Hashim Rungwe Alivyotinga Studio na Mabakuli ya Ubwabwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2020
  • Mgombea Urais kupitia CHAUMMA Hashim Spunda Rungwe ameingia katika mahojiano ya kipindi cha Kamati Kuu akiwa na mabakuli yenye ubwabwa akiwataka Masoud na PJ wale washibe vizuri

ความคิดเห็น • 347

  • @babasanwar5778
    @babasanwar5778 3 ปีที่แล้ว +71

    Rungwe kama rungwe.
    Wangapi tupo kwa ajili ya kusikiliza sera ya ubwabwa ajili ya watoto wa mashuleni... tujuane.

    • @jaxxonashton1014
      @jaxxonashton1014 3 ปีที่แล้ว

      i guess it's kinda randomly asking but do anybody know a good site to watch new tv shows online?

    • @landenbrady8049
      @landenbrady8049 3 ปีที่แล้ว

      @Jaxxon Ashton i use Flixzone. Just search on google for it :)

    • @phoenixjames6323
      @phoenixjames6323 3 ปีที่แล้ว

      @Landen Brady Definitely, have been using flixzone for years myself :D

    • @jaxxonashton1014
      @jaxxonashton1014 3 ปีที่แล้ว

      @Landen Brady thanks, I signed up and it seems like a nice service :) Appreciate it !!

    • @landenbrady8049
      @landenbrady8049 3 ปีที่แล้ว

      @Jaxxon Ashton happy to help xD

  • @pascalmanyama2304
    @pascalmanyama2304 3 ปีที่แล้ว +67

    Rungwe jiandae tu kuingia ikulu.Chakula kwanza,mengine baadae.Safi sana.

  • @ananiakutta4022
    @ananiakutta4022 3 ปีที่แล้ว +42

    Hahahah huyu Mzee inaonekana nymbni kwake ratiba ya ubwabwa inazngatiwa hatarii

  • @geeva99
    @geeva99 3 ปีที่แล้ว +27

    Chama bora kulio vyote duniani

  • @afyandogo
    @afyandogo 3 ปีที่แล้ว +26

    dah mzee rungwe andaa suti na balaza lako mawaziri wewe ikulu uhakika

  • @kaitaramadan6340
    @kaitaramadan6340 3 ปีที่แล้ว +19

    Huyu jamaa hua nampuuza kwa sera zake ila kwa hili la chakula mashuleni nimemkubali

  • @fatumamassamba4699
    @fatumamassamba4699 3 ปีที่แล้ว +22

    Ohooo ubwabwa 😅😅😅🤣kadi ya uwanachama tunapata wapi😄

  • @stahimilimangula1850
    @stahimilimangula1850 3 ปีที่แล้ว +22

    Utani utani tu Mara CHAUMA ikuru😎

  • @samanyaswai6272
    @samanyaswai6272 3 ปีที่แล้ว +7

    Daaaaaaaah!!! Nikecheka Sanaaaa
    Mzee Wangu Rungwe We Ni Noma

    • @zulfikakalumba1977
      @zulfikakalumba1977 3 ปีที่แล้ว +1

      Au sio mwanangu nikecheka hivohivo chapia tu maisha yenyewe mafupi.. Naona ubwabwa wa Rungwe umekupagawisha

  • @an6808
    @an6808 3 ปีที่แล้ว +10

    Mzee upo sawa, Sisi tuliosoma shule za bweni za serikali tunalijua hilo

  • @johnraphael4771
    @johnraphael4771 3 ปีที่แล้ว +6

    Good idea mzee nimekuelewa.kusoma bila kula ni changamoto sana toka usiku jana hadi saa saba mchana uelewi kitu mzee uko sawa kbs

  • @dflexmashairi8824
    @dflexmashairi8824 3 ปีที่แล้ว +27

    Huyu mzee watu watakula ubwabwa wake wamwache njiapanda naona hawajui wabongo huyu😂😂

