Huu ndio ukweli kuhusu chanjo zinazopigwa nchini | Maswali magumu yaliyokosa majibu
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ส.ค. 2021
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
All people who support our bishop gwagima tumuombee sana mungu amlinde kwakua ameiingilia vita ya 3 ya dunia so Anaitaji ulinzi wa ziada na ni kutoka kwa Mungu tu.
hio usisumbuke Mungu anajua kazi za watenda haki huwa fupi silazima aishi miaka mingi lkn maneno yake hata nn itadumu masikioni mwetu
You have said it all. We don't want to loose people who stand for our nation. These people are very rare
Nice
Amina Sana tukopamoja
Tuko pamoja
Uko sawa sawa muheshima Simama na taifa
Ubarikiwe kwa kutuambia ukweli mtu wa mungu
R. I. P Dr John Joseph Magufuli. Tingatinga, Chuma kimelala. Natamani Gwajima ungefanya kazi na JPM nadhan Mungu anapaswa kutuokoa
Mungu wa mbinguni akulinde Bishop Gwajima,umesimama kizalendo Sana na Watanzania
Mungu aendelee kukupigania bishop
Nakufwatiliya vizuriiiiiii nikiwa 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮,yesu wetu akulinde 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Vp huko 🇧🇮🇧🇮 mmepimwa
Mmechanjwa
Haleluyaaaah Mungu atakulinda na kukupa maisha marefu...tunakuombea kwa jina la YESU.
Msema kweli adumu kaka ila anaacha alama zake.
Mpuuzi wew na unaemsapot
Asante Baba tumekuelewa Sana,Nimaombi yangu Kwa Mungu watanzania wenzangu wakuelewe,kama Mungu aishivyo ninakuunga mkono katika vita hii ya Dunia na siraha itakayoinuka haitafanikiwa Kwa Taifa letu.
Amina..Mungu atuvushe kwenye mtego huu usioonwa na wengi.
Nakupenda sana baba maana hua unasema ukweli Mungu akubariki
@@merryangle9842 unajuaje kma ni ukweli acha uongo uyo mwenyew muuni tu mzee wakula kondoo
Majeshi!!!!! Majeshi !!!! Majeshi ya BWANA....
Saluti majeshi
Mungu nisaidie kuyasikia maneno ya mtumishi zaidi liponye taifa letu la Tanzania na Afrika kwa ujumla
Kiongozi mwenye hofu ya mungu sikuzote husimamia haki ubarikiwe gwajima
am a Muslim but i agree with this man logic
Mungu ni mmoja TUNAOMBA ulinzi wake
👍
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu na roho wa Mungu aendelee kukuongoza daima tuko nyuma yako.🙏
Hakika unayo hekima ya Mungu ndani yako endelea kutufungua masikio na Mungu wa mbinguni akusimamie
Chensoo
YES👆huo ndio ukweli kuhusu chanjo namba za usijali Mtumish Gwajima anaongea kweli 🙏🙏
Yes ni kwel unasajiliwa kwa chama chao aki hivi hawa wazungu watumaliza,Mungu atulinde
Acha uongo uyo gwajima mwenyew mshez tu si ndio yeye anaekulaga kondoo wake
Zaburi 35:1-5
[1]Ee BWANA, utete nao wanaoteta nami,
Upigane nao wanaopigana nami.
[2]Uishike ngao na kigao,
Usimame unisaidie.
[3]Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia,
Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako.
[4]Waaibishwe, wafedheheshwe,
Wanaoitafuta nafsi yangu.
Warudishwe nyuma, wafadhaishwe,
Wanaonizulia mabaya.
[5]Wawe kama makapi mbele ya upepo,
Malaika wa BWANA akiwaangusha chini. MUNGU LINDA TAIFALETU. TANZANIA AME
Unafaa kuwa kiongoz wa wa dunia tuko nyuma yako Mungu ukulinde mzalendo wa kweli kama Jp
Heshima kwako Mungu akupiganie gwajima mwe Mungu mlinde gwajima ktk jina la yesu.
Akili unazo father👊
Mungu wa mbinguni akufunike kwa damu ya YESU na kukulinda baba.
