfu ya miaka

  • @edwardlucas8912
    @edwardlucas8912 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa bado sija mjua uyo shetani

  • @edwardkahinga9781
    @edwardkahinga9781 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka kuna Jehanamu soma vizuri ufunuo 20 vizuri utasikia shetani mpaka akitupwa katika ziwa la moto na ukimalizia kuazia 12 nakwingine kwingi sio hapo tu pa jehana mathayo 3,moja mpaka kumi

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 3 ปีที่แล้ว +1

    Du maneno mengiiii bila vifungu vya maandiko . Unayatoa wapi au umepiga ramli? Pole sana

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kwaio vifungu vyooooooote hujaviona hahahaha sema sikuchauri uamini video hii maana itakuchanganya sana

  • @abuuakhy4001
    @abuuakhy4001 3 ปีที่แล้ว +2

    Leo umeongea upuuzi sana
    Eti watoto wamungu
    So mungu amekua nafamilia
    Acha upuuzi bc utaenda kuchomwa

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kitu ambacho sijakuelewa ni kwamba mimi ndio nimeongea upuuzi au kitabu ndio kimeongea upuuzi watu wanajua hilo haliwezekani lakini lipo kwenye Kitabu kwanini wameliweka sababu kuna siri kubwa nyuma yake

    • @edgartairo9110
      @edgartairo9110 3 ปีที่แล้ว +1

      Kawaid ya waislam...sishangai....ant crist

    • @frankmshana1331
      @frankmshana1331 ปีที่แล้ว

      wewe utabanikwa

  • @hamisiramadhani8661
    @hamisiramadhani8661 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimepatama maana hawawatuweupe wametokana nawale maraika wahasi

  • @ayubuandasoni2459
    @ayubuandasoni2459 ปีที่แล้ว

    Bado sjakuelewa katika jehanamu na shetan wa kwenye maji ya chumvu huyo jocka na nyota ya asubuhi

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 3 ปีที่แล้ว

    Nimefuatlia mpaka mwisho ila bado sijaelewa kabisa naomba uje na mafunuo zaidi ! Mana kitabu cha ufunuo kinazungumza mambo ya mwisho na moto wa milele je unatk kusema kwamba kitab cha agano jipya kinamapungufu. Na tujuavyo ni kuwa yote yaliyoandikwa kwenye Bible lazima yatimie?? Tuweke Sawa please usituache hewani.

  • @lbfiregames9516
    @lbfiregames9516 3 ปีที่แล้ว +1

    mashetani ninini nashetani ninani

    • @lbfiregames9516
      @lbfiregames9516 3 ปีที่แล้ว

      @The vision of eagle ok asante

    • @fredichaki9817
      @fredichaki9817 3 ปีที่แล้ว

      @The vision of eagle siyo hio ni nazaria tu na ukweli hapo au upo

  • @suleimanmustapha101
    @suleimanmustapha101 3 ปีที่แล้ว +3

    Ukitumia akili vizuri, pamoja na maelezo yako mazuri upande wa shetani kupanda jioni na kupigwa asubuhi haviwezi kuleta mantinki(na haiwezekani kuwa kweli), kwa sababu dunia inazunguka muda wote na hakuna hata sekunde moja ambayo dunia yote ni mchana tu au usiku tu,usiku na mchana vinategemea na eneo dunia ilipo katika mzunguko wake.
    Tafakari maelezo yangu yakikuchanganya niulize,sio kila lisemwalo lipo vingi ni vya kufikirika!

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว +1

      Zamani walikua wanaamini jua ndio linatembea sio dunia hiyo aidia imekuja badae elimu ya sayansi ilipokua

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 ปีที่แล้ว

      @@TricodMedia na ndio maana mwisho nikatanabahisha kuwa vingi ni vya kufikirika japo vimeaminika kwa kukaririwa sana,kimojawapo ni hicho cha shetani kupanda au kupigwa ili adondoke! nafikiri umegundua katika maelezo yangu ambacho hukuwa umekitafari kabla hujatoa mapokeo!

    • @wewa7329
      @wewa7329 2 ปีที่แล้ว

      @@TricodMedia kaka nomba mawasiliano yako una vingi vya kunisaidia

  • @shwariali9202
    @shwariali9202 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani ww ukweli unaufahamu vizuri lkn hautaki kuufunua , nice try

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Watu wengi hawajajua ukweli sababu hawajapata maswali sahihi ya kuuliza ndio maana nimewapa maswali ili wakatafute majibu inaonekana unajua ukweli na unajua ilivyo ngumu kukubali mara ya kwanza

    • @onelovechannel2179
      @onelovechannel2179 3 ปีที่แล้ว

      Namba yenu ya WhatsApp

  • @michaeleustarch3236
    @michaeleustarch3236 3 ปีที่แล้ว +2

    SSI tunamtafuta Mungu baaasi

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaaa

    • @michaeleustarch3236
      @michaeleustarch3236 3 ปีที่แล้ว +1

      @@TricodMedia tricod media mbona hujawahi kutangaza mada ihusuyo time travel vinnahsianaje na alien pamoja nablack hole

    • @michaeleustarch3236
      @michaeleustarch3236 3 ปีที่แล้ว +1

      @@TricodMedia na Yule mtabili vangeria bush terova (Bibi vanga) au (babavanga)

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      @@michaeleustarch3236 kweli kabisa sijawahi kuifanyia habari hiyo inabidi niifanyie kama video mbili au tatu ili tumalize kila kitu

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  3 ปีที่แล้ว

      @@michaeleustarch3236 bibivanga ngoja niicheki maana sijawahi kukutana nayo

  • @moebcsm3615
    @moebcsm3615 ปีที่แล้ว

    Maelezo mengine Apa mnakosea bwana inabidi mfanye utafiti vizuri. Baadhi ya maelezo mnakosea.
    Quraan inekusanya vitabu vyote torati injili zaburi. Hata bibilia ya kale Ina vyo. Hapana ivi wazungu wamebadili.
    Sas Apa baadhi ya maongezi unaongea sio sahihi