    • @dintazdintaz7311
      @dintazdintaz7311 3 ปีที่แล้ว +2

      Mwenzio kwenye ruzuku atazirudisha jamaa anajua kubet

    • @dflexmashairi8824
      @dflexmashairi8824 3 ปีที่แล้ว

      @@dintazdintaz7311 😂😂😂sawa

    • @jescajohn5034
      @jescajohn5034 3 ปีที่แล้ว +2

      Anatania tu anajua hawez pata

    • @badbeats5637
      @badbeats5637 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @victormneney8789
    @victormneney8789 3 ปีที่แล้ว +2

    Wabongo kazi kweli Mlo kwanza pilao kuku uje na Same kwa watani zangu

  • @fredkendrick3691
    @fredkendrick3691 3 ปีที่แล้ว +10

    Mzee kaongea point sana yan

  • @mustthetarget-7779
    @mustthetarget-7779 3 ปีที่แล้ว +15

    Ambae ameona wanakula bila kunawa gonga like hapa

  • @ngometvarusha4030
    @ngometvarusha4030 3 ปีที่แล้ว +1

    Rungwe kwakweli kwenye chakula mashulen nakuunga mkono kuliko kusoma bure mhimu sana chakula nakupenda Rungwe

  • @charlesking8252
    @charlesking8252 3 ปีที่แล้ว +8

    Ila Rungwe upo sawa ...upo sawa siyo mzaha

  • @nikelcobalt828
    @nikelcobalt828 3 ปีที่แล้ว +3

    Napenda vile mzee anaongea huku ubwabwa unalia "kwa kwa kwa" mdomoni

  • @lulyehomadale9009
    @lulyehomadale9009 3 ปีที่แล้ว +4

    ni kweli , sera za huyu mzee zina mantiki,

  • @wilfredmlaki822
    @wilfredmlaki822 3 ปีที่แล้ว +1

    Katika wapinzani wote! Rungwe number 1 ninakukubali sana rungwe

  • @nyakunga
    @nyakunga 3 ปีที่แล้ว +9

    Kipanya mungu anakuona😁😁😁 unamuenjoy tu rungwe but you know reality😊

    • @safarichui8551
      @safarichui8551 ปีที่แล้ว

      Ni kweli wanamu enjoy mzee wetu jamaanii😂😂😂 eti visheti😂😂😂

  • @mayenganindwa8543
    @mayenganindwa8543 3 ปีที่แล้ว

    mzee lungwe nimekuerewa siasa unayoifanya sio yakulenga Majungu upo vizuli sana kula yangu ipo kwako hata kama tutashindwa tushindwe ujumbe umewafikia Mungu akubaliki

  • @swalehmustafa3064
    @swalehmustafa3064 3 ปีที่แล้ว

    How did I get here 😀😀. This has made my day today ☺️☺️.

  • @kajorontamilukilomaganyiro4015
    @kajorontamilukilomaganyiro4015 3 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiii Sanaa rungwe ubweche mtaa muuuuu ikulu yakooo
    .

  • @FrankManko
    @FrankManko 3 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaaah mimi mwanachama.hai wa Chauma mwenyekiti wangu anasera ngumu ngumu lazima tushinde mwaka huu kwa sera hii ya ubweche mmmmh maana wabongo wengi hatuli siku hizi ni mwendo wa mlo.mmoja ela.yote Mzee baba kanunua.ndege

  • @upgo6112
    @upgo6112 3 ปีที่แล้ว +2

    Unafaaa sanaa kuwa waziri

  • @sixbertsimon4323
    @sixbertsimon4323 3 ปีที่แล้ว +2

    Tutakuwa na wizara ya chakula na lishe Bora tumweke mzee wetu huyu wizara hiyo Mambo yatakuwa poa