Happy to have you Gwajima in Tanzania. Mungu akutetee sana baba
Amen
Amen
Kabisa tena sana
@@hisgracesuffient6046 pppmmlllllmppmpmmmmmmmlml
Xx
Asante Bishop Ngwajima kwa Ujumbe sahihi kwa wakati sahihi stay blessing more and more
Mungu azidi kukulinda uncle gwaji ni kama namuona uncle Magu★
DO NOT TAKE IT BROTHERS AND SISTERS LET'S BE READY AND REPENT OUR SIN AND WAIT FOR JESUS ACCEPT HIM AS LORD AND SAVIOR
Tunakukubali na tunakupenda Mzalendo wa kweli wa Nchi yetu Tanzania!🇹🇿✊✊
Watu wa Rohoni,ndo tunakuelewa tu
Kweli kabisa 🙏
Mtumishi unachimba mambo Kwa undani sana
Gwajima na chanjo covid 19
Kweli kabisa
....Mungu atulinde sote Mchungaji Gwajima
Mxema kwer ni Mpenz wa mungu
Safi Sana mtumishi, tunategemea uje kutuongoza uchaguzi ujao katka ngazi ya urais
Utampa wew na mama ako uyo mpuuz sio sisi
Ahsante Gwajima, ni hakika chanjo ina kazi nyingine. Nimependa hii speech kwa kweli.
Huyu m'baba Mungu amlinde tu kwakweli hakuna namna kama upo Rohoni utamuelewa sana
Safi sana Gwajima Mungu akulinde 2025 uwe raisi wetu
KAENI KIMYA RAIS ANA ONGEA..🇹🇿🇹🇿
Kuwa raosi siokua......
Jaman kwanin iwe lazma tena
Nakubari na hutuba yako
Kweli uyu ndo Rais wetu badala yamagufuri angeingia uyu ikulu ila likatiba linatubana
@@loxlox7707 yeaah
vizuli sana baba kama awataki sukuma ndani kifupi Tunaitaji kiongozi kama wew misili ya John pombe magufuli Mungu akubaliri sana askofu Gwajima yupo pamoja
May God be with you, and with us Tanzania in the name of Jesus.
Mungu akusaidiye Sana Ngwajima uwe namsimamo huohuo
Mungu atujalie mh gwanjima p1 sana daima,🙏
Hiyo ni akili kubwa Sana watanzania Mungu atusaidie.
Namkubali sana huyu jamaa gwajima
Archbishop nmekubali kweli unajua vitu I appreciate the service
Mwenyezi mungu akulinde daima
God protect Africa amen 🙏🙌
Mwenyezi MUNGU Akulide mchungaji kwamaana kunawakati unajitoa kafara kwa ajili ya watanzania na dunia kwa ujumla kwa hakika ninaimani Mwenyezi MUNGU atakunisuru dhidi ya waovu naomba kila atakaesoma hapa aungane namimi kusema Amiin 🤲
Ameni Sema mzalendo wa kwer ulie baki mwenzio magufuli ametangulia
Mungu akukinge na mabaya yote akulinde maana vita akupe maono zaid na ujasiri waaibishwe na wafedheheshwe wanaoufatilia tanzania
This is what we call humanity.GOD BLESS YOU PASTOR
Mungu akulinde utokapo uingiapo
Mimi nimeshikwa na corona juzi namshukuru Mungu kwa kuniponya lakini roho yangu ilikataa chanjo niko na imani corona aitanipata tena in Jesus name
Nakuona kabisa ukiwa rais wetu,hakika unaweza kuwa replacement sahih ya jemedar wetu Magufuli,Mungu akuinue kam alivyo muinua daud akaw mfalme,,,,,Amen
Be blessed Gwajima
Dah! Huyu jamaa noma!
May the heavenly God protect you man of God
Gwajima baba mungu yupo pamoja nas acha2pige kaz
Be blessed father all might God be with you forever
I have
Nakukubali Gwajima unatufumbua mambumbumbu
Uangalie sana ujasiri huu. Usikimbilie sana kuupinga hata kama unahisi sio. Ila tumia hekima kuusikiliza. Maana kama twakataa kataa, ipo siku mwisho utafika tusipodhani
Wewee Utajuana NA MUNGU WAKO SISI WAKRISTO TULISHA AMBIWA CHA KUFANYA KWENYE HAYO MAJILA KUNA KUCHANJWA NA KUNA MOTO CHAGUA KIMOJA WAPO KUCHANJWA KWENDA MOTONI NA KUTO CHANJWA KWENDA MBINGUNI KITABU CHA UFUNUO 13:1:20 SOMA HIYO
God bless you prophet Gwajima
Wewe unapenda hela.Wewe una mungu na sio Mungu.
