🅻🅸🆅🅴 : HASHIM RUNGWE ANATOA TAMKO ZITO MUDA HUU..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.พ. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 19

  • @alexbitakwate
    @alexbitakwate 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee sera zako kidogo km za ngoma nzito Chadema , mzee njoo chama cha chadema tupige ndongo pamoia, karibu.

  • @alexbitakwate
    @alexbitakwate 4 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee tu pamoja.

  • @projectdaddy9793
    @projectdaddy9793 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli mzee wa ubwabwa

  • @salminmayila2902
    @salminmayila2902 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ama tanesco imekuwa na kibri dawa Yao ipo jikoni

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee tatizo wanatangaza aliyeshinda hatuwezi kutaka kuona marudio TUNATAKA KATIBA MPYA😂😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee japo chama chako hakieleweki lakn uko vzr😊

  • @salminmayila2902
    @salminmayila2902 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ccm wabaguzi wameshindwa kutubaguwa kifo tu

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 4 หลายเดือนก่อน

    watu kama hawa viongizi wa siasa eet!!! hatuwezi kupiga hatu milele

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 4 หลายเดือนก่อน

    Mjenereta kelele yanaua masikio

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 4 หลายเดือนก่อน

    HATA WAKIFICHA TUNATAKA YA NYUMA NAYO VIP?

  • @ahmedalasmi8005
    @ahmedalasmi8005 4 หลายเดือนก่อน

    Fanyeni maadamano ya Hali ya nguvu hata damu ikiwagika siyo mabaya wdengine na vijukuu vita Pata haki

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 4 หลายเดือนก่อน

    Mzee unachotakiwa kupambania nacho ni mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi (Katiba mpya); katiba hii ya sasa inaegemea kukipa ushindi CCM, vinginevyo usitarajie kuiondoa CCM madarakani.
    Yaani CCM inapata ushindi hata kabla ya uchaguzi wenyewe kutokana na mfumo mbovu ulioratibiwa kwenye katiba ya sasa.

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 4 หลายเดือนก่อน

    Mwache Mzee ale ruzuku yake ila ana moyo mwena😅

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 4 หลายเดือนก่อน

    Ngojeni, kwa kadiri mnavyopiga kelele kuhusu wizi wa fedha za umma kuna muda CAG atatateuliwa kutoka kada wa chama tawala ili mshuhudie hati safi kila kona.

  • @ahmedalasmi8005
    @ahmedalasmi8005 4 หลายเดือนก่อน

    Wabagueni CCM kama kinyesi

  • @ritchiemuta1092
    @ritchiemuta1092 4 หลายเดือนก่อน

    Pigania katiba mpya wacha utapeli wa kuuma na kupuliza uchawa haujifichi

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona haukuja kuandamana...😂

  • @user-nn6zq1ok7i
    @user-nn6zq1ok7i 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wanauza. Generetor na solar zao