MASIKINI!! MBUNGE BWEGE WA ACT WAZALENDO AKATWA MGUU - "SIWEZI KUGOMBEA AFYA INADORORA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • MASIKINI!! MBUNGE BWEGE WA ACT WAZALENDO AKATWA MGUU - "SIWEZI KUGOMBEA AFYA INADORORA"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 311

  • @freewallace7155
    @freewallace7155 5 หลายเดือนก่อน +7

    Mwenyezi mungu akufanyie wepesi mzee wangu..nakupenda sana kutokea moyoni mwangu umekua mtetezi na msema kweli hukujali maslai yako umefanya kazi yako kwa ukweli na uwazi!!

  • @henrystanley4077
    @henrystanley4077 5 หลายเดือนก่อน +6

    Aiseee Mungu mabariki sana na kumpa maisha mrefu sana ..

  • @zephozepho5336
    @zephozepho5336 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana Boss Wangu Nakuombea MUNGU AKUPONYE

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 6 หลายเดือนก่อน +6

    Rabii ampe shifaa yarabii msaidie mjawako alisimama kuwapigania wanyonge mbele ya wapenda dhuluma wasowahurumia raiya wao lakini bwege hakuogopa katika kipindi kigumu yarabii msaidi ndugu yetu

  • @aboubakarayoub4004
    @aboubakarayoub4004 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanadamu hujamalizwa kuumbwa,Allah Ampe shifaa mzee wetu,lkn ugonjwa wa sukar umemaliza watu wengi sana

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 6 หลายเดือนก่อน +25

    Kumwonesha mgonjwa akiwa amebebwa siyo content nzuri

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 6 หลายเดือนก่อน +17

    Unaumwa lakini bado unawapambania wanancho wako hongera sana

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 6 หลายเดือนก่อน +7

    Allah akufanyie wepec upowe kwa rehma zake

  • @TheKaida23
    @TheKaida23 6 หลายเดือนก่อน +3

    Pole Sana.... Mzee Bwege..... Sema we are learning we are all under Ups and Down till late...

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 6 หลายเดือนก่อน +5

    Pole baba nakuombea kwa mungu akuponye kwa uruma yake 🙏🙏 ❤❤

  • @user-yi8qv1lg5e
    @user-yi8qv1lg5e 6 หลายเดือนก่อน +12

    Pole sana Mungu atakusaidia... Amen

  • @JumaKaimu-ci3lg
    @JumaKaimu-ci3lg 6 หลายเดือนก่อน +10

    Kabla hujafa hujaumbika! Allah nipe subra na mwisho mwema. Allah mpe pozo mzee huyu. Na umlipe kwa hili.

  • @husseinmwanjela8644
    @husseinmwanjela8644 6 หลายเดือนก่อน +5

    Allah akujalie kher mzee wtu tunakupenda sana tena sana

  • @tondelogungulundi1523
    @tondelogungulundi1523 6 หลายเดือนก่อน +5

    Pole sana mhe. Mwenyezi Mungu aendelee kukujalia afya njema

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 3 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa huyu Mungu aendelee kumtunza katika Uweza wake🙏🙏🙏

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 6 หลายเดือนก่อน +7

    Ewe Mwenyewezi Mungu,yeyote atakae soma na kucomment hapa,Nakuomba umkinge na umuepushe na ugonjwa hatari sana wakisukari🙏🙏🙏.

  • @IsmailMjesh
    @IsmailMjesh 6 หลายเดือนก่อน +7

    Uyu mzee Allah amfanyie wepes nampenda sana' kwa ukweli ambao aliokua anaongea bungeni..... Allah akuhifazi na akupe umri mrefu wenye kher naww

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 6 หลายเดือนก่อน +4

    daaa maskini imekuwaje tena jamani?pole sana mzee wetu Bwege tunakupenda sana,Mungu akufanyia wepesi mkuu.

  • @mnaratailoring6346
    @mnaratailoring6346 6 หลายเดือนก่อน +5

    Pole baba kwa mtiani ulioupata.mungu akupe shufaaa upone haraka.

  • @aishaaisharagp9381
    @aishaaisharagp9381 6 หลายเดือนก่อน +7

    Polesana babaangu Allah akupeshifaa yaharaka inaumizakwakweli ila yote niqadar ya Allah

  • @yezagproducts8567
    @yezagproducts8567 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana Mungu akujalie afya njema.

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 6 หลายเดือนก่อน +7

    Sukari ugonjwa mbaya sana Alafu Afrika tunauchuliya poa.
    Allah akuendelee maradhi kwa ufalme wake.

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 6 หลายเดือนก่อน +1

      sasa hivi dawa ipo huku zanzibar na wanapona tunawapelekea na wenzetu bongo na wanatumia

    • @zubeirelhanaf
      @zubeirelhanaf 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sahihi kabisa, dawa zipo kabisa

    • @edson2450
      @edson2450 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@sabihaibrahim143Dawa Inapatikanaje Dada, watu wanateseka sana

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 6 หลายเดือนก่อน

      @@edson2450 ipoo ni mwani ule wa baharini watu wameshaujulia unasafirishwa sana huko watu wanatumi wiki tu utashukuru

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@sabihaibrahim143Wajapani wanakula mwani sana katika chakula chao cha kila siku, lkn mbona kuna idadi kubwa sana ya wagonjwa wa Kisukari? Kisukari hakiponi ila unaweza kukidhibiti kama utaifuata miko na kutumia dawa kama daktari atavyokuelekeza.

  • @illuminatuskamile5474
    @illuminatuskamile5474 6 หลายเดือนก่อน +9

    Pole sana mheshimiwa bwege

  • @YussufSaid-ok4pu
    @YussufSaid-ok4pu 6 หลายเดือนก่อน +16

    Namuomba Allaah akupe shifaa upone haraka kwa huruma zake Allaah

  • @faridanurdin9635
    @faridanurdin9635 6 หลายเดือนก่อน +14

    Subhanallah 😢kweli hatujafa hatujambika,Allah ampe shifaa mzee wetu amiin,na ampe mwisho mwema.

  • @user-hy4mw5pg4j
    @user-hy4mw5pg4j 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana mzee wangu. Mchangowakotu naukumbuksana bungeni da. Tunaanza upyaaaaaaaaa

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 6 หลายเดือนก่อน +4

    "Ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa Uumbaji"

  • @catherinefaney948
    @catherinefaney948 6 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana,Mungu atakujaalia afya njema.

  • @joycejustin833
    @joycejustin833 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mheshimiwa,kamuone dr.Abbas -kariakoo,atasaidia mguu wako kupona haraka

  • @festongonyani152
    @festongonyani152 6 หลายเดือนก่อน +4

    Pole mzee wangu...Mungu akufanyie wepesi

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 6 หลายเดือนก่อน +12

    Pole mzee wangu mungu atakufanyia wepes

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 6 หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana Mungu akujaalie afya njema

  • @abubakarhillary6103
    @abubakarhillary6103 6 หลายเดือนก่อน

    ALLAH JALA JALAAL AKUONGOZE NA AKUPE KILA LENYE KHERI MZEE WANGU 🤲 , WEWE NI SHUJAA KUNA SOMO KUBWA UNATUFUNDISHA HAPA 👏

  • @madownloadionlinetv759
    @madownloadionlinetv759 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dah pole sana mara ya mwisho ulikuja kunywa juisi kwangu

  • @jumamabu3650
    @jumamabu3650 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mwandishi hongera , maswali mazuri ka kipaparazi., pole mzee bwege ila usigombee Tena kaa pumzika

  • @rerisamba
    @rerisamba 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huu ugonjwa wa sukari haunaga adabu kweli pole sana

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 6 หลายเดือนก่อน +3

    binadam bn tunapitia changamoto nying mno kwenye maisha yetu pole sana bwege mungu akupe afya njema

  • @stevenfumbi9566
    @stevenfumbi9566 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kiongozi Allah akufanyie wepesi

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 6 หลายเดือนก่อน

    Bwege mungu akulinde sana na kukupa maisha marefu,tunakupenda. sana

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mzee wangu, Endelea kumshukuru na kumuomba MUNGU.

  • @ibnusleyyum9743
    @ibnusleyyum9743 6 หลายเดือนก่อน +1

    hiyo ndio dunia hujafa hujaumbika.......dunia ni mapito....lnshaaAllahu Allah atakujaalia afya ilobora...

  • @rodrickibrahim
    @rodrickibrahim 6 หลายเดือนก่อน +1

    uyu ni jembe langu namkubali mpambanaji sana Mungu akuweke mzee wangu

  • @NdongaKichwa-hz7jf
    @NdongaKichwa-hz7jf 6 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu atakuponya pole sana mzee wetu kama umeguswa na hali ya Mheshimiwa bwenge Gonga like hapa kuonesha umeguswa na hii hali plz

    • @user-wr7io8lh6j
      @user-wr7io8lh6j 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa hii like unayoitaka inahusiana na nn na ugonjwa wa bwege

    • @NdongaKichwa-hz7jf
      @NdongaKichwa-hz7jf 6 หลายเดือนก่อน

      @@user-wr7io8lh6j ni umoja na kuguswa tu ili kila anoweka like huonesha alama ya uugwana

    • @mosesmpesa9
      @mosesmpesa9 6 หลายเดือนก่อน

      Wote tunaumizwa na taarifa mbaya na za huzuni sasa kwanin unatuletea hbr za like acheni ushamba wa namna hii

    • @NdongaKichwa-hz7jf
      @NdongaKichwa-hz7jf 6 หลายเดือนก่อน

      @@mosesmpesa9 umepanik kwani like inazidisha nini au inapunguza nini wewe ndomsha mbwa

  • @user-hu5ct1lc4y
    @user-hu5ct1lc4y 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mh ,Mungu akuponye kabisa

  • @VeronicaMacha-pl3xt
    @VeronicaMacha-pl3xt 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli alikuwa mbunge wa watu wake anatamika hata akiwa katika mazingira magumu Mungu akupe wepesi baba.

  • @MeshiliTemba
    @MeshiliTemba หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mbunge wetu MUNGU akuondolee mitihani

  • @harunrhobi3007
    @harunrhobi3007 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu akuponye kwa neema zake

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 6 หลายเดือนก่อน +1

    Haaaaa baba mungu akulinde sana ndani ya maumivu makali,bado unalitumikia taifa na wananchi ni uzalendo mkubwa.

  • @RahmaYassinmlaponi
    @RahmaYassinmlaponi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mbunge wangu mungu akuludishie afya Amina yaraby alamina

  • @SudyMpanda
    @SudyMpanda 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mzee wetu

  • @abdulsakibu
    @abdulsakibu 5 หลายเดือนก่อน

    Allah akufanyie shifaa inshaAllah

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 6 หลายเดือนก่อน +4

    Kaah hadi sura imepotea kabisa mungu wangu

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 4 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah Allah akupe shifaa

  • @user-ex9sd8wm4l
    @user-ex9sd8wm4l 6 หลายเดือนก่อน +3

    Ddah!!! Pole sana mbunge bwege

  • @Dekingalba
    @Dekingalba 6 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akupe shifaa mzee wetu Amiin

  • @ben_digital
    @ben_digital 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu amfanyie wepesi Mzee Bwege

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana baba,mungu akupe heri ya kupona kidonda.

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 6 หลายเดือนก่อน +3

    Daaah! pole yake aisee kweli hujafa hujaumbika😭😭😭

  • @IbrahimuLikolinji-ly2tp
    @IbrahimuLikolinji-ly2tp 6 หลายเดือนก่อน +3

    Allah Akuponye mzee wetu

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 5 หลายเดือนก่อน

    Mitihani imeumbiwa mwanadamu ,Leo kwako kesho Kwa mwingine! Pole mheshimiwa

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Subuhanallah. Pole Allah Ashifki

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana,namkumbuka sana Bwege

  • @muhammadkhamis9396
    @muhammadkhamis9396 6 หลายเดือนก่อน +4

    شفاك الله

  • @alfredibrahim7085
    @alfredibrahim7085 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mungu akufanyie wepesi

  • @daressalaampost5785
    @daressalaampost5785 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mheshimiwa. Mungu akutie nguvu wakati huu mgumu.

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 6 หลายเดือนก่อน

    pole sana mzew mwenyezmungu atuhifadh na maradhi makubwa

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mzee wangu,mola akupe subra

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaah maskini,pole sana mbunge mbwege

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akufanyie wepesi

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 6 หลายเดือนก่อน +3

    +MUNGU+ amponye na kumtia nguvu YOHANA 14:14🙏🙌

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 6 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana Allah Akupe Tahfif

  • @ignasnyembo1256
    @ignasnyembo1256 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana mh. Mbunge

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana Mzee wng,mungu atakuafu

  • @GeraldDanieltarimo-ke3ik
    @GeraldDanieltarimo-ke3ik 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana,BWEGE

  • @lasteckmmary9741
    @lasteckmmary9741 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mzee wangu. Niakuombea mungu upone harakaa?

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 6 หลายเดือนก่อน +2

    Dah pole Sana mzee sukar noma Sana

  • @NuruMbongo
    @NuruMbongo 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hujafa hujaumbika mzee wangu pole kwa hilo

  • @user-qi6ql1lp9k
    @user-qi6ql1lp9k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mzee

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana

  • @MAURIDI-w9u
    @MAURIDI-w9u หลายเดือนก่อน

    Pole mwamba la nchi

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe afya njema

  • @lawijosephezekieli1078
    @lawijosephezekieli1078 5 หลายเดือนก่อน

    Pole san mzee utapona

  • @MichaelJohn-xh4kf
    @MichaelJohn-xh4kf 5 หลายเดือนก่อน

    Aisee pole Sana mzee

  • @husseinmkanga7794
    @husseinmkanga7794 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bwege pole sana. Ila ulifurahi kufa kwa JPM sasa yeye kapumzika wewe unateseka. Pole sana mungu akupe nguvu na afya iliyo bora.

    • @Olengujati-uo6gx
      @Olengujati-uo6gx 2 หลายเดือนก่อน

      Daah wajinga hawaishi,sasa ww Mungu ukumbushe watu makosa yao,? Daah naamin ww piah unafurahi yeye kuumwa bila shaka

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 2 หลายเดือนก่อน

      @@Olengujati-uo6gx Wewe ndio mjunga mimi nimempa kwa maradhi aliyopata na nimemuombea afya njema. Lakini nimemkumbusha kwamba mungu ni wa maajabu usifurahie yanayo mkuta mwingine maana yatakayo kukuta wewe. Tunakumbushwa haya miskitini na makanisani.

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mze wetu Mungu akutie nguvu😭🙏

  • @erickmagnus4945
    @erickmagnus4945 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ampee Nafuu zaid Mzee wetu❤️😓

  • @user-bg2yc4kw9k
    @user-bg2yc4kw9k 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atakufanyia wepesi

  • @smartpoint69
    @smartpoint69 6 หลายเดือนก่อน

    Pole mzee binafsi nakuombea afya njema

  • @emmanuelmambarera141
    @emmanuelmambarera141 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Mheshiwa Bungara

  • @soudbako5925
    @soudbako5925 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akufanyie wepesi inshallah

  • @killindoabile3128
    @killindoabile3128 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana maradhi bhna

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 6 หลายเดือนก่อน

    Pole bwege nimeumia sana mzee

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mzee wetu Mungu akuponye

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ndiye mjuzi

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 6 หลายเดือนก่อน

    ALLAH AKUPE AFYA NJEEEMA MAALIM

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Mh Bwege

  • @SurprisedOmbreSky-qg6dk
    @SurprisedOmbreSky-qg6dk 6 หลายเดือนก่อน +1

    Allah amfanyie wepesi

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mheshimiwa

  • @thomasmwaijande7278
    @thomasmwaijande7278 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mzee wetu.