Katka hili Askofu ubarikiwe Mungu azidi kukutumia
Mimi najua sisi watanzania tumugeukie mungu Siri ya chanjo hatuijui ndani Kuna mini yesu ndiye chanjo yangu pale calvari alinifia msalabani
Asante sana kaka kwaukwel, kwan kwasasa atuna uwongoz katik taifa letu
Mungu akupiganie kwa kusema ukweli
Mungu akulinde gwajima mungu akubariki kuokoa wanachi
Mungu akulinde na kiama chaadui zako
Mungu wetu aliye hai yupo. Kikubwa tuendelee kumuomba Mungu aliye hai. Tumtafute Mungu kwa bidii tutamuona na atatuponya.
Mungu akubariki muheshimiwa sijui hata nikupe zawadi gani mkuu kwa hekima uliyonayo
Rise up pastor. Really appreciate you. Rastafari I
Hakika mchungaji Gwajima Mungu akulinde
Ila huyu jamaa ana akili nyingi sana so genius
Nmekupata sana Gwajima
Mungu akupe uzima gwajima
Asante saaanaaa na Mungu akulinde.
Kiukweli nakukubali sana man of God
Asante sana mungu akusimamie ili uendelee kutupigania watanzania. Mungu amekuacha badala ya magufuli
Yes gwagima you are a real prophet don't afreid we are together
I pray for this pastors from Kenya like him ....
Asante sana ndugu
Mungu akuinue zaidi naakulinde vita kubwa ya damu na nyama mtumishi wa Mungu, hayo ni maoni Mungu anakufunulia ili kuieleza dunia ukweli tano mzalendo wa kweli haogopi baarikiwa baba
Rais ajae mwenyezi MUNGU akupe nguvu na maisha marefu
Asante ubarikiwe tusome zaburi 35 inasema Ee Bwana utete nao wanao teta na maisha yetu🙏🙏🙏
Mungu akutunze mtumishi Mungu
Huu ndo ubinadamu unaotakiwa lazima usimamie msimamo wako,sokubadilika badilika🙏🙏🙏🙏.
Ubinadam gani huo uyo mwenyew hajielew
Be blessed Pastor
P
Asante Sana baba Mungu atasimama na wewe siku zote
Gwajima unaongea ukweli kabisaa mungu azid kukubariki
Your greatest pastor. Keep on saving
Mungu akulinde popote utembeapo
Kama mungu aishivyo utaishi Baba askofu gwajima ,hauta kufa bali utaishi
Jah Rastafari bless the real preacher's, voice for the voiceless,Hongera
Safi
Askofu gwajima yupo sahihi kwa mtazamo wake..
nakuelewa sana mchungaji unafaa kuwa raisi mtazamo wangu
Tumuombee
Hakika wewe nishujaaaaa👆
I trust you the man of God.Thank you for opening our eyes.May Almighty God bless you !
Hongera simamia ukweli tunaangamia
Sanaaa tunakuelewa mkuu
Mungu akuongoze endelea kutoa darasa
Mungu mlinde huyu baba twakuomba
siku zooote nilikuwa nakusubiria ufikie hapo!nilihisi hufahamu hiyo mchungaji gwajima...nimefurahi saaana kama umefahamu hilo..
waziri wa fedha philip mpango jaribu kumdodosa kuhusu hilo!maana hicho ndicho kiini..
umegusa kiini,mungu akulinde!
Ameeeeen jaman mungu atulindie raisi wetu gwajima ubarikiwe sana
Mutu mwenye hamujui Mungu ndiye atagusikiriza aca gupoteza watu wa Mungu
Wew ndio umeongea point lakin wengine pumba tu hana lolote yemwenyew mshenz tu
Am with you Gwajima🤗🤗
Ubarikiwe mtush wa kristo yesu