  • @johnsonkanamba8064
    @johnsonkanamba8064 3 ปีที่แล้ว +4

    Sawa Rungwe hua nakuelewa sana mzee wangu

  • @eminentmnzavas4463
    @eminentmnzavas4463 3 ปีที่แล้ว +15

    Wana hawaja nawa mikono kweli bongo no corona

  • @muddyaforeal1145
    @muddyaforeal1145 3 ปีที่แล้ว +8

    Basi ukute hapo PJ na KP wakarudi nyumbani wasile chakula na wake zao wakawamaindi umekula wapi wakati wanawaona kabisa wapo studio wanapiga ubeche na raisi wangu Mzee Rungwe

    • @paulebby1552
      @paulebby1552 3 ปีที่แล้ว +1

      Rais wangu wa Ubweche Nimrmkubali

    • @MohamedMohamed-fz5qh
      @MohamedMohamed-fz5qh 3 ปีที่แล้ว

      😄😄😄😄😄😄😄😄😄

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

      Ubeche ❌
      Ubweche ✔️

  • @bernardjosephmulokozi3901
    @bernardjosephmulokozi3901 3 ปีที่แล้ว +4

    Napendekeza Uncle Kazoa awe kwenye hii program ya chakula

    • @KibwanaRich
      @KibwanaRich 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @muryd6999
      @muryd6999 3 ปีที่แล้ว

      Hahahhaha

  • @witomsafiri
    @witomsafiri 3 ปีที่แล้ว +6

    Kama na wewe unatambua kuwa wakati unakula hautakiwi kuongea ongea na pia unasikia mnya mnya mnya mnya mnya maana hawafumbi midomo gonga like 😂😂😂😂😂😂😂

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @paulebby1552
      @paulebby1552 3 ปีที่แล้ว

      Waache wapige Ubweche bana

    • @fredmushendwa357
      @fredmushendwa357 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mzee ki ukweli ni mjanja sana na namkubali ujanja wa maisha akishapiga ruzuku maisha yanasogea na watanzania wanafurahi kwa vituko vyake.😂😂😂

    • @matukiosafaris6508
      @matukiosafaris6508 3 ปีที่แล้ว +2

      Ukosefu wa elimu jinsi ya kula ndiyo maana unasikia hiyo sauti nikiwa mdogo mama yetu alikuwa anatuchapa akisikia wakati wa kula unakula huku unatoa sauti kama hiyo
      Alikuwa anatuambia acha kula kama dog

    • @aminamikidadi7754
      @aminamikidadi7754 3 ปีที่แล้ว

      Chakula imeandaliwa na mwanamke wa kitanga mikocheni hyo ..acha wapige ubweche ..alichosahau ni kuwaandalia tu maji ya kunawa mikono..Hahaaaaaaaaa....!!

  • @salummwanjali3207
    @salummwanjali3207 3 ปีที่แล้ว +3

    Mh, kampeni zake ni wananchi mkikutwa kumi mh, anasimama anawapa Sera zake yupo vizur anaweza akaushangaza umma

  • @janekikoti2179
    @janekikoti2179 3 ปีที่แล้ว +4

    Yaan huyu mzee comedy sana na umri wake 😂😂😂😂

  • @amanikuntamya9698
    @amanikuntamya9698 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaa ninekuerewa sana spunda.

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha Spunda nakukubali kinyamaaa😂😂😂😂😂 yaaani mcheshi namba 1 duniani😂😂😂😂 big up sana 😂😂😂

  • @selemakilawa3969
    @selemakilawa3969 3 ปีที่แล้ว

    Rungwe hajawajua wajumbe Masud na mwezie kama wajumbe wajumbe nomaa mzee japo umenena point

  • @akidivadave.6993
    @akidivadave.6993 3 ปีที่แล้ว +1

    He is talking the truth though our hungry governments would rather fill their bank accounts with that money. Though we can't take seriously and his manifesto and intentions have no backing.

  • @matukiosafaris6508
    @matukiosafaris6508 3 ปีที่แล้ว +9

    TABLE MANNERS PLEASE TAFUNA BILA KUTOA HIYO SAUTI MDOMONI

    • @salehabadsalehpur796
      @salehabadsalehpur796 3 ปีที่แล้ว

      Yaani hakuna kitu kinachonikera kama kula na mtu anayekula na hiyo sauti kama mwanangu au mdogo wangu lazima ale bao la maana

  • @steveneryoba1234
    @steveneryoba1234 3 ปีที่แล้ว +3

    Anaongea point sana

  • @aronassom5134
    @aronassom5134 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko sahihi mh Rungwe

  • @jumatarabeni9753
    @jumatarabeni9753 3 ปีที่แล้ว

    Upo sawa mzee

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 3 ปีที่แล้ว

    Wangekuwa watoto wanapigaga kura,aaa Mzee Hashimu ungevunja rekodi

  • @JamesMusa-i4l
    @JamesMusa-i4l วันที่ผ่านมา

    Bas bas mzee inatosha tumekuelewa

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 3 ปีที่แล้ว +10

    Dhu magufuri kaeafanya wapinzani wakose Sera kabisa 2015 alisema kuwa ataleta ndege yakumwagikizia mashamba duh rungwe nakuelewaga sana

    • @iddyballe4422
      @iddyballe4422 3 ปีที่แล้ว

      unakisudia nn unaposema sera

  • @elijahsomebody9164
    @elijahsomebody9164 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweliii suala la chakula n la msingi Sanaa na sanaaa mashuleniii. Rungwe uko vizuri😀😀😀😀😀

  • @btsanime6138
    @btsanime6138 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nitamchagua Mzee Rungwe Hashim kwa sababu anataka kutokomeza njaa maana yuko sahihi kwa hili 🍽🥤

  • @abuumkumbalu9123
    @abuumkumbalu9123 3 ปีที่แล้ว +7

    Sio tu ata hapa nilipo mimi South Africa watoto wanakura chakura shuleni bure

    • @matukiosafaris6508
      @matukiosafaris6508 3 ปีที่แล้ว

      Wanakula chakula ndiyo kiswahili sahihi

    • @dizzboss7526
      @dizzboss7526 3 ปีที่แล้ว

      @@matukiosafaris6508 ushaambiwa yuko afrika ya kusini unategemea aandike kiusahihi tena

    • @matukiosafaris6508
      @matukiosafaris6508 3 ปีที่แล้ว

      @@dizzboss7526 kwani akiwa south africa hatakiwi kuelimishwa bora mimi ambaye namuelimisha ili ajifunze kuliko kumwacha tu ajione yuko sahihi kumbe hayuko sahihi

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 3 ปีที่แล้ว

      Matukio Safaris ila umeelewa nn kamaanisha!!Hongera kwa kumpa kuswahili sahihi nadhan hatokosea tena!!

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 ปีที่แล้ว +1

    🙌🙌🙌🙌

  • @sagengejagadi2520
    @sagengejagadi2520 3 ปีที่แล้ว

    watangazaji naona mnakula ubweche na rais tena bila kunawa mikno amazing sn.

  • @charlzcon6812
    @charlzcon6812 3 ปีที่แล้ว +25

    Kwa sasa huyu ndiye rasmi mpinzani wa Magu au mnaonaje jaman?

    • @kingkipusa9483
      @kingkipusa9483 3 ปีที่แล้ว

      Hichi ndicho kimewafanya clouds wafungiwe

    • @shafiibakiri2318
      @shafiibakiri2318 3 ปีที่แล้ว

      Nikwer kwa hilo , ila hatujaona mukinawa kabla ya kula

  • @rachellaizer941
    @rachellaizer941 3 ปีที่แล้ว

    Tz Nakukubali nchi yangu kuna vituko haswa furaha tele babu yangu rungwe ni shidaa

  • @chistinawallasch2827
    @chistinawallasch2827 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaaaaa😃😃😃😃👍Tz mpaka leo mambo ya chakula, shibe kwanza.

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndio raha ya kusikilliza wagombea wote kwa makini. Wadau wa uchaguzi msiharibu uchaguzi waacheni Watz wafurahi na wasikilize wagombea wao. Itamsaidia mshindi kuungaunga sera na kupata sera moja bora. Kula shuleni watoto lazima ametukumbusha wazazi. Ni wajibu kama taifa kuwa na watoto wenye afya.

  • @adamally8791
    @adamally8791 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila mzee yupo Sawa na hii sera yake, wanapewa chakula wafungwa ila wanafunzi wa kuja kulijenga Taifa hawawajali kwenye msosi

  • @mwannehamiss9194
    @mwannehamiss9194 3 ปีที่แล้ว

    Dah Raha Sana kampeni zake

  • @josephndali9584
    @josephndali9584 3 ปีที่แล้ว

    Umeanza kunishawishi kukupa kura yangu ubwabwa kwanza umetisha mzee

  • @irenesalvatory260
    @irenesalvatory260 3 ปีที่แล้ว

    Babu yang mheshimiwa hashimu rungwe

  • @haroldtarimo342
    @haroldtarimo342 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Mzee huwa namuona Kama comedian
    Mara alisema atachimba bahari ili meli zifike morogoro duh

  • @Squareson7
    @Squareson7 3 ปีที่แล้ว +2

    Nchi Yangu TANZANIA 🇹🇿 NAIPENDA SANA.. NI FURAHA TELE

  • @rashidkombo8011
    @rashidkombo8011 3 ปีที่แล้ว

    Mzee yuko sawa jiandae kuingia ikuru sera nzuri

    • @joynnko5186
      @joynnko5186 3 ปีที่แล้ว

      Ikuru ikuru ikuru ikuru
      Rudi darasani 😒😒😒😒🙄🙄

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nitampa kurayangu mzee rungwe nipo Zanzibar kwaserazake

  • @samsondecoman983
    @samsondecoman983 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu Mzee ana akili sana, anaipanda mbegu ya mvuto kwa kizaZi kijacho,
    Mtoto wasasa ndio mpiga kura wake mia ka 20 ijayo.

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzee namkubali , hana uchoyo na ruzuku, mfano mmoja ni huu hela ya ruzuku kagawa ubwabwa studio

  • @sadikidaudi1223
    @sadikidaudi1223 3 ปีที่แล้ว +3

    Yaani wewe utapata Ushindi wa pili sio yule wa Ubergiji 👊👊😂

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 3 ปีที่แล้ว

    Hashim Rungwe unafaa kujiunga na joti tv kufurahisha watanzania

  • @saidmungulu7053
    @saidmungulu7053 3 ปีที่แล้ว +1

    Hashimu rungweee
    Hadi wanachuo wanataka ubwabwa

  • @frankkaiza3658
    @frankkaiza3658 3 ปีที่แล้ว +1

    Mzee as him nine kusoma kula na Nazi baba nime kupata uko vzr

  • @elijahsomebody9164
    @elijahsomebody9164 3 ปีที่แล้ว

    Ngoja Kwanza mzee atafune😀😀😀😀😀

  • @salumseif1005
    @salumseif1005 3 ปีที่แล้ว

    Nimecheka sanaaa dah babu namkubali sana

  • @themanwithnoname5824
    @themanwithnoname5824 3 ปีที่แล้ว +2

    OK kunauwezekano ukakosa uraisi but kwa atakaye pitaa.. Naomba aitumie hiii sera

  • @sideboy1199
    @sideboy1199 3 ปีที่แล้ว

    Poleni sana

  • @andrewmsunga9425
    @andrewmsunga9425 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomba atupe ratiba zake za kampeni,lini atakuwa wapi ili tukamsikilize

  • @msemakwelimdhalendo7782
    @msemakwelimdhalendo7782 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye MPUNGA umetupataaaaaaaaa.

  • @nusalim3389
    @nusalim3389 3 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo hao wanaotakiwa kula ubwabwa wote wako chini ya miaka 18 hawawezi mpigia kura ,ndio Mana apata kura sufuri

  • @jumbeink3173
    @jumbeink3173 3 ปีที่แล้ว +1

    Rungwe 4 president

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 3 ปีที่แล้ว +3

    *JAMANI KADI ZA CHAMA TUNAPATA WAPI?*

  • @mashakamwashilindi5607
    @mashakamwashilindi5607 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mwanangu ananishauri nimpe kura huyu, duuu.

  • @samwelmjika.8870
    @samwelmjika.8870 3 ปีที่แล้ว

    Our presidebt over there

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 3 ปีที่แล้ว +1

    Ushapita baba

  • @nisalilestambule4605
    @nisalilestambule4605 3 ปีที่แล้ว

    Mxiuuu, ahaaaahaaaa

  • @zakariampompo953
    @zakariampompo953 3 ปีที่แล้ว

    Kali kwelii

  • @salummwanjali3207
    @salummwanjali3207 3 ปีที่แล้ว +3

    Mh, Rungwe kuna kitu anaaminisha isipokuwa tunachukulia masihara yupo vizur kwa hilo kwa watoto chakula

  • @godfreylyimo9442
    @godfreylyimo9442 3 ปีที่แล้ว

    Rungweeeeeeee

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 ปีที่แล้ว

    Hii nzr sana imekaa njema maana inaonyesha hata watangazaj nao wanahitaj misos studion kwao njaa mbaya kama umegundua studio nazo zina njaa nione

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 3 ปีที่แล้ว +1

    Wacha nami nipeleke sahani yangu Raisi wangu anipakulie ubwabwa.

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ndio rais wetu mpendwa anajali matumbo ya wananchi wake 😄😄😄

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 3 ปีที่แล้ว +1

    dakika 5:33 umejibu vizuri sana natumaini wamesikia

  • @benardmapuga8370
    @benardmapuga8370 3 ปีที่แล้ว

    Nadhani unaweza kufikiri utani.ila Taifa lolote makini kwanza Afya na chakula maana family zetu nyingi chakula ni Kama anasa

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 3 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @selemanwaziri7653
    @selemanwaziri7653 3 ปีที่แล้ว

    Hey

  • @signalboy4260
    @signalboy4260 3 ปีที่แล้ว

    namkubali sana Paul James(PJ) cjui why Jahazin simsikiagi siku hizi

  • @echimoshi1270
    @echimoshi1270 3 ปีที่แล้ว +3

    Hata mimi nilisoma Tabora girls nilikula kibeche, huyu babu tumpe kura awe mb saidixi wa Tundu atatufaa watoto kwashako kwisha

    • @gervascosmas9029
      @gervascosmas9029 3 ปีที่แล้ว

      We muwarsaw nitafte 0766862797 me nmesoma boys 2015/17

  • @gabrielmevoroo195
    @gabrielmevoroo195 3 ปีที่แล้ว

    Uyu Mzee nadhani alikuwaga kiranja wa chakula shuleni kwake

  • @nasmamoza6831
    @nasmamoza6831 3 ปีที่แล้ว

    My president

  • @magellasaid28
    @magellasaid28 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mzee mimi huwa ananifurahisha sana ni kweli anachokiongea.

  • @barakafidelisfidelis7451
    @barakafidelisfidelis7451 3 ปีที่แล้ว

    Mzee yuko sawa

  • @joycekelvin5434
    @joycekelvin5434 3 ปีที่แล้ว

    Yeye ndio katuletea ndio ujue wabongo siyo watu wazuri mpunga wanakula na urais upati

  • @ismailferouz9534
    @ismailferouz9534 3 ปีที่แล้ว +5

    Tz raha aana sihami jaman ubweche tena😆😃😃

    • @williamwilly8989
      @williamwilly8989 3 ปีที่แล้ว

      Mwendo wa Ubweche tu haki Tanzania sihami

    • @sagengejagadi2520
      @sagengejagadi2520 3 ปีที่แล้ว

      Badala ya hapa kz 2 .Hapa ubweche 2.

  • @sulekibombwe1367
    @sulekibombwe1367 3 ปีที่แล้ว

    uyu anatufaaa mzee anajali sana ila Watanzania atuelew