na mimi na sema mimi ni muzima nina imani kufuatana na neno lenyi nimepata leo nimefunguliwa na nimebarikiwa bwana mungu atabadilisha maisha yangu,wala sitalia tena ni mwisho ya mateso yangu,asante baba mtumishi na mimi naomba sala kwajili ya jamaa langu bwana akuongezee maisha marefu asante.
Amen, Amen. Mimi ni najitabiria kuwa boss, nakuwajiri wafanyikazi wengi.......Namshukuru Mungu kwa sababu yako maana umekuwa mwalimu kweli kweli kwagu napia kwa jamii yetu ya Kenya 🇰🇪. Asante mtumishi wa Mungu aliye
Apostle Mungu azidi kukuinua katika huduma yako Nabarikiwa na Mafundisho yako Nimejifunza Mengi Kupitia kwako Mtumishi Nakusikiliza Sana katika Mafundisho yako Naamin Mungu atanisaidia Kupitia ujumbe huu🙏🙏
Blessed apostle neno hili limenifungua...mimi ni wa juu sana na uzao wangu utakuwa ni wa Juu atapatikana kiongozi kutoka katika tumbo langu...in the might name of Jesus
Mimi ni mshidi, mimi ni ondari, mimi ni muwesa,,, Amen, hakika nimembariwa na maumbiri yako mutumishi wa mungu,,, mimi hua naota nikikemea wajawi kua hawana uweso kwangu mungu aliye niumba ndio ako na uweso wa maisha yangu, naomba mungu anisaidie nisiwe mtu wa kutamka mambo mapaya kutoka kinywa changu, mungu nisaidie nisitamke mambaya,,,, nitamke mbaraka mema, mfanikio, Amen Amen 🙏🙏🙏
Mungu anakupenda sana na ndomaana bado yupo nawe japo unamtenda dhambi mara kwa mara. Piga namba hizo hapo kwenye video hiyo na mtumishi wa Mungu atakusaidia kwa maombi na ushauri.
Words have spirit and if it has spirit,it has the body too,,,, when I proclaim it stays in me. Very powerful apostle be blessed.🙏🙏 watching from Nairobi kenya
Apostle ninaomba ututengenezee flash za haya mafundisho yako tuwapelekee wazazi wetu vijijinii ,,,Tuokoe nafsi za ndugu zetu ambao hawana mitandao na simu ,,,,,
I watched this clip and a dreamt of you apostle, we were having a crusade, and people were crowding, then you push them behind and told them ," Kila mtu asogee huko" ukanisogelea na kuniuliza hivi yule apostle alikwambia Nini wakati anaondoka, ukaniuliza hivi hakhakuzungumzia kazi? Ukaniambia unataka unipe kazi...I receive it in Jesus mighty name...nikaamka
Kinachosababisha niweke MB kwenye simu yangu,ni mafundisho yako mtumishi wa Mungu,hata nikiwa sina pesa niko radhi kukopa pesa ili tu nisikilize mafundisho yako,maana unanitoa ujinga mzito nilionao,Mungu azidi kukubariki
Maombi ni hili somo angalia mpaka mwisho na ujitamkie uzima, kupona, kwa Jina la Yesu Kristo na itakuwa hivyo kwako kama ambayo Nabii yoel alitamka na kusema mimi ni hodari!
Mungu akubariki sana sana
Ameen Mtumishi wa Mungu nabarikiwa na mafundisho yako hakika Mungu anakutumia iwish nifike Madhabahuni kwako ila cpajui ni wap
Haki ujumbe mzuri xana umenibariki xana mtumishi
Mimi ni hodari Mimi jasiri kwa jina LA yesu sitoogopa tena kusimama Na kuongea mbele za watu nauvaa ujasiri Wa yesu Amen
Mm nimekusikiliza vzur itoshe kusema naona uwepo wa mungu kwako asante kwa maubiri mazur ww ni mwalim mzur
Nimepokea mind set.Asanrte pastor Mtalemwa
Napokea nia ya kusimama na mindset yangu hadi nitimize katika Jina la Yesu Kristo of Nazareth Amen 🙏
na mimi na sema mimi ni muzima nina imani kufuatana na neno lenyi nimepata leo nimefunguliwa na nimebarikiwa bwana mungu atabadilisha maisha yangu,wala sitalia tena ni mwisho ya mateso yangu,asante baba mtumishi na mimi naomba sala kwajili ya jamaa langu bwana akuongezee maisha marefu asante.
Ubarikiwe sana na mungu ju unanijenga.
Natazama kutoka Kenya Nairobi, Mimi ni hodari, mshindi katika jina la yesu, thanks apostle God bless you
Amen, Amen. Mimi ni najitabiria kuwa boss, nakuwajiri wafanyikazi wengi.......Namshukuru Mungu kwa sababu yako maana umekuwa mwalimu kweli kweli kwagu napia kwa jamii yetu ya Kenya 🇰🇪. Asante mtumishi wa Mungu aliye
Amen Mimi nitakua juu katika jina la yesu
Mafundisho ya kweli ya wokovu.Ahsante Mtumishi wa Mungu
Ameni Mungu anisaidie
Ndio katika mdomo kuna uhai na mauti,baraka na laana ,ni tujue ulimi na neno la mungu vinaumba vitu
Asante mtumishi wa mungu
God bless you pastor most powerful gospel
This is amazing waaahooo mungu azidi kuitwa mungu aminaaa
Amen napokea mabadiliko katika mwenendo wangu na muonekano.Pamoja na yote mimi ni mkuu,mimi ni muweza
Mimi ni tajar mimi ni boss mimi ni mubarikiwa Ameen
Apostle Mungu azidi kukuinua katika huduma yako Nabarikiwa na Mafundisho yako Nimejifunza Mengi Kupitia kwako Mtumishi Nakusikiliza Sana katika Mafundisho yako Naamin Mungu atanisaidia Kupitia ujumbe huu🙏🙏
Blessed apostle neno hili limenifungua...mimi ni wa juu sana na uzao wangu utakuwa ni wa Juu atapatikana kiongozi kutoka katika tumbo langu...in the might name of Jesus
Thanks apostle ,Yani unayotufundisha imezidi Hadi thamani ya madini yote, blessed and God give you long life for us 🙏🙏🙏
Yaan Mungu azidi kumbariki huyu mtumishi wake👏👏👏
@@mankalema2015 sure ,amen🙏🙏
Ubalikiwe Mwajina Wa Baba Yangu Mutalemwa
Mimi ni hodari kwa jina la Yesu
Amina mtumishi barikiwa sana tuna barikiwa na tunafanikiwa love you 😍 😘 💖
🙏🙏🙏🙏💕
Pastor akika mafundisho yako yamenibadirisha pakubwa sana MUNGU WA mbingun akubariki sana akupe umri mrefu🛐🛐🙏🙏🙏
Ewe NABII wa MUNGU itoshe sana mm kusema ubarikiwe na Bwana kwa maana na nabarikiwa sana na kufarijika na kila aina ya mafundisho yako
Asanteee Sana chief kwa mafundisho yako mazuri am so proud, kuanzia Leo nitabadilisha usemi WANGU, Mimi Ni mkuu,Mimi Ni mshindi katk jina la Yesu
Asante mtumishi
Amina mungu anisaidie nice mkubwa apostol ishi miaka mingi
Halelujaaaa ubarikiwe man of God
Mungu anisaidie usemi wangu na
mindset yangu iwe positive kwa Jina la Yesu
nabarikiwa sana apostle
Imekuwa kwa JINA LA YESU.
Mimi ni mshidi, mimi ni ondari, mimi ni muwesa,,, Amen, hakika nimembariwa na maumbiri yako mutumishi wa mungu,,, mimi hua naota nikikemea wajawi kua hawana uweso kwangu mungu aliye niumba ndio ako na uweso wa maisha yangu, naomba mungu anisaidie nisiwe mtu wa kutamka mambo mapaya kutoka kinywa changu, mungu nisaidie nisitamke mambaya,,,, nitamke mbaraka mema, mfanikio, Amen Amen 🙏🙏🙏
Natamani Sana kua karbu na Mungu lakini Moyo wangu upo mbali na Mungu utanisaidiaje prophet
Mungu anakupenda sana na ndomaana bado yupo nawe japo unamtenda dhambi mara kwa mara. Piga namba hizo hapo kwenye video hiyo na mtumishi wa Mungu atakusaidia kwa maombi na ushauri.
Kaz in kutamuka na kuwa na Imani
Wow am blessed am so so blessed in Jesus name nikiwa saudi Arabia
I will never be the same, I have touched this grace, my life must change.
Amen Amen...mimi ni mkuu..Asante Apostle..God bless you .church and family!
MUNGU ANISAIDIE NIBADILISHE USEMI/UKIRI WANGU KILA IITWAPO LEO UWE CHANYA🤲🤲
I RECEIVE CREATIVE MIND! MIND OF CHRIST JESUS🙌🙌
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Ni kweli tu. Amen
Like Major 1 🔥
Amen chief.Nimechange my mind set Apostle
Oy yes " nmekuelewa chief lazima tubadili nia zetu..ooo jesus
Confession makes reality.You are teaching us Man of God Chief Apostle Mutalemwa
Asante sana ubarikiwe sana Mchungaji
Am a new Person
After this pray
God bless you My Apostle.
Yoel 3:10 mimi ni Hodari
Zab 118:17 sitakufa bali nitaishi
🙌🙌 Pamoja na yote mimi ni mkuu!!
Amen🙏🙏mm nitamtumikia Mungu hadi kifo changu... Pia mm ni mahindi na sitaogopa chochote
Amen in Jesus name
Be so blessed Apostle
Amen thank you so much kwa kunifundisha kutumia kinywa changu kwa sahihi " Mimi ni billionaire"
Mimi ni mkuu, mimi nimueza MIMI NI HODARI, MIMI NIMSHINDII AMEN 🙏🙏🙏
Great teaching,
Ubarikiwe 👏
Words have spirit and if it has spirit,it has the body too,,,, when I proclaim it stays in me. Very powerful apostle be blessed.🙏🙏 watching from Nairobi kenya
Barikiwa
Apostle ninaomba ututengenezee flash za haya mafundisho yako tuwapelekee wazazi wetu vijijinii ,,,Tuokoe nafsi za ndugu zetu ambao hawana mitandao na simu ,,,,,
Asante sana Chief hakika mm ni hodari
Mungu akubariki mutumishi wake
Leo Niki kaaa ntaona mashamba yangu
Bigup apostle
Amen man of God
Amen mahubiri mazuri sana
I watched this clip and a dreamt of you apostle, we were having a crusade, and people were crowding, then you push them behind and told them ," Kila mtu asogee huko" ukanisogelea na kuniuliza hivi yule apostle alikwambia Nini wakati anaondoka, ukaniuliza hivi hakhakuzungumzia kazi? Ukaniambia unataka unipe kazi...I receive it in Jesus mighty name...nikaamka
Ameeen🙏🙏🙏🙏
May Lord bless you apostle
Kenya is well represented 🇰🇪
Tuko pamoja
Amen.I am strong and a good courage I will not be afraid of anything I am a conquer by the Name of Almighty.
P
This is great! In Jesus name, I receive!!!!! Watching from Moshi Kilimanjaro,Tz.
Mungu azidi kukupa mafunuo kwa ajili yetu naenda viwango vingine kila ninapo sikiliza mafundisho yako
Love you son of mojor one. Like father like son.
Hallelujah inaniinua tu sana na mahubiri yako from kenya
Amen
AMEN AMEN 👏👏🙌🙌🙌
Be blessed you pastor
Amen
Kinachosababisha niweke MB kwenye simu yangu,ni mafundisho yako mtumishi wa Mungu,hata nikiwa sina pesa niko radhi kukopa pesa ili tu nisikilize mafundisho yako,maana unanitoa ujinga mzito nilionao,Mungu azidi kukubariki
Mimi nimenunua flash nikaweka zote hapo..
Sasa nmebadili mtazamo🙏
mimi ni mumiliki wa viwanda mimi ni hodari
Mimi ni dhaifu ulimi ,Mungu nihurumie
Mm nimkuu mm nihodar in Jesus name
Amen man of God be blessed
Mtumishi mafundisho yako yananigusa san
Ninaweza ktk yeye anitiaye nguvu.Nasema madeni mwisho sasa.Ila nitawakopesha sitakopa.Hakuna nyumba kuuzwa tena .Mimi nimbarikiwa.
Amen...from Kenya
Ameen
Amin nime Barikiw sn
Amen Chief
powerful man of God
Amina baba
Shetani ni mwongo ....heteka nyara fikra
Ameeee
Amen 🙏 🙏 🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
Napokea mabadiliko mapya nikiwa kenya
I receive
Mimi sio mnyonge!!!
Hallelujah
Amen
Ameeeeeeeeeeeeeen
MIMI NI MKUU
VISSION CHIEF UNANIAMBIA NIKUPIGIE JUU NIMEKATAZWA CM .NANI IKWELI
Pastor NAHITAJI MAOMBI TUMBO LINAWAKA MOTO KARIBU NA KITOVU
Maombi ni hili somo angalia mpaka mwisho na ujitamkie uzima, kupona, kwa Jina la Yesu Kristo na itakuwa hivyo kwako kama ambayo Nabii yoel alitamka na kusema mimi ni hodari!
BAADA YA MIAKA TATU SITAKUWA VILE.
Amen
Amen
Amen
Amen