"UKIFUNGUA KIWANDA NDO UNAANDAMWA/KUNA MATATIZO MENGI SANA MHE. JAFO"WAFANYABIASHARA WALIA NA JAFO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 50

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 หลายเดือนก่อน +8

    Shida hata mnaowaambia hawawaelewi, They can't interpret issues, They don't know anything about Industrial path and phases towards success, they don't know anything about protectionism policy, They don't know how business operates and works. kwakifupi wanaona kama mnawapigia makelele na kuwachelewesha kwenda kupanda mavieite wawahi kufanya unlimited spending...Politicians are the the Biggest problem in development of African countries, They use problems as the stepping stares. Poor guys..!

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 27 วันที่ผ่านมา +1

      Nikweli kabisa unakuta mtu amesomea Sheria unamleta mazingira au unamleta wazir wa viwanda ahhhh kwakweli mama ameupiga mwing

    • @selemanmussa3459
      @selemanmussa3459 27 วันที่ผ่านมา

      @@PhilipoMwita-b2x Hawajui how modern economies operates, Lazima Africa wabadilike, Tujiepushe na politicians kwenye idara nyeti za nchi kama ulinzi, biashara na uchumi, mambo ya ndani, Viwanda na maendeleo, Elimu etc. Hivi vitu kadri vinavyochezewa na politicians ndivyo Taifa linavyozidi kuangamia. We are a joke everywhere, hadi waliokufa wanatushangaa...Poor Africa!

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq หลายเดือนก่อน +4

    Hapo kwenyewe Kodi kubwa kuliko Bado waongeze ongeze ni mmezoea kutukomesha Kodi mpaka jumuia ya ulaya Wana shangaaa mabalozi wanajiuliza

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 หลายเดือนก่อน +3

    Magari kutoka nje Kodi iongozwe hapana. ila incentives na Kodi kwa wazalishaji wa ndani zipunguzwe. Period

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo la wanasiasa wanaona ushuru mkubwa ndiyo ukuaji wa uchumi, badala ya kuona kuwa ni ushuru na kodi kandamizi!

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน

      Magufuli alisemaga hili..msiwakimbize watu na makodi makubwa..anaglia uwiano ili ndo tukusanye ziadi. Magufuli akaendelea kusema. mkuwapiga kodi kubwa watafunga duka kisha wafungue upande ule wakushoto..hioyo 5M uliokuwa unataka kukusanya umeikosa yote..mbona msiongee na w/biashara walau mpata hicho cha kiasi?

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo Safi sana ya kusikia kutoka kwa wadau ,na mwisho kufuata ushauri wao.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน

      wameshasema sana mpaka wanarudia kila kukicha,,hawaoni utekelezaji..

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน +3

    Serekali ya kilaza samia , haijui ikifanyacho hatA kimoja

    • @MAGARITanzania
      @MAGARITanzania หลายเดือนก่อน

      Kilaza wewe hapo

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 หลายเดือนก่อน

      @@MAGARITanzania wee raisi gani kama sio kilaza mwenye elimi ya secondary division 0 zero . Vilaza nyinyi

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 หลายเดือนก่อน +3

    Mm nikiwa mfanya biashara bora niwekeze nchi ya nchi Tanzania si sehemu salama kwa mfanya biashara yoyote

  • @SAMA-jw4fr
    @SAMA-jw4fr 25 วันที่ผ่านมา

    Wa Tanzania/Watanganyika munazungumza sanaaaaaaa lkn vitendo ni Zeroooo

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน

    Mh Jafo, hili swala la kodi inaitaji Dkt Mwiguli, Wewe, Mh Bashe na Yusufu wa TRA muanze kuifanyia amendment ili iwe rafiki kwa w/biashara na mazao ya wakulima. Kisha system itengenezwe wtu walipe bila TRA kuingia field kuanza kufatilia kodi..system zote iwe sync mpaka TRA kuondoa bugudha

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania si sehemu salama kwa kuwekeza maaana hawa watawala hawawez kuendesha kazi kila kitu wao hawawez kila kitu labda kuiba

  • @HamadiHussein-ru3qf
    @HamadiHussein-ru3qf หลายเดือนก่อน +2

    Mnatwanga maji kwenye kinu

  • @Worldunite
    @Worldunite หลายเดือนก่อน +1

    Message sent

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 หลายเดือนก่อน

      But not delivered 😢😢😢

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation หลายเดือนก่อน

    Uwezo ya Tanzania ny kubwa , lakini kero na urasimu anakusumbua sana , Kenya ny afhadali

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 หลายเดือนก่อน +2

    Kusiwe na Kodi tu wafanyakazi walipwe mushara mzuri.

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania ya viwanda alishindwa Nyerere mtaweza wapi kiwaanda cha viatu urafiki viko wapi tajiri yangu mmoja alifungua kiwaanda cha nguo KTM kila kiongozi alikuja pale kuchota pessa😅😅😅

  • @josephdimosso6380
    @josephdimosso6380 24 วันที่ผ่านมา

    😮😮

  • @Nedjadist
    @Nedjadist หลายเดือนก่อน +2

    Upumbavu mtupu. Waziri wenu wa Fedha analojua ni kumchinja kuku anayetaga yai moja la dhahabu kila siku, kwa kuamini atakuta mayai mengi y'a dhahabu kwa mpigo tumboni mwake!

  • @Khamis_Waya
    @Khamis_Waya หลายเดือนก่อน +1

    Shida ni kwamba ao viongozi ata hawaelewi ni kwamba tunaongea tuuh ila wao wanajua kula tuuh

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 หลายเดือนก่อน +1

    Poleni jamani

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 หลายเดือนก่อน +2

    uyu fala sijui anaongea nini

  • @farajimmari1523
    @farajimmari1523 หลายเดือนก่อน +1

    Hatuweziendelea kamwe

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 หลายเดือนก่อน +2

    Bandari ya Tanga Vipi ? Si papanuliwe ili nayo isaidie Bandari ya Dar es Salaam?

    • @zxcvbnmmkh
      @zxcvbnmmkh หลายเดือนก่อน +1

      😂 Thubutu utaambiwa tutafukuza wapangaji.

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wetu ninamashaka uelewa just ya uchumi kulida viwanda

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 27 วันที่ผ่านมา

    Yani eti wazir ndoatatue changamoto kwakweli wananchi wanahitaji mabadiliko sasa

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 หลายเดือนก่อน

    WEKENI kod ndogo mashart kidogo watu wafungue viwanda...
    10%

  • @ColinMhema-ne3lz
    @ColinMhema-ne3lz 26 วันที่ผ่านมา

    Uliza miaka kumi baadae nini kilibàdilika nipo pale

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 27 วันที่ผ่านมา

    Ndio maana watoto wetu waanzisha biashara za miili...bse hakuna kodi na tozo huko?

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 หลายเดือนก่อน

    Mnawapigia mbuzi gitaa

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 29 วันที่ผ่านมา

    Brother ningekusaidia niliwai kusema x moja cc watanzania bado atupendani special waliokuwa juu kuwapenda walikuwa chini na shida inaanzia hapo kwanza ukimueleza ki2 mtu cha ukweli anakuona wewe unamletea ujanja. Why kwasababu yeye katoka uswahilini anasema me mwenyewe mjanja bila yankujua position aliokuwa nayo

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 หลายเดือนก่อน

    Tz wanataka wote muwe MACHINGA ili wawatawale vizuri , unashangaa UCHUMI inakuwaje Kwa watu kuleta bidhaa za kichina tu na kituruki ?? TAIFA Zima wanataka muwe wamachingaaaa

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s หลายเดือนก่อน

    Mwigulu nchemba afukuzwe uwaziri

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu hapo ni kujinufaisha wao tu apo

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 29 วันที่ผ่านมา

    We mtu camera shida yako iko wapi kupeleka camera kwa uyo dada kila saa mbona kuna wanawake wengi uwamuliki na wanamme.

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 หลายเดือนก่อน +1

    sera sera sera afrikaaaaaaaaaaaa. fuck

  • @knight6757
    @knight6757 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 หลายเดือนก่อน

    Bagamoyo

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 หลายเดือนก่อน +1

    Maandazi kweri Yani mzidi kutukamua tu huo mzigo wa Kodi ni wamwanchi wa chini kabisa sio kwa mfanya biashara hivi nyie mna akili kweri hamlipi Kodi nyinyi mtumiaji w amwisho ndio anae umiza sio nyinyi wenye viwanda wajinga kweri wasomi wengi ni mabumunda wanajiangaria wao pumbavu zenu