MUNGU ALIMUHESHIMU FIRUNI NI KOSA KUMVUNJIA HESHIMA KIONGOZI WAKO,SHEIKH AWACHEKESHA WALINZI WA RAIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • • MUNGU ALIMUHESHIMU FIR... #KHIDMATV #raisamia #walinziwaraisamia

ความคิดเห็น • 60

  • @Shukurukoll
    @Shukurukoll 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh utakuja kuwa miongoni mwa viongozi wakubwa katika Dini yetu. Kando ya elimu yako una hekima na busara kubwa sana. Allah SW Akujalie sana !

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 3 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulilah 🎉

  • @hindamir2008
    @hindamir2008 3 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @mohamednyuni2631
    @mohamednyuni2631 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jee mwisho wa Fir'aun ulikuwaje?

  • @saidbakar-qo6ri
    @saidbakar-qo6ri 2 หลายเดือนก่อน +1

    SASA KAKOSEA SHEIKH HAJAKOSEA ILA NYINYI NI UBINAFSI UNAWASUMBUA

    • @BradothAdm
      @BradothAdm 2 หลายเดือนก่อน

      Yuko sahihi tatzo watu wasomi dini

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa mujibu wa demicrasia wako sawa wanaomtukana maana demicrasia ni uhuru usiokuwa na mipaka

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kongamano la wanawake nyinyi wansume mnafanya nini humo ndio tabia njema hizo kuangalia wake za watu Muogopeni Allah

  • @MaimunaSaidi-tu2hs
    @MaimunaSaidi-tu2hs 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hivi mnafanya yote hamuogopi mwenyezi mungu hizi Aya manazitumi kwenye njaa zenu bora mngekaa kimya imsialibu jamii ya kisilam Kuna akhera nyie

    • @IdrisaAbdulwakil-tg3pk
      @IdrisaAbdulwakil-tg3pk 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa hawa ni njaa tuuu

    • @mikidadiramadhani3553
      @mikidadiramadhani3553 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nimtazamo Wako Hufai Kulaumiwa

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 3 หลายเดือนก่อน

      Huyo shehe mwenyewe anaonekana kama shoga sasa kunanini hapo

    • @IbrahimuFumbwe
      @IbrahimuFumbwe 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe muongo muogope Allah ww /Yani ALAH amesema viongozi wote watwiiwe muogope Allah kuna aakhera sema na njaa yako/mbumbavu wewe

    • @IbrahimuFumbwe
      @IbrahimuFumbwe 3 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa Samia anasimamia hukmu ZA allah

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 หลายเดือนก่อน

    Kushawahi kuona Maka viongz wanatukanwa hovyo kushawahi kuona Oman wanamtukana kiongoz

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu9498 2 หลายเดือนก่อน

    Nyinyiwote mliochangia nakukosoa acheni wivu na kwanini msiendenynyi au msitwe au sio waislam nini?

  • @AhmedAhmed-gf1rd
    @AhmedAhmed-gf1rd 3 หลายเดือนก่อน +2

    Masheikh ubwabwa tuh

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 2 หลายเดือนก่อน

      kweli wewe shetsni kafiri mtu anamzungumziya mungu wewe unajionesha ukafiri wako kichwa mavi wewe

    • @AhmedAhmed-gf1rd
      @AhmedAhmed-gf1rd 2 หลายเดือนก่อน

      @@kasimkassam9565
      ALLAH SW atupe ufahamu wa dini yake

    • @ShafiiIsmail-zk9lq
      @ShafiiIsmail-zk9lq 2 หลายเดือนก่อน

      Ukitukanwa ww utakasilika

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 หลายเดือนก่อน

    Ukimuona mtu anamtukana kiongozi wa nchi au kumfanyia majungu, huyo mtu mwenye tabia hiyo mbovu kwanza hawakilishi Uislamu na ni nje ya tabia njema, lakini pia atakuwa na hasani, mfitini mwenye kijicho. Na huo ni ugonjwa mbaya sana.

    • @BradothAdm
      @BradothAdm 2 หลายเดือนก่อน

      Sahihi nafasi ya kiongozi ni kubwa kuna hekma kubwa allaah kutuamrisha kuwatii

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 หลายเดือนก่อน

    Shehe unajichanganya mtume aliishi maisha ya kawaida na wao wajishushe kila uchaguzi wanauwa mtume alimuuwa nan hawajawhi kufny mzr waislamu ndo waliuwawa nchi hii wakristo wao hawakosei mbwa ww viongoz wawe wadilifu kuna mabaaa wanatowa wao lesen mgest wao lesen uadilifu wametowa wp

    • @BradothAdm
      @BradothAdm 2 หลายเดือนก่อน

      Acha kutukana

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 หลายเดือนก่อน

    Demicrasia yenyewe ni mfumo wa kikafiri wao ndio wamekosea mfumo wa uongoz wangefuata misingi ya uislam ya uongoz acha watukanwe

  • @AshaNtakarutimana
    @AshaNtakarutimana 2 หลายเดือนก่อน

    kama hamna ya kuongea simkae kimya

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiona mtu haheshimiwi ujue kuna sababu..

  • @salimsaleh9354
    @salimsaleh9354 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona anarembua macho uyo shekhe

    • @DARSAKUHUSUWANAWAKE
      @DARSAKUHUSUWANAWAKE 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @salimsaleh9354
      @salimsaleh9354 3 หลายเดือนก่อน

      Na midomo anaramba​@@DARSAKUHUSUWANAWAKE

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 3 หลายเดือนก่อน

      Yanamuwasha

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 หลายเดือนก่อน

      Ittiqi LLAH

    • @SuleimanJecha-r9n
      @SuleimanJecha-r9n 3 หลายเดือนก่อน

      Tumekuelewa , msimamo wako

  • @athumannyiddy1886
    @athumannyiddy1886 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kujizalilisha huoni kua sehemu ulipo sio sahihi angalia unaoongea nao ni akina nani kwa wake za watu

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo aya, sura annisaa 59 unayoielekezea nataka uisome vizuri kisha uielewe ndipo useme usemayo.
    Ni nani huyo arrasul kwanza. Ikiwa ni muhammad basi muhammad keshakufa.
    Na huyo ulilamri ni kwa masala gani umtii maana aya yasema, mukibishana juu ya kitu au jambo basi muliridishe kwake Allah na mtume.
    Wewe unaelewa aya ama munataka kujionyesha tu kwa maslahi yenu ya kidunia.
    Mcheni mungu na msipotoshe aya zake makuhani nyie.
    وقالوا ربنا إنا اطعنا سادتنا وكبرأنا فأضلونا السبيلا

    • @bizimanaamani-zc1qm
      @bizimanaamani-zc1qm 2 หลายเดือนก่อน

      العلم بلا أدب كشجرة بلا ثمر

    • @bizimanaamani-zc1qm
      @bizimanaamani-zc1qm 2 หลายเดือนก่อน

      Tungejitahidi kuwa na nidhamu tungefika vizuri sana kama nikwamfumo huyu ambao vijana tumekalia tunangoja fulani akizungumza hichi humpinga sas kama wey nimkweli njoo ungetusherehesheya ili tujuwe wala sio kuja kutowa kashfa namaneno ya utofu wanidham

    • @MwigaAdam
      @MwigaAdam 2 หลายเดือนก่อน

      Muhammad keshakufa ila mafunzo na mafundisho yake Bado yapo hai ko ktk kumtii nikule kufuwata tulioamrishwa na kuacha yalio katazwa ndugu

    • @BushDoctor-dw8el
      @BushDoctor-dw8el 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@MwigaAdam Mohamed aliopewa atufikishie ni Qur'an na ameifikisha.
      Na hicho ndicho kitabu pekee kilichotoka kwa Allah. Hakuna kingine

    • @BushDoctor-dw8el
      @BushDoctor-dw8el 2 หลายเดือนก่อน

      @@bizimanaamani-zc1qm sipingi mtu bali ni wazo la kufahamu kitabu cha Mungu na kumsingizia